Engineering President 🏅🙏 when I listened to opposition parties policies in the year 2015 during campaign I knew it was difficult to implement but now my eyes is big as his excellence Magufuli doing things with no delay and by Tanzanian taxes, this is wonderful God bless you Mr President my vote u had already got 🏅🙏💥
magu ni mwalimu professionally kaka.sio engineer. Ndio maana anatumia taaluma ya ualimu za masomo ya philosophy & psychology, experience ya kazi na competence kuwaambua watu.
Kwann rais magufuli usiongoze mwisho wa uhai wako na igewezekana ukawa rais wa duniya ukawaongoza mpka wazungu kule yani daah nahuku kwetu zanzibar tngelimpata rais kama ww tungelfurahi sana mungu akuweke 😍😍😍😍😍😍
Hata kwa nguvu, utake usitake, ata kama viboko utachapwa. LAZIMA UONGOZE MPAKA UFIE MADARAKAN NDO TUMUCHAGUE RAIS MWINGINE. hatuwezi kukubali ujinga wa kukuachia tu kizembe na kipumbavu eti utoke 2025. NOOOOOO,ww ni wetu ck zote
Meanwhile, the Kenyan President and Governors and the Vice President pride themselves in officiating the opening of toilets and mud classrooms for billions of KSH. I pray to God our nation gets a Magufuli also.
@@saidnassoro9562 sikiliza thamani ya jengo,, , fanya tathmini ya jengo, , na tathmini ya furniture, bado upigaji upo kama tathmini ya pili italetwa utajionea
Hongera mheshimiwa rais bado watendaji wako hawajatafasiri neno hapa kazi warudi darasani awatafasirie msamiati ili wasizidi kukoroga wanajiondolea heshima utumishi bora haiwezikani watu wazima na elimu zenu mkawa mnakaripiwa kila wakati razima nanyi musome nyakati hii nifedheha kubwa kutozingatia dhamana mliyopewa nakiongozi mkuu wa nchi jamaani mbele ya hadhala hua mnajisikiaje...?
Natamani Baba yangu na Mwalimu Nyerere wangekuwepo wakakushudia. Mungu akupe Nguvu zaidi. Pia naendelea kutangaz nchi yangu hapa Nchini Ubeligiji watalii waje na wanasema kuja Tanzania kabisa maana imekuwa mfano. Raisi umenigusa moyo wangu hakika Mungu akubariki. Akulinde uendelee ivyo. Unanifundisha kazi bila kuwa kazini unanifundisha Experiences bil kuwa kazini mpaka CV yangu naandika kuwa nilisikiliza speech zako na kuona kazi zako ivyo na mimi naweza kufanya kazi @millard Keep showing him to the people.
Baba Magufuli, mbona macho mekundu hivi? hakikisha unapata usingizi wakutosha baba yetu maana hizi kazi zisijekukuchosha sana ukaanguka...uso umejaa alafu macho kidogo mekundu alafu nguzi kama imekuwa wekundu flani..jemedari wetu jmni anachoka sana,,halali..eh Mungu wetu Tunakushukuru kwa yote unyotufanyizia pia tunaomba Uwakumbuke viongozi wetu nakuwalinda Amen
Mkenya na napenda Jpm...but sincerely speaking that house could cost that amount. It has a nice finishing plus we don't know the quantity of interior. It's unfair to do such kind of evaluation without considering the quantity of interior finishing
Hahahaha’ mtu anajua samaki wangapi wamo ziwa victoria ‘ Na samaki waliozaa na wenye mimba ‘ utakuja kumdanganya kizembe ‘ ..! Hesabu za nyumba huwa zinajionyesha zenyewe ‘ kuweni makini na Mh Rais ‘ msimdanganye mtaondoka...!
This guy he didn't skip classes, hakufanyiwa mitihani huyo, wala hakufanyiwa assignments, leo kuna vibonde wengi wana degrees za kudanganya, aibu kabisa
Hotuba za rais Magufuli zinafariji ,zinanifanya niipende nchi yangu Sana ,Asante Mungu kwa kumleta huyu mtu.
Daah! He is no more😭😭 I can't measure the pain am feeling!! This was only president I admired in Africa!!!
Mimi hata kama umekufa naangalia video zako nakupenda rais wangu na mungu anajua nakupenda sana.
Yn mm siachagi kuangalia
Hata Mimi Rafiki yangu kati hotuba zake ninazozipitia sana
Engineering President 🏅🙏 when I listened to opposition parties policies in the year 2015 during campaign I knew it was difficult to implement but now my eyes is big as his excellence Magufuli doing things with no delay and by Tanzanian taxes, this is wonderful God bless you Mr President my vote u had already got 🏅🙏💥
My almighty God bless you Mr President Magufuli
magu ni mwalimu professionally kaka.sio engineer. Ndio maana anatumia taaluma ya ualimu za masomo ya philosophy & psychology, experience ya kazi na competence kuwaambua watu.
Baba Magufuli ungekuwapo tangu 1961 ungekuta Tz Kama ulaya.
Magufuri mimi nakupenda sana unanikosha sana na maneno yako ya ujasiri hakika huogopi mtu kabisa. Mungu akupe maisha marefu ktk utumishi wako.
Wataelewa tu baba Magu. Mungu akuweke baba angu
Haukusema Mungu amuweke wapi...😜😜😜
Nampenda rais maguful atar japo nachukia neno ccm ila me magu namchagua tena kutoka moyon we love you dady
Very proud being with such kind of president magu ur no1 in this world 🇹🇿🇹🇿
Ndiyo rais pendwa dunia nzima MAGUFULI wetu MUNGU ajuzidishie
Amiin
@@sophiakatogoro2234 ap
Munguakuzidishie maisha marefu rais Magufuli
Watendaji mnamchosha rais wetu alishakuwa waziri Wa ujenzi. Hadanganywi
TUNAOMBA MUNGU KATBA IBADILISHWE HUYU RAIS MUNGU NDIO KATUTUNUKU AFIE MADALAKANI MAGUFULI OYEEEEÉÉEEÉEEEEEEEÉEEEEE
Yes
Masikin pole ndg yangu na kafariki ajamaliza MUDA wake nimeumia Sana nimelia sanaaa kumpoteza baba yetu😭😭😭
@@glorykarim1570 may his soul rest in peace 😪😪
😪😪 R.I.P bulldozer
Rais upo vizuri 👍 simple mathematics hakika 🙆🏽♀️
Mungu akulinde sana Rais wetu yaani najivunia Rais wetu
Magufulification Mathematics calculated
It means (ma ma can).
Ma ma ca
President teaching the engineer to do their BOQ...hehe...jamaani.
JPM is my hero. Hats off. RIP
Nothing to add I would like to say RIP magufuli
Huyu mzee hatari! 28 Oktoba 2020 ☑️☑️☑️☑️☑️☑️☑️☑️☑️☑️☑️☑️☑️☑️☑️☑️100%
Kura yangu umeipata baba una hofu ya Mungu baba hamna ukibaka hapa safiii Magufuli wangu
Rais wetu ALLAH akulinde miaka 2000
Yupo makini sana mungu ametupa rais
Acha tu jamani natamani aongoze milele
Kabisa
Jamani uyo aibiwi mnajizaliliisha buree na kujiweka kwenye wakati mgumu
Yani watumishi wa umma sijui wana matatizo gani yani wao wizi tu ndio wana jua wao wakifukuzwa kazi wana lalamika
True
Wakifukuzwa wanaanza kulalamika Rais dikteta hana Democrasia mwee
Mweeee hivi unaiba pesa za Magufuli unataka nn wewe kama siyo kuumbuka 😂😂😂😂
Baba magufuli msema kweli mpenzi wa Mungu nakupenda baba magu oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Ghai 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪tutapate wapi kaa magu jamani tz Kyra kwa magu magu magufuli
Hata huku🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮tunatamani kuwa na raisi kama magu
Kwann rais magufuli usiongoze mwisho wa uhai wako na igewezekana ukawa rais wa duniya ukawaongoza mpka wazungu kule yani daah nahuku kwetu zanzibar tngelimpata rais kama ww tungelfurahi sana mungu akuweke 😍😍😍😍😍😍
Hata kwa nguvu, utake usitake, ata kama viboko utachapwa.
LAZIMA UONGOZE MPAKA UFIE MADARAKAN NDO TUMUCHAGUE RAIS MWINGINE. hatuwezi kukubali ujinga wa kukuachia tu kizembe na kipumbavu eti utoke 2025. NOOOOOO,ww ni wetu ck zote
Nakupenda mpaka naumwa tata mag u😍😝
Asante Yesu, hakuna Raisi kama Magufuli duniani!
Mheshimiwa wewe ni nomaa sana..!! Hakika nakupa pongezi jinsi unavyo dhibiti mambo ambayo yalidhindikana
Hii Tanzania yetu sio ya awamu zilizo pita hakika tunae jemedari JPM 🙏🙏
Eti munataka nikaongelee wapi oficeni😁😁😁
Aisee kweli hiki ni chuma! Mnh?? Ningekuwa najua hesabu kamahuyu jamaa??
daah kweli hili ni jembe , sijapata ona rais km huyu africa,
We lost 😭
Raisi pendwa, na kupenda Rais wangu, Mungu azidi kukulinda
asee big up....takukuru ng'ata "nimeipenda sana"
Mpe hii kazi Mh Agrey Mwanry akusaidie anaweza sana hakika hatutaibiwa tena.
Jamaa Nmeanza kumuelewa vyemaaaa ..... Sikupanga kupga kula lakini Ntakupgia Mzee wangu
The true son of Africa
Rais Tunae jamani, 2020 Kura yangu ushaichukua Tayari. 👏👏
Ilove uuuuuu so mch 😍😍😍😍
Raisi wa east Africa unastahili
Hatutapona madonda ya maumivu ya kutuacha pekee yetu kweliiii mungu umetuumiza Sana juu ya baba yetu huyuuu
Ndio makufuli sawasawa mie ndio nikakutilia kura yangu kabisa mungu akuweke makufuli oyeeeee
Rais wa Nchi yangu, Rais wa Moyo wangu.
Tanzania Tanzania, Nakupenda Tanzania.
That's my president Mr number(mathematics) best president ever
Meanwhile, the Kenyan President and Governors and the Vice President pride themselves in officiating the opening of toilets and mud classrooms for billions of KSH. I pray to God our nation gets a Magufuli also.
Hakika tunaye Rais anayemjua Mungu hongera mheshimiwa Magufuli
Duh. Hongera sana magufuli. Takukuru wameng'atwa
God bless you, Kura yangu chukua💝💝💝💝💝💖💖💖
Aiseee uyu ndo RAISI WANGU KTK JAMUHURI NAYOIAMINI 🇹🇿💪
Leo tarehe 10/11/2024 R.I.P magufuri....
Ndio maana Mungu amekuteua utuongoze kwa haki safi sana
Aisee rais tunae😆😆
Sio Rais Ni shidaaa Rais,dunia nzima hakuna km JPM,na hakuna kwenda kwa wazungu wasituulie bure RAIS WETU JPM💪💪💪💪💪💪
Ila kama thamni inajumuisha na faniture.Sio mbaya sana.Isitoshe taratibu zote za ununuzi na vifaa huwa tofauti kidogo na ukijenga personally.
@@saidnassoro9562 sikiliza thamani ya jengo,, , fanya tathmini ya jengo, , na tathmini ya furniture, bado upigaji upo kama tathmini ya pili italetwa utajionea
Magufuli mungu akubariki sana baba kweli wewe ni jembe chapa kazi kura yangu kwako
Et kuzungusha ukuta au fens Bilioni moja hawajamaa mungu anawaona
mungu akupe maisha rais wetu
Magu we nomaaaaaa!!!
safi sana
Hongera mheshimiwa rais bado watendaji wako hawajatafasiri neno hapa kazi warudi darasani awatafasirie msamiati ili wasizidi kukoroga wanajiondolea heshima utumishi bora haiwezikani watu wazima na elimu zenu mkawa mnakaripiwa kila wakati razima nanyi musome nyakati hii nifedheha kubwa kutozingatia dhamana mliyopewa nakiongozi mkuu wa nchi jamaani mbele ya hadhala hua mnajisikiaje...?
Huyu ndio Rais anaetufaa Tanzania mungu amlinde na watu wasioitakia mema tanzania
Wewe ni Raisi ambaye Mungu baba ametupatia asee haijawahi toke tangu mwalim baba wa taifa aondoke
"Hapa tumeliwa"😆😆😆😆😆😆
Yes baba
Love your job Magufuli
Natamani Baba yangu na Mwalimu Nyerere wangekuwepo wakakushudia. Mungu akupe Nguvu zaidi. Pia naendelea kutangaz nchi yangu hapa Nchini Ubeligiji watalii waje na wanasema kuja Tanzania kabisa maana imekuwa mfano. Raisi umenigusa moyo wangu hakika Mungu akubariki. Akulinde uendelee ivyo. Unanifundisha kazi bila kuwa kazini unanifundisha Experiences bil kuwa kazini mpaka CV yangu naandika kuwa nilisikiliza speech zako na kuona kazi zako ivyo na mimi naweza kufanya kazi @millard Keep showing him to the people.
Haaaaa this is magu bana🇹🇿🇹🇿💪💪🔥🔥🔥🔥
Mwenyezi Mungu akulinde
Baba Magufuli, mbona macho mekundu hivi? hakikisha unapata usingizi wakutosha baba yetu maana hizi kazi zisijekukuchosha sana ukaanguka...uso umejaa alafu macho kidogo mekundu alafu nguzi kama imekuwa wekundu flani..jemedari wetu jmni anachoka sana,,halali..eh Mungu wetu Tunakushukuru kwa yote unyotufanyizia pia tunaomba Uwakumbuke viongozi wetu nakuwalinda Amen
@@elisantej5512 yaani kaka yangu adi huruma...kumbe nawe umeona boss wangu? hatari kweli. Mungu Amtie nguvu tuu
Mungu amlinde Raisi wetu. Kajitolea kwa watanzania
@@elizabethbaba8425 Kwa kweli
Mungu akutunze jpm
Huyu halali alishasema kazi ya urais ni ngumu sana ndio mana hataki kuendelea alionyesha mafaili mengi nyumbani kwake na lazima ayapitie yote
mungu akuongeze raisi wetu
Mungu akubariki Rais wangu nakupenda saana
Kwel kiongoz tunaye 😂 mtaisoma namba,,,,,,Hatanganyw ktu, Asantee Sanaaa baba Magufuri 🙏
Magufuli 🔥🔥🔥(love you Mr President)
Wow! Total change
Jembe la MATHEMATICS hudanganyi kitu hapo.
Mwenyezi mungu akubariki sana rais wetu JPM kwani we ni mzalendo namba moja.
🤣🤣🤣🤣🤣 hapa tumeliwa, muwe makini na huyu mtu jamani haibiwi,takukuru ng'ata 🤣🤣🤣🤣🤣
Kwli kabisa
Ngataa
@@stevenmaketa8051 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Best ever president in Africa..
Gud saana mzee jpm na rais wangu bora
Wee mzee nomaaaaaa ulikuwaga wapi hivyo tukikupa miaka 50 utawalale tz c Kama new york
Anko ww ni noma nakupenda sana natamani nikuone tuu kwa ukalibu mjombaa
Still in our hearts
Kenyatta wa Kenya hako wapi askiye kiongozi kamili sio ufisadi
Mimi nipo Kenya ila natamani sana kurudi nyumbani nchi mla watu wake hii.yani hamna serikali inatafuna wananchi kama Kenya aisay
@@paulinemideva3591 Haujalazimishwa kukaa hapa
Kenyata nae Ng'ata....
Kwetu Kenya wanakunywa chai ya millioni nne pesa za Kenya. Hehehehe. Wezi tupu.
Rais wa kweli ndio atakikana hivyo
Unastaili mh kugombea Tena 👍👍👍👍👍👍
Takukuru ng'ataaaa!!!!
Rais Bora bara Africa na duniani kote hongera mh:JPM
Hahahaha Bwana ni kiboko yao we love u jp u are very geniuses
Baba tunanyoooka baba endelea kutunyooxhaa
HUU NDIO UKWELI SAFI SANA MR. PRESIDENT HAKUNA KUPINDISHAPINDISHA👍👍👍
Utabaki kua rais wangu mzee Magufuli hata kama umelala
Love you my prezo
MUNGU AKAE NA ROHO YAKO ..ameniii
Ulifaa uwe rais wa dunia ,tzd 🔥🔥🔥
Mkenya na napenda Jpm...but sincerely speaking that house could cost that amount. It has a nice finishing plus we don't know the quantity of interior. It's unfair to do such kind of evaluation without considering the quantity of interior finishing
Hahahaha’ mtu anajua samaki wangapi wamo ziwa victoria ‘ Na samaki waliozaa na wenye mimba ‘ utakuja kumdanganya kizembe ‘ ..!
Hesabu za nyumba huwa zinajionyesha zenyewe ‘ kuweni makini na Mh Rais ‘ msimdanganye mtaondoka...!
😂😂😂😂
Hahahaha! Hatari sana
Hakika
Wanakuja kumdanganya kwenye tofali znazohesabika😂😂😂😂😂
🤣
Rais wa Tanzania
This guy he didn't skip classes, hakufanyiwa mitihani huyo, wala hakufanyiwa assignments, leo kuna vibonde wengi wana degrees za kudanganya, aibu kabisa
True 😢
RIP JPM❤
Kweli kabisa Mh’ Rais hii nyumba haifanani na thamani ya pesa...!
Asante JPM Mtetezi Wawa nyonge
💔 rip 🙏
We had a president
See u in groly🙏
mungu akulinde mzee
Maguuuuuuuufuuuuuuuliiiiiiiiiii kura yangu chukua aiseee ww ni kiongozi bora kabisa
Kwa mnyumbulisho Huo
Wazee temeni ela ya ankoooo
Mungu akubariki sana
Daaahh leo tareh 02/06/2023 napita hotuba za JPM machozi yananitoka😢. Pumzika kwa amani.
Ulikuwa mzalendo wa nchi yetu TANZANIA 🇹🇿 ❤
takukuru leo wamejingata wenyewe
yaaani rais wa jamhuri yupo sawa kabisa wapigie hesabu za mabati na matufali hao wamezoea kuumiza wenzao
Si kweli hata kidogo, gharama ni zaidi ya milion 70, nje hapo ujenge kwa tofali mbichi
@@victorsanga2229 lkn ml 140 sasa inakuwaje