Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

SIKU YA WANANCHI | Highlights | Mechi ya kirafiki | Yanga 1-2 Zanaco

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 сер 2021
  • Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
    ►INSTAGRAM: / azamtvtz
    ►INSTAGRAM: / azamsports2
    ►TWITTER: / azamtvtz
    ►FACEBOOK: / azamtvtz
    ►WEBSITE: www.azamtv.co.tz

КОМЕНТАРІ • 433

  • @lufundadimpoz6063
    @lufundadimpoz6063 2 роки тому +37

    Tuliokuja kumtazama phiri baada ya kutua simba gonga likes

  • @annamrsmoses7413
    @annamrsmoses7413 2 роки тому +35

    Aliyekuja kuangalia uwezo wa mchezaji wetu halali Moses phili like tujuane kama ilivyo kauli mbiu yetu ya nguvu moja

  • @Andrew-eb2jc
    @Andrew-eb2jc 2 роки тому +44

    Gonga like kama umekuja kumwangalia Moses phiri baada ya kusajiliwa

  • @tymonockey7682
    @tymonockey7682 2 роки тому +55

    Wangapi are here for Moses Phiri, baada ya kusajiliwa Simba

  • @richardjohn1816
    @richardjohn1816 2 роки тому +3

    Jamn tulio ludi kumshudia moses bada ya usajili tujuanee

  • @venitarugemalila9290
    @venitarugemalila9290 Рік тому +1

    Sasa huyu Kapumbu nikajua ni matusi kumbe jina kha!baba wa Kapumbu nae ni 🔥

  • @mariapialakanje3446
    @mariapialakanje3446 2 роки тому +11

    Safiii sanaa zanacco hajahaha mshabiki yametulia Yanga mtakufa presdure

    • @husseindatto8359
      @husseindatto8359 2 роки тому

      Mm naona tunapo fungwa msimu ujao tunakuwa na tadhali Sana msimu huu wamepoteza wote Simba na yanga

  • @daudimasumbuko6645
    @daudimasumbuko6645 2 роки тому +26

    Am Simba SC fan.. congratulation Yanga for a good game, you played well, and for the goalkeeper Diallo as well.

  • @juliusdonard933
    @juliusdonard933 2 роки тому +1

    Wananch tuko vizur love yanga hawa zenako waltukamia hamna shida but we'll done

  • @richardmakene7780
    @richardmakene7780 2 роки тому +9

    Kiwango cha utopolo n kcheza kagame cup syo klab bingwa kuna wenyew waliowekwa kwenye orodha ya vlab bora afrika

    • @marrysalanga2073
      @marrysalanga2073 2 роки тому

      Hahahaha

    • @afterfull-time1348
      @afterfull-time1348 2 роки тому

      UTOPOLO 🐸🐸

    • @kundaelpissa5591
      @kundaelpissa5591 2 роки тому

      Hv viwatu vya simba vinatokea wapi kutia domo yan kwe msafara wa mamba na kenge wapo

    • @2times273
      @2times273 2 роки тому

      @@salmasebastian1340 hatukujificha miaka minne tuanze mwaka huu?

  • @omarirumanzi2390
    @omarirumanzi2390 2 роки тому +9

    Hii yanga nihatari sana,mwakahuu timu zinashida sana

    • @wamoroboy8963
      @wamoroboy8963 2 роки тому

      Tumebadilisha mpaka jezi lakini wapi tumekalia liboro fc😪🥴

    • @jamesmbata8542
      @jamesmbata8542 2 роки тому

      Hahaha shida nazan ushaanza kuionja kwa Kapumbu

    • @mahengomwenyewe4204
      @mahengomwenyewe4204 2 роки тому

      Omari Yanga gani mliisema sio hatari ?? Kwani ya akina molinga hamkusema hatar ?? Ya akine ipe hamkusema hatar ?? Si mnasema Tff inawahujumu leo mnasifia wachezaji tena vep Tff haipo ??

    • @anastaziakengele1701
      @anastaziakengele1701 2 роки тому

      👉 👉 👉 🐸 🐸 🐸 🐸 🐸 HAKUNA TEAM PALE LABDA AINGIE NA MANARA

  • @kacherosimba5762
    @kacherosimba5762 2 роки тому +6

    Nime rudi tena kumuangali phili mtu na nusu

  • @elliky2wo2wo95
    @elliky2wo2wo95 2 роки тому +3

    Dh mech tam sana I love 💕 yanga

  • @chrispinemichael2334
    @chrispinemichael2334 2 роки тому +4

    Wanaume kutoka Zambia wamewafikisha utopolo kileleni kilanga kimeisha sasa.

  • @paulharuna5053
    @paulharuna5053 2 роки тому +1

    Wapo vizuri san yanga kikubwa waelewane tu

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 2 роки тому +6

    UTOPOLO amelidhalilisha taifa nyoko kweli hawa NyaniFC

  • @hassanhassan1184
    @hassanhassan1184 2 роки тому +7

    Jaza ujazwe mpiraa uwanjani sio mdomo Mbana hamjushinda na Manara alikuepo

  • @fundisalum2529
    @fundisalum2529 2 роки тому +6

    UZINDUZI YANGA DAY GOLI MBILI MANARA NUKSI MMEONA HIYOOO

    • @nadymhamad2655
      @nadymhamad2655 2 роки тому

      Umeon ww t2

    • @saimonijonas4356
      @saimonijonas4356 2 роки тому

      Unajua ukimjibu mshabiki utakuwa sawa nakumjibu chizi.Mkimjibu mtu wa mpita unakuwa sawa nakumjibu mtu mwenye akili timamu.Niulize nikujibu mana ya hayo maneno yangu.

  • @omaryregga5315
    @omaryregga5315 2 роки тому +2

    Utopolo kaz mnayoooo tena sana tu

  • @amosmahona433
    @amosmahona433 2 роки тому +1

    Kushabikia yanga ni sawa na kuajiriwa kiwanda Cha kukata vitunguu

  • @chidybahati4668
    @chidybahati4668 2 роки тому +2

    🙋🏾🏃🏽habarizen washukaji 2shukamane kwa umoja 2iombee Tanzania

  • @juliusisack4090
    @juliusisack4090 2 роки тому +3

    MOSES PHIRI 😂

  • @abuumuhammad7133
    @abuumuhammad7133 2 роки тому +2

    Goli kipa tuliambiwa anadaka mpk mikuki jamani waoneeni huruma wananchi munawaadaa sana kila usajili munachotaka muuze jezi tu.

    • @shamisalryam4775
      @shamisalryam4775 2 роки тому

      Hata mimi nimeshangaa huyo alosifiwa lkn hamna kitu hapo wasubiri maumivu na manung'uniko tu utopolo

  • @sammanjeka7357
    @sammanjeka7357 2 роки тому +2

    Mmekuja kutuuwa uwanjan au haya mafataki nilkuwa sijajiandaa nimeruka mpaka nimechana suruali yangu duh.

  • @dullahkalanjedullahkalanje1422
    @dullahkalanjedullahkalanje1422 2 роки тому +2

    Yanga ni mwendelezo wa kufungwa

    • @superbillionairea5987
      @superbillionairea5987 2 роки тому

      Kwakua hiyo nimechi ya kuwajaribu wageni wao Basi wamefeli pakubwa

    • @superbillionairea5987
      @superbillionairea5987 2 роки тому

      Ila wajipange vizuri maana zanaco nitimu mzuri lakin sio Kama nkana.

  • @geofreyanania1108
    @geofreyanania1108 Рік тому +1

    nimekuja kuangalia comment za makolo jinsi walivyokuwa wanasema mayele tumepigwa

  • @lamafia6499
    @lamafia6499 2 роки тому +6

    Timu ina wiki moja kwenye mazoezi ndo utegemee wa fanya vizuri

    • @afterfull-time1348
      @afterfull-time1348 2 роки тому

      Kipindi mnawaalika mlikuwa hamyajui hayo Nyani kaanzia alipoishiaa

    • @wamoroboy8963
      @wamoroboy8963 2 роки тому

      @@afterfull-time1348 tumebadilisha mpaka jezi lakin wapiiii😪

    • @mahengomwenyewe4204
      @mahengomwenyewe4204 2 роки тому

      Wenzenu hao zanaco wana wiki ngapi ??

  • @deocharles8349
    @deocharles8349 2 роки тому +4

    The fact kwamba ndo game yetu ya kwanza ya pre season tumecheza fresh sana . Ila muloko ni bora kuliko Tuisila, na Djuma Shaban ni upgrade kwa Kibwana

    • @2times273
      @2times273 2 роки тому +1

      Vipi Moloko bado kamzidi Kisinda?

    • @deocharles8349
      @deocharles8349 2 роки тому

      @@2times273 alionekana productive sana mwanzo wa msimu Ila nahisi baada ya injury kuna kitu kimepungua

  • @mathiasulaiti5665
    @mathiasulaiti5665 2 роки тому +4

    ikkumbukwe hii ni timu ya siku sita well done Yanga

  • @lovenesskalenge2683
    @lovenesskalenge2683 2 роки тому +9

    Yote kwa yote Naipenda Yanga🤩🤩

  • @youngnjaroyoung8912
    @youngnjaroyoung8912 2 роки тому +1

    Polen kiwango Chen nikucheza na pamba fc

    • @salimissa8133
      @salimissa8133 2 роки тому +1

      Poleni wanayanga wezangu tusihofu kwa lolote Moira bado sana

  • @nelsonkahangwa877
    @nelsonkahangwa877 2 роки тому +2

    I am Young Africans Fan since 1970, today you show Classical Soccer. Keep it up!!!

  • @athumanipigo9295
    @athumanipigo9295 2 роки тому +8

    Hii timu ni kikundi cha vicoba wanajuw kutengeneza cheji nasio kucheza, muwe mnajipima nguvu na timu za ndondo cup. Wapuuzi nyie utopoloo

    • @wamoroboy8963
      @wamoroboy8963 2 роки тому

      Utopolo 🥴

    • @waziriadam6481
      @waziriadam6481 2 роки тому

      Kama una tim yako ilete tukuonyeshe mpra tukufanye mbaya ndo maana tumeita tim kubwa sio namungu nu tim kubwa imeshiriki clab bingwa africa mara nyingi

    • @waziriadam6481
      @waziriadam6481 2 роки тому

      Alafu kama imekuuma potezea we si morokoro fc ss ndo tunajua tufanyaje sio nyie makolo sawa alafu alafu achana na habar ya kutukana kwani umeitwa huku au unajipendekeza tu

    • @shaurimtanda8285
      @shaurimtanda8285 2 роки тому

      @@waziriadam6481 acha kupaniki wewe mpira hauko mdomon tengenezeni timu

    • @ramadhanimusa7582
      @ramadhanimusa7582 2 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🙊

  • @yohanapaul9165
    @yohanapaul9165 2 роки тому

    Azam tuwekeeni highlight ya jana bana

  • @martinanappa9406
    @martinanappa9406 2 роки тому +3

    Yanga wako vzur..
    Mtafika mbali...

    • @karaoglan9444
      @karaoglan9444 2 роки тому

      Mbali kwa timu hili timu ngedere?

    • @emmanueljonas725
      @emmanueljonas725 2 роки тому

      umeona mwa jomba acha wanaobonga wabonge

    • @waziriadam6481
      @waziriadam6481 2 роки тому

      @@karaoglan9444 kalete tim tukufanye mbaya ss ndo maana tumeita tim kubwa ili tujue ni wap turekebishe tungetaka magoli tungeita hata namungo lakin tumeangalia mbali

    • @nadymhamad2655
      @nadymhamad2655 2 роки тому

      Acha waseme,kisha watanyamanz,maan,y,makolo,maana,yke,n,vitu vingi vinavyojikusany pamoj,na kuwangalia,watu wakiwasema,vibay

    • @ceciliaassenga4015
      @ceciliaassenga4015 2 роки тому

      @@waziriadam6481 Acha unyani we bwege, lini utopolo 🐸 ilimfunga namungo. Huna jipya😂😂😂😂😂

  • @franciscomohamedjumanne1136
    @franciscomohamedjumanne1136 2 роки тому +7

    YANGA TUTAKUWA VIZURI MNOO MSIMU HUU NAKUBARI TUMEPOTEZA BUT WE ARE GOING TO BE STRONGER THAN TODAY

  • @twallibkassim6023
    @twallibkassim6023 2 роки тому +2

    Ni siku ya mwananchi,Kapumbu katia doa

  • @innobugobola1694
    @innobugobola1694 2 роки тому +2

    Mi Ni MwanaNchi wa YANGA but Nmekubali kiwango Kizur Cha MOZES 9 wa Zanaco kumb YANGA tunaweza kumfikilia Moses forward MAKINI San

  • @shedrackjacksonkaboza4348
    @shedrackjacksonkaboza4348 2 роки тому +4

    Yani mnapigwa kwa siku zenu , ninyi ni vibonde 2

  • @joshuasamson9618
    @joshuasamson9618 2 роки тому +11

    Huyu mngeni rasimi ni mtu wa Hovyo sana unakatibiswa uongee unaongea nusu sana analeta uccm wake wanjani mpira Mpaka watu wameamua kupiga baruti ili kumkatisha ni upumbavu wa Hali yake ya ubovu kwani dhamu Yanga mjifuze kuleta wangeni rasimi lakini sio huyo mpunga

  • @yohanamwakaje6871
    @yohanamwakaje6871 2 роки тому +3

    Waaaawoooo kambaki yakimataifa

  • @fredrickmtangoo5071
    @fredrickmtangoo5071 2 роки тому

    Hawa Yanga wajiandae vizuri mechi za kimataifa.

  • @mercymwanza7715
    @mercymwanza7715 2 роки тому +8

    Congratulations zanaco fc

  • @nasrisadick8290
    @nasrisadick8290 2 роки тому +1

    Moses phiri,,,mwambaaaaa

  • @filimonsima6317
    @filimonsima6317 2 роки тому

    Feisal salumu yupo poa sana watani zenu

  • @johnsingano7988
    @johnsingano7988 2 роки тому +9

    Umbea ndo atutaki mmejaza mkajazwa 😅😅😅😅😅

  • @dionizgidion
    @dionizgidion 2 роки тому

    Yanga imecheza vzr

  • @mahengomwenyewe4204
    @mahengomwenyewe4204 2 роки тому +1

    Je ni kweli Manara aliwahi kua msukule kipindi yupo simba tuliwahi kusikia maneno haya

  • @rossmaryphases8509
    @rossmaryphases8509 2 роки тому

    E mngu barki yanga yangu ya mwk huu ipafom vzr

  • @thechosenone.9169
    @thechosenone.9169 2 роки тому +2

    Yanga hongereni mmecheza Mwingi,mmenyimwa penalti na faulo moja mbele ya 18.Mimi ni Simba.

  • @sekishafii3896
    @sekishafii3896 2 роки тому +4

    Yanga hii tunachukua mapindiz

    • @dazookman6417
      @dazookman6417 2 роки тому

      tumebeba hadi ligi mapinduzi tumekuachia wewe

  • @reggaetvemanuelpiusmasaki7183
    @reggaetvemanuelpiusmasaki7183 2 роки тому +2

    Yanga wajitetee kwamba hawajazoea kucheza usiku!

    • @saimonijonas4356
      @saimonijonas4356 2 роки тому

      Ukiwa unaagalia mechi ya kirafiki u naweza ukawa namakengeza.,kama utakosa kutazama mpira na uhitaji wa kesho.Kwakuwa mechi ya kirafiki kazi kubwa nikuangalia nini bado kwenye timu yako kabra haijaingia kwenye mechi za mashindano.Urekebisheili uwe sawasawa.Mvua za vuri kazi yake nikukiandaa msimu mpya.Hata nyumba yakulala huwa mvua ya vuli inakujulisha wapi pana vuja ili upazibe kabra ya masika yenyewe.Yanga kwa mechi hii wameonyesha wako vizuri.Nimapungufu madogo yakurekebisha kabra ya msimu wa ligi kuanza namashindano mengine.Ili uzibe lazima pavuje kwanza naili pavuje nilazima inyeshe.Kwayanga kufungwa imenyeaha na kuna mahara pamevuja.Simba nao labda waalike timu ambayo imekaa kambini siku 5.

    • @appomwenda2472
      @appomwenda2472 2 роки тому

      Duuh Kuna wa2 kwel lakin wanajua?

  • @alfredsindani3996
    @alfredsindani3996 2 роки тому +2

    Huyu Moses jamani simba hawakumuona

  • @funnyvideoworldwide3283
    @funnyvideoworldwide3283 2 роки тому

    Asante sana yanga

  • @eliahmwingwa8839
    @eliahmwingwa8839 2 роки тому +3

    Watu bado hawajasahau tukio la Hamza, hiyo mifataki wamezoea Simba ambao ndo timu anzilishi hapa Bongo, uto na mifataki wapi na wapi.!

  • @barackaherman5578
    @barackaherman5578 2 роки тому

    Young Africa yawatamanisha wapinzani kutoka paka FC kujuwa kuwa wanawezekan lakin wakumbuke kuwa mwanzo mgumu shall out for young Africa

  • @danielabel2358
    @danielabel2358 2 роки тому

    Asante polisi

  • @mchomedikson8449
    @mchomedikson8449 2 роки тому

    Kindunda vs katu
    Kj
    Katk
    Katomba vs kidunda

  • @freddybaziraomari
    @freddybaziraomari 2 роки тому +6

    Sisi tunawatu

  • @priestparishpetro9641
    @priestparishpetro9641 2 роки тому +3

    Hivi Kofi ajaimba wamechukua wameweka waaah?🤣🤣🤣🤣

  • @amrimagambo7902
    @amrimagambo7902 2 роки тому

    Yanga jana wameupiga mwingi hawa jamaa walikua na mungu tu

    • @mahengomwenyewe4204
      @mahengomwenyewe4204 2 роки тому

      Kama wao walikua na Mungu nyie mlikua na shetani nyambafu kapumbu kawa....funga siku yenu

  • @theresiakisoviated.4886
    @theresiakisoviated.4886 2 роки тому +1

    Ama kweli hizo mbwembwe zimewaisha et olamide alikuja kufanya nn hapo kupoteza muda tuu,je na Dada ya A.K.A nimekuzoea.Nandi nae alikuwa kafichwa kwenye boksi nimeamini kweli yanga walikuwa kwenye siku zao wadau na kumficha kote wakaingiliwa na kapumbu🤣🤣🤣

  • @melvinkanje70
    @melvinkanje70 2 роки тому +1

    Yanga waliona Kama Wanacheza na msimbazi 😅😅😅😅😅

  • @directormaganga7698
    @directormaganga7698 2 роки тому +7

    Timu nzuri

  • @joedjonas1619
    @joedjonas1619 2 роки тому

    Mechi safi kabisa

  • @PK-ba8go
    @PK-ba8go 2 роки тому +1

    Nimeiangalia mechi hii. Udhaifu wa Diarra ni mkono wake wa kushoto. Ni mzito sana. Lakini Makambo,moloko na Djuma wako vizuri sana.

  • @MightyLumber
    @MightyLumber 2 роки тому +1

    Yaani mashabiki wa Yanga ni kama mazezeta vile, wanatia huruma sana.

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 2 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @husseinibrahim530
    @husseinibrahim530 2 роки тому +1

    Baraaaaaa ! KAPUMBU

  • @lucamatiku1532
    @lucamatiku1532 2 роки тому +1

    Watangzaji na marefa dakika ya 13 Au 14 Faisali hakuwa offside????naiona offside kwa 💯% lkn wkanyamaza na kutuaminisha kuwa ni onside lengo mwenyeji apate goli lkn kapumbu akamaliza shooo

  • @vairasiv4228
    @vairasiv4228 2 роки тому +8

    yanga timu yetu mbovu...hatufiki popote..msimu huuuu

  • @jacobmalley9175
    @jacobmalley9175 2 роки тому +1

    Ajamalizia Kelvin nan mtangazaj jau😥

  • @habibiswaleh1849
    @habibiswaleh1849 2 роки тому +1

    Mara kazi anayo kidomo kishaafungwa 😀😀😀😀😀😀😀😀

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 2 роки тому +1

    Ila hawa jamaa wa zanaco wanaroho mbaya anafunga mtu akiwa kwenye siku zake tena aliyewapa mimba n KAPUMBU KELVIN😂😂😂🐸🐸🐸

  • @kacherosimba5762
    @kacherosimba5762 2 роки тому +4

    ila kapumbu sio mtu mzuli yani wananchi wako kwa siku zao yeye hajataka kujuwa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @gloryjesus4308
    @gloryjesus4308 2 роки тому

    Haijawahi tokea kuona yanga ikicheza mpira kama huu naangalia tena na tena

  • @goodluckmoshi5544
    @goodluckmoshi5544 2 роки тому +2

    mngemuingiza na manara watani wa jadi😂😂😂

  • @josephshigula2473
    @josephshigula2473 2 роки тому

    Gori bora la afrika sahko

  • @micdantv1911
    @micdantv1911 2 роки тому +5

    Yanga bado sanaaaaa

  • @herykassm9414
    @herykassm9414 Рік тому

    Phiri jeneral

  • @josephatbrown4716
    @josephatbrown4716 2 роки тому

    Walizingua hata kama nipo Young

  • @kipomtumbad8571
    @kipomtumbad8571 2 роки тому +3

    Uongo dhambi kwa yanga hii watu watabaki midomo wazi

    • @nadymhamad2655
      @nadymhamad2655 2 роки тому

      Bdo hatujakuwelewe,watabak,midomo,waz,v ip

    • @mahengomwenyewe4204
      @mahengomwenyewe4204 2 роки тому

      Hakuna mwaka manyani fc mlosema usajili wenu mbovu mliwapamba akina molinga kisha ipe hakuna lolote fuku fuku fc nyie

    • @kipomtumbad8571
      @kipomtumbad8571 2 роки тому

      Kunielewa Mimi labda uingie kwenye google translated

  • @mariapialakanje3446
    @mariapialakanje3446 2 роки тому

    Meenda hadi airport eti kumleya olomide aje afanyeje sasa hahaha mje mumtie huzuninwa kufungwa hahahaha mnapenda kujionyesha mno na bado sana hmjui kbusa mpira ndo mana mnapokea kadi njano km vichaas

  • @zephlinekatindili7637
    @zephlinekatindili7637 2 роки тому

    Utambulisho

  • @bonykalayo284
    @bonykalayo284 2 роки тому

    Simba na anzam

  • @omarindeu6432
    @omarindeu6432 2 роки тому

    Yes

  • @mikidadimuhando2315
    @mikidadimuhando2315 2 роки тому +1

    WATANI WANANCHI, PILAU IMEINGIA MCHANGA, SHEREHE IMEANDAMANA NA MVUA PILAU HALILIKI TENA, FURAHA IMEKUWA HUZUNI, NATABIRI HAWANA MWENDO WATATOLEWA ASUBUHI NA MAPEMA

    • @maryberege3093
      @maryberege3093 2 роки тому

      Yanga ni tamu sana kipindi cha kwanza wenyewe mlikubaliana ila walipo watoa timu ya kwanza na kuingiza timu nyingine ndipo umeona matokeo hayo. Subirini tuanze mechi zetu mtaomba poo

  • @netienne1992
    @netienne1992 2 роки тому

    kosa kosa za goli keeper

  • @nebatymwashiuya7588
    @nebatymwashiuya7588 2 роки тому

    Haturuuuu

  • @yasserabbdallah3195
    @yasserabbdallah3195 2 роки тому +1

    Hapo vp yanga kazi ipo

  • @rabymulo3199
    @rabymulo3199 2 роки тому +5

    Wamejazwa wao

  • @joshuamwambene6041
    @joshuamwambene6041 2 роки тому +3

    Mchezo wa YANGA ni mdogo mno. HAWAFUNGI magoli. Narudia tena mpira ni magoli.

  • @lucasjohn2316
    @lucasjohn2316 2 роки тому

    Phiri anapita tu jamaniii na huyo kapumbu anawapiga pumbu hajui Kama mpo kwenye sikuzenu manara utanijibu

  • @abdulrazakshaali4994
    @abdulrazakshaali4994 2 роки тому +1

    tmfungwa il tumeupiga mwingi san

  • @benmwasakujonga3575
    @benmwasakujonga3575 2 роки тому

    Filipo mozez kanileta hapa tena

  • @happynessiamosi3798
    @happynessiamosi3798 2 роки тому

    Mm naona yanga ni washamba tu maana hata mavazi yenyewe hawajii kiva eti kivaa suti ya bluu na Lana nyeupe wapi uliona

  • @mariapialakanje3446
    @mariapialakanje3446 2 роки тому

    Yanga utopolo tuuu Nuksi manara kashaingia nazo hahaha sherehere imegeuka huxuni hahahaha mtalia sana mwaka huuu

  • @dismasmushi1430
    @dismasmushi1430 2 роки тому

    Hilaa daah watu wpo kweny sku yao alafu mnawapiga magoli

  • @alfonsimwalongo9164
    @alfonsimwalongo9164 2 роки тому

    Yanga wanajua

  • @franciscomasungulwa3575
    @franciscomasungulwa3575 2 роки тому +3

    Nice display Young Africans

  • @xamweljulius933
    @xamweljulius933 2 роки тому

    Utopolo bado sana