OHOO! BOMU JIPYA LINASUKWA HAPA | TAZAMA KOCHA FADLU AKIWA MAZOEZINI NA KIKOSI SIKU YA KWANZA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 жов 2024
  • SUBSCRIBE NOW:
    🌐 Site: simbasc.co.tz/
    📱 App Store - apps.apple.com...
    📱 Play Store - play.google.co...
    🔵 Facebook: / simbatanzania
    📸 Instagram: / simbasctanzania
    𝕏 Twitter: / simbasctanzania
    🎶 Tiktok: / simbascofficial
    About the Official Simba SC UA-cam Channel:
    Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference
    🔵🔴⚪ #NguvuMoja #Wenyenchi

КОМЕНТАРІ • 201

  • @ImaniMadiba-yu7wn
    @ImaniMadiba-yu7wn 3 місяці тому +37

    Mungu awalinde na AWATETEE akawape maarifa na uelewa pindi kocha akiwafundisha🙏🏽🙇🤲

  • @jacksonmseli9195
    @jacksonmseli9195 3 місяці тому +28

    Safii saana Team yangu.. Next season tusipoe tusiboe

  • @MichaelMdenye
    @MichaelMdenye 3 місяці тому +91

    Kama kwl ww nimshabiki kindakindaki wa Simba naomba like zako apa

    • @Jastus100
      @Jastus100 3 місяці тому

      Likes zinakusaidia nini

  • @hamzaamry6251
    @hamzaamry6251 3 місяці тому +41

    Ya Allah tulindie wachezaji wetu kwa mabaya yote yatakayo pita mbele yao🤲

    • @maryamnofli2109
      @maryamnofli2109 3 місяці тому +3

      Aamiin Yaa Rabb ❤❤❤

    • @Ally-jf6wu
      @Ally-jf6wu 3 місяці тому +3

      Amen

    • @SalumHaji-dn3vl
      @SalumHaji-dn3vl 3 місяці тому +5

      Simba nguvu moja 💪💪

    • @zuhurajabiri3900
      @zuhurajabiri3900 3 місяці тому +3

      Aamiin

    • @maryamnofli2109
      @maryamnofli2109 3 місяці тому +3

      @@SalumHaji-dn3vl
      Biidhiin LLAH
      🔥🔥🔥🦁🦁🦁💪💪💪
      ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @hamischubwajumanne2269
    @hamischubwajumanne2269 3 місяці тому +19

    Nguvu Moja ngoja tuone msimu ukianza maana Simba yangu naipenda sana

  • @KAYANDAFILMS
    @KAYANDAFILMS 3 місяці тому +1

    Jamani naomben like kam ww ni mwan simba

  • @iddiramadhan
    @iddiramadhan 3 місяці тому +8

    Kila la khery mnyama Simba sports club ktk maandalizi Amiinna Rabillah Allah miinnah 🤲

  • @Eminemhamisi
    @Eminemhamisi 3 місяці тому +16

    Nguvu Moja❤️‍🔥

  • @RobertCharles-l1o
    @RobertCharles-l1o 3 місяці тому +53

    Wana simba gonga like hapa❤

  • @jaysondamian9326
    @jaysondamian9326 3 місяці тому +87

    Kama unaimani na kocha gonga like hapo

  • @JaphariOmary-z3m
    @JaphariOmary-z3m 3 місяці тому +15

    My one and only club in this universe

  • @Jayhood28
    @Jayhood28 3 місяці тому

    Wanasimba tuombe Mwenyezi Mungu awajalie heri wachezaji waelewe maelekezo ya Coach mapema.Simba Imara..Nguvu Moja❤

  • @shikuhata
    @shikuhata 3 місяці тому +53

    Kwa alieona ukubwa wa Simba gonga like apo

  • @teklasiwiti891
    @teklasiwiti891 3 місяці тому +13

    Mungu awalinde ❤

  • @goldenmakasi6405
    @goldenmakasi6405 3 місяці тому +17

    Nimeamin wachezaji wengi wa nchi hi wanafeli kwasababu ya lugha sometimes

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 3 місяці тому +1

      Karibu wote tu wanamuziki,bongo movi,comedian,lugha iawaangusha sana,wangekuwa mbali zaidi ya walipo sasa,elimu dunia sasa asilimia 90,hawana kitu,empty😢

  • @abdallahmdiliko8088
    @abdallahmdiliko8088 3 місяці тому +1

    Imani ipo ila usiriouly kwenye kuandaa utimamu wa mwili,mifumo ya uchezaji, ni muhimu sana kwa wachezaji wenyewe.. wasichukulie mazoea hasa kwa hawa wachezJi wetu wa kibongo Tz😊

  • @danielntukula4507
    @danielntukula4507 3 місяці тому +7

    Like walimuona Deborah mtu na nusu muda wote macho spirit hatar yupo makin nipe like za Deborah

  • @ahmadyMpemba-x8b
    @ahmadyMpemba-x8b 3 місяці тому +11

    Amin❤❤

  • @boazmisango9797
    @boazmisango9797 3 місяці тому +4

    Matola anachukua ufundi, kama namuona kuwa kocha bora sana africa

  • @lazarolakara979
    @lazarolakara979 3 місяці тому +2

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ moto utawaka kwa mkapa kila mbwa atabwaka

  • @SharonF21
    @SharonF21 3 місяці тому +8

    My team ❤

  • @LaurensiaPeter
    @LaurensiaPeter 3 місяці тому +2

    Mwenyezi MUNGU ampe ujasiri kbs fadlu wamuelewe wachezaji

  • @gnasnassary9475
    @gnasnassary9475 3 місяці тому +2

    Iyo chimba ijayo chacha combination master❤❤🦁

  • @RamadhaniMtamakaya
    @RamadhaniMtamakaya 3 місяці тому +1

    Naipenda simba

  • @VeronicaPaul-cj1yu
    @VeronicaPaul-cj1yu 3 місяці тому +1

    Alhamdulillah, tumshukuru mola wetu maana kila unaloanza naagizo yanasema Anza na yeye na mi nasema... Tumuachie yeye kila letu tunaloitaji kwake.

  • @elbarrey3305
    @elbarrey3305 3 місяці тому +4

    Tunaomba matola aache watu wafanye kaz 🙏🙏

  • @JacksoniMushi-c2y
    @JacksoniMushi-c2y 3 місяці тому +2

    Noma sana simba nguvu moja

  • @rajabukayaba5693
    @rajabukayaba5693 3 місяці тому +4

    mungu ibarik simba hii

  • @japhetmoo2877
    @japhetmoo2877 3 місяці тому +4

    Mungu Wetu Sote
    Atafanya Njia pasipo na njia

  • @salumnyanda9905
    @salumnyanda9905 3 місяці тому +3

    Naimani na simba hiii

  • @josephbashasha831
    @josephbashasha831 3 місяці тому +3

    Mambo ni motoooo fireeeeee litakufa jitu msimu ujao watajua awajui

  • @MalikiKavindi
    @MalikiKavindi 3 місяці тому

    Simba nguvu moja💪💪💪

  • @EugeneIvan-q2o
    @EugeneIvan-q2o 3 місяці тому +11

    Simba nguvu moja

  • @Raj-gs2oj
    @Raj-gs2oj 3 місяці тому +1

    Kila.la kheri ktk maandalizi wapambanaj wetu. ALLAH awalinde

  • @PendoChacha-u9t
    @PendoChacha-u9t 3 місяці тому +1

    Mungu tangulia Tim yangu simba ndamundam❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @jumamnambangule1957
    @jumamnambangule1957 3 місяці тому +1

    Yaan Abel ye yuk busy na kocha tu kufanya mazoezi Aaah😃😂

  • @slimmtani8236
    @slimmtani8236 3 місяці тому +1

    All the best guys

  • @JemsijosephSayore
    @JemsijosephSayore 3 місяці тому +1

    Mungu akawaonekanie wachezaji wetu waelewe

  • @milesdigital813
    @milesdigital813 3 місяці тому

    Nguvu moja ❤🎉🎉

  • @paulfrank13
    @paulfrank13 3 місяці тому +2

    kocha anamwambia karabaka acheze kama yamal😅😅sio kukimbia kimbia tu😅

  • @AbdallahFaki-h9g
    @AbdallahFaki-h9g 3 місяці тому

    Simba nguvu moja daima

  • @RehemaMtemvu
    @RehemaMtemvu 3 місяці тому

    Hakika msim huu mataji yote yetu wanasimba❤ nguvu moja

  • @BahatUpendo
    @BahatUpendo 3 місяці тому +1

    Saf sana nawatakiwa maandalizi mema chama langu simab sc

  • @AntoniMtulagwa
    @AntoniMtulagwa 3 місяці тому

    Hongera kocha wa simba kwa mazowezi mazuri

  • @frankfelix3876
    @frankfelix3876 3 місяці тому

    Very nice kocha kijana ana hali na morariii wachezaji vijana msimu huu watasemaaaaa

  • @himurantz
    @himurantz 3 місяці тому

    Tuwakopesheni imani hawa ili watulipe uadifu. Na mafanikio makubwa .....simba nguvu moja

  • @NajmaJohn-z2h
    @NajmaJohn-z2h 3 місяці тому

    Hakika Allah ajaalie tufanye vizur inshaalalah

  • @tawaqalmuniss2902
    @tawaqalmuniss2902 3 місяці тому +1

    Hichi ndo tulichokuwa tunahtaj wanasimba tushirikiane kukiendeleza ❤

  • @duniaboniface3384
    @duniaboniface3384 3 місяці тому +1

    Nimekubali sana

  • @Mumlion2624
    @Mumlion2624 3 місяці тому +2

    Kocha kija hadi raha simba nguv moja

  • @MamboMbuli
    @MamboMbuli 3 місяці тому +2

    Tuwambee na tuwe wamoja kama invyosema msemo wetu SIMBA NGUVU MOJA

  • @GURISHAMSHANA
    @GURISHAMSHANA 3 місяці тому +3

    Litakufa jitu nakwambiya🎉🎉🎉

  • @rashidamohamed1948
    @rashidamohamed1948 3 місяці тому +1

    Mungu hijalie simba yetu

  • @madahaibrahim3232
    @madahaibrahim3232 3 місяці тому +3

    Nguvu moja maandalizi mema wanajeshi wetu

  • @AGNESSVERONIKA-y7w
    @AGNESSVERONIKA-y7w 3 місяці тому +2

    Karabaka na kagoma kwenye kizungu hapo😂😂

  • @alexmasinde2471
    @alexmasinde2471 3 місяці тому

    Unyama ni mwingi sana 💪💪💪💪💪

  • @NaliezyJuve-ug6mo
    @NaliezyJuve-ug6mo 3 місяці тому +2

    Mimi binafsi sijapenda kuona simba wanasambaza video clip zao wakati wa maandalizi ya msimu maan hii inapelekea wapinzani kuweza kukusoma kiurahisi kwaiyo kimkakati inakuwaj sio vizuri na kiusalama inakuwa inafanya kuvuja Kwa mbinu za kiuchezaji mifumo pia wanawahi kuinasa ivyo basi niwaombe radhi simba waache mara Moja kiusalama kwaajili ya timu yetu msimu ujao. Wako katika kukijali na kuithamini club yang ya Simba Sports

    • @nshaijatedy5512
      @nshaijatedy5512 3 місяці тому +1

    • @EnockNanyaro-lk1zi
      @EnockNanyaro-lk1zi 3 місяці тому

      Ni sahihi Hili nishasema mara nyingi mpinzan anakufuatilia mbinu zako hivyo hili sio nzuri

  • @Paulkessy-j8n
    @Paulkessy-j8n 3 місяці тому

    Asante kwa maandalizi mazuri tunawasubili kwa hamalu

  • @SugarSimba
    @SugarSimba 3 місяці тому +1

    Simba yangu mungu tupe nguvu

  • @Dr_MoMD
    @Dr_MoMD 3 місяці тому

    All the best my team we will bounce

  • @SirajiRashidy
    @SirajiRashidy 3 місяці тому

    simbaa mnyama

  • @sabinahassan8421
    @sabinahassan8421 3 місяці тому

    Naipenda kutoka kumoyo

  • @mnubimhoja4338
    @mnubimhoja4338 3 місяці тому +2

    Sawa mkuu Fanya Yako Ili watani wajue umekuja kikazi ujaja kuzulula hapa bongo

  • @ScholasticKalase
    @ScholasticKalase 3 місяці тому

    Kwa anae amini simba niushindi tangu ianzishe weka like hapa

  • @fadhiliabasi6585
    @fadhiliabasi6585 3 місяці тому +2

    WAKIELEWA WANACHOFUNDISHWA AAAA U.BAYA UBWELA HATUMUACHI MTU NA UNDER 30 YETU.

  • @DioniziKatepa
    @DioniziKatepa 3 місяці тому

    Unyama❤❤

  • @jaropthebilldone1652
    @jaropthebilldone1652 3 місяці тому

    Simba nguvu kubwa

  • @JosephAlex-pm7rp
    @JosephAlex-pm7rp 3 місяці тому

    Chama letu lazima tulisapot. Nguvu MOJA

  • @NeoLeonad
    @NeoLeonad 3 місяці тому

    Nani shabiki halisia wa simba agonge like

  • @DenisMachele
    @DenisMachele 3 місяці тому

    ❤❤❤❤❤❤

  • @AcksunBonifas-mj2sw
    @AcksunBonifas-mj2sw 3 місяці тому

    simba is my life❤❤❤❤❤

  • @MossesMsophe
    @MossesMsophe 3 місяці тому

    ❤❤❤

  • @shelyboyshely2928
    @shelyboyshely2928 3 місяці тому +1

    Tunawaombea wachezaji wetu mungu awatie nguvu na uwerewa ili pungi ikianza muwe fiti

  • @kazamoyokazamoyo9274
    @kazamoyokazamoyo9274 3 місяці тому

    Aminaaa

  • @AishaSaid-yg1ou
    @AishaSaid-yg1ou 3 місяці тому

    Allahumma Aamiin.

  • @alfonceanton2273
    @alfonceanton2273 3 місяці тому +2

    Furaha yangu ni kumwona Kagoma tu ndani ya uzi mwekundu

  • @kipinguseif9945
    @kipinguseif9945 3 місяці тому

    Safiiii unyama mwingi safari hii na Albadiri tunaisoma Ole wao

  • @Ommybabaa47
    @Ommybabaa47 3 місяці тому

    ❤️ BISMILLAH❤🇹🇿 🇦🇪

  • @johnadolf5899
    @johnadolf5899 3 місяці тому

    naomba kuuliza .. Ni kweli Kelvin Kijiri ni mnyama au tetesi tu

  • @joshuasamson9618
    @joshuasamson9618 3 місяці тому

    Mwenye Camera 📷 ni msenge Anatuonyesha video ukungu mwingi pumbavu simba TV nyoko

  • @mayassahmtumweni
    @mayassahmtumweni 3 місяці тому

  • @hamadiayossy
    @hamadiayossy 3 місяці тому +1

    Utopwinyo mtasubiri saaaanaaaaaaaa,manina

  • @ANZURUNAMAN
    @ANZURUNAMAN 3 місяці тому

    Nguvu moja

  • @mwamlongoally9583
    @mwamlongoally9583 3 місяці тому

    All the best ❤

  • @herykavuka
    @herykavuka 3 місяці тому

    Tunaomba interview na wachezajii wapya

  • @shadihussein1510
    @shadihussein1510 3 місяці тому

    Benchika alikuwa akimuachia msaidizi lakini si unamuona mtaalamu anaingia mwenyewe na hii ndio maana ya kuwa kiongozi wa team

  • @christinaKufakulala
    @christinaKufakulala 3 місяці тому

    Boll litembee❤

  • @jaytv5079
    @jaytv5079 3 місяці тому

    Watu wa media, jaribuni kuweka hata beat kwa mbali kwenye Clip zenu

  • @erickedger8287
    @erickedger8287 3 місяці тому +1

    Simba yanguu bado naimani nayo sana

  • @MADINAKITEMO
    @MADINAKITEMO 3 місяці тому

    Tunamuomba Allah awalinde wachezaji wetu

  • @kingsniper9769
    @kingsniper9769 3 місяці тому

    Dunia utafurahishwa na ssc

  • @LassonDominick
    @LassonDominick 3 місяці тому

    Heeeee!!! Hy mchakamchaka kuna wachezaji lelemama watamkimbia kocha!!! Doesn't Uzembe hapooo😂😂😂😂😂 jaman msinicheke hicho kingeleza changu cha mwaka99😅😅

  • @frankgalusi6450
    @frankgalusi6450 3 місяці тому +2

    Kila mwaka preseason tu kuchukua makombe aaaaha

    • @MrishoMindu-zq7mz
      @MrishoMindu-zq7mz 3 місяці тому

      Frenk galasa we kweli gala hiyo miaka 4 mfululizo walio chukua makombe ulikua Tumboni kwa Mama yako?

  • @MathewLeonard-n2b
    @MathewLeonard-n2b 3 місяці тому

    saf sana wamba

  • @SaumuSaidi-z2v
    @SaumuSaidi-z2v 3 місяці тому

    Wachezaji vijana kocha vijana

  • @AraphaCheki
    @AraphaCheki 3 місяці тому +1

    Kocha mtu wa kazi na iwe kheri

  • @emanuelshilla6368
    @emanuelshilla6368 3 місяці тому

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @hassanimwanakatwe5803
    @hassanimwanakatwe5803 3 місяці тому

    Tamka vizuri wewe Misri na si Misli Cairo na si Cailo unatia kichefu chefu

  • @CrosumuAlly
    @CrosumuAlly 3 місяці тому

    Nice

  • @RogathShirima
    @RogathShirima 3 місяці тому

    Kazi kazi