Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Sijawahi comment toka nimeanza kuwafatili lakini leo acha niwape tu pongezi zenu...Kazi zenu ni bomba kwa hakika najivunia kuwajua.
Team mwasomola tujuane hapa
Kwa kweli ongereni sana aki mnweza na namwaomba mung awezi kuwap nduvu nyote 🎉🎉🎉🎉
❤❤🎉🎉😂kazi nzuri sana imetoka Mali kali imekuja Amani kali Zaid kila siku inakuja kali zaidi mke vizur team nzima Mungu awabariki
Nice one 👍... So happy for the English sub. I can now enjoy watching your movies 🇳🇬 🇳🇬 🇳🇬
Nyie nyie bro ben kaja na nyengine hii hapa❤❤❤hauna kazi mbovu 🎉🎉alafu akiwa bonni ndani mm hoi❤❤❤
Safe sana kazi nimependa amani nzur sana
Aman kwani ndo peace 😂 bonge moja la move
Mazeeee mnapunguza utamuuuu amaniii kaliiii mtoe sasa ingne
KAZI NZURI SANA TEAM BENROYAL...👋👋👋🔥🔥🔥🔥🔥
Sijui niandike nini maana yote ninayotamani kuandika tayari yameandikwa . aaah mko bomba sana .. Ukweli mmetisha katika hii movie aaah kamatunzo chukueni
Boni noma sana namukubali ety❤❤
Duh mzee wa ngeri namuona leo, dogo sijui alikua shule
Nice mnajuwa mpk mnakela hongereni Sana kwa hilo lkn mnatuchelewesha kupata mwendelezo
Peter I think I like you. Nimefwatilia filamu zako mingi.❤
Amani ✊🏿✊🏿✊🏿✊🏿
Hamjawai kutuangusha🎉🎉
Benroyal quality video big up blood
Amani
Nilikumiss junior ❤❤
Nimependa hii Pcha kali san🎉🎉❤❤❤❤❤
Leo mm ndo wakwanza zawadi kwangu kutota benroyal
From zambia 🇿🇲
kaz nzur hongeren kwa hilo❤❤❤
Kubabake du imeishiq pazuri kinoma
Moto duuuh ❤ watching from Kenya
Tuishi kwa amani👌🤝
🎉🎉🎉 hongereni sanaaaa❤❤
Peter Mwasomola anajuwa sana..💪
❤❤aa aah kikosiiii
Kazi nzuri sana
🎉🎉nice movie 🎦
Kazi nzuri vijana wang!
Sema nawakubali sana wana mnajua kinoma noma team mbeya n wana mbeya wote nawaomba tuwasaport wanetu miamba 💪 jama tu share pian n kusubscribe
Fanye mpango kipande kingine😁😁😁😁😁
Kali
Hongera sana bony kwa jitihada za kz yako❤
Movie nzur Sanaa wakuu big boss hongera
Hatari sana iyooo
Kiukwel katika movie zote hii umetisha San lazim muchkue tuzo🎉
Asante sana
Nyie mnajua
Mnaharibu mahindi ya Watu🤣🤣🤣💕💕
Noma sana
Kazi nzur sana
Aman
Very Interested.....
Eeeeee hiii sasa ndo mzingo ninao utaka Moto Moto tu kwenda mbele
Nimeipend kazi yenu
Mnaanzisha series nzur but hazina muendelezo znaishia kati
Sasa itakuaje?
Iko njema
Moto umeanza kuwak mapema san AMAN
Bonge muvii❤❤❤❤
MWENDELEZO uwahi basi
Michaelcontinuas rock city mwanza ❤
🔥🔥🔥
japo nimechelewa like za kutosha
Ata kama nimechelewa nipewe likes jameni
@benroyl kazi nzuri sana
Mwaka wenu ampoi❤❤
Tupe ep ya 2
Soon
Hatari sana movie Kali mno
KAZI NZURI ILA Mim naombi wahini kutoa episode zinazofuata
🤩🤩🔥🔥🔥
Kali san
Dah! Jerry na shemeji yetu.....👋👋👋
HUU NI MOTO MWINGINEEEEEEE
tupo hapa
Ben royal mnawenxa wacha nixeme ukweli inabamba vixuri
Mxichelexhe pat 2❤😊😊
Nawatambua sana nikiwa kenya ila nawaombea mtumalizie episode msiachie njiani
Keep moving gang
OFFICIAL😂
Actually they are good actors
Msicheleweshe mwendelezo mazeeee
Chumaaaaaaaaaaa 🔥🔥🔥
Kumekucha hji ni nyingine tena bonge moja la kaz 🙌🔥🔥
Nimechelewa lakini si mbaya nimewahi.
Ila mwasomola unapiga mkono dunia nyingn,
All the ways from iringa nicholaus matelephone nawakilisha
Wa 15
🎉
Amani kwanini Amani!
Daaaaahh mmetisha wadau
Peter mwasomola 😂😂 moto sana jamaa unajua ww unakua serious na kazi yako hongera utafika mbali
oya hili dubwana linonekana litakua so fire💥 , kama epsod ya 1 tu ipo hvi mmmh na wishi mambo makubwa sana keep it up bro 👊, I appreciation Benroyal💪
Yuko pa moja
Good job,,from Kasulu to kigoma
Junior keep on it broh
kali sana, big up benroyal😊
Episode 2 when
Jerry ndani ya penzi zitoo kilo 150😅😅😅😅
Hamjawai kufeli❤❤ kazizenu
Viva team BPYou got amazing films💯💯
Kaz nzr watu wa mbeya!..
Ila sisi
Live live mbeya mojaaaa iyoooo
🇿🇼🇿🇼🇿🇼 Hatari sana
Kiukweli sijawahi jutia kuwajua hawa watu pongezi sana kwen
Good nice one job 🎉🎉🎉❤
💯💯💯 sana mchele Emma
Sijawahi comment toka nimeanza kuwafatili lakini leo acha niwape tu pongezi zenu...
Kazi zenu ni bomba kwa hakika najivunia kuwajua.

Viva team BP
You got amazing films💯💯
Kaz nzr watu wa mbeya!..
Ila sisi
Live live mbeya mojaaaa iyoooo
🇿🇼🇿🇼🇿🇼 Hatari sana
Kiukweli sijawahi jutia kuwajua hawa watu pongezi sana kwen
Good nice one job 🎉🎉🎉❤
💯💯💯 sana mchele Emma