NDOA BAADA YA ZINAA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 17

  • @stonecolly
    @stonecolly Рік тому +2

    Haki kwa dalili . Shukran . I would request English subtitles. This kind of knowledge should benefit everyone around the globe .

  • @ibugharib389
    @ibugharib389 Рік тому +1

    JAZZAKALLAH kheri, umefikisha sheikh.Bega kwa bega mpaka Firdaus

  • @a.856
    @a.856 Рік тому +2

    Jazakallah khayran

  • @SalehLofy
    @SalehLofy Рік тому

    Shukran sheikh

  • @abdullahmuhammadKambona
    @abdullahmuhammadKambona 4 місяці тому

    Nimekusikiliza sheikh kwa makini ila sehemu kubwa wewe umeongea kwa mifano tu,,ila mwenzako izzudin ametaja maimam na walio toa fatwa hiyo ila wewe hujapinga kuwa c kweli hawajasema,, zaidi ya kutoa mfano wa maji kuyatia najsi na viboko vya omar,,je nana aisha hakisema kweli?,,cpend uzinifu ila ukimkosoa mwenzako uwe na mashiko ya kusadikika c ya kifikiri tu kwa mifano ya maji✋

    • @feisaldube7296
      @feisaldube7296 3 місяці тому +1

      Sasa maimamu na maswahaba nani wa kufatwa ?

  • @BoscoMartine
    @BoscoMartine 8 місяців тому

    Thambi ya zinaa

  • @arafamke
    @arafamke Рік тому +1

    Subuhana Allah

  • @aishakh5046
    @aishakh5046 Рік тому +1

    Mashaallah.shukran

  • @ALIABBAS-j7i2z
    @ALIABBAS-j7i2z Рік тому +1

    sheikh kama una grup la wasap niunge kuna watu hawatak kuelewa uku

  • @maysaraltiwany7945
    @maysaraltiwany7945 8 місяців тому

    Je wakifanya toba wote 2 pia haijuzu kuowana

    • @faidikanamawaidha
      @faidikanamawaidha  8 місяців тому

      Katika ukweli na sharti za wa kutubia ni kuepuka kuoana baina yao.

  • @Abdallah-i1d
    @Abdallah-i1d 6 місяців тому

    Aslm Alykm, Sheikh hapo ume ghafilika mbona hukutoa mfano ya bahari ama m'to kutia pombe ume sahau kulatein, mfano unao leta ipo tofauti na mwana mke mwenye mimba ya haramu, je anaoleka swali mbona kwako limekua zito una ngeuza mada, uislamu ni mwepesi nyinyi mashekhe saidieni umma

  • @bablasbulludozer-be3ww
    @bablasbulludozer-be3ww 11 місяців тому

    Ukionja haifai hapana ndoa hapo wanazini tu kama una utashi wa sawa

  • @abdullahmuhammadKambona
    @abdullahmuhammadKambona 4 місяці тому

    Swhaba yupi specifically amepokea husemayo sheikh,,mbona unasema jamaa za maswahaba na sheikh izzudin ametaja maimam na maswahaba kwa majina?,wewe unasema wanazuoni wenu wa hibadhi na jamaa wa maswahaba,cjaelewa kwa kweli

    • @feisaldube7296
      @feisaldube7296 3 місяці тому

      Bi Aisha aliulizwa akasema hakuna ndoa baada ya zinaa mjomba shauri yako kama maimam ni bora kuliko maswahaba

    • @LilaSilima
      @LilaSilima 2 місяці тому

      ​@@feisaldube7296
      Mbona AISHA kuna hadithi inasema kaulizwa na akasema halali haijaramishi halali?