ALWAN K ASHINDWA KUJIZUIA AMWAGA CHOZI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 64

  • @FaridaHamad-x2h
    @FaridaHamad-x2h 15 днів тому

    Nimekukumbuka sana mwalim seif Allah azid kukuondolea azabu zakabur moyo unaniuma sana pindi nnapo kukumbuka sana nakupenda mno

  • @FatmaZaidi-oh5hv
    @FatmaZaidi-oh5hv 10 місяців тому +1

    Mashaallah mungu akuzidishie hongera sanakwa nasheed zako

  • @binnyundoofficial
    @binnyundoofficial 4 роки тому +7

    Masha Allah. Inahuzunisha masha Allah Al-wan big up.
    Nice voice Allah akulinde.
    Allah amswameh makosa yake maalim seif.

  • @HalimaMwamzuka
    @HalimaMwamzuka Рік тому

    Naipenda hii nasheed, Mola amueke mahali pema penye wema peponi

  • @yaskidesaid5094
    @yaskidesaid5094 4 роки тому +3

    Nice br0

  • @AbdallahSaid-fk2mv
    @AbdallahSaid-fk2mv Рік тому

    Allah akusamehe makosa yako Yote na akuondoshee adhabu za kaburini Amiiiiiiiin😭😭🤲🤲

  • @brother_asam7323
    @brother_asam7323 4 роки тому +4

    Mashaallah mashaallah Allah amueke pahala pema peponi kiongozi wetu, Amiin

  • @masoudyrashidy9041
    @masoudyrashidy9041 4 роки тому +3

    Shukran maa sha Allah
    Allah amsafishie kabri lake amjaalie awe mja wa peponi in sha Allah
    Lkn na hii nasheed inaniumiza na kuniliza

  • @MAYALC
    @MAYALC Рік тому

    ManshaAllah. Imenipendeza sana

  • @AminaMtaliya-be4ug
    @AminaMtaliya-be4ug 8 місяців тому

    Nasheed mungu azidi kukuginguria❤❤

  • @hamadsharif5259
    @hamadsharif5259 4 роки тому +2

    Hongera bin mmalengo

  • @MAYALC
    @MAYALC Рік тому

    Napenda hii 🤗 ☺ 💓 💖 😊 💗 nasheed

  • @MaulidSleman-l7m
    @MaulidSleman-l7m 11 місяців тому

    Allah akusamehe makosa yako na ss atupe mwisho mwema 😢tumekukubuka

  • @MasturaMohd-e7w
    @MasturaMohd-e7w 7 місяців тому

    ❤❤❤I love you twakupenda ila ume2kimbia alla nakupenda zaid inna lilah

  • @haidarkhatib-m7b
    @haidarkhatib-m7b 7 місяців тому

    Allah amlze mahala pema Peponi Insha Allah.......🙏

  • @majidhamis9473
    @majidhamis9473 2 роки тому

    Ewe Allah tujaalie mwisho mwema hakika ya Allah wewe unajua Yale tusiyo yajua na mlipaji ni wewe Kila sifa njema unasitahiki Allah

  • @JokhaSalimKhalifa-ly4xv
    @JokhaSalimKhalifa-ly4xv Рік тому +2

    Alwan k mashaallah ww mtoto ukofiti Yan hadi unanitoa machoz 😭😭😭😭😭😭🥰😂😂💯💯💯💯💯💯💯

    • @MwaanaaliHamad
      @MwaanaaliHamad 10 днів тому

      Mashallah mtoto amepewa kipaji allah amlinde nahusda zawatu aaaaa min

  • @sharifasaid1964
    @sharifasaid1964 4 роки тому +1

    Mashallah nasheed nzuri

  • @bindauud1037
    @bindauud1037 4 роки тому +3

    Mashallah

  • @bekahtv8159
    @bekahtv8159 4 роки тому +1

    MASHAALLAH MASHAALLAH MASHAALLAH ALLAH Atupe subra

  • @hashimsalim1621
    @hashimsalim1621 4 роки тому +2

    Alwan kasema nenda na sisi tunakuja kila nnassi ataenda nenda salma maalim poja nasi tuje salama hongera yako alwan kz njemaa

  • @nashwaabubakar224
    @nashwaabubakar224 2 роки тому

    Mungu atupe mwisho mwema kama seifu

  • @officialmidy_og
    @officialmidy_og 3 роки тому +1

    Mashallah natamani kosoma na ww😭😭😭 big up from ziwani

  • @engineerkhamis9275
    @engineerkhamis9275 4 роки тому +3

    Ni nzuri , Masha Allah.

  • @moralistjack9626
    @moralistjack9626 4 роки тому +2

    Ma shaa allah good job

  • @rizikiroa28
    @rizikiroa28 3 роки тому

    Mashallah ndugu yangu Allah akubariki 👏👏👏

  • @nashwaabubakar224
    @nashwaabubakar224 2 роки тому

    Moyo wangu unaniumaaa seifu ni hazina ya watu masikini kweli

  • @muanassaiassineiassine8734
    @muanassaiassineiassine8734 3 роки тому

    Mashallah mola amlaze Mali pema peponi

  • @mouzzaall-mully2505
    @mouzzaall-mully2505 3 роки тому +1

    Allah amjaalie kheyr na malaika wema wawe pembeni yake ndani ya kabri lake.😭😭😭😭daima milele...

  • @KiperaJuma
    @KiperaJuma Рік тому

    Allah kampenda zaid yetu

  • @omarkhamys9818
    @omarkhamys9818 10 місяців тому

    Baki salama uliko Maalim

  • @biambarak5298
    @biambarak5298 2 роки тому

    Mashallha mashallha

  • @maryammas
    @maryammas 9 місяців тому +1

    😢😢😢😢

  • @MariyamBaraka
    @MariyamBaraka 5 днів тому

    Hakika tutakukumbuka

  • @jumamohammed5378
    @jumamohammed5378 3 роки тому

    MashaAllah

  • @salmachama1309
    @salmachama1309 4 роки тому +3

    mashaaAllh

  • @aliomar255
    @aliomar255 4 роки тому +2

    Kwa kweli bado tupo na huzun kwa kuondokewa na kiongoz bora katka jamii yake

  • @rayyanamour3909
    @rayyanamour3909 3 роки тому +1

    Kila nafsi itaonja umauti, ALLAH amjaalie kaburi lake liwe bustani miongoni mwa mabustani ya peponi, malaika wema wawe wapokezi wake, na sisi atupe khatma njema

  • @sumyyrashid7867
    @sumyyrashid7867 2 роки тому

    Mashallh

  • @kimuliibra398
    @kimuliibra398 3 роки тому

    🌄🕋🌁mungu amubarike

  • @bintomari6451
    @bintomari6451 3 роки тому

    Allah arujalie mwishi uliokua mwema huzub kulu nafs dhalika tuli mauti 😭😭😭

  • @AishaShaban-f5m
    @AishaShaban-f5m Рік тому

    Kwa kweli inahuzunisha.😂😂😂

  • @Rehema-h6t
    @Rehema-h6t 2 роки тому

    Sisi ni waja wako Anllah na kwako tutalejea innalinlah wainna linlah ranjuni 😥💔

  • @Zidagang
    @Zidagang Місяць тому

    ❤❤

  • @amirybeka9602
    @amirybeka9602 4 роки тому +3

    Mashaallah. Bc ndugu

  • @Nanahshubayra
    @Nanahshubayra Рік тому

    Innalillah wainnailahi rajiuun 😭

  • @jayngopo3773
    @jayngopo3773 2 роки тому

    Allah ampe kaul thabibit

  • @ummukadunda6741
    @ummukadunda6741 2 роки тому

    Michambo,ya,asma

  • @AhmadaalikarimaKarima
    @AhmadaalikarimaKarima 3 місяці тому

    😢😢😭😭😭😭😰😱

  • @khairatseif482
    @khairatseif482 4 роки тому

    😭hasbiya wallah wannimal wakil

  • @AishaShaban-f5m
    @AishaShaban-f5m Рік тому

    😢😢😢😢😢

  • @semedimuslih5254
    @semedimuslih5254 4 роки тому +1

    😭😭

  • @AishaShaban-f5m
    @AishaShaban-f5m Рік тому

    😂😂😂😂

  • @sadialiy4410
    @sadialiy4410 3 роки тому

    😧😧😧😧😧

  • @hawaramadhan6385
    @hawaramadhan6385 3 роки тому

    😭😭😭😭😭😭

  • @AsyaKombo-qi6yn
    @AsyaKombo-qi6yn 8 місяців тому

    😭😭😭🥹🥹🥹

  • @AishaShaban-f5m
    @AishaShaban-f5m Рік тому

    😭😭😭😭