"Mawazo" Sehemu Ya 42 (Thoughts) Dr Elie VD.Waminia.
Вставка
- Опубліковано 1 гру 2024
- Kwa MaonI, Ushauri Wasiliana Nasi Kwa Simu Namba (0747-744744 CHOMOZA MEDIA LIMITED) Au Kwa Barua Pepe Email. chomozamaoni@gmail.com
Pia Unaweza Kutufatilia Facebook @ChomozaTV Na Istagram @chomozanews TikTok ChomozaTV
Mungu Wetu Wa Mbiguni Akubariki......Endelea Kujifunza Na Kushare Mafundisho Haya Kwa Rafiki Na Nduguzo.
Kuendelea kupata mafundisho mengine zaidi tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamiii:-
Facebook : / gospeltvshow
Instagram : / chomozanews
UA-cam : www.youtube.com...
#ChomozaTv#2023 - Розваги
Asante sana sana Doctor Mungu akubariki sana sana napenda chemistry yenu we na Sam anajua sana kufit na wewe, huyo mwingine anawaza muda tu hahaa
Nimejifunza, asante Chomoza. Pongezi Dr Elly. ❤🎉
Mungu akulinde Dr pamoja na timu nzima ya chomoza nawapenda sana
Ahsante Sana Mwenyezi awe pamoja Nanyi
Thank you Dr.Mungu akutunze.
Nimejifunza asante Team Chomoza, i love you
We love from Burundi 🇧🇮 we love
Safi sana dr
Oh baba dr.asantee❤❤
Nimefuhi kuwaona wote wanne good team❤
Elimu kazini
Dr Ellie alituahidi kua atatoa vutabu vipi imefikia wapi? Mbona mpaka leo kimya?
Hbr ndugu zangu chomoza mmetufundisha mengi San Mungu awabariki nina swali je nisawa kuuza vitu kam mnadan kanisani?
😊
Sisi waislam ni dk 30 mahubiri sala dk 5
Baba umenichekesha😂😂😂