Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Mungu awape maisha marefu na yenye amani na furaha siku zote yanga hoyeeeee💚💛💚💛
Watufurahishe na mashabiki zao au sio
Jana jamaa walikichafua sana isnta live ila chama alikuwa gumzo dah😅😅😅😅😅
Mikakati yao mi mizuri sana kwenye kuibrand team
Mashaallah inapendeza Alhamndulilah Allah awazidishie zaidi Inshaallah Thanks you
Bohat khoob Ruckia
Ndo maana ya kua Mwananchi ni furaha muda wote💚💛💚💛🙏🙏
Huku hakuna uzee na karaha
Jaman Aziz kiswahili kinampa shida mwalim wake nan kwan
Hahaha itakuwa Musonda nayeye hakijui
Hahahaaaaaa Azizi k Kawa msukuma gafla
Analazimisha watu kula hahaha
Najikuta natabasam jaman yanga❤❤
Alhamdulilah
Hata Mimi 😂😂
You had good time you guys. Yanga on 🔥 🔥🔥
Wapi like zako Anandezi
nachogundua aziz ki ni kaka wa watu wote hapo yanga 😂😂😂 anampenda kila mtu jamani
Ana upendo sana
Kumbe inster live inakuaga tam iv na hamsemi
Wachezaji wanaingia sana live kuungana na mashabiki zao hata baleke jana alikuwalive tik tok
It is so Good and Blessed 💪🌹💪
Kweli kabisa
Nimecheka sana chama jaman mpen hata juice huo mkate kha!😂😂😂
Alivyobinua tako umona hahah
YANGA BINGWA
Haipingwi bro
More love more happy 💚💚💛💛💛
Hongereni kwa umoja wenu na Mungu awalinde
Ila Caro hii ho gera nilijua unatazama magoli eti hahaha
Hii madrid
Kama yenyewe kabisa kaka
Haya MC Aziz K
Na kiswahili kakipiga
Azizi you very happy
He is indeed
Faid Musa yaana Azizi kiswahili chake ni shida
Anasikika akisema kula tu hahaha
Sijui nacheka nn mnanipaga Raha nyie😂
Cheka tu mwaya Leyla uongeze zako siku
Amin
Kweli Yanga sasa ni team kubwa
Makofi kwa Rais
Hatariii
Jamaa walieenjoy sana
Utadhani sio wale wanaokuwa kimya uwanjani
Kama aziz anakuwaga serious mpaka goli likipatikana
Thank u players you make happy
Waturudishie furaha tu kaka au unasemaje
Hongereni
Asante
Adiraha jamani wenzetu kule kununa tuu kufurahi aaaaaaaaa
Huenda mambo haya yapo pia ngoja tunyapie nyapie page zao tuone
@@fanityubukule hamna ni mpka siku mwenzao awe na bathday tena mara moja moja sana😅😅😅😅😅
Daima mbere Nynyuma mwiko 💚🖤💛😅
Kama kawaida
Safi sana
Kws kweli
waooooo so apyyy
Raha sana kuona wakifurahi hivi
Wapo vizur sanaaa
Sure kaka
Dah yanga raha sana
Kama ndugu yaani
Nc
Yn mpk raha wanapendana sn
Yanga nadhani ndio chachu ya ushindi wao
Mpo vizuri
Wanajitahidi sana
gamond usicheke nao sana ona mechi ya ngp sasa kagol kamoja tumezoea mechi moja magoli zaidi ya manne leo mechi 3 magoli 4 kweli ?
Yaani msimu huu team ishakuwa papatu papatu hii inaweza kushika nafasi ya pili
@@fanityubu kafie ukoloni uko
Wacfurahi jaman
Hadi raha jamani furaha pamoja
🔰🔰💛💛💚💚
Kijana na chano tu naaam
Safisana kamambele
Kama man city haha
Furaha pamoja tunaenjoy kwakweli ❤❤
Raha sana
Ki masta
Nani mwalimuw wake wa kiswahili pale Yanga
Oyeeeeeeee
Yanga Ina furaha makasiriko tunawaachia makolo kololoni
Limeisha hilo mzee
😂😂
Rhoda hapo umecheka kiswahili cha aziz
Saf sana
Sawa Mvende
❤❤❤❤
Lots of love Geradina
Good
Fresh
Yana furaha
Hahah wewe ndugu yako Fernandes mavambo?
2mewaachs mbali mno baba aymn apa
Aziz kumbe anaongea kiswahili
Mobeto kazi kaifanya@@fanityubu
😂😂😂😂😂
Umemcheka nani martha hahah
Umemcheka nani martha
@@fanityubu Nimecheka tu wanavyo mlisha chama mkate,na pia nimefurai nimejiona kwenye comments za live🤣🤣🤣
Alafu uyu Baleke nae aondoke tu amebaki na ukomedi tu kwenye timu mpila haaaah amekua kama skudu waungane na mwwzio musonda wapite iv
Hajapata game time kaka atakiwasha tu
Aondoke aende wapi wewe sasa ajipange kucheza au. Acha kuzarau wachezaji wewe
Kwan wao ndo wanajipa namba
Hamna lolote
Dah, watu wa bunju Mo arena nini shids
@@fanityubuwatoto wa mudy wana makasiriko sana😅😅😅😅