NEYLA WA CHEKA TU ALIVYOSHINDWA KUMCHEKESHA ZEMBWELA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 72

  • @sophiasophia9713
    @sophiasophia9713 18 днів тому +11

    Dada nimependa unajiamini sana, Zembwela hajakutendea haki, keep pushing don't give up.

  • @Bbyviny
    @Bbyviny 7 днів тому +5

    Ila zembwela kiukweli uo unajifanyaga unakazaga sana kwa wenzio kubali bhana wewe wakati wako ushapita watie moo wenzio kuchekesha sio rahisi mbel za watu unaboaaaaa

  • @Igauf3
    @Igauf3 21 день тому +4

    Comedy may come naturally to them, comedians are more than just their on-stage persona. Like anyone, they deserve to choose when they perform and when they relax. Being asked to “make us laugh” can feel a bit like someone asking a chef to whip up a meal every time they walk into a room.

  • @AdamCheze
    @AdamCheze 20 днів тому +7

    Kusema Ukwel Sijapenda Namna Ambavyo Zembwela Alimfanyia Huyu Dada

  • @emmanuelmtalis1590
    @emmanuelmtalis1590 11 годин тому

    Keep it up dada uko vizr 👏

  • @beatricerobert8985
    @beatricerobert8985 21 день тому +16

    We nayla kaza sio mpaka huyo zembwela akuelewe haomrnize mwenyewe hakueleweka we sio wa Kwanza neva give up improve ur self zembwela mwenyewe katokea kugumu askutishe labda alikua na siku mbaya

  • @Soundprobeats
    @Soundprobeats 9 днів тому +2

    Zembwela sifa nyingi tuu ata hatujui yeye Yuko professional kwenye kitu gani

  • @DiophEtta
    @DiophEtta 5 днів тому +1

    Et unifunze Nini kweny comend zebwela hyu vipi , kufnya comedy kwa muda mrefu haina maana kuwa ww ni mwalimu mzur watu wanaskilza tu lakini ujui kitu , respect mbovu na majivuno para ww

  • @Dj_anaetumia_kanda_AloyceG
    @Dj_anaetumia_kanda_AloyceG 15 днів тому +3

    😂😂😂 uyu Dada ni noma sana 😂😂🤣🤣🤣

  • @pyelesyamwakatika540
    @pyelesyamwakatika540 21 день тому +5

    Ni kweli unadharau Nayla kasema kweli ina maana wachekeshaji wanachekesha watu wa chini kumbuka ndio umetokea huko acha dharau na kazi za watu ummempa ukweli huyo

    • @Igauf3
      @Igauf3 21 день тому +1

      You’re right! Morning shows are meant to entertain and relax people on their way to work. Steve Harvey makes people laugh every morning-are we really going to say that’s not serious radio? Zembwela might go a bit over the top, but that’s part of his appeal-too much know. Let her have her shining moment; just because Zembwela didn’t make it through that path doesn’t mean he needs to tear her down. She’s absolutely beautiful, funny, and talented.

  • @godfreyally-ps3fo
    @godfreyally-ps3fo 14 днів тому +1

    Umetisha sana mrembo🎉🎉

  • @asumaathuman6094
    @asumaathuman6094 9 днів тому +4

    Zimbwele ana lohoo ya wivu😢

    • @IdarousPossy
      @IdarousPossy 11 годин тому

      Sas amuone wivu kwa kipi hasa,we kwel mjinga

  • @SuperkarimBenzema-o1h
    @SuperkarimBenzema-o1h 12 днів тому +3

    Oya huyu zembwela anajikuta mfalme wa comedy roho mby

  • @donlinechanell4760
    @donlinechanell4760 2 дні тому +1

    Kumchelesha zembwela sio kazi raisi

  • @Mbagosalumu-c9k
    @Mbagosalumu-c9k 20 днів тому +2

    Neila ametisha sana ila hawa wakongwe wanajifanyaga ndo balaa kuliko wengne babu zembwela Em tulia

  • @EricaBizuru-jp9by
    @EricaBizuru-jp9by 10 годин тому

    Kwanza kuchekesha sio rahisi alafu kumchekesha mchekeshaji ndio ngumu kabisa😂😂😂😂😂

  • @jamillamasoud5608
    @jamillamasoud5608 21 день тому +3

    Mmh huyo nae alitaka attention

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 21 день тому +2

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
    Zembwela bado ana stress zake

  • @nururaymond5
    @nururaymond5 20 днів тому +2

    Kapatikana leo

  • @Truheta
    @Truheta 16 днів тому +3

    Naona zembwela kawa jaji wa BSS wa comedy

  • @MwahijaSamata
    @MwahijaSamata 8 днів тому +1

    Huyu zembwela huwa ananiudhi anajionaga yeye ndio kila kitu,anapenda kuwavu ja watu moyo,km hucheki ww mmoja milion moja tunacheka,achu kujikweza,zembwela

  • @jumajuma9860
    @jumajuma9860 День тому

    Zembwela anajua sna mtake msitake

  • @ABUBAKARIKILEMILE
    @ABUBAKARIKILEMILE 4 дні тому

    Kavaaa miwani ndo maana hajacheka angevua miwani angecheka tyu we mchunguze akiwa ameenda kwenye standing comedy lazima avae miwan ila bila miwani lazima ucheke

  • @HassanNdauka-x1z
    @HassanNdauka-x1z 8 годин тому

    Yy mwenyewe alikua anabebwa na max

  • @tamimakhalfanikhani8403
    @tamimakhalfanikhani8403 21 день тому +2

    Anajua dada

  • @jasirimjasirimedia7940
    @jasirimjasirimedia7940 21 день тому +1

    Neyla anajua sana

  • @arafatmbaruku8927
    @arafatmbaruku8927 4 дні тому

    Hajui kichekeshaa

  • @simondogtrainer7498
    @simondogtrainer7498 20 днів тому +2

    Zembwela anajambo kuanzia kwenye maswal yake Tu 😢

  • @cellestinelucas165
    @cellestinelucas165 5 днів тому

    mbona me nmecheka😂😂

  • @JumaAlly-m8u
    @JumaAlly-m8u 13 днів тому +3

    Sas jin lenyew zembwela

  • @PAULOWILLIAMJOSEPH
    @PAULOWILLIAMJOSEPH 12 днів тому

    zembwela uko vizuri

  • @ibrahimsadick6137
    @ibrahimsadick6137 21 день тому +4

    Zembwela hachekagi ovyo

  • @Commentsplus
    @Commentsplus 8 днів тому +1

    Zembwela umezinguaa Bwana kwana we nani

  • @Zahara-or3cf
    @Zahara-or3cf 21 день тому +3

    Nayla hawezi kumchekesha zembwela

  • @hashkomcompanylimited3839
    @hashkomcompanylimited3839 11 днів тому +1

    Zembwela ni mwalimu wa comedy

  • @MsomiMasano
    @MsomiMasano 35 хвилин тому

    Wape watu nafac zembwela usiwe ivyo kka badilika unakuaga ivyo kila wakat usijikute unajua kilakitu

  • @salimamoshi619
    @salimamoshi619 21 день тому +1

    Nayla OYEEEEE

  • @emmanuelngette-yd6oc
    @emmanuelngette-yd6oc 2 дні тому

    Ata mm sijacheka

  • @haithanhabib
    @haithanhabib 18 днів тому +1

    😂😂😂 Babu unazingua

  • @simondogtrainer7498
    @simondogtrainer7498 20 днів тому +1

    Uwezi kumuuliza MTU utaweza kutuchekesha au uwezi zembwe ameZingua

  • @ShyraanPotato
    @ShyraanPotato День тому

    Mbona kacheka

  • @pyelesyamwakatika540
    @pyelesyamwakatika540 21 день тому +1

    Zembwela amekaza et aonekane mwenzie hajui hana lolote ili yeye aonekane ndio anajua jaman kazini kuna kazi

  • @LucasMagukuru-hc9kr
    @LucasMagukuru-hc9kr 10 днів тому +1

    Mm mbn nmecheka xan

  • @YosiaTadeo-hx4lx
    @YosiaTadeo-hx4lx 10 днів тому

    Uyo Musa n ndugu na masoud kipanya😮

  • @mervatv
    @mervatv 21 день тому +3

    😮😮😮

  • @AmiriMoshi-t2y
    @AmiriMoshi-t2y 12 днів тому +1

    Zembwela umezinguwa

  • @RoseRobert-qd6ip
    @RoseRobert-qd6ip 15 днів тому +1

    Huyo zembwela hana uchekeshaji roho mbaya imemtawala sauti kama kameza guruguru ,😂ovyoo nafsi inamsuta apo comedian wa sasa wanaingiza kibunda kupitia mitandao ,yeye anamkosoa mdada mkandamizaji mpuuzi2

  • @SuleymanKhamis-lx2gh
    @SuleymanKhamis-lx2gh 13 днів тому +1

    Binti akili ndogo sana, mtangazaji au pasta na mambo ya nyumbani

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 12 днів тому

    Kiukweli wachekeshaji wa Tz wanaojua kuchekesha ni wachache

  • @ntambisamwel4436
    @ntambisamwel4436 5 днів тому

    Zembwela hujawai kuchekesha bhnaaa hujui njaa tuu zilikuwa zinakusumbua

  • @ahmedshabani1260
    @ahmedshabani1260 13 днів тому

    Upunguze mdomo upate kujifunza sio kubishana na watu

  • @dicksontwaibu2515
    @dicksontwaibu2515 18 днів тому

    Ila zembwela maswali yake huwa yanakerehesha

  • @FootballHM-r5t
    @FootballHM-r5t 21 день тому +1

    😂khaaa!

  • @bilalabas9636
    @bilalabas9636 18 днів тому +1

    We zembwela enzi zenu mlikua mnavaa matambala ndo mchekeshe sasa stand up comedy huwezi

  • @FrenkMushi-i7f
    @FrenkMushi-i7f 4 дні тому

    Wewezimbwelaa ni kubwa jingaaa una lolotee unazaraa kazi ya mwezaka wakati wewe mwenyewe umeajiriwa hapo pumbavuuu

  • @EliyaZackaria
    @EliyaZackaria 14 днів тому +1

    mi ushanichekesha tayar

  • @Africasafarichannel
    @Africasafarichannel 13 днів тому

    Zembwelaa nasimamia kweli

  • @michilita2959
    @michilita2959 18 днів тому +1

    Huyu zambwela ana gubu kweli

    • @jostamzxkaole3113
      @jostamzxkaole3113 16 днів тому

      KWA KWAIDA MCHEKESHAJI HUWA NIMGUMUSANA KUCHEKA..huwa anacheka pale ambapo utaongea kitu ambachohakuwaikutegemea au hajai kukuchekesha .. ..

  • @MohamediKalanje
    @MohamediKalanje 21 день тому +4

    😂😂😂

  • @amriamraan2612
    @amriamraan2612 21 день тому +1

    Huyo zembwela mqenyewe hakua na kipaji cha kuchekesha zaidi ya sauti yake ya gongo. Marehemu max ndio alikua anambeba. Unaweza kusema kama ilivyokua gangwe mob ya inspector haroun na luteni karama. Aache kujifanya mjuaji mno na kufanya chipukizi wajione hawawezi.

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 21 день тому +1

    Sema apo myamba imekutakana zembwela hakua tayr kucheka

  • @PatrickMdadila
    @PatrickMdadila 7 днів тому

    Zembwela acha roho mbaya kila jambo na wakati wake zama zako zishapita

  • @batihubadiy3106
    @batihubadiy3106 21 день тому

    Huyu Dada ni 2000 Nadhan

  • @Commentsplus
    @Commentsplus 8 днів тому +1

    Zembwela umezinguaa Bwana kwana we nani