Kaka kazi zako zipo makini sana, hao wanaosema humalizi muvi washazoea episode 100 alaf hakuna ujumbe wa maana, mi nimeanza kukufatilia kitambo sana kka, you are doing the best , katika kila kazi kuna changamoto na ndo kama hivo kukutana na watu wasioelewa maana ya cintent ya filam, we piga kazi kaka tupo tunao kuelewa kindakindaki
Hhhe God bless you Adam...from Moçambique 🇲🇿 Deus abençoe, abençoe. aprendi muitas coisas...yani nasema mungu akubariki wewe pamoja na team yako mzima...napenda sana minha querida mãe...i love mamy. Kama umenielewa gonga like kwa Adam.....
Adam Nakupenda buree movie zako ni hatarii haujawahi kosea alafu tunaomba uturudishie amanda jamani yule dada kiboko kama kweli kwenye sita kwa sita yuko vile bc nomaa sanaaa 🙈ila adam we nomaaa sanaaa
ADAM MAKANDE....Una story nzuri nzur xna kaka...kuna kitu cha kujifunza ukiangalia lazma utoke na kitu.....sio lazma uwe boss ndio utowe msada.....hicho hicho kidgo kitu...kinaweza badilisha mfumo wa maisha yake au yao😢😢...movie ilivyo anza nmesikitika xna ....amtowa mama alale na waume...juu wapate masilahi ya kuishi..😢😢
Subhana Allah 😢mama akalale cooni duuu iyi kali ya mwaka atakama wendo musada kwa mm yako sikwa kumlaza cooni mama kweli he mi sipati pica kabisa Mungu nili'diye mm yangu nauninusuru nisije nikamunyanyase mama yangu nampenda sana ❤asante Adam kwa mafunzo mazuri🎉🎉🎉yako ayo
NINAVYOMUPENDA MAMA YANGU ZAIDI YA NINA VYO JIPENDA ATI NIMULAZE INJE KHA NINA WAZIMU WEW UNAONAJ UKALAL CHOONI NAAO MABWANA ZAKO UNA LAANA NAPEND ❤MOVIE ZAKO ADAM FROM BURUNDI
Kama una mamaako mzazi yupo hai hata kama chizi muheshimu sana mpende sana mamaako kunanyakati ngumu sana tunapitia ambao hatuna mama msiwatese msiwatenge msiwanyanyase uza hata maandazi umlee vizuri kukosa wazazi kitu kibaya sana nalia sana leo sijui kwa nini naangalia hii move moyo umeuma mno
Huyu dada muuza baa kanichekesh kwel et pesa yako tu nilidhan malaki kumbe kitita cha ef 8😂😂😂😂 Ila kitendo anachokfanyia mama ake daah😢😢 akalale choon kimeniuma tu yeye anatamka kawaida tu
Kaka kazi zako zipo makini sana, hao wanaosema humalizi muvi washazoea episode 100 alaf hakuna ujumbe wa maana, mi nimeanza kukufatilia kitambo sana kka, you are doing the best , katika kila kazi kuna changamoto na ndo kama hivo kukutana na watu wasioelewa maana ya cintent ya filam, we piga kazi kaka tupo tunao kuelewa kindakindaki
Asante sana kwa kufahamu hilo🙏
Mbona hampedi movie za Adams na vile zinakuanga on top..Kama unamkumbali Adam goga like hapa.
Kutoka kenya
Hamalizi movie zake anaishia njiani
Shukrani
Una uhakika Ester?
Anamalizaga sasa kama ni fuull move unataka aimalizeje mbona hatuna jema jamani😂@@esterkimalio8846
tunazipenda sana..from kenya too
Adam nazipenda movie zako kaka wa watu unamafunzo wewe mungu aimbariki kazi ya mikono yako.
Amen
We bibi Mungu kakunyima macho kakupa mdomo !
Yaani😂😂😂
We bibi huogopi umenyimwa macho lakini kuongea balaa,we huogopi!😅😅😅
Daaah😂😂😂mbn ana roho mbaya hivi mama nura noma san aisei any way hongeren team Adam ❤❤❤❤
Asante
Sasa muuza bar na bar med inatofaut gan hahahahahaah yan yale yale had uigizaj huo huo kweli umefulia wew wache kina vevo wapge kaz
Uzuri hunipendi huku unaendelea kunitazama hilo ndiyo jambo jema kwangu! Nashukuru kwa kuendelea kufuatilia🙏
😂😂😂 @@AdamLeoStudios
Adam leo ndo Malaya kwanza kuona movie zako nipo Kigali Rwanda tuandalieni vitu vitamu hongela sana brother
Duuh
Adam Leo unaweza Yani ukona mafundishomazuri💯👍
Asante
Daaah adam nakukubali snaa broo nachopendaga unabandika unaepua unabandika chakula kipya nzuri zaid napenda kaz zako saanaa Mungu akupe nguvu zaid uendelee kutupa mambo moto motoo
Shukrani sana sana!
Hhhe God bless you Adam...from Moçambique 🇲🇿 Deus abençoe, abençoe. aprendi muitas coisas...yani nasema mungu akubariki wewe pamoja na team yako mzima...napenda sana minha querida mãe...i love mamy. Kama umenielewa gonga like kwa Adam.....
Thanks
Bi kenzo kashaanza jmn sema namkubali sana mama angu nilishuti naye nilikuwa naenjoy naye sana kubato naye😂❤
Aya dada asante!!!
From Germany watching ❤
Enjoy!
Adam Nakupenda buree movie zako ni hatarii haujawahi kosea alafu tunaomba uturudishie amanda jamani yule dada kiboko kama kweli kwenye sita kwa sita yuko vile bc nomaa sanaaa 🙈ila adam we nomaaa sanaaa
Jamani haya asante
@@AdamLeoStudios thanks Adam napenda msanii anayejibu comment za mashabiki big up sanaaa 😘
Daaa imeniuma mam kulal nje kiukweli sijapenda maan wengine hatuna mam tunatamn kupata mama nimelia cn kiukweli kazi zuri
Pole sana na asante sana🙏
Tatizo ana tamaa sasa anajinunisha Nini tusubir muendelezo tu lakin Bora arud alale choon😂
Mama Nona anachangamoto sana sijui kipi kinamfanya amchukie mama Adam
Sielewi kwakweli
Ningeshanga brother Adam
Usitaje makande
❤
Labda siyo mimi😂😂
Mungu akupe moyo wa ujasiri kaka Adam uendelee kutuletea movies nzuri zenye mafunzo❤❤❤
Shukrani
Dah😢
Nimeshindwa kuangalia.jamani mama alale nje.dah😢😢😢😢😢
Shukrani sana
ADAM MAKANDE....Una story nzuri nzur xna kaka...kuna kitu cha kujifunza ukiangalia lazma utoke na kitu.....sio lazma uwe boss ndio utowe msada.....hicho hicho kidgo kitu...kinaweza badilisha mfumo wa maisha yake au yao😢😢...movie ilivyo anza nmesikitika xna ....amtowa mama alale na waume...juu wapate masilahi ya kuishi..😢😢
Shukrani sana sana
Yaan Adam huwa unanifrahisha jaman yaan nikiangalia move zako hadi rah good job kaka mungu aendelee kukuinua zaidi
Amen
Adamuuuuuu kapotea sana lkni karudi na movie tam sana❤❤❤❤❤ila huyu dem ananibooo sana ju ya mamake akhi😢😢
Umeona eh
Halafu uyo mama kipofu anaonekana nimuhaya jmn❤
Yah muhaya
😂😂😂❤❤❤❤kazi nzuri sana kaka Adam,,ila unapenda makande ww😅😅😅
Mnoo😂😂
Ukweli hii imefanya nimelia sana jinsi Binti anavo mfanyia mama ake eti kisa kujiuza na masimango juu hii umenishika pabaya mwenzio adam❤❤
Pole sana
🎉🎉🎉🎉🎉mauwa yako Mr Adam ❤❤❤❤❤
Shukrani
Dadawewe untunapenda sana movie zaadamu sana two
Shukrani
Choon kulalaa 😢😢😢we dada wee laana kabisaa
Yaani acha tu😭
More love kaka etuu kwa movie zako kaka mauwa yako 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Shukrani
Nakupenda sana Adam
Asante sana
Oya Adam ee ii muvi imeniumiza sana Dah imenigusa sana😢😢
Pole
@@AdamLeoStudios aaa ahsante sana
Adam movies zake zote anapenda makande au ni mpare
Hapana jamani mie sio mpare
Subhana Allah 😢mama akalale cooni duuu iyi kali ya mwaka atakama wendo musada kwa mm yako sikwa kumlaza cooni mama kweli he mi sipati pica kabisa Mungu nili'diye mm yangu nauninusuru nisije nikamunyanyase mama yangu nampenda sana ❤asante Adam kwa mafunzo mazuri🎉🎉🎉yako ayo
Shukrani sana sana
Afwani@@AdamLeoStudios
Kazi nduri saana kweli ❤
Asante
Dah!! hiyo micjapenda waweza xema kama cyo igizo
Ndiyo hivyo
Adamu utawaua wenzio kwa makande.. 😅
Endekea ku enjoy
Asante Kwa mafunzo Adam MUNGU azidi kukutunza 🙏 love you so much ❤️
Me too
Adam unapenda makande sanae.
Ndiyooo
Eee jamani we dada shika adabu yako utamwaambiaje mamako alale chooni kisa mwanaume🥲😗🥺🥺pole sana mama ila ndo dunia🎉🎉❤❤
Ovyo kabisa yule binti😏
Kazi nzuri sana yenye mafunzo Adam
Shukrani sana sana
hello! nakufuatilia adam
Asante sana
Watu Wana mioyo mama Ako mzazi analala nje we unalala ndan Tena na mwanaume hivi Kuna watu wa namna hiyo mm mpka mwili umesisimka uwiii
Wapo aisee
😢😢😢 mama yangu mm apana chezea c fanyi ujinga huooo kwann asitafte gest
Umeona eh
Big up Adam 💪🙏🎉🎉🎉🎉🎉
Thanks
Kaziiii ipooo😂😂😂
Mnoo
Adam achana na huo ushauri wa rafiki yako zaidia tu bro mungu atakulipa..ila huyo dem ajielewi ety mama alae inje kisa maume sijapenda mm😢😢
Kabisa aisee
Kazi nzuri ongera 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤
Shukrani
Uyu dada hakili hana kabisa imeniuma et
Pole sana
Kazi mazuri Adam🎉🎉🎉
Shukrani
NINAVYOMUPENDA MAMA YANGU ZAIDI YA NINA VYO JIPENDA ATI NIMULAZE INJE KHA NINA WAZIMU WEW UNAONAJ UKALAL CHOONI NAAO MABWANA ZAKO UNA LAANA NAPEND ❤MOVIE ZAKO ADAM FROM BURUNDI
Shukrani
Kanzi nzuli brother ❤❤❤❤❤
Thanks
Nimelia sana kuona mama analala nje
Inauma
Tuko ndani kwampigo kaka chukua mauwa yako kwa kazi nzuri❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉sana
Asante
Hi!!!!!!,, bib mhaya kumbee,,, et nnn😅😅😅😅
Hahaha umeona
😂😂😂😂😂nimecheka mam a alisema sawa nitalala chooni 😂😂😂😂aaah weeee
Yaani
Ila adamu mashaalahaa hongera Sana
Asante sana
Bora wanitoe figo kuliko kumlaza Mama yang nje
Jamani kwelii
Baamid ulienda wapi yule dada alikuwa sawa sana
Iliisha
Hongera na asante kwa kutuletea movie mpya ❤❤❤❤🎉🎉
Asante
🎉🎉🎉❤❤I like it
Thanks
nampenda sana mama yangu jamani, bora nikalime nimlee mama yangu kwani shingapi
Umeona eh
Well done ❤❤
Thanks
Uyu bi mkubwa sio mtu mzuri tunaomba muendelezo
Sawaaa
Adam, nimefuatilia tamthilia zako kwa mda sasa, i have to give you a project uifanyie kazi, kama hutojali, kutoka kenya.
+255652393960 whatsapp me Bro.
Adam makande kweli ❤️
Nomaa
Mungu akubariki milele.
Amen
Uyu mama anatiq huruma jmn aisee😢😢
Umeona eh
Adam kuwanamoyo huwohuwo kula mauwa yako 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Shukrani
Huyu mtoto wakike Anarana Mama tena muremavu wamacho jameni Ewe morawangu murehemu Mama yangukipezi
Amendoka Birakuwonahaya kwawanaye 😢😢😢
Pole sana
We jamaa kwann humaliziagi movie ile ya Baamedi uliishia njiani, unatuvunja moyo wa kuangalia movie zako
Hamalizag move zake sijui anashidagan
Pesa kaka
@@AdamLeoStudios sasa km shida pesa mbona unatoa nyingine......... To be honest unajiharibia solo kaka
Unajiharibia soko
@@AdamLeoStudios pesa alafu unatoa zingine duh😅😂
Move zake tunazipend na kunamkubal San sem anazingua kutoa nus nus hamalizii Kwann aisee
Jamani zaidi ya BAAMEDI ni ipi nyingine
Adam kazi nzuri sana 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤tunakupenda kaka
Asante sana
Huyu Adamu ni mpare maana sio kwa kupenda huko makande ndugu 😂😂😂😂
Hahahah jamani
Hongera adam
Asante
One of the biggest problem wanawake wako nalo ukiwapa msaada kama huwa wanadhani unataka ngono of which siyo kila mwanaume ako hivyo.
Ni sahihi kabisa
Da et bado nipo hapa
Hahah yaani
ata maisha yawe magumu vip siwez mfanyia ivo mama angu uku ulipo mungu akupunguzie adhabu ya kaburi
Umeonaeh
Nice
Asante sana
Adam naomba niigize na wewe hata movie moja tu
Karibu
Duu sio poa ivi ayo maisha yapo kweli😢 mmh
Yapo aisee😭
Move zako zina mafunzo hongera
Asante
Baba ndo mwanaume wa kwanza kupenda makande yeye na makande wapo hivi 🤞
Damdam😂😂
Hata hii ya kimada ilitakiwa iwe na mwisho mzuri
Sawa sawa
Mama anatamaa huyu bora arudi alale chooni😂
Jamanii🤣🤣🤣
Huyu mama ndio maana kapewa upofu
Yeah c mzr ata kidogo ana roho mby
Jamanii🤣
Tuko ndaani ❤❤❤toka 254
Shukrani
Adam km adam kazi nzuri sn ❤
Shukrani mno
Hii movie imeniumiza sana
Pole jmn
Mbavu zangu mm 😂😂😂😂
Enjoyy
Adam ana pebda madress ❤❤lazima upate huduma kaka
Au cyoooo
Jamani mamako alale chooni 😢😢😢
Duuh😢😢😢
Yaani😭
Jamani atakama nimove hii hapana uyu mamaa jamani Adam me move zaivi sipendi uyu mama anatia uluma jaman😢
Yaani sana😭
@@AdamLeoStudios mmmh aya bhn sema inafundisha sna
Broo inaonekana unapend makande snaa et😂😂😂😂😂😂😂🎉
Hahahaha
Adam yule Amanda yuko wap tumemssss
Atarudi tu
Ssa mama Nona mbn ushaanza ubaya wakati hata huoni kwelii kumkaribisha mgeni nikujitongea
Kabisa kabisa
Bane Adam Na makande😂😂😂😊
Naam
Kama una mamaako mzazi yupo hai hata kama chizi muheshimu sana mpende sana mamaako kunanyakati ngumu sana tunapitia ambao hatuna mama msiwatese msiwatenge msiwanyanyase uza hata maandazi umlee vizuri kukosa wazazi kitu kibaya sana nalia sana leo sijui kwa nini naangalia hii move moyo umeuma mno
Pole
Huyu dada muuza baa kanichekesh kwel et pesa yako tu nilidhan malaki kumbe kitita cha ef 8😂😂😂😂
Ila kitendo anachokfanyia mama ake daah😢😢 akalale choon kimeniuma tu yeye anatamka kawaida tu
Yaani acha tu
Ata kama ma yangu Ni kipofu siwezi kumfanyia hivyo
Umeona eh
Adamu maliza move bna
Mbona ishaisha hii
Ivi kuna watu wanapitia maish km ayo Kwa wazaz wao😢
Sidhani kwakweki Kama mtu ana ujinga wake afanyie hukoo siyo mbele ya mama hata siku moja
Wapo