Kabla hii kashfa ya p, Diddy diamond alikuwa anataka sifa kwa watanzania kuwa yeye ndo msanii anayefahamika na p, Diddy na akaenda mpaka kwenye jumba lake lenye mafuta ya utelezi. Baada ya kashfa hiyo diamond kajificha hataki hata kuulizwa baada ya kwenda nini alifanyiwa
Nakuelewa Bro 🎉🎉🎉🎉
MM nakukubar sana mwamba
Kabla hii kashfa ya p, Diddy diamond alikuwa anataka sifa kwa watanzania kuwa yeye ndo msanii anayefahamika na p, Diddy na akaenda mpaka kwenye jumba lake lenye mafuta ya utelezi. Baada ya kashfa hiyo diamond kajificha hataki hata kuulizwa baada ya kwenda nini alifanyiwa
😂😂😂😂😂😂,alikuwa jumalokole wa diddy
Yanga na Diamond mbona hivifanani tusitafute mashuuzi ya lazima wakati mwingine.
Kafanywe na wewe kama unaona wivu 😂😂
Umetisha kaka 🎉🎉🎉
Justine endelea kuwauliza maswali hayo hayo
Azam anakutana na Simba akiwa amedondosha Jumla ya Alama 4 dhidi ya JKT na Pamba Jiji
Kes Azam kadrop point 4 kwa match 2
Uko vzuri bro
Hizo koment chafu ni shabiki wa simba hawapendi kuelezwa ukweli km timu lao bd bovu
Muzi siidi
National Al ahal 😅😅😅
Ligend nani?madunduka!?mtangazaji zuzunampumbavu!😢😅😊,wangapiwamepingwanyingiiiii
Mchambuzi mwenyew mapenzi
Huyu mwandishi hamnazo hana hata kumbukumbu
❤