JPM: "Mizengo Pinda hazungumzi chochote, hapigi kelele yoyote"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 55

  • @nancymrs359
    @nancymrs359 6 років тому +1

    Asante mheshimiwa Raisi JP Magufuli. Mola yu nawe.

  • @josephstephen2047
    @josephstephen2047 6 років тому +2

    Mzee Pinda you're too special hahahaha Magu kajifunze tu kiinglish maana ni tatizo kubwa kwako

  • @ramadhanmahongole5663
    @ramadhanmahongole5663 2 роки тому +1

    Mzee huyu alikuwa hapendi watu waongee na kukosoa serikali yake alitaka watu wakae kimya hata kama kuna mambo yanaenda hovyo kwenye serikali bado watu walilazimishwa wasijadili. mtu aliyejitaidi kukosoa alichukuliwa hatua kali na kuonekana kama siyo mzarendo ni msaliti wa nchi. kila siku kwenye vituo vya television, radio,magazeti na media zote alisikika yeye tu

  • @pambanomwadia4946
    @pambanomwadia4946 6 років тому +1

    apige kelele gani xaxa yeye anamaisha mazuri cc walalahoi ndo tunaeteseka

  • @mohamed.hassani9917
    @mohamed.hassani9917 6 років тому +9

    aaah mzee tuache ,sasa watu wote wakae bubu hata kama kuna jambo linakera!!! mficha uchi hazai"

  • @shafiiislamttv251
    @shafiiislamttv251 6 років тому +1

    Dah TZ tulibet vibaya sana

  • @emanueljoshua925
    @emanueljoshua925 6 років тому

    Kweli kabisa

  • @professorjoma2364
    @professorjoma2364 6 років тому +1

    Akuprleke kwa mganga ili akazuie damu za watu zisikufwate maana hutalala nini kimemshinda alikokua mamamee

  • @raphaelkyando7543
    @raphaelkyando7543 6 років тому +1

    haya ndio unayo yapenda watu wakae kimya hata kama kuna mabaya wakae kimya tu

  • @allanishabakaki3638
    @allanishabakaki3638 6 років тому +1

    nazungumza sincerely

  • @rashidkassim7836
    @rashidkassim7836 6 років тому

    Hapo kwa kuonekana kijana Mzee baba pinda mh

  • @kinjekitilemsulubiwa1493
    @kinjekitilemsulubiwa1493 6 років тому

    Duuuuuuh sababu hakemei ujinga unaoendelea,wa kustaafu yupi na amwachie nani kiti

  • @khalidunited5978
    @khalidunited5978 6 років тому +4

    kwahiyo kama yeye hasemi nawengine wasiseme kwani wenani lazima wa2 tuseme utake usitake

  • @kidubwashaone6092
    @kidubwashaone6092 6 років тому +5

    Atakupa nani kozi mtu mpenda kusifiwa.

    • @tendwajohn7785
      @tendwajohn7785 6 років тому

      Frank Mushi hapo ipo kazi kwahyo wastaafu wasiongee kitu

  • @richardsimpasa1451
    @richardsimpasa1451 6 років тому +2

    TANGU LINI MSUKULE UKAONGEA! MSUKULE UNAONGEAGA NENO MOJA TU.....
    "WAPIGWE TU HAO" au mtapigwa tu!
    Watu wanapotezwa, wanakufa, wanapigwa risasi hadharani na wasiojurikana, maiti kwenye viriba, wizi wa Trilioni 1.5, maisha magumu, watu kufukuzwa kazi kiholela na mengine mengi ya kusikitisha, halafu unataka watu wakae kimya.
    Nyambafu zako!

  • @njaunestory761
    @njaunestory761 6 років тому

    Unacheekesh kweli kwahiyo hupendi tuongeeee

  • @elinikomniko4411
    @elinikomniko4411 6 років тому

    Eti haongei chochote, mbona tunajua ndvyo mnavyotaka

  • @msafirimwampamba4698
    @msafirimwampamba4698 6 років тому

    Mungu akuongezee afya Rais wetu

  • @ndarogamba191
    @ndarogamba191 6 років тому +5

    Bora nimkumbuke Pinda lakini siyo wewe!.

  • @khamisilukasi7627
    @khamisilukasi7627 6 років тому

    uyu mzee atuwezi kumkumbuka kwawema mana alisema wapigwe tu kisa kudai akiyao

  • @allymasenti7974
    @allymasenti7974 6 років тому

    Nyie ni wauaji

  • @coachtemba6002
    @coachtemba6002 6 років тому

    Ni vema kutambua ukimya ni hulka na pia kuongea ni hulka. Pindi mwenye hulka ya kunyamaza akaongea kuna mawili. Mosi, akapata kusikilizwa sana kwasababu si kawaida yake na pili, akaonekana anaropokwa. Vivyo hivyo kwa mtu mwenye hulka ya kusema, anaweza onekana ni kawaida yake na anapoamua kunyamaza atapata 'attention' kwamba nini kimemsibu bwana huyu.
    Hivyo basi, kama kuna wako wa kimya basi tuwatambue na wanaosema maana wote wanamichango muhimu, ila kutatokea ihtilafu kama woote watalazimishwa kuwa wakimya(mkimya+msemaji) au kinyume chake. Natukubali kuwa ni suala la Asili kuwa na pande mbili tofauti zenye mvutano na hii ndio maana alisi ya Muungano 'Unity' na msamiati kuvumiliana ndipo ukazaliwa.
    Na yeyote mwenye kulitambua hilo, basi anajitengenezea njia ya kukua kifikra, hisia na kwa utu wake kwa ujumla (maendeleo yanazaliwa ). Kinyume na hapo, ni mfarakano na kutokuvumiliana na mwisho wa siku hakuna atakaeshinda bali ni muanguko kwa wote.
    Hivyo basi ushauri wangu kwako mtukufu Raisi, tambua mchango wa wanaosema na kufikiri tofauti na wewe.

  • @momembe9980
    @momembe9980 6 років тому

    Hasa mizengo pinda mtu ? Hata akiongea atasilikizwa nani

  • @dicksonisakwe3063
    @dicksonisakwe3063 6 років тому

    Sa kuful nalo linaongeaga? Hata likchokonolewa, linatulia tu

  • @gbconline2006
    @gbconline2006 6 років тому

    Magu🙏

  • @michaelsayote5451
    @michaelsayote5451 6 років тому

    ha ha haaa patamu hapo

  • @afmabeat9567
    @afmabeat9567 6 років тому

    Hana cha kusema

  • @saidsaid9463
    @saidsaid9463 6 років тому

    Safi mh magufuli

    • @hekimaelia3783
      @hekimaelia3783 6 років тому

      Acheni kulaumu na kushutumu walaumuni baba zenu na mama zenu ambao awkuwawekea mpango mzuri Wa maisha. Acheni kumtukana kiogozi wetu. Mnalaana nyinyi nyote mnaomtukana kiongozi wanchi na laana hii itawatesa nyinyi na familia zenu na vizazi vyenu kama mmetumwa kutoka kuzimu imekula kwenu
      Sisi wetu tunampenda Bali nyinyi mnaombeza na kumkashifu mnalaana ya MUNGU inawala.

    • @saidsaid9463
      @saidsaid9463 6 років тому

      Hekima Elia kabisa maneno kuntu kila siku wanalalamikia serikali wapambane na hali zao

  • @papafikiri
    @papafikiri 6 років тому

    Ukifanya fujo....umeambiwa usifanye hivi weae ukakaidi....utapigwa tu

  • @mohamedisarafi2025
    @mohamedisarafi2025 6 років тому

    Unataka aseme hili humfirisi kama sumaye

  • @erentjohn1303
    @erentjohn1303 6 років тому +3

    NI KWELI MKUU, SASA UNAMUENZI VIPI HUKU KATAVI TUNASOTA, BARABARA ZA MITAA ZINATIA HURUMA, ZA MIKOWA USISEME .

  • @professorjoma2364
    @professorjoma2364 6 років тому +1

    Tumkumbuke kwa lipi hana akili bora tena ww licha hatukutaki

  • @utaani1
    @utaani1 6 років тому +5

    Wauwaji wahalifu wanapongezana

  • @Hauleshabby
    @Hauleshabby 6 років тому

    nenda huko

  • @hanifarukman9661
    @hanifarukman9661 6 років тому +1

    ujaachaga utoto tu

    • @joshuamgeni
      @joshuamgeni 6 років тому

      Hanifa Rukman 😀😀😀😀...Dah umenichekesha sana

  • @psterinishayo4270
    @psterinishayo4270 6 років тому

    Mzeee wa piga tuuuuuuu

  • @ramambongo4069
    @ramambongo4069 6 років тому +1

    Mohamed hassan safari hii mficha uchi atazaa tu

  • @Madanstars
    @Madanstars 6 років тому

    hats Mimi kama pinda au punda

  • @imamboya9414
    @imamboya9414 6 років тому

    piga tu

  • @abssaleh141
    @abssaleh141 6 років тому +2

    Mzee neng'enekaa weeee lakini kesho kutwa lazima ujue kama watanzania sio wajinga au waoga kama unavyofikiria na wana uchungu na nchi yao

    • @estaradam4993
      @estaradam4993 6 років тому

      Abs Saleh andamana uone moto si umeshavimbiwa makande

    • @abssaleh141
      @abssaleh141 6 років тому

      Estar Adam inawezekana nimevimbiwa makande na nyie mnao taka kuzua haki ya kikatiba mumevimbiwa hela za wananchi

    • @mayalajames5541
      @mayalajames5541 6 років тому

      Abs Saleh Ha ha haaaa, hakuna maandamano bro

    • @abssaleh141
      @abssaleh141 6 років тому

      Mayala James hahaha bro rais mwenyewe anajua kama kuna maandamano.

    • @abssaleh141
      @abssaleh141 6 років тому

      Mayala James nimeamini maneno yako

  • @ezekielfunuki6402
    @ezekielfunuki6402 6 років тому

    Hongera mh. Pinda