Ben Pol Feat Harmonize - Why (Official Music Video)
Вставка
- Опубліковано 4 вер 2024
- Follow Ben Pol On:
Instagram: / iambenpol
Follow Harmonize on:
Twitter : / harmonize_tz
Facebook : / harmonize255
Instagram : / harmonize_tz
For Bookings contact : bookharmonize@yahoo.com
Call +255755101070
Copyright ©2018 WCB WASAFI .All rights reserved.
Aliyekuwa anasubiri part anayoimba konde boy anipe LIKES zangu hapa!
Jamaa anajua
konde boy sings so nicely in Swahili. napenda mashairi yake
Na bado.
Who's Watching This More 2024🔥🔥🔥
2024
No one🐒
@@KelvinDaynestus😅😅😅
Ben pol feat harmonize kwa kweli huu wimbo kma mmeniimbia mmi wallah Why 😭😭😭😭💔 ila ni kweli malipo ni duniani kma na wwe unauwakika malipo ni duniani pls like zenu
Who else believe this song is better than views it is having!
Prof.anatory upo hukuu🙌
Me
Me
Tumerudi kuuskiliza Muziki mzuuri mwaka huu2024. Asanta saana JESHII🎙️🎼
Chama Cha Wasoma Comment Tanzania CHAWACOTA ...tupite hapa ... Two Best vocalist in East Africa ..ngoma kali sana
umenifurahisha sana hicho chama
Kaz nzur mnoo
Tupo wasomaji
Alex Alexis nice
Tupo mzee bba nasi hatulali
Ben Pol Kitambo Nyimbo Zako Nzuriiiii 🇹🇿 Pamoja Sana Unaangalia Huku Unasoma Coment Like Hapa 👍
anyone watching from Kenya 🖐acheni like,, but either way ngoma Kali you guys never disappoint 🔥🔥🔥
Brother
yeah bro✊✊
True dat
Mising
🔥🔥
Nimependa wapi likes za harmonize ameileta smaaart....
October 2022 this is still my fav
Harmonize never dissapoints Aisseee gonga like kama unakubaliana
Yah
kabisaa..mwanatalanta huyu
Ben pol ulivoanza kuimba nikazani mond
Kuza biashara yako mtandaoni kwa kutangaza biashara kupitia tovuti ya guliostore.com
Konde boy kamficha huyu tozi
Defenetly
Kama umeirudia kuitazama zaid ya Mara 2 LIKE& reply. hapa
Ngoma Kali sana hii
#benpol hii ndo midundo tunaoitak toka kwako brah!
#kondeboy umemurder wallah!
Kama unamkubali Ben pol Na kondeboy wamweeza apa nipe like🙏
nakubaliiii
IDDI MVUNGI thanks 🙏 bro
Izo like ni chakula kwan
🙏👄💓
🙏
To all Kenyans, this is how good music sounds like.
Safi sana
Kabisa,kizungu lugha ya Kuja tu.😊😊
2022 this song still amazing sweet melody. This is a timeless song
I wish these two could do something once again!
2023 still listening to this song
Nami mnipe likes za Kenny kama za konde-boy zimeisha,.. Moto sana mbona mbona
nyimbo kali hongera kwako ben pol n harmonize woyooo 😘😘😘
Scolla umekubali nyimbo kali
yah ngoma kali sana
Jamani leo nimekuwa wa kumi na tatu ku comment . Kaliiiiii sana tupia like yako hapa kama umeikubali video
Hatari sana
Lifat simba xawa
Nc
Pamoja ndugu zangu lazima tuvikubal vitu vikaliii
👋👋👋👋👋👋👋👋🖖🖖🖖🖖🖖
Harmonize part🔥🔥🥰
2024 na Bado ngoma kama mpya!! 🔥
Frm +254.wangapi wanaelewa kwamba after Benpol kumnyanyua Ebitoke na kumuacha sasa ana regret😃😃😃
Any one watching from uganda ?These 2 guys are too perfect and everything was spot on..........we love you neighbours.
inlove with harmonize verse so good inagusa sehemu
Wallahy harmonize mkali🙌 duuuuh🔥🔥 kama unamkubali gonga like apa 💪
Harmonize killed it💯
ben pol yuko wap ximuon umoo daaaah umemfichaaa kimnyama yan daaaah haonekan konde boy nomaa
Sisi wasafi ndo tunabeba muziki wa bongo kubaki ukatae🦂 🤗 #WCB4LIFE
Aaaa wacha maneno wewe nani kasema, au upo ndotoni
Ally N2C sio kwel
Pimbi wewe,, umeongea kitu ambacho hukijui,,
2021 and am still rocking this song 🎵👌🏾🙌🏿😍
Hiiii ngoma ni balaaaa....wajina konde boy unazidi tu kuonexha ......uwezo wakoooo endelea kuwa kalishaa tu
Kamba
Kama umeikubali combination hii gonga like tusepe WCB forever
Damn, this is what happens when two bad ass artists come together....big up Kondeboy na Ben pol .......naikubali Sana outta+254 Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nyimbo hii imenikumbusha mbali hadi chozi linanitoka aise basi acha namimi niseme why😭
Joella Nduwimana pole ndomaisha
Mambooo
Pole sana
Joella Nduwimana Poooleeee m'y dear
Pole sana my dear
2020 tuliofanikiwa kuhuona mwaka huu na tukatazama ngoma hii kali ya konde mko wapi mnipe like zenu ndugu zangu wa tz
ipo siku Kenny atakuja kupata tuzo ya director bora in africa.
Tru bro
Aisee Harmonize Ni king wa Lyrics yaaani
Mistari imenyooka kinoma
"Hayaniishi mawazo nyingi zinajirudia
Penzi lake ndo chanzo,,mmmhhhhhh
Malipo Ni duniani AHera kuhesabiwa
Mi nipo bado rehani nimejitela
Mwana mkiwa
Sasa hizi ndizo WCB standard... Sio Kadamshi.. Wallah tena.. Umemsikiliza Harmonize the way anavyo-harmonize... ni shida!
Yaan kama unamkubali harmonize tz acha ubishi acha majungu uaione wivu gonga like yako hapa please
Ngoma fire kabisa ! Kunayeyote anabisha hapa? Kama unaielewa hii ngoma Kama vile vilishakitokea wanavyosema basi likes nyingi twende!!
Dah huu wimbo unanigusa for real..its like kama wamentungia mie vile.. nice song Ben
Ndio nawasili 18feb 2023
As a member of the comments reading association (C.R.A), I'm only here to read comments. Pls make your comment short and simple.
We do appreciate your typing effort👍 and also watch your spelling. Thanks
Say HI🖐✋ if you're also a member of the C.R.A
ukweli! harmonize umenena .... nawaona zanzibar gonga like
Nakukubali huu wimbo
jmn nisaidieni like Namm nipate hata kumi
Umelalamika sana woooh
Konde boy kaendapoa sana
Mm nimeelewa sana jamani
Umepata dada Tena zaidi ya Mia😂😂😂
Even if i don't even understand!!! Love it from Haïti 🇭🇹🇭🇹🇭🇹
Its all about love (hurtbreak)
Hiii
@@Hustlerfrr Hi
I can do some translations..
Swahili is sweet..ryt..?
Daaaah ujumbe WA humu sio kitoto be blessed broo
kama umemuelewa Hamornize gong like twende pamoja
Harmonize this song really show me how versatile you are in music. Bro keep it up you are the best musician to ever come out of East Africa. Your vocal and delivery is the best. Someday you will own your record label 🙏🙏. Naija boy 🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬
Answered prayer😊today he is a CEO of konde music worldwide,,, isn't awesome 😎
Jamn ngoma tamu hasa harmonizer kaua
Huu wimbo unanifanya nimpate mrembo wa kuoa toka Kenya, yaan uki like nakuoa
Mkimuona mwambieni najiuguza najutia...kweli malipo ni hapa hapa duniani 😎
Konde boy endelea kuwa Toa tu Hao machoz w n noma na Ben pol 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏👍👍
Naomba like2!!
Kwa Wale wamekuja ku conform Kama hii ngoma ipo kwa account ya harmo.... Maana Ben pol kashaa ipost sjui yuasaka Attension gani sasa.... 😊😊
Benpol umetisha apo mwanzo 🔥🔥
Ben Pol, pole.
Sisi ma fans tulikwambia usiowe
huyo dem
but hukuskiza.
We are still with you. God bless bro
After a valentine heartbreak nimekuja uku kuji console
Harmonize hajawahii koseaa.......#wimboo mtamu kushindaa ata samosa za Nakuru*** +254 eka ishara apa....
mhuu nyimbo iko bomba coz wote nmafundi
Nice
Great job here harmonize killed it en Ben burried it🔥🔥🔥🔥
Ok..not me knowing this hit in 2022 I can't get enough 😉
Harmonize kila kukicha nazidi kukupend toka utok wcb piga kazi na songs mble usihof chchote mungu yupamoja nawe kwakila hatua upitiayo
Tanzania muna watoto wasafi wa kiarabu...daaaah! Mashallah!
I love this song
ukiwa una angalia huku unapitia comment like twende pamoj
TO ALL OUR KENYAN MUSICIANS....THIS IS WHAT GOOD MUSIC SOUNDS LIKE
deejay lazz yes, they should be learning from our neighbours
True
😮@@moviqlawfruitboy2457 ❤❤❤
Hawa wote wataalamu wa hii kazi kwahiyo wote ni mafundi 💝
Tanzania si mchukue willy possesed, kasabuni, ringtone pamoja na size sijui 8 and u just give us harmonize... pris!!
ha ha ha ha
ukiwa unaangalia huku ukisoma Comet gonga like tusogeze sanaa yetu
Diamond hasipo jiadhari Harmonize atampita
Safffiii
Ngoma kali sanaaa
nymbo nzur xn
Dah rahaaa Sana
East Africa got more than Diamond we Love our Simba🦁 and our Harmonize ❤
Keep releasing such kind of music and we will not stop listening King Harmonize 💫
Daaaaah,hiii ni zaid ya ngoma kaliiii aseee,kaz nzur brothers....Ben&Harmo..
Aiseee hii nyimbo ni kama umeeleza maisha yangu ninayopitia kimahusiano shikamoo mapenzi ngoma kali Mzee baba.. 😇🤗🤗🙌
Harmonize never dissapoints. Boy very talented.
Best video, Good Music, watoto wa Magufuli mpo vizuri sana!!! Kila kona nasikia ni midundo ya wimbo huu tu....
nooomaaaxana
kwel
Nouma san
🙏🙏
@@johnmwinuka8314 h
I don't know why I love this song....I just find myself rewinding it... I think its the best version of my Ben Pol and best collabo with Harmonize.... nice scriptures, nice melody, nice voice....
Huu wimbo una maana kubwa sana 👏👏Bravo guys
Yani harmo. ujeshi ameanza muziki nao,,ni msanii ambae uezi jutia kumshirikisha Kwenye nyimbo yako🔥🔥❤ anashirikishwa lakini anaimba kushinda mwenye ngoma👊👊
Huyo mmakonde chacha .jamani jamani ..big up bro.
Nice song... +254 kenya nmeikubali... Ka umependa Collabo ya nen na Harmonize Gonga like
Konde boy unaweza vibaya
Kama wewe ni team Ben pol,,, gonga like ili tujuane
am here
Thanks tabitha
why nauliza kwann isitume hata ujumbe wimbo mzur
Big Tune.,....why why why mmmh respect brothers?
Ngoma kali kichupa kikali.....km unaamn harmonize is coming star after Diamond i need ur like to drop down
Iseee apana cheza na mapenzi..moyo ukikuamulia hakuna ujanja ...ngoma safi sana
Jaman nimetokea kuupenda huu wimbo mono na naskiliza kila mara yani. .... kazi nzuri sana Ben pol and Harmonize
Gonga like apa ka una mkubali kondeboy fundiiii
Huyu harmonize yuko vizuri sana.
Ben pol mkaliiii sana wewe jamaaaa nakubar
Kama unakubali hawa the kings basi wape likes zao
Ben Paul umetumia nguvu na ukongwe wako Katika hii ngoma ila ungejilegeza basi huyo mmakonde kutoka ntwala harmonize angekuficha Japo amekuficha ila sio sana....Harmo mwaka 2019 namuona mbaliiiiiiiiiiiiiiiiii Sana na wataanza mwita fremason tu
Daah Malipo Niduniani Kweli Khera Kuhesabiwa Hivyo Inatupasa Kufanya Mema Kabla Yakifo,, Nimeipenda Sanaa Jaman
Huu ndio wimbo wangu bora wa 2019 kma na wwe umakubali vijna wke jpm gonga like ya nguvu Mpendwa
gud chemistry guys! keepin the good music alive
Nawaoneo huruma sana clouds!! Vituvizuri kama hivi vinawapita!! Daaaaaaaahhh!!!!!!!
Oh my god! ❣️😥 " Why why why " all the way from South Africa
Sijawahi ona mtu analia maumivu na machungu huku anakula bata na kuoshea like harmonize. But wimbo mtamu sana
Harmonize has such a beautiful voice
Yes kondeboy
Wamakonde na ndugu zangu wamakabila yote like hapa
Kaz nzuri banaaaaaa,,, proudly artist's from mother land# Tanzania,,, @ harmonize ,,, @ benpol
I was remember some one else nilimkosea xn nilimuumiz bila kosa natman arudi tena
Uwa spendi nyimbo za polepole lakin hii nimeipenda sijui vile ni benpole na harmonenga❤
Kichupa kikali sana kama umeikubali hii ngoma fanya kulike twende sawa
Huu wimbo ! 😭😭😭 Kweli machozii yanatoka Sasa IV napata malipo ya isaliti
Mdogo wangu alinimbia siwezi fikisha like 6
Kama una kubali #WCB gonga like hapa
Acha kubania like
Kuna kitu unaingiza nn kupitia hzo like
Hboy wacha ushamba pambana na Hali yako
Ukipambana I’m behind you I will fight 2
@@rajahiv9723 peti ulale kesho utachelewa shule bus utakuacha Kwanza mm ni teacher wa Karatey 🇧🇷
TheLast Hboy Flavour xawa
wale wanasikia kulia wakisikiliza huu wimbo
gonga like apa
Kinacho kuliza nn ujinga tu
This is the Harminse we loved...sio huyu mvuta bangi wa sasa.
Asanteee....pale mafundi wanapokutana nyasi zinawaka motoooooo.Nashauri tu huyu fundi nae Ben Paul ahamishie makazi USAFINI ili moto uendelee kuwakaaaa.