Mchango wa migogoro katika ukuaji wa Kiswahili

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 вер 2024
  • Migogoro imesababisha kuwepo kwa wakimbizi, wanajeshi kutumwa nchi mbalimbali, uhamiaji na mambo mengine mengi. Katika madahalo huu, wasomi wanajadiliana kuhusu michango ya migogoro katika ueneaji wa Kiswahili.

КОМЕНТАРІ • 1

  • @denicesalapion59
    @denicesalapion59 9 місяців тому

    Hata wahamiajii haramu wanaokuwa bado wamejificha hujitahidi kujifunza kiswahili ili kuonekana wenyeji. Kigezo kikubwa Cha wasaka wahamiaji haramu ni kuwajaribu kiswahili. Hivyo hujikuta inawalazimu kukijua.