Sawa inabid tuende na wakati lkn ngoma za kitambo zinahisia nzur na ujumbe nadhan wahenga wenzangu mnanielewa , muda mwingi nakuwa naskiliza old school na kuzichek hiz . Kama tupo pamoja like here.
Nyimbo qal ndo maan nimerud kuitazam leoo 05/05/2020 muda saa 09:26 Asubh na sekunde 20 naomba like ndugu zangu wa makole wakalim wapole wanataka wakuone kabla ujafika dar😊😊😊❤❤❤ @ben pol umetisha sana kaka
Kaka hili ni bonge la pini kwa kawaida huwanapenda sana kusikiliza ngoma za mbele ila hiii ngoma nayo nimeshaiweka playlist keep it up broooo umetishaaaaa xaaana
Ben Pol...I have just shed a tear watching this video...Thank you for making the choice to use this girl as Sophia...Music can go a long way in influencing how one thinks and perceives things...and as a Tanzanian, amidst all our conflicts with the Albino community... This is a breath of fresh air...Even more inlove with this song now...
I just love the song and video, and the fact that girl is albino................... imekua nzuri zaidi maana umemtumia huyo dada wakati mzuri tunaopinga mauaji ya ndugu zetu maalbino above all imekua na uhalisia mwingi wa tamaduni za kitanzania.
pongeziiii zakoo kaka ben pol.. ila kwenyee nmeona uzalendoooo coz umemwekaaa video queen albino safi sana ni jins gan nawe pia unapinga ukatili wa albino
Benpol ni msanii mkubwa sn kuliko diamond nyimbo zk ni nzur sn na hata sauti yk nzur ktk uimbaji kiufupi benpol ana hadhi ya kuimba marekani si Tanzania
ubunifu .wa hali ya juu ben paul amaizing video ya kinyumbani hongera mdharau kwao mtumwa kaka umenikumbusha vitu vingi vya dodoma big up dodoma big up ben paul
Hongera sanaaa kwa video nzur pongez kwa director khalfan pia napenda unavyobdlka kila utoapo nyimbo zako ongeza ubunfu utafk kule ambako unaitaj kuwa na sie tunakusapot *****
I love this song.Big up to Ben Pol for your choice of a video vixen .I remember when this song was released,Tanzania was headed to the polls and persons living with Albinism were being slaughtered by witch doctors.
"Benpol's timeless song 'Sophia' beautifully captures the essence of love and admiration, transcending time with its powerful message of embracing beauty beyond physical appearances. His heartfelt lyrics resonate deeply, reminding us of the importance of appreciating the uniqueness and beauty in everyone. 'Sophia' isn't just a song; it's a testament to love's enduring power and the beauty of diversity. Thank you, Benpol, for gifting us with this timeless masterpiece that continues to inspire and uplift hearts even today."
Nautazama tena leo 9/06/2023. Nakumbuka umetoka nipo kidato cha 4. Now nimeitimu chuo kikuu na ndio ulinivutia kutamani kusoma udom na ndoto iyo nashukur ilitimia 2018-2021 na sasa nipo kazini mungu ni mwema kwa kweli.
Tunaotizama wimbo huu 2024 tujuane kwa kwa gonga like
👆🏻😩♥️
Uhakika
Who is here in 2024🥺🥺🥺
👆🏻😩♥️
Am still here
Im here
❤
Tupo
may 2024 nan yupo live na goma agonge like la kibabe
Wanangu wa mvumiii, mpunguuzi, majengo,nkuhungu,makole tjuane
Alafuu kwa ataekuja check adondoshe likes yakee apoo
October 2024 anyone who is here 😢😢
Kama Upo Hapa Tangu Nyimbo Hii Imetoka Ni Jambo La Kumshukru Mungu Na Kuendelea Kumtukuza Yeye Mwenye Kutupa Uhai🙏
Sawa inabid tuende na wakati lkn ngoma za kitambo zinahisia nzur na ujumbe nadhan wahenga wenzangu mnanielewa , muda mwingi nakuwa naskiliza old school na kuzichek hiz . Kama tupo pamoja like here.
Nyimbo qal ndo maan nimerud kuitazam leoo 05/05/2020 muda saa 09:26 Asubh na sekunde 20 naomba like ndugu zangu wa makole wakalim wapole wanataka wakuone kabla ujafika dar😊😊😊❤❤❤ @ben pol umetisha sana kaka
Oooohh my good Ben pool
Ilove you
Ni noma no one like u..
Jamaa anajua 🇹🇿 Leo ni mwaka 2019 Ila wimbo bado mpya haujawai chosha wapenzi wa RNB
Still in 2023 August 🔥🔥🔥🔥
Kaka hili ni bonge la pini kwa kawaida huwanapenda sana kusikiliza ngoma za mbele ila hiii ngoma nayo nimeshaiweka playlist keep it up broooo umetishaaaaa xaaana
Ben Pol...I have just shed a tear watching this video...Thank you for making the choice to use this girl as Sophia...Music can go a long way in influencing how one thinks and perceives things...and as a Tanzanian, amidst all our conflicts with the Albino community... This is a breath of fresh air...Even more inlove with this song now...
I like your English command
The best ever
You are same to me
Your 7years ideas live, thanks so much...👍
Your 7years ideas live, thanks so much...👍
Sophia Sophia Sophia nakuzimia nakuzimia vibay vibay me dah long San mpk leo ngoma hiiii
nimekuja kuangali hii nyimbo bada ya kufika mkugu mwaka huu 2023 .
I just love the song and video, and the fact that girl is albino................... imekua nzuri zaidi maana umemtumia huyo dada wakati mzuri tunaopinga mauaji ya ndugu zetu maalbino above all imekua na uhalisia mwingi wa tamaduni za kitanzania.
Felister Scout yea u gotta admit the guy does have tallent
Gilbert kashasha surely he does
yep..
My all time favorite song ❤️
❤wakina chidobe tupo Dodoma moja
pongeziiii zakoo kaka ben pol.. ila kwenyee nmeona uzalendoooo coz umemwekaaa video queen albino safi sana ni jins gan nawe pia unapinga ukatili wa albino
Huu wimbo hapa ndo umeniweza asa manake haipiti sk bila ya kuutizama au kuuimba big up broo kazi nzr
Benpol ni msanii mkubwa sn kuliko diamond nyimbo zk ni nzur sn na hata sauti yk nzur ktk uimbaji kiufupi benpol ana hadhi ya kuimba marekani si Tanzania
Tunaongalia hili chupa 2023 nione like zenu🤗
kaka saut zur mpangilio Wapicha uhalisia wa ddma big up uongoke umfuate yesu wa sabato
Noma sanaaaaa
2020 bado naicheki gonga like kama upo hapo
naikubali sana inanikumbusha mbali
Tuko wengi
It's 2023 people.its a big tune still.i miss this days😢
Bado naitazama Ngoma hii 2023,big up Ben pol
Bado naitazamaa November 2024
Im here in 2024 and i super duper love it. Ben Pol makofi kwako
ubunifu .wa hali ya juu ben paul amaizing video ya kinyumbani hongera mdharau kwao mtumwa kaka umenikumbusha vitu vingi vya dodoma big up dodoma big up ben paul
Broo umetisha kukubali xana nice song
2023 😂😂 Thursday tbt nmeamua kuanza na hii kazi🔥🔥
nakukubali sana king of rnb #benpol
Uko vizury sanaaaaa nimeipenda video imetulia ile mbayaaa
I am from the Netherlands too. I love this song it makes me happy everytime I hear it.
Thanks Sophia
Sophia
Kaka kama photo
I 💕
2020 with sophia🙌🏻♥️
safi sana kwa kumtumia huyo binti inaonyesha ni namna gani tunapinga ubaguzi wa ngozi
nyc song my benpol... your my best singer ever. mungu aendelee kukupa nguvu kazi ktk nyimbo zako
Nimekuja kuangalia hii wimblo baada ya kumpata mchumba anaitwa Sophia.....nampenda jamani namzimia sana
This song has never stopped being veeeeerrryyyy sweeeeeet!
Who is listening this song 2020 gonga like twende Dodoma
Nakukubali sanaa mwanangu wa central zone wewe ni mwamba 2023 mwezi wa 12
Ben his killing in this track , every things is clear voice , melodies and beats is very amazing wooooow...❤❤
KAKA UMEUA KICHIZI......NICE PIA DZAIN SOPHIA FLANI HIVI SAFI SANAAAAAA....
Ben pol well done for ur song,,,,be in marketable music.....left all artists who xell their faces over the world.
Mpakasasa cjauchoka huu wimbo
I'm here every week ❤
Nimeipenda kweli Ben p unaweza music
Safi sana Ben pol kwa kutuweka pamojaa
Hongera kwa kuwathamini wenzetu wewe ni mfano kwa wengine Big Up
PPPPETER!!!!! :D
Bonge la song 2019 like yako mhimu
sophia sophia nikupeleke MPUNGUZI, umetisha bro ben piz. salute sana. iko njema. 100% ben pol.
Pooh my god
Noko mwana wa dodoma
Niko. Mwana wadodomaaa
naikubali hii ngoma hatar big up ben pol....
Hongera sanaaa kwa video nzur pongez kwa director khalfan pia napenda unavyobdlka kila utoapo nyimbo zako ongeza ubunfu utafk kule ambako unaitaj kuwa na sie tunakusapot *****
kwa wale wenye earphone nzuri ! nadhani tuna juana !
a lyk de song "mandhari nzurii ya kitz imetulia congrts to yah en kip t up bro
I love this song.Big up to Ben Pol for your choice of a video vixen .I remember when this song was released,Tanzania was headed to the polls and persons living with Albinism were being slaughtered by witch doctors.
Kitu kiko poa sana.. Ww ni big singer ukianza na sophia na hii moyo mashine.... NAKUKUBALI SANA
hiii ngoma huwa najvunia apo me nimezaliwa tanzania kanda ya kati
Ben really brother umefanya kitu cha busara na cha kuigwa na WaTanzania wote hongera sana
Vibaya vibaya Nakuzimia vbaya vbaya oooh du nimejikuta naimba tu...nice song kaka
thanks sna ben poul ilo jina mama watoto wangu huwa naenjoy nkiisikia
Najivunia kuwa mgogo kwetu Dodoma
Hiyo ngoma jaman hata marekan wanaikubali cyo uongo
niko apa 2021 march, si mtoto wa mtu anizimie vibaya pia...hahaha
Yah man Thomas yeyo
Kariua queen
Huyu dada wa kariua namkubali sana
100% naipenda sana sichoki kuisikiliza
Ni noma aiseee kimbiz vibaya mkali wao waueeeeeh
This Part "Sofi wangu, mimi nilizaliwa Tanzania kanda ya kati, makao makuu...twende pamoja ukaone uzuri wa nchii..." mheen. watching in August 2018
"Benpol's timeless song 'Sophia' beautifully captures the essence of love and admiration, transcending time with its powerful message of embracing beauty beyond physical appearances. His heartfelt lyrics resonate deeply, reminding us of the importance of appreciating the uniqueness and beauty in everyone. 'Sophia' isn't just a song; it's a testament to love's enduring power and the beauty of diversity. Thank you, Benpol, for gifting us with this timeless masterpiece that continues to inspire and uplift hearts even today."
I understand the msg he was trying to give...nice song
she is beautiful wow she made the video to hit even better....
Who is listening this song 2018. ..gonga like wakenya mpo?
Nakuzimia vibaya vibaya... napenda iyo line
Till 2020 I'm here
Mungu ailaze mahar Pema roho ya dadaangu sophia
2021 bado naliangalia goma hili nachukua mistar ya kum bembeleza mmewangu
much love to my Albino sisters. love the song but the sister being represented gave it as new meaning for me
sophea nimeielewa sana hizo shot nimezielewa pia director nimemuelewa huyu jamaa yuko poa video ipo clear sana big up..
Video kali sana umeonesha utofaut. Drcter ninomaaaaa
Idea nzuri na ninaic ww ni wa1 kfanya.umeweza na umeonyexha tofaut xna ktk artist wa bongo fleva big up nakpa 100
Ben Pol huu ndo wimbo unaoweza kukutoa. ebu ufanyie remix . I like it
good video ben pool sharapu kwako kwa ubunifu km huo
Sophia Sophia!!!uko wapi Sophia wangu???kila nikisikia song hili nakukumbuka Sophia
Kazi nzuri nimependa idea bonge moja la kichupa
Gold in November 21 2018 who is still watching this fire.
From Kenya. Naikubali wimbo huu. video Kali ngoma iliyo na massage. Ngoma isibagua jamii. Kazi nzuri Ben Pol. Let's share this worldwide.
Anaye sikiliza this song 2021 just make love for like this comment
nice1 umetishaaaa Sophia 2memwelewa sana
Naupenda sana huu wimbo huniondolea stress na kunipa faraja
Dah huyu Ben Pol kaenda wapi jamani...pure RnB
hongera sana kaka.....video bomba....pia idea ya video queen nzuri.....unajua kazi yako.....sauti nzuri....one luv
Usiwe na wivu wa kixhamba hii nyimbo very enjoyable to society.
Cograt bro n be blecd....kazi nzuri mi no fan wako
namkumbuka dem wng Sophie dah hiiingoma naielewa miaka 1000. kama naww bado unailike hii ngoma kwa huu mwaka 2019 gonga like mdau twende sambamba
2024 bado ni 🔥🔥🔥
Uko juu kk gud song,gud video we n mkali wao
Nautazama tena leo 9/06/2023.
Nakumbuka umetoka nipo kidato cha 4. Now nimeitimu chuo kikuu na ndio ulinivutia kutamani kusoma udom na ndoto iyo nashukur ilitimia 2018-2021 na sasa nipo kazini mungu ni mwema kwa kweli.
Best song 🎵 🔥
2021 naelewa hii ni kazi nzuri sana Ben,big up
Im 🇿🇼. My opinion is Ben Pol has the best voice outta 🇹🇿. His vocals are just heavenly
Nyc vedeo....unaonyesha kuwa mapenzi hayachagui rangi wala kabila haijalishi yy ni albino! Yaani narudia mara kumi kumi kuutazama....keep it up broh!