WAWILI WALIOFANYA ZINAA HAWAFAI KUOANA KISHERIA...? / NDOA YAO INAKUBALIKA KISHERIA...?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 40

  • @mohamedsuleiman7255
    @mohamedsuleiman7255 5 років тому +4

    MashaAllah Mola azidi kukufungua kifua chako akujaze ilmu iliyo kubwa kwa jinsi unavyofafanua majibu yako

  • @alakhy9448
    @alakhy9448 6 років тому +10

    Shekhe kajibu vizuri Allah amlipe.
    Hii ndo amana ya ilmu,anakupa uwazi kwamba kuna baadhi wanasema hivi na wengine wanasema hivi,sio utakuta shekhe anakukatia moja kwa moja haifai wakati anajua kuna wengine wamesema tofauti,matokeo yake mtu akiskia mwingine anasema vingine anaona MASHEKHE WANACHANGANYA .
    Allah akulipe shekhe batashiy

  • @zayyatiyussuf9566
    @zayyatiyussuf9566 6 років тому +2

    Shukran koo zoma ya Riyadh tv online Allah awalipeni kheri fidunia wali akhera.

  • @muhsinsalum8009
    @muhsinsalum8009 3 роки тому +1

    Nampenda saana sheikh langu sheikh Shaabani.
    Maa shaa Allah alaihi.

  • @SaidSleyyum-fi6jd
    @SaidSleyyum-fi6jd Рік тому

    Masha Allah sheikh anajua kujibu

  • @jasminjuma6390
    @jasminjuma6390 3 роки тому +1

    Shukran jazzakaLLAH Kher sheikh shukran kwa mafunzo

  • @barghashally7791
    @barghashally7791 3 роки тому

    Maashallh sheikh wetu allh akuhifadhi

  • @azizamohamed1767
    @azizamohamed1767 8 місяців тому

    Maashaallah yani nilikua sikusikilizi hasa ila leo nimeona nikusikilize ila maashaallah umejua kuelezea vizuri sana nitakua nakusikiliza siku zote yani upo vizuri sana

  • @luisabacaranli9058
    @luisabacaranli9058 3 роки тому +1

    Masha allah

  • @faizasaid8262
    @faizasaid8262 5 років тому +1

    Mashallah shukuran suali zuri tunajifunza kwakweli

  • @umaimaalharthy3581
    @umaimaalharthy3581 5 років тому +1

    Shukran

  • @zayyatiyussuf9566
    @zayyatiyussuf9566 6 років тому +3

    Shukran sana sheikh kwa kutuelimisha Allah akujalie umri wenye afya njema uzidi kutuelimisha Allah akuzidishie ilimu.

  • @leyhabashigumadaresa2925
    @leyhabashigumadaresa2925 3 роки тому

    Shukran shekh

  • @bahiyaseleman5838
    @bahiyaseleman5838 3 роки тому

    Mashaa allah shekh wngu una hekma kubwa saana na majibu yako shukraan saana

  • @jamilaiddy3478
    @jamilaiddy3478 5 років тому

    Shukrn shekh

  • @mwanamkasihabibu9915
    @mwanamkasihabibu9915 6 років тому +1

    Shukran kwa ukumbusho

  • @sumayyahally866
    @sumayyahally866 2 роки тому

    Shukuran jaziran shehe wetu kwa somo zuli

  • @adilihassan8455
    @adilihassan8455 3 роки тому +2

    Salam alaikum,. Me nashangaa na nyinyi waislamu wenzangu,comment zenu APA ni "shukrani" tuu ,ivi ni muislamu Nani asiejua uznifu ni dhambi kubwa? Jaman tunasema Allah anasameh kla dhambi lakin maut huja ghafla ,,

  • @rasheedwashee9112
    @rasheedwashee9112 10 місяців тому

    Zinaa hii inayozungumziwa ni ya kuingiana kimwili ama ni zinaa ya matamanio paswi na kuingiana kimwili?

  • @proud2beamuslim824
    @proud2beamuslim824 3 роки тому +2

    Aslm aleikum.. Allah (swt)anasameh kila kosa,je ukitubia kwa Allah kama ulizini uneza kusamehewa Bila kupigwa bakora mia.?? Naomba jibu Inshallah

    • @sarmajid8603
      @sarmajid8603 3 роки тому

      Kupigwa bakora ni kwa aliyekamatwa,km hukukamatwa ? Usiombe msamaha?

  • @faizasaid8262
    @faizasaid8262 6 років тому +1

    A sent

  • @w4058
    @w4058 3 роки тому

    Watu wengi wanampenda Sheikh huyu mie pia nampenda huoni taabu kumuuliza suala lolote

  • @alihijiiddi8977
    @alihijiiddi8977 3 роки тому

    HAIFAI NDOWA YA ULIOMZINI ALAFU UNAMUOWA HAISIHI HUWEZI KUMTOMBA MWANAMKE ALAFU UNATA KA KUMUOWA NA KUTOWA MAHARI HAISIHI 👹😇👹😇👹😇👹😇👹😇👹😇👹😇👹😇👹😇👹😇👹😇👹😇👹😇👹😇👹😇👹👹😇👹👹😇👹

  • @johariabdalla3319
    @johariabdalla3319 6 років тому +2

    jee hao ni maulamaa,maswahaba na maimamu juu ya kuhitilafanaa..je mtume yy kasemaje?juu ya hili?,maana hizi hitilafu hawa wanasema hiv na hawa wengine wanasema vengine,huwa zinachanganyaa..Ila shukran

    • @shabihuayoubu4663
      @shabihuayoubu4663 6 років тому +1

      Ukhti johari Abdallah
      Jambo ambalo limejibiwa kulingana na mtizamo wa wanawachuoni kama hivo basi ujue haijaja kauli ya moja kwa moja toka kwa mtume bali dalili zao zinakuwa na kutohowa hukmu toka kauli za Allah na mtume ambaxo hazijaweka wazi moja kwa moja

    • @saidtwahir9616
      @saidtwahir9616 5 років тому +4

      Asalam aleikum asemalo Mungu Mtume hawezi kulipinga, tofauti ni ufahamu. KAMA DALILI IPO WAZI NDOA YA MZINIFU NA MSHIRIKINA NI HARAMU KWA MUUMINI( Suratul Nuur ayah 3) Basi wasemao kuwa ni halali ya kwamba mzinifu hoewi au haolewi ila na mzinifu au mshirikina wamekosea ufahamu. Maanake ni kwamba kwa alo mzinifu au mshirikina fikra, tabia, mienendo, ya watu sampuli hii ni kuwa zinaa kwao si jambo la ku khalifu Amri ya Allah yaani hawajali dini wala Mungu. ILA KWA MUUMINI NI HARAMU. Kwa asoamini Qurani watafunga ndoa ya uzinzi na ikiwa Mungu kaiharamisha ina maana hamna ndoa ilopita.....Kwani uislamu ni uswafi kadhalika muumini lazma ajitakase na matendi machafu kwa taubah. Wafahamu wangali waendelea na Zinaa endapo watafunga ndoa kabla ya taubah.

    • @hasnatibaby4134
      @hasnatibaby4134 5 років тому +1

      Said Twahir hapa nimeelewa sasa jmn Allah atunusur waja wake

  • @alishakt7877
    @alishakt7877 11 місяців тому

    Sheikh unapotosha watu

  • @alakhy9448
    @alakhy9448 6 років тому +7

    Shekhe kajibu vizuri Allah amlipe.
    Hii ndo amana ya ilmu,anakupa uwazi kwamba kuna baadhi wanasema hivi na wengine wanasema hivi,sio utakuta shekhe anakukatia moja kwa moja haifai wakati anajua kuna wengine wamesema tofauti,matokeo yake mtu akiskia mwingine anasema vingine anaona MASHEKHE WANACHANGANYA .
    Allah akulipe shekhe batashiy

  • @ZainabZainab-tv9ir
    @ZainabZainab-tv9ir 4 роки тому

    Shukran

  • @ummulkheir8321
    @ummulkheir8321 4 роки тому

    Shukran