Nakpenda sana nina kichwa kigum ila unajua kuelekeza naelewa vzur na nmeweza ving kuptia ww nafatilia sana chanell yako mungu akuzidishie mshunuu😗😗😗😙😙😚😚
Nakupenda sana unanifunza meng na nikijaribu naweza nashindwa kujua nitarudisha vp marejesho wangu shukran lovely sis zid kubarikiwa madame😘😘am ur no 1 fun kuanza IG
Nakpenda sana nina kichwa kigum ila unajua kuelekeza naelewa vzur na nmeweza ving kuptia ww nafatilia sana chanell yako mungu akuzidishie mshunuu😗😗😗😙😙😚😚
mi napenda kwanza unapika kwa usafi pia unaongea vizuri sana..na unajua kumuelekeza mtu na ni mjuzi haswa mashallh ...
Twaiba Ahmed Dada. Mkali
Twaiba Ahmed o
Twaiba Ahmed msafi haswaa
Your very right Twaiba
Unaelekez vzr sna na mara zote napenda kuangalia video zako kwa pishi lolote na huwa nafanya vzr pia kwenye upishi wangu, Mungu akubariki sana
What i love about your recepies Shuna it's your measurement they are spot on.
Masha Allah,biriyani nzuri na kazi yake ni simple sana.shukran
Asante mpnz nimemtumia hii recipe leo na chakula nimetoka mwaaaaaa alhamdulillah
I like your recipe, simple n easy to follow
Bismillah Ma Shaa Allah
Habbty looks yummy n easy way to cook Swahili biryani
My dear nafurahi sn ufahamishaji wako kwaukweli wengi tunajifunia nakupenda sn🌷
Mashallah hili itabidi nijaribu maana sijawahi kupika biriani nimeipenda wapenda kula hakondi mtu na stay home hii 👍😍
Jazaka Allahu Allah akubarik kwa kutufundisha mapishi ya aina mbli mbli
Assalam aleikum aunty shuna nauliza waeza tumia tomato nzima na ile ya paste kwa pamoja?
Nishapata vipimo nimefurahi sana nilikuwanapika kwakusiya tuu naona mambo yatakuwa mazuri zaidi in shaa allah
Mashallah 😍 hbbty
Katika wapishi nawaelewa na huyu mama❤
Maa shaa Allah! Asante kwa kazi nzuri ❤❤❤
OK
Mashaallah mungu akuzidishie hongera
Ladha tamu Naiona khamsa Mashaallah allah akubarik namikono yako
Mashaallah na mm nitaomba mungu inshaallah
Nakupenda sana unanifunza meng na nikijaribu naweza nashindwa kujua nitarudisha vp marejesho wangu shukran lovely sis zid kubarikiwa madame😘😘am ur no 1 fun kuanza IG
Mashaallah so nice edd Mubarak to everyone
Asante kwa kweli yaani nimepika biryani limetokea vizuri
Wow mashaa Allah i was also waiting for dis
Nmpnda mapish yko dadaa.mshaaalh
Naomba kukuliza dear nitumie Mchele gani ili biriyani lang liwe Tamu 👌👌
Maa Shaa Allah
thanks kipenz😍😍.
Jazakillahu khayran!!
You are The best Yaani nimelipika jana kila moja amelipenda,Thanks once again.recipe rahisi sana
Maa’Shaa’Allah.... Na sambaro recipe maa
In shaa Allah mara nyengine
That is lovely. And as always very well explained. Mashallah.
Thank you so much
Linanukia mpka huku Sant sna dada 😘😘😋
MashAllah tabarakAllah wa JazakAllahukheir
Shukran dear
Mashaallh napenda mapishi yako
Asante pia kwa kuangalia ☺️
Maashaallah Shunna Perfect ssy Shunna💞💞💞👌👌
Nitampkia bby ahsante kwa kunifunza
Mashaallah biriyani nzuri
MashaAllah MashaAllah
Shukran sis kwa mapishi mazuri
Allah akulipe kila la kher pamoja na family yko
Ameen yaa rabb. Shukran
MashaAllah MashaAllah nasubiri biriani la kuku Da shuna
In shaa Allah dear mara nyengine
You’re the best shuna..God bless you
U r blessed mamy😘😘 nakupenda buree
MashaAllah. Yummy 😋. Shukran dear 🙌🏽👏🏼💐👌🏽
Afwan dear
Asante dada kwa recep nzur na rahis mno ntapika sikukuu ya iddy mungu akipenda.
Asante nawe pia kwa kuangalia
@@ShunasKitchen 🙏
Aawwhh.,thnk u habbty for the mention.,Allah baarik♥️😘.,shukran nawe kwa kutunufaisha my dear.,
Ameen kwa sote, shukran sana habibty 🥰
Shukran dear,eid mubarak
Maa Shaa Allah😍
Shukran 🙂
yummy, tried the recipe👌🏼🥰
Yummy 😋😋😋 asante dada Shunaa
Asante sana pia kwa kuangalia
Masha allah mungu akubariki nitajaribu kupika
Shukran 🙂
Zurii saana
Maa shaa Allah Allah akubarik dada
Shukran Sana shunaa Allah akuifadhi
Maasha Allah am here keen want to see the end of making this delicious food,thanks my dear for your recipe Allah bless the work of your hand🤲🏽
You are very welcome Zed. Thanks for watching
@@ShunasKitchen you're welcome my dear.
Shukran,, mambo ya iddi hayo😋😋
Shukran pia
The great
Nitapika kwa kweli nimelipenda na unajua kufundisha
Maa shaa Allah
So delicious
Niliipika eid mashaallah ilikuwa tamu sana kavu haina mafuta 😍😋😋 plz tunaomba utufundishe pili pili ya sambaro ya kulia biriani👏😊
Kbsaa ..wazo lng hilo
A.a habbty I love ur recipes can u pls teme watumia which kind of rice ur using
Shukran. Nishapata cha Kipiki Eid. In Sha Allah
In shaa Allah. Shukran
Mash'Allah. Nzuri na njia rahisi
Warisi
Nimejifunza dada hongera
shuna i love you 😘 endelea kutupa maujuzi ivo ivo
Biriyani yako ni mzuri sana
Mashaalla mashaallah😋😋 nitapika eid inshaallah biriyan zurii nimelipendaa😍😍😍
In shaa Allah. Shukran dear
Shukran dear najifunza mapishi mengi ya rahisi kupitia kwako
Asante sana my dear kwa mapishi mazuri sana
allah atakulipa inshallah
Wow 😍😍
Woow nimejifunza thanks dear
Nmependa asantee
Nakupenda sana ma'am 💋🙏 🙏 maelizo mazuri
Shukran habibty kwa kutufunza mapishi
Afwan dear
thank you 😋
Mashaallah tabarakalla
Ahsante dada. Simple enough
Waooo...mashallah..
Very nice and clearly explained.
Will try to cook.
Thank You Sister.
Waaoh!unaelkz vzur sana
Tumaliza ramadhan mm nayo nitaipika mara ya kwanza naipenda sana thx
Asante sana
Masha Allah asante dear
Asante nawe pia
Ni nzr sana habbty
Asante sana
Machaalah.. I like it the Rice you're the Best
Ma shaa Allah nzuri sanaaa napenda rojo lako rangi yake
Asante sana...nimezoea kutumia maziwa mala badala ya youghurt..nitaijaribu hii recipe yako...
Shukran☺
Afwan. Shukran pia kwa kuangalia
Tamu sana
Mashallah nimependa
Nimejaribu leo hini biriani mashallah nitamu sana
Umetumia mchele wa kawaida
Mashallah da shuna Allah akulipe hii itakuwa eid
Shukran 🙂
Asante my dear Allah akupe afya njema ili uzidi kutupa maujuzi
Ameen shukran sana my dear
exn shunaskitchen 😘
Wooow that looks sooo good masha allah ❤️❤️👌👌😋😋
Thank you so much
I am an America I really like her recipe
Maashaallah biriani nzuri
Who believes that old style biriyani was the best, the one with papayi mbichi 😋
Waooooooo very nice
Very simple recipe for a learner👍
Yes indeed 👍😀. Thanks for watching :)
Maahallah
Asante jazakallah khayran
Shukran dear
Mashalaah.rost ya nyama haitiwi mafuta?
Mashallah love that .
shukrani 😍😍
Afwan
Shukran habibty
Shukraan sana hbbty mungu akulipe kher😘😍
Ameen shukran dear