EXCLUSIVE: SAKATA LA LAWI NA SIMBA | COASTAL UNION WAJIBU | YUPO KAMBINI TANGA.? | TITO AFUNGUKA....

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 лип 2024
  • Hakikisha Umesubscribe Chaneli yetu ya #AyomaMedia kwa habari za uhakika
    Na pia tufuatilie Katika Mitandao ya Kijamii kama Instagram & Facebook na Twitter kama @Ayoma_tv
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 6

  • @mwalimualli3076
    @mwalimualli3076 10 днів тому

    Mimi Simba naipenda lakini kwa hili la Lawi Simba wajue yule ni mchezaji wa Coastal Union na tatizo la Simba wanaua vipaji vya wachezaji k.m. mchezaji Ame wamemchukuwa kwa vishindo matokeo yuko wapi hebu wasiminyane na Costal. Hawa Coastal wanajitambua ukiwaingia kichwa kichwa utaumia ni timu yenye viongozi wanaojua sheria.

  • @AmaniKasekwa-uw8hp
    @AmaniKasekwa-uw8hp 12 днів тому

    Simba ni timu kubwa hatu bembelezi mchezaji

  • @KonjiKabasa
    @KonjiKabasa 13 днів тому

    Simba team kubwa

  • @ismailhassan5209
    @ismailhassan5209 12 днів тому

    Mmekuwa na tamaa mtakosa yote na Lawi atashuka kiwango hatasajiliwa Tena Simba
    Kwani vijana wa ki Tanzania
    Waliosajiliwa simba wakisha fan fanikiwa kuingia makundi na hata robo fainali watapanda chat
    Hivyo Simba haitasajili Tena Lawi na wakati huo Coastal union wakati imefeli makundi na Coastal haitapanda tena.

  • @user-wk2bg8zf3l
    @user-wk2bg8zf3l 12 днів тому

    simba tuachane nae tu

  • @ezzepuritykamwene2121
    @ezzepuritykamwene2121 13 днів тому

    Km vip simba tuachane nae mbona tumemuacha inonga ,, chama walikua watu muhim mno, ije hicho kitoto . Wabaki nacho km vip