HAYA NDIYO MADHARA ALIYONAYO MJUSI | SUMU YAKE NI HATARI ZAIDI | NI KATIKA WADUDU WANAFIKI NA WAONGO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 вер 2024
  • Follow Us On:
    FACEBOOK:
    / aqonlinetv
    INSTAGRAM:
    ...
    TWITTER:
    / aqonlinetv
    WHATSAPP:
    chat.whatsapp....
    TIKTOK:
    vm.tiktok.com/...
    TELEGRAM:
    t.me/aqonlinetv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 Aq Online Tv. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.

КОМЕНТАРІ • 15

  • @abdullahomarabdullah6921
    @abdullahomarabdullah6921 2 роки тому +3

    A alaykm w wbrkaatuh Al akh Ramadhan kazi nzur nadhan mie nlipata mtihan wa kupata maradhi yaliyochangiwa na mjusi kwa nnavyohisi shukrn endeleeni hvyo hvyo halaf samhaan hapo kwa mama A'isha ni Radhwiyallaahu anhaaa na si Radhwiyallaahu anhu km ulivyosema ....

    • @MawaidhaNaSimulizi
      @MawaidhaNaSimulizi 2 роки тому +1

      Shukran kwa mrejesho Akhy... na nashkuru kwa kunipa elimu zaidi...

  • @bintsalimalbimany287
    @bintsalimalbimany287 2 роки тому +2

    Lailahaillallah Kwetu ilikuwa nawaona sana huyu mjusi 🤣But now sijamuonapo kwa muda wa miaka 6😰Bas jana paaap namuona kwenye mlango wangu wa jikon yupo kwa nje😭moyo ulinipiga paaap😭Bas nimekaa a na wasi wasi😰Na hiv naangalia hii video nazidi kuogopa😴😭😭

  • @HashimSaidi-qd5dl
    @HashimSaidi-qd5dl Рік тому +1

    Bi Aisha ni Radhia llaah anha sio Radhia llaah anhu

  • @PierretteManka
    @PierretteManka 8 місяців тому

    Asane...je mbona Mimi nime muona mjusi asiyekuwa na mkia...lakini nilimua kwa fyagio

  • @kizamaulidi6004
    @kizamaulidi6004 2 роки тому +1

    Mashaallah

  • @suleim505
    @suleim505 Рік тому

    UNATAKIWA KUMJUA MJUSI KAFIRI NDIYE MWENYE MADHARA USIFANANISHE WADUDU.

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 6 місяців тому +2

    Waislamu bhana kila kitu Mashaallah Mashaallah 😂. Mjusi anakosa gani?, Ana sumu kuliko ya nyoka? Mbona nyoka akiingia ndani ya nyumba mnaambiwa msimuue, ni malaika, inzi akiingia kwenye chai mzamishe mabawa yote kisha mfyonze halafu umtupe, inzi na uchafu wake wa kutoka jalalani na chooni? Hii dini bhana, ina vituko sana.😂😂😂

    • @yusuphhamisi504
      @yusuphhamisi504 2 місяці тому

      Kula mjusi Alaf uone utamu wake

    • @planbmauwezo4853
      @planbmauwezo4853 2 місяці тому

      e͎s͎h͎i͎m͎ d͎i͎n͎ z͎a͎ w͎t͎u͎ a͎l͎f͎ m͎t͎u͎ m͎w͎e͎n͎y͎ k͎u͎j͎i͎t͎a͎m͎b͎u͎a͎ a͎n͎a͎f͎a͎n͎y͎ y͎a͎n͎a͎y͎o͎ muusu

    • @AyubuIkaku
      @AyubuIkaku Місяць тому +1

      Kale mjusi, halafu utupe na hilo andiko linaloruhusu kutokumuua nyoka ili tuende sawa

    • @AyubuIkaku
      @AyubuIkaku Місяць тому +1

      Uzuri haya mambo watathibitisha wanasayansi wa leo. Thus why naupenda sanaaa uislam

  • @WalidMohamed-nz2cg
    @WalidMohamed-nz2cg 11 місяців тому

    Jee akiingia kweny chakula unafa kukiosha na kula