Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

Usiku wa Birthday ya mtoto wa Alikiba 'Kiba Junior'

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 чер 2017
  • June 20, 2017 ilikuwa ni siku ya kukumbuka kuzaliwa kwa Kiba Junior ambaye ni mtoto wa staa wa Bongofleva Alikiba ambapo watu mbalimbali walihudhuria kwenye Iftar na kwa pamoja kusherehekea Birthday ya Kiba Junior.

КОМЕНТАРІ • 248

  • @MaryamMaryam-ij3uw
    @MaryamMaryam-ij3uw 6 років тому +2

    Uyu mtoto wa kiba nampenda sana Allah amuhifadhi na hasadi za ulimwengu na amuepushe na kazi km ya baba ake Allah amuongoe awe mtangaza dini inshallah

  • @wemakalam9415
    @wemakalam9415 7 років тому +7

    mashaalah tabarakaallah kiba junior mweenyezi mungu akupe moyo na umri mrefu inshaallah.

  • @wachiranadyne1609
    @wachiranadyne1609 6 років тому +3

    I do like Ali Kiba parenthood upbringing of his kid. This Dude got swag kiviake even the songs background its cool .live long Kiba jnr are

  • @nafisamohamad3182
    @nafisamohamad3182 7 років тому +3

    uzur wa sherehe ndio ivo haki iko simple hakunaga zazaaa za kunywa mapombe wala hakunaga manyimbo ya ukosefu wa adabu, hio ndio sherehe tunayotakiwa kuwafanyia watto wetu, happy born day kiba junior mungu akupe umri mrefu inshallah uje nikuoze mwanangu.

  • @valerieedwin2544
    @valerieedwin2544 7 років тому +24

    safi sana kiba junior. mungu akupe maisha marefu mwanangu

  • @fatmarwambo8783
    @fatmarwambo8783 7 років тому +2

    mashaalah!! king kiba mlee mwanao katika maadili ya dini jitahd sana asome madrasa aijue vyema qurani imkomboe badae

  • @yvonnemusimbi2014
    @yvonnemusimbi2014 7 років тому +3

    Happy belated birthday Kiba Jnr.I hv never disliked any video on youtube but I always see dislikes.Do we automatic dislikes or what??Why would someone watch the whole video n go on to press the "dislike button"??

  • @bbydoricemissyeohnwa519
    @bbydoricemissyeohnwa519 7 років тому +7

    Junior kiba upo vzr sana Mungu akupe maisha marefu king kiba upo vzr kwa mwanao umejua kumtunza hd kafika hapo bravooo team kiba

  • @user-oh8bn3vg2w
    @user-oh8bn3vg2w 6 років тому +1

    Mashaallah mungu ibariki familia ya ALIKIBA najitahidi sana ktk dini naamini iposiku utaacha hata mziki

  • @rosemarybenjamin5866
    @rosemarybenjamin5866 7 років тому +10

    happy birthday party tu u junior ,,,God bless you miak mia %100

  • @khadijaali3688
    @khadijaali3688 7 років тому +4

    mashllh mola akulindie ali kiba kwa kumvesha mwanao kanzu apendeza sana mashllh

  • @anorirashid170
    @anorirashid170 7 років тому +17

    HAPPY BIRTHDAY BABY BOY REMEMBER YOUR DADDY LOVES YOU SO MUCH AND HE TREASURES YOU SANA.#KING KIBA SALUTE BRO

  • @selletheboyselletheboy6907
    @selletheboyselletheboy6907 7 років тому +14

    Hongera king Kiba kwa kufanikisha sherehe hii ya mwanao japo haukuwepo lakini Mambo yamekwenda vizuri kabisa yote hayo ni kwa sababu ya hekima zako na upendo ulio nao Mngu akupe maisha marefu Happy birthday to You @Kibajunior Mngu akupe maisha marefu.

  • @artemisneoy9596
    @artemisneoy9596 7 років тому +4

    safi sana Kiba kipenzi cha watu. happy belated birthday Kiba jnr

  • @aminaalibabualibabu9623
    @aminaalibabualibabu9623 7 років тому +2

    Mashaallah king yuwaelewa nn maana ya dini na hii nidunia so lazima tukumbuke kesho Mashaallah kiba yazaka Allah kheri wengine wangesogeza kwakutaka kufanya ya dunia Allah khalki kiba

  • @salmazena1932
    @salmazena1932 7 років тому +3

    MaaaaaaaashaAllah Masha Allah Hongera kwa lishe,mungu amkuze mwanao inshaallah amzidishie umri

  • @faizaibrahim1063
    @faizaibrahim1063 7 років тому +4

    mashallah mtoto mzuri Mungu akulinde kiba Junior

  • @mwambirekwamboka9525
    @mwambirekwamboka9525 7 років тому +7

    Just simple ...May Allah grant u *#kibajuniour a long healthy n happy life in sha Allah.

  • @bintimohammedrashidrashid4929
    @bintimohammedrashidrashid4929 6 років тому +3

    ma shaa allah

  • @selletheboyselletheboy6907
    @selletheboyselletheboy6907 7 років тому +4

    Hhongera king Kiba kwa kufanikisha sherehe hii ya mwanao japo haukuwepo lakini Mambo yamekwenda vizuri kabisa yote hayo ni kwa sababu ya hekima zako na upendo ulio nao mngu akupe maisha marefu Happy birthday to you Kibajunior mngu akupe maisha marefu.

  • @yunusabeid74
    @yunusabeid74 6 років тому +2

    Mashaa Allah Allah Amuongoze dogo na Amuepushe na watu wabaya.

  • @hedayaals250
    @hedayaals250 7 років тому +3

    good sana kiba huchagui hubagui wrote sawa

  • @marimarimu3697
    @marimarimu3697 7 років тому +10

    mashallah kiba so mziki tu hapo mungu humpa mja rizik

  • @anisasaid4552
    @anisasaid4552 6 років тому +3

    Mashaallah Allah amuongoze kwa misingi yadi maananimeona ipo tofauti na wengine kiukweli amefanya vinzuri kabisa m/mungu amuweke miaka 800000000000

  • @reginaamoo6530
    @reginaamoo6530 7 років тому +6

    Happy birthday junior Ali Kiba May God be with you more than more 💝

  • @asmaafamau5139
    @asmaafamau5139 7 років тому +5

    mashaallah mngu akupe umri mrefu na maadili ya kidini

  • @mwanaishambili241
    @mwanaishambili241 7 років тому +12

    mashaallah nakutaika khery ya kuzaliwa saumu makbuli iddi Mubarak inshaallah

  • @phelisgrace3107
    @phelisgrace3107 7 років тому +5

    wau ...Hbd to u toto

  • @karimissa763
    @karimissa763 7 років тому +2

    Mashaalhaaaaaa...

  • @rajabumwendo3890
    @rajabumwendo3890 7 років тому +4

    Mashaa Allah anaonesha adabu ipo

  • @mdl6463
    @mdl6463 6 років тому +2

    Katoto kana heshima kwl hatutaki matoto mara liitwe simba hatutaki mtoto anaheshima sana thanks bro

  • @rainbowgirl5184
    @rainbowgirl5184 7 років тому +6

    HAPPY BIRTHDAY JUNIOR
    MUNGU AKUPE AFYA NA MAISHA MAREFU UWAFAE WAZAZI WAKO
    jamani nime enjoy sana kucheki dis prty imenifurahisha kwa mavazi na desturi
    WENYE WIVU WAMEZE MATE

    • @khazinasaid8344
      @khazinasaid8344 6 років тому

      Ishala mtoto wetu tu praud kwako mie shangaziyako from baba kiba mddogo allah aakuweke mie kutoka ķigoma

  • @jayelias1654
    @jayelias1654 7 років тому +3

    #mungu amjalie maisha marefu na yenye baraka tele

  • @rachealwilfred1695
    @rachealwilfred1695 7 років тому +4

    handsome boy, happy birthday

  • @halimambena7859
    @halimambena7859 7 років тому +9

    Alf mabrouk Alf mabrouk and Hbd my son kiba junior mtoto mzuri Allah akupe kila lakher kwenye makuzi yako na uwe mwenye kumjua mungu wako Kila itwayo leo

  • @marimuhamis3471
    @marimuhamis3471 7 років тому +1

    Manshaallah kiba kwa hakika imependeza sana kila la kheri king kiba Allah akulinde pamoja na famila yako

  • @hongerakkachawasemewwkzbut4996
    @hongerakkachawasemewwkzbut4996 7 років тому +1

    mashaallah kiba walikwa wako kwakweli wako katika hali ya kujistiri tena nawengine waigi safi sn kiba mungu amkuze huyo kijana wetu na amuepushe na kila husda.

  • @omaryamiry3651
    @omaryamiry3651 7 років тому +3

    Happy Birthday to you kiba junior

  • @ayushayuu6708
    @ayushayuu6708 7 років тому +4

    Mashallah,Hbd to junior in sha Allah namtakia maisha marefu full of blessings in this dunia n hereafter

  • @asiakafana636
    @asiakafana636 7 років тому +7

    maashallah, allah awaongoze katika njia iliyo nyooka inshaallah.

  • @rehemambweso3880
    @rehemambweso3880 7 років тому +2

    Seif Abdulla, umeongea point sn. km ulikuepo moyon mwng. hongera Kiba

  • @hongerakkachawasemewwkzbut4996
    @hongerakkachawasemewwkzbut4996 7 років тому +4

    mashaallah mtoto mzuri huyo allah amlinde kijana wetu.

  • @wardalward3693
    @wardalward3693 7 років тому +2

    Mshallah mungu mpe umri mrefu

  • @irynpacience6405
    @irynpacience6405 7 років тому +2

    happy born day Toto
    💕👏👏🎁🎂🎂🎂

  • @AzizWillyGreataziz1
    @AzizWillyGreataziz1 7 років тому +61

    safi kabisa ingekuwa mtoto wa msanii mwingine wangeweka kiingilio kwenye birthday na wangealika wasanii wakubwa tupu

  • @nohatredbutlove5786
    @nohatredbutlove5786 7 років тому +51

    Mimi mda ninaoamua kuskiliza nyimbo nakua naskiliza zaidi nyimbo za diamond kuliko za Ali kiba, lakini kwa hakika hili tukio limenifanya nikupende bure Ali kiba. Yaani wanawake wamejitahidi sana kujistiri ukilinganisha na sherehe zote za familia ya diamond ambazo zinakua zimejazwa na wanawake waliovalia nusu uchi. Naamini yote hii sio kwa matashi yao bali ni kwa muongozo wako kuwa hukupenda waje katika shughuli yako wakiwa uchi. Mungu azidi kukuongoa na diamond anapaswa afate nyayo zako kwa sababu yeye ni muislamu.

    • @khadijaali3688
      @khadijaali3688 7 років тому +4

      Seif Abdullah mashllh ht mtoto wake yuwamfundisha mavazi ya kislamu mtoto kuvesha kanzu kila saa ndio nzuri saidi

    • @nohatredbutlove5786
      @nohatredbutlove5786 7 років тому +3

      Khadija Ali ndio vizuri kwa maana mtoto umleavyo ndivyo akuavyo

    • @faizahabibkarim6329
      @faizahabibkarim6329 7 років тому +4

      Seif Abdullah kumbuka kaka huu ni mwezi mtukufu wa Ramadan so they have to dress well

    • @nohatredbutlove5786
      @nohatredbutlove5786 7 років тому +2

      Faizahabib Karim hata huu mwezi wa ramadhani wanavaa uchi pia.

  • @sixfingerthedon4907
    @sixfingerthedon4907 5 років тому

    Hongera sana family king kiba
    Huwa napenda sana maisha yaflaha kama hayo
    Team king mo fayaa

  • @swagosamatta6038
    @swagosamatta6038 7 років тому +1

    nawapendaga sana team kiba wenzng ingekuw mtto wa mond ungeskia mtto wa zinaa cjui uyo wa ndoa!!!! OK happy bon day boy

  • @mustaphajuma9489
    @mustaphajuma9489 5 років тому

    Alikiba anajielewa sana kuliko wasanii wengine.....big up king

  • @faiziaprt6015
    @faiziaprt6015 6 років тому +1

    mashallah😍😍😍😍

  • @catylolo2126
    @catylolo2126 7 років тому +9

    watto umewalea kidini inapendeza sana kiba hongera sana

  • @subratambulegeni9042
    @subratambulegeni9042 7 років тому +3

    Mashallah

  • @catylolo2126
    @catylolo2126 7 років тому +2

    maashaallah mwenyezi mungu akuongoze akufanyie wepesi kwa kila jambo la kheri akkuzie wanao

  • @mathewstanley4063
    @mathewstanley4063 7 років тому +17

    Bless up millardayo👊👊👊

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan1365 7 років тому +1

    MashaAllah nice

  • @eddyeddy6071
    @eddyeddy6071 7 років тому +14

    mashallah hii ndo shuhuli ya kiislam

  • @myshylysh3554
    @myshylysh3554 7 років тому +4

    mashallah

  • @mulhatjumaa191
    @mulhatjumaa191 7 років тому +2

    Mashaallah allah amjalie maisha yeny kher nayy inshaallah💞💖💖

  • @sweetmama3242
    @sweetmama3242 7 років тому +4

    Nyimbo za Maher Zain nzuri sana jamani. Vyakula sasa hadi nameza mate😊. Heri ya kuzaliwa mtoto.

  • @zubidazubidapole359
    @zubidazubidapole359 7 років тому +5

    junior muzuri

  • @nzomukundafatuma5364
    @nzomukundafatuma5364 7 років тому +1

    safi sana king kiba kumifurahisha mwanau hafi raha

  • @maryamkhamis9493
    @maryamkhamis9493 6 років тому

    MashaAllah Allah amjalie maisha mema hapa dunian na kesho Akhera 🎂

  • @salmaakida3485
    @salmaakida3485 7 років тому +1

    huhuhuhuuu mashaalah baric katoto & Sam Millard
    saaaaalut 👌

  • @user-de7nf8pp3w
    @user-de7nf8pp3w 7 років тому +27

    Mashaallah mtot mzur allah akufanye uwe mtot mwema inshaallah

  • @rukiasepetu9194
    @rukiasepetu9194 7 років тому +2

    Hongeraa sana j

  • @nurloy510
    @nurloy510 7 років тому +2

    happy birthday to you beb junior

  • @georgembijima2206
    @georgembijima2206 7 років тому +4

    Tisha sana

  • @shakiraismail2233
    @shakiraismail2233 6 років тому

    mashalaaah hakika mung anaweza kiba hongera sn kwa jamb hl mung aenderee kukupa

  • @mrsd846
    @mrsd846 7 років тому +2

    big up xana I like this

  • @najnatsalum6270
    @najnatsalum6270 7 років тому +2

    wallah nmejiskiaaa raha

  • @marthamartine479
    @marthamartine479 7 років тому +3

    good bro hbd Prince kiba

  • @joshuakoome4423
    @joshuakoome4423 7 років тому +2

    manshallah

  • @yumnahassan1995
    @yumnahassan1995 7 років тому +4

    may you live 100000000000000000......................yrs dear.

  • @hadijahmwajombe9588
    @hadijahmwajombe9588 5 років тому

    mashaallah mtoto mzuli hongera mtoto mzuli😍😍😍😘😘😘

  • @ramadhanjumanne6370
    @ramadhanjumanne6370 7 років тому +9

    hayo ndo maadili mema mtoto lazima akue vzuri katk maadili

  • @islammwatoa2990
    @islammwatoa2990 7 років тому +1

    mashaalah

  • @aryamzmumytho3363
    @aryamzmumytho3363 7 років тому +26

    MashaAllah nice Allah akuhifadhi

    • @amadsabimbona2553
      @amadsabimbona2553 7 років тому +10

      mashaAllah mungu akulinde

    • @aryamzmumytho3363
      @aryamzmumytho3363 7 років тому +8

      Amad Sabimbona... Ameeen Thumma Ameeen sote In Shaa Allah.

    • @somacoco91
      @somacoco91 7 років тому +7

      maashaallah M/mungu akuongoze Ally kiba ukutaka kumkalibisha shetani vigodoro au wenyewe uita visinger NiCe mungu amkuze uncle umkuze kwenye maadiri yakumlizisha Allah subhna wataara amiin yallaby

    • @aryamzmumytho3363
      @aryamzmumytho3363 7 років тому +1

      Soma Coco...Ameeeen

  • @aminayahyaa6737
    @aminayahyaa6737 6 років тому

    Bismillah mashaallah kwakweli nimeipenda sana sherehe ya mwanao Allah amuhifadhi na aje kuwa mtoto mwenye maadili mema zaidi hongera sana

  • @consolathaconsolatha4095
    @consolathaconsolatha4095 7 років тому +1

    Very nice

  • @rehemahussein748
    @rehemahussein748 7 років тому

    MashaAllah Allah Akupe maisha marefu! uwe mtoto mwenye kutambuwa dini 😘😘😘😘

  • @asyahuseni7749
    @asyahuseni7749 7 років тому +4

    Millard Ayo habar zako ni motomoto Asante

  • @abdulramadhan9928
    @abdulramadhan9928 7 років тому +4

    mashallah Allah ampe umri mrefu na wenye manufaa

  • @aminaharapaharapah2174
    @aminaharapaharapah2174 6 років тому

    Masha Allah....!!!

  • @4realonlinetv169
    @4realonlinetv169 7 років тому +5

    Good life

  • @modestaedward6262
    @modestaedward6262 6 років тому +4

    Mung akujalie na akuzidishie pale ulipo toa unajua ndo maana watu weng tunakukubal

  • @mariamsaidi3084
    @mariamsaidi3084 6 років тому

    Wooow mashallah Allahmdhllh

  • @shwaibukhatibu2838
    @shwaibukhatibu2838 4 місяці тому

    Masha Allah

  • @kulsumfarhan4735
    @kulsumfarhan4735 7 років тому +1

    mashaallah 😘😘😘😘😘

  • @soh4787
    @soh4787 6 років тому +1

    Bro Kiba : Mungu akuwekee mwanao na amuhifadhi.

  • @miramabdiqan7820
    @miramabdiqan7820 7 років тому +10

    mashaAllah...

    • @chalichibude5267
      @chalichibude5267 6 років тому

      Miram Abdiqan mungu amzdishie

    • @makassaraashura1772
      @makassaraashura1772 6 років тому

      Mashaallah Kiba jounior mungu akukuze ktk malezi mema,allah akujaalie uje uisome vyema elimu ya dunia na akhera pia

    • @abdyussi2030
      @abdyussi2030 6 років тому

      Miram Abdiqan poa miram

  • @dadyabduly479
    @dadyabduly479 5 років тому

    Happy birthday bb que le bon Dieu te protège

  • @miirajswahel2938
    @miirajswahel2938 4 роки тому

    Ambao wana wishes one day wafanye kama hivi kwenye birthday za wapenzi wao gonga like hapo chini

  • @mwantumrashid8841
    @mwantumrashid8841 6 років тому

    happy birthday to beby sweet 😙👌

  • @mwajumasaid8327
    @mwajumasaid8327 7 років тому +1

    MashaAllah happy Birthday Kiba junior

  • @kingtv8792
    @kingtv8792 7 років тому +1

    Nice wow ni birthday party nzur kabixa

  • @kabaisaemanuel6313
    @kabaisaemanuel6313 6 років тому

    Safi sana mungu akubariki mtt mnzuri

  • @honkhamis1936
    @honkhamis1936 7 років тому +5

    Daaa jama yupo poa sana ila kwa hiyo ilikua safi hata mm naona ipo kifrend na sio kisifa

  • @bbyrey2089
    @bbyrey2089 7 років тому +5

    mashaallah

  • @hadassperez494
    @hadassperez494 7 років тому +1

    Happy birthday boy.

  • @shadyasaid2030
    @shadyasaid2030 6 років тому

    Mashaallah yani adiraha