Movie kali hongereni sema Mwamba umetisha san movie inaanz mpk inaisha hujabadilisha Cap 🧢 Chengine jaribuni kufany vitu kweny uhalisia siamini fight zote sijaona hata shati kuchanika wala kuchafuka Cha mwisho actors wavae uhalisia wao 🎉 Big up one step more
Yohana 14:5-6 Tomaso akamwambia, Bwana, hatujui uendako; na jinsi gani tunaweza kujua njia? Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi. Kwa yeyote anayefikiri kwamba Biblia haiwezi kuwa ya kweli na kwamba Yesu Kristo si Mungu. Sodoma na Gomora, kuvuka kwa Bahari Nyekundu na Safina ya Nuhu zote zimepatikana, mahali ambapo Biblia inasema ziko, na kila unabii uliowahi kuandikwa umetimia, kutia ndani sasa katika siku zetu. Ulimwengu wetu wote unategemea maisha ya Yesu Kristo, BC na AD, kwa sababu, kwa sababu Mungu alitoa ushuhuda wa yeye ni nani. Usiache zawadi ya bure ya uzima wa milele bila kumtafuta Mungu kwa moyo wako wote kwanza na kumuuliza ukweli ni upi, maana Yesu Kristo ndiye njia pekee ya kwenda mbinguni kama alivyotuambia, anakupenda sana na anataka ufanye hivyo. uwe na uzima wa milele. Mungu akubariki.❤🙏🕊
Bhana huyu jamaa alochukuliwa mtoto bado hawez kusimama kwenye uhalisia wake wa kuwa yeye ni staring na amechukuliwa mtoto wake na yule mwanamke anatoa nafas ya kupigwa sana kizembe
Maana sisi tunajifunza kitu na pia anatoa elimu kwa watu wenye tabia kama ya hao maadui zake lakin kawapata watu wake kiubabaishaj sana kama vile wanampa sehemu ya kupiga
Eti yeye anamshika kibi adui nyuma wakati yuko na kisu na huyoyo adui mikono yake iko huru ya kufanya chochote si alimchoma kisu cha paja hule uzembe kwanza
Movie kali hongereni sema Mwamba umetisha san movie inaanz mpk inaisha hujabadilisha Cap 🧢
Chengine jaribuni kufany vitu kweny uhalisia siamini fight zote sijaona hata shati kuchanika wala kuchafuka
Cha mwisho actors wavae uhalisia wao 🎉
Big up one step more
Nkuikubali
Waaah jmn,mumetisha ckwa action hio,mpk nahepa mm naona kama mateke namangumu yatanifikia, thnx I have enjoyed ur movie
Asantee mamaa tutazid kukufanya uenjoy
By padboy
Kaza Pambana. Bongo Movies to the World
Tamu sanaa nataka nyingine❤❤❤❤💯💯
Soon tunawaleteaa nyingine kalii zaid ya hii…. By padboy
Nasubilia kwa hamu sana
99 mabo
ety eheeeee
Iko pow brother nimeikubali sana💪💪💪💪💪
Congratulations guys so much love from kenya
Tunaoangalia na kuikubali move hii weka like yako tujuane 22. 11. 2022
Sawa
Oya mumetisha Sana movie kali sana
Kazi nzur nawapenda nyote
iko saw mmedisha sana💘
📢umupe yesu kristo maisha yako,muisho umefika Yesu ekonakuja,tutubu na tujitayarishe kumupokea matayo 24:42
Nimeipenda Sanaa na Sanaa 👍👍👍💯💯💯🔥🔥💪💪
Wow kaz nzuri sana hongera ❤❤❤
hi
Kali movie my brother
Movie iko vizuri tatzo rangi tu😢😢😢😢
Good job bro
Movie nzuri sana wadau 👌💪
Hiii chaneli nimeikubali
Wow unapendesa
no sio watu kochin sema vifa au vitendea kazi Tanzania hatuna waigizaj wanajitoa Sana tu sema wako vzr
Suzan anajua sana
Respect sana kaz nzur
Bongo kwa action sasa hivi tuko vizuri ubora umeongezeka
Imekaa poa😢😢😢
nice bro nakukubali kazi mzuri
Nani jina lake acter
Very fantastic.
Wowo❤❤❤❤hi movie 🎥🎥🎥 iko moto
Naitwa jastine or mdudu ,,,, Naweza action na najiamian ,,naweza kufight ,,,kuigiza pya hivyoo kama utamind nichek tutengeneze ktu ,,,napenda bongo movie broo,,,
Nice work
Broo umetisha san
Move siombaya ila watu wenyewe ndio bado wako chini hawana confidence
Ipo freshi barida kaka
noumaaaaa sanaaaaaa
Mwanzo Ili Movie Sijalipenda Ila Palipo anza Mkono Nimependa
Jamani mwendelezo 😋🤣🤣🤣🤣
Usjal jamilla soon tunawaleteaa muv kalii zaid ya hii
So nice😍❤️❤️
Ninaipenda sana
Movie nzuri,action nzuri ila camera jaribuni kuituliza ischeze saana ili tuone izo actions clearly,,,,,good job
Ipo fresh sana😂😂😂
Omulimu omulunge
Yeah move kali hila 2ongeze juudi zaidi hili 2fike mbali.
nice vtu vdogo san kulekbsh mtu anpgwa mpk kofia inavuk akisi mam ipo kchwan mtu
Tamu Sana nyingne
Mmetisha kwakweli😊😊😊
Yohana 14:5-6 Tomaso akamwambia, Bwana, hatujui uendako; na jinsi gani tunaweza kujua njia? Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
Kwa yeyote anayefikiri kwamba Biblia haiwezi kuwa ya kweli na kwamba Yesu Kristo si Mungu. Sodoma na Gomora, kuvuka kwa Bahari Nyekundu na Safina ya Nuhu zote zimepatikana, mahali ambapo Biblia inasema ziko, na kila unabii uliowahi kuandikwa umetimia, kutia ndani sasa katika siku zetu. Ulimwengu wetu wote unategemea maisha ya Yesu Kristo, BC na AD, kwa sababu, kwa sababu Mungu alitoa ushuhuda wa yeye ni nani. Usiache zawadi ya bure ya uzima wa milele bila kumtafuta Mungu kwa moyo wako wote kwanza na kumuuliza ukweli ni upi, maana Yesu Kristo ndiye njia pekee ya kwenda mbinguni kama alivyotuambia, anakupenda sana na anataka ufanye hivyo. uwe na uzima wa milele. Mungu akubariki.❤🙏🕊
Wewe unakiri boya umipoteya
Kali kwelii
Jamani muvie nzuli sana ila saut hampangilii jitahidin jaman saut iwe nzuli
Kunabaaz ya vipande havina saut kabisa
Ikon sawa
Mko vizur sana
Jama Wamanywele Anapiga Mkono Kama Kweli Vile
Shkran san kakaaa
Hahahah!!! Santeee sanaa aysee by padboy
Kumbe saivi bongo kuna movie kali hivi na hamsemi watu mnasiri
Bhana huyu jamaa alochukuliwa mtoto bado hawez kusimama kwenye uhalisia wake wa kuwa yeye ni staring na amechukuliwa mtoto wake na yule mwanamke anatoa nafas ya kupigwa sana kizembe
Sikubali Inawezekn vp mtu unamkimbiza half amekuacha unajuwa yuko sehem fulani
Kaz ya kiume
Mbele pamoja
Pata na klayke..smba htari amniq
🔥🔥
Asa mbn haumtafuti mtoto Kwanza alf nd uje kwa binti sikuelewen mtoto kafa au
Ntak part nyungind
nyie jama muko vizul
Mara msogelee, mara mng'ate
Nadhini Editer anatakiwa ajitahid kuwa makin
Hapo kwa mwalimu wamechemsha hawapo makini kabisa
Tutalifanyiaa kaziii hli swala
By padboy
Werr
Kelvin Joseph
ipo good
2:45
🥰
waah
Iko poa move
Hii kali kaka pull up
Sasa mtoto ulikyokuwa unatafuta yupo wap
Stearing uko fit
dhh
Omulimu omulunge
Omulimu omulunge
Omulimu omulunge
Omulimu omulunge
Omulimu omulunge
Huyu simba wenyew bado hajakamilika anatia huruma sana
Hawez kusimama kwenye uhalisia wake na jinsi alivyo mwili mzuri wa mazoez ila bado anakubali kupigwa hovyo hovyo kama yeye siyo staring wa mchezo
Ajikaze sana na afanye mazoez yakutosha halafu asitiye huruma wakati anapambania hak yake
Maana sisi tunajifunza kitu na pia anatoa elimu kwa watu wenye tabia kama ya hao maadui zake lakin kawapata watu wake kiubabaishaj sana kama vile wanampa sehemu ya kupiga
Eti yeye anamshika kibi adui nyuma wakati yuko na kisu na huyoyo adui mikono yake iko huru ya kufanya chochote si alimchoma kisu cha paja hule uzembe kwanza
Omulimu omulunge