Nomaaa sna hiii nyimbo spesho wa wapambanaji wote ni kusonga mbele bila kukata tamaaa bila kuchoka na ukichoka uwe umepata.. nyimbo kali inatia moyo na kuburudisha pia ❤❤❤
Ben pole mungu akupe maisha marefu wimbo wko una ujumbe mzito sana hasa kwa sisi vijana so ww ni hazina kubwa kwa vijana hasa wakiskia huu wimbo heshima kwako pen pole
Moja kati ya nyimbo zinazoniMotivate sanaa kwenye hii Dunia ni hii apa Jikubali kutoka kwa Ben pol leo Tarehe 18 mwezi wa 10 mwaka 2022 saa 5:12 usiku, Wajukuu zangu mkiona ujumbe huu huko kwenye siku za usoni baas mkae mkijua nawapenda sana na msikate tamaa.....Japo kwa sasa sina mke wala mtoto na nna umri wa miaka 23😂
Ben kila siku nasema wewe n wa mbele unaepumzika Tanzania tu unajua mpaka unakeraaaaa hii video haishindanishwi na yoyote bongo hapo nakuwekea jay z na kina nanihii wa huko hao ndo saiz yako kaka unajua daahhhhhh m sijaamin naona ka Trey songz kama chris blown vile ila kumbe n wewe Ben umetisha mbayaaaaaaaaaa
Enjoy the #BenPol latest song Natuliza Boli ► bit.ly/BenPolNatulizaBoli
Inakuwaje Ben pol
Ben Pol nakukubali we unanipa xhavu la ukweli
😍😍🙏
Hii ndo content homeboy
Aya boy
Tunao sikiliza leo 2024 tujuane
Nipo mzee Baba
Nomaaa sna hiii nyimbo spesho wa wapambanaji wote ni kusonga mbele bila kukata tamaaa bila kuchoka na ukichoka uwe umepata.. nyimbo kali inatia moyo na kuburudisha pia ❤❤❤
Tulio Rudi apa 2025 tujuane malegend 🎉
NAICHEK MWAKA 2024 SAS SIJAICHOKA
Thanks BenPol. Hii ngoma inajaa insparation ya hali ya juu sana.
Ngoma Kali sasaana
Wanaoangalia mpaka sasa 2023 weka likes zangu please 😊
Ben pole mungu akupe maisha marefu wimbo wko una ujumbe mzito sana hasa kwa sisi vijana so ww ni hazina kubwa kwa vijana hasa wakiskia huu wimbo heshima kwako pen pole
Ngoma kali
Hao wasenge wengine mapenzi tu
RIP Nisher, your workmanship will forever be remembered.
ila hili goma linanpa nguvu sana ya kuendelea kupambana big up👊kjana wa mpunguzi
Who back again here in 2024
Kinyamwezi sana hili Goma till today and it's now nikiskiliza hili Goma najikuta napush life iende mbele kwa kupambana zaidi
Ben pizzzzeeey 2023 nipo Leo nimemiss hiii kitu
Trust me ipo siku utatimiza ndoto yako..SepT 2024??
Nana yupo 2024 mwenzi WA 10 like apa
Daaaaa mwanangu ngoma umeitoa mwana kama ningekuwa nimm nisinge kaaa tz bba ngoma unasikia kwanzia asubuhi mpaka jion daaaa mwana sarut kwako
Wewe nomaa sana
Wimbo wangu huu naupenda sana kuusikiliza tangu unatoka ulinitia hamasa nikapambana na leo nafurahia matunda yake
Nyimbo inamaana kubwa sana Kwenye haya maisha yetu .Bg up bro ulifanya kaz inayoishi na itaendelea kushi ktk maisha yetu haya ya dunian
Bro wabongo hawajui aisee yaan mwamba kama huyu wanashindwa kumpa Award yake kwa kutulia kutafuta na kuunganisha maneno kama haya ? Dah So sad 😢
Tunaosikiliza leo 2021 tujuane kwa LIKES
🥇hii ni nyimbo yangu bora kwa muda wote 💥💥💥.
Nakumbuka mbali sana kaka
2019 ….ujumbe unaweza kuwa valid for a century.....
Hii ngoma nilikua namuon baba angu anasikiliz kila siku jion leo ndo nimeielew 2023
My favorite Ben pol's song of all time!!who's here in 2021??tujuane basi kwa ku turn blue hako ka kitu ka chini
Ben wimbo wa faraja na kutia moyo kwa waloanza kikata tamaa.... ...
jikubali ...
nimejikubali and I c some changes
Ebwanaeeee naweza kua Rais, naikubali sana
Mbunifu mwenye hadhi kama khadija mwanamboka.
Hakika ndio mstari ninaoupenda
Wangu wangu wa nguvu nakubali sana Mimi fan wako from Emirates.
Nimerudi tena kusikiliza nyimbo ya maisha yangu 17/06/2024
"huwezi kuwa chini u get something special" ILINIFANYA NIPATE TUMAINI JIPYA NA NAONA MATUNDA YA HUU WIMBO God Bless Ben Pol for da good msg
Huyu jamaa namkubali sana
great message mtu wangu wa nguvu.....nakukubali sana wangu...mimi n fan wako from zanzibar
inspiration and emotions song ever in Bongo Flava. Pure R&B in Swahili land.
Jikubali hii ngoma" kali kinoma .sichokagi kuisikiliza Huyu jamaa R KELLY WA BONGO
Ben poul ww nihatare king 👑 of RNB
My life ft Darasa wimbo wangu wa muda wote
Hii ngoma kali ila ndio ivo haijakubalika
Moja kati ya nyimbo zinazoniMotivate sanaa kwenye hii Dunia ni hii apa Jikubali kutoka kwa Ben pol leo Tarehe 18 mwezi wa 10 mwaka 2022 saa 5:12 usiku, Wajukuu zangu mkiona ujumbe huu huko kwenye siku za usoni baas mkae mkijua nawapenda sana na msikate tamaa.....Japo kwa sasa sina mke wala mtoto na nna umri wa miaka 23😂
from Qatar ngoga like kwa hii message ya....Ben paul 254 imeweza
I remember This Song On 2013, I was In bad Situation/ Hopeless i used for Inspiration to keep going/Grinding now Is 2021 still on my playlist..
Even me that time i was hopeless aftra finish my high school..noww 2023 am somewhee far..true inspiration
Duuu hapa umenikamata sana nakukubarisana ben aminia mwanzo mwisho ukopoa zaidiyawote jenson derulo true
Mzelelooo mwenechoo benard
Huu wimbo nausikia na kuufeel mpaka ndani
This right here is one of the most inspirational songs i've ever heard! It will always be 💯 relevant generations to generations.
Best of you ben pol
"We don't search for old songs"
"We search for gold memories"🎶🎶
20...
Everlasting masterpiece🎉😊
Kama umekuja kwa ajili ya kifo cha Nisher gonga like 🎉🎉
Wahitaji kufanya collabo na king kaka inaeza tesa sana
Naipenda 🇰🇪🇰🇪
kali sana bro ..hiyo nikali kuliko zangu mbili
The most UNDERRATED song yet the best of all. Ulitulia sana hapa!
Hivi kwa nn watu wanao jua huwa hawana views wengi but on my side I love so much the Ben pol music
Ben pize 🇧🇮🇧🇮🇧🇮☝️✔️wewe ni number ☝️ mbongo 2 wakali Kwanza✌️🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🎵🎶💪💪💪💪hapa Mimi HAKIZIMANA Eric 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
❤❤❤❤Nakubal till now in my heart this song still hit❤❤❤❤Big up broo🎉🎉
Leo nautafakar sana huu wimbo wako pamoja na ujumbe wako ila cjuw nini cku hizi hauimbi nyimbo ka hizi....umbe mzur sana.
Today yashatimia,, ten yrs ago after 4m4...so inspirational 💪
2018 and still so inspirational!
huu wimbo una maadili mema sana kwa vijana kutimiza ndoto zetu
Nakukubali Uko on the right way boY
Here 2022 JIKUBALI ndio ujumbe aliotuachia benpaul tuishi nao.
Huu wimbo mtu mzima ni mzuri sana. Una maneno poa mno!!!
aviti mushi nikweli kabisa
wimbo wngu bora kwa zaid ya miaka 10
R.I.P nisher video Kali sana
Nimejisikia tu leo kusikiliza hii nyimbo itaishi sana kwenye jamii ya leo kesho na milele. najiona nimeimbiwa pia.
Ben Paul You Got Something Incredible ✊🏿
big up brother very nice rhythm with a lot of teaching
Hakuna msanii bongo nae mkubali zaidi yako na Barnabas classic
NYIMBI HADI LEO INAWEZA SANA
here 2024 ,💪💪💪
Anthem yangu now that naiishi ndoto yango
firee
Today 2023 yashatimia,, ten yrs ago after 4m4...so inspirational 💪
ACHA NIJIKUBALI🙌
One of the best inspirational song
Ben kila siku nasema wewe n wa mbele unaepumzika Tanzania tu unajua mpaka unakeraaaaa hii video haishindanishwi na yoyote bongo hapo nakuwekea jay z na kina nanihii wa huko hao ndo saiz yako kaka unajua daahhhhhh m sijaamin naona ka Trey songz kama chris blown vile ila kumbe n wewe Ben umetisha mbayaaaaaaaaaa
hizi ndo nyimbo sasa
wakati wangu ndio leo.naanza sasa daaah moh likes if u still litening 2020
Yaani me napenda huu wimbo sana yaani , big up bro
Nice song
Song ina mafunzo na inaburudisha
October 2024 naangalia na kusikiliza ngoma kali sana
kazi nzur xna
masterpiece 🎹🎹
unaweza sana bro
One of my favorite song Jikubali... This should be one of the best Video in Africa... well done
fantastic work keep it up benpol.
2021 mpaka leo malengo yangu hayana dira🙏🙏♥️
😂
Yes yes na jikubali
After 9yrs, Ben Pol mwambaaaa
i love the video D:
Nice song, itz true "in life nothing more than fulfilling our dreamz,,
great messagu to our young people. great delivery!
Yap lets go champ lov dat
Im back 2023 again
I feel it now 2023🎉
tunaosikiliza leo tar 05/10/2021 gonga like
fantastic song From Ben Po, we need another song like that.. 2023 🔥🔥🔥🔥
The best song
thank you Ben.....