NGUVU YA MANENO(MATAMKO) - JOHN SEMBATWA
Вставка
- Опубліковано 5 лют 2025
- Ibada iliyoongozwa na mtumishi wa Mungu Mchungaji John Sembatwa siku ya jumatano na kufundisha somo linalosema MANENO.
UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322
Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
Like our Facebook: / therealityof. .
Follow our Instagram: / realityofch. .
Subscribe our UA-cam: www.youtube.co....
Yaani Pastor nakuelewa sana. Mungu akupe maisha marefu na akuzidishie afya njema 🙏🏽
Mungu akuinue MTUMISHI wa Mungu huwa nabarikiwa sana akupandishe viwango vya juu sana nabarikiwa sana nimewahi kuteswa na maneno Leo umeniongezea kitu.
Barikiwaaaa sana
Amen
Nuru ya BWANA iwe juu ya maisha yangu siku.zote Jehovah
So powerful !