KILIMO CHA MPUNGA - HATUA MUHIMU ZA AWALI SHAMBANI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 15

  • @aje-farmsmashambayanayotem7392

    ULIZA SWALI LOLOTE KUHUSU KILIMO CHA MPUNGA HAPA KWENYE COMMENT NASI TUTAKUJIBU MARA MOJA

    • @healingclinic698
      @healingclinic698 Місяць тому +1

      Mbegu Bora ya mpunga ni ipi

    • @aje-farmsmashambayanayotem7392
      @aje-farmsmashambayanayotem7392  Місяць тому

      @healingclinic698 SUPER KARAMATA ni mbegu nzuri shambani na sokoni.
      Tafadhali SUBSCRIBE, LIKE NA SHARE VIDEO HII ILI KUENDELEA KUJIFUNZA ZAIDI.
      WhatsApp 0757 757 968 ili kupata KITABU CHA KILIMO CHA MPUNGA NA UUNGANISHWE KWENYE GROUP YA WHATSAPP BURE.

  • @PastoryEmili
    @PastoryEmili 2 місяці тому +1

    Hongera Sana kaka wp unapatikana

    • @aje-farmsmashambayanayotem7392
      @aje-farmsmashambayanayotem7392  2 місяці тому

      Tunapatikana Geita na Kagera,tuna mawakala Kahama,Kyerwa na Dar es salaam.
      Kwa mawasiliano zaidi WhatsApp:0757 757 968 .
      TAFADHALI SUBSCRIBE, LIKE NA SHARE VIDEO HII ILI KUENDELEA KUJIFUNZA ZAIDI.
      Karibu AJE-FARMS MASHAMBA YANAYOTEMBEA.

  • @neemamasudi7988
    @neemamasudi7988 10 місяців тому +1

    Ongera sana kaka

    • @aje-farmsmashambayanayotem7392
      @aje-farmsmashambayanayotem7392  10 місяців тому

      Ahsante sana na karibu AJE-FARMS MASHAMBA YANAYOTEMBEA. Hakikisha unaSUBSCRIBE na kubonyeza kengele ili kuendelea kujifunza zaidi juu ya huduma, shughuli na bidhaa zetu.

  • @EspeditoMwageni-l5o
    @EspeditoMwageni-l5o 2 місяці тому

    Ndg mbolea gan itumike ili kukuza masuke ya mpunga? Nakias gan per ekar

    • @aje-farmsmashambayanayotem7392
      @aje-farmsmashambayanayotem7392  2 місяці тому

      Mbolea nzuri ni ya mboji ambayo kilo 50 inatosha ekari 1. Na hutumika mara moja.
      Kwa mawasiliano zaidi WhatsApp 0757 757 968 ili kuagiza kitabu cha KILIMO CHA MPUNGA ambacho utatumiwa kwa WhatsApp na kuunganishwa kwenye group ya WhatsApp ya KILIMO CHA MPUNGA BURE.
      Tafadhali SUBSCRIBE, LIKE NA SHARE VIDEO HII ILI KUENDELEA KUJIFUNZA ZAIDI.
      Karibu AJE-FARMS MASHAMBA YANAYOTEMBEA.

  • @jjjhhb4300
    @jjjhhb4300 4 місяці тому +1

    Unapayikana wapi

  • @mosesmjungwa8900
    @mosesmjungwa8900 11 місяців тому +1

    Heka Moja mbolea mifuko mingap ya mbolea

    • @aje-farmsmashambayanayotem7392
      @aje-farmsmashambayanayotem7392  11 місяців тому

      Kiasi cha mbolea ya NPK kinachopendekezwa kwa shamba la mpunga ekari moja ni kilo 100. Hata hivyo, kiwango hiki kinaweza kutofautiana kulingana na hali ya udongo, aina ya mbegu, na muda wa msimu wa kilimo.Ni muhimu kulifanyia tathmini shamba lako kabla ya kuamua aina na kiasi cha mbolea.
      Natumaini nimekujibu swali lako vizuri. Kama una swali lingine lolote kuhusu kilimo cha mpunga au jambo lolote, usisite kuniuliza. Nipo hapa kukusaidia.
      Tafadhali SUBSCRIBE na bonyeza kitufe cha kengele ili kuendelea kujifunza zaidi kadri tunavyoupload videos hapa UA-cam.

    • @EstherVictor-tn6mk
      @EstherVictor-tn6mk 2 місяці тому +1

      Naombeni namba yenu

    • @aje-farmsmashambayanayotem7392
      @aje-farmsmashambayanayotem7392  2 місяці тому

      @EstherVictor-tn6mk karibu AJE-FARMS MASHAMBA.
      Mawasiliano yetu ni kwa WhatsApp:0757 757 968 .
      TAFADHALI SUBSCRIBE, LIKE NA SHARE VIDEO HII ILI KUENDELEA KUJIFUNZA ZAIDI.