Mariyamu Mariyamu nilekwita marambili ulinambiya unatafuta hela ili umutunze mme wako ba Isa ivo sasa ndo kumutunzisha kwa manyanyaso😢sijapenda ujuwe pole sana ba ISa Mungu atakuteteya utapona
Ila muwe mna Jus Kama saa ya bais a ni smart watch kwahyo zinafanya mambo mengi muwe mnaelewa pia kuwa smart watch inaweza ata kutoa sauti baisa ni kipofu ila anasikia🙌🏻🙌🏻
Ila muwe mna Jus Kama saa ya bais a ni smart watch kwahyo zinafanya mambo mengi muwe mnaelewa pia kuwa smart watch inaweza ata kutoa sauti baisa ni kipofu ila anasikia🙌🏻🙌🏻
Haya mm wa mwisho jamani ila nimelia na baisa kwa yale ambayo anapitia ila pole wanawake wengi wako hivyo wanashindwa kuvumilia wakati ambapo waume zao wako na matatizo. Funzo kwa wana ndoa kuna wakati wa furaha na wakati wa shida
Huyu kijana anafanana na kobelo ni metokea kumpenda❤❤❤❤
Ndio yeye sio kufanana
Sema mnakaaaa mda sanaaaa mpaka tunasahau matukio lohhhhhhhh jitahidi man au sio man isichelewe sana man
Hii ina tufunza mamb mengi San kikubwa ni uma kini wak kufatilia tu mungu awe nanyi amina 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏😭
Duka litafilisiwa 😂😂😂😂
😂😂😂
Na mi Leo naomba ata like 10 kutoka Bk tuko pamoja🎉🎉
Mm mwenyewe siwezi bila kulike sijisikii vizuri na ata siinjoy
@@sharifamahamudu182 🤣🤣
Huo wimbo mwishoni mwa movie umekaa vizuri sana
Wakwanza gutoka Zambia 🇿🇲🇿🇲 nipe like hata kumi jamani
🔥🔥movie mzur sana ongeza juhudi utafika mbali
🎉🎉 walai
Pole sana baisa😢😢naiman yule dada alie kumwagia maji die atakae kuponya
Wanawake Mungu atuhurumie sana yaani maria kawa shetani barathuli kabisa jamani mmmh!
Hello noma kama basi live from 🇰🇪
Ila huyu mchepuko wa maria yupo romantic sasa nampenda bute❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Ruta mani mungu awabariki saana munafanya vizur saana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Nimekuwa wakwanza leo wap baisa weweeeeeeeeee🎉🎉🎉❤❤❤
Waooow bado sijachelewa naomba like hata tano2
😢😂 nimependa apo jinsi Baisa alivyo kuwa akijisemeya moyoni huku akijifariji 🎉🎉🎉🎉 maua yako Kaka
Artist of the song is 🔥🔥🙌
Kazi nzuri mashaulllh 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hongera lut man 🎉🎉🎉❤
Vibrations 🔥🔥🔥🔥🔥🇨🇩🇨🇩🇨🇩
🎉🎉🎉🎉 Nawapenda nyote
Maria namimi ninakupenda sana Zambian here you are beautiful ❤❤❤❤to maria
Kazi nzuri sana move yenye mafunzo ❤❤❤❤
King ruta man
Wimbo umekaa poa sana🎉
Maria bonge la cast halaf unajuaaaaaa dahhhhhhh
Unajua sanaaaaaaaaaa❤❤❤❤❤❤❤❤
Hatimae leo wakwanza... nawapenda
Maria sio mwenzetu sahv maria mwenza mbunyee mmmh Kwan mimba ya inaingia
Nyimbo nzuri sana kaka luta🎉🎉
RUTA MAN Kawa mbogo duuu
Like kumi ya boncene❤❤
Kazi nzuri rutaman
Ruta man komando kazi yako nzuri mmmwha❤🎉
Mariyamu Mariyamu nilekwita marambili ulinambiya unatafuta hela ili umutunze mme wako ba Isa ivo sasa ndo kumutunzisha kwa manyanyaso😢sijapenda ujuwe pole sana ba ISa Mungu atakuteteya utapona
For now hii ndo movie ya kipaombele kwngu kwa saiz
Mbona kobero hawamuonyesh saana mwananguhuo Nampenda saana nawafuatilia sana kutoka msumbij
Kazi nzuri sana nawapenda bureee
Wewe maria unafanya vibaya kwa kweli nautalia penye unaenda 🇰🇪🇰🇪🇰🇪lingene Ruta kitakachokuenua mazee nakuomba uwe unatoa zaka kwa watu waliochini yako kiuchumi mazee utafika mbali sana,
Kazi kubwa sana 🎉🎉🎉 happy New Year
Wa 20 leo hebu anguka nayo
Baisa pole sana mke wa mwanzo ulipata ila wa sasa umepatikana
Kaz nzur🎉🎉
Kazi nzuri sana 🎉🎉🎉🎉
Nakubali sana mwanangu rutaman mungu akuzidishie kaka
Baisaa kanilizaa wallah wanawakeee tunaroh mbay san wepes kubadilika😭😭eheee mung msaidie baisaa atokeee kweny hayo mattz
Poleee sanaa baisa😢😢😢😢
😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤kobelo
1st kutoka London
Baisa jaman namionea huruma😢😢 dah nakukubali man
Kazi nzurii sana kaka nimeikubali
Lutaman penda xtayli yako❤❤❤❤
Mie wakwanza jaman nawadai link zangu abouba j froom Bujumbura Burundi
Baisa anaendeleya kuteseka kwa dharau
First to comment from Kenya 🇰🇪my likes please 🙏
Nyonyo za dem wa kobero weeee
Umeniwahi tu nilitaka kusema kama ww kwakweli😂
Ilikua naitafuta hii comment 😅😅😅
Kobero a,k mengo wanifurahishaga 😂😂😂😂
Kobero nitakukunyuga😅😅😅😅😅
Hivi huyo pachaake na kobelo
Kaka yake...
Polee baisah.. 😢😢😢
Ila kobero namkubali 😂❤sana
Ruta anataka kumsenyenta kipepeo😅
Baisa asivae saa ili kwenda na uhalisia wa kuwa yeye ni kipofuuu
Ajabu ya kipofu kuvaa saa 😁😁😁
Ila muwe mna Jus Kama saa ya bais a ni smart watch kwahyo zinafanya mambo mengi muwe mnaelewa pia kuwa smart watch inaweza ata kutoa sauti baisa ni kipofu ila anasikia🙌🏻🙌🏻
@@bernadethayamwaka1365 hio hainanga sauti 😁😁
Baisa kipofu halafu anavaa saa, kobelo kweli chizi, rutaman kama vipi mshenyente happy analeta miyeyusho
Ila muwe mna Jus Kama saa ya bais a ni smart watch kwahyo zinafanya mambo mengi muwe mnaelewa pia kuwa smart watch inaweza ata kutoa sauti baisa ni kipofu ila anasikia🙌🏻🙌🏻
@bernadethayamwaka1365 inatakiwa aendane na uhalisia kipofu kipofu bro hapo wamejichanganya
Siku tano hajala😂
Dada bora umerejesha sauti yako ile sauti haikukupendeza
Na wapenda ssana
Me nashangaa sana watu wanao angalia movie bila ya ku like
Hallo team ya rut
Hakikisha
Tujuane
Na
Happy nampenda sana
Afu ruta tunaomba utupe sana ya
Mpori
Hakikisha uyifanye utaona itakua Sawa
Kuriko hizo kama
Mgeni wa kijiji
Haya mm wa mwisho jamani ila nimelia na baisa kwa yale ambayo anapitia ila pole wanawake wengi wako hivyo wanashindwa kuvumilia wakati ambapo waume zao wako na matatizo. Funzo kwa wana ndoa kuna wakati wa furaha na wakati wa shida
namkubali sana kobelo
Ila kobero😂😂
Ila uyu pacha wa kobelo nimzuri anajua kicare dah hii mamaangu yankosha yupo romantic ad raha…😋😴
Lutamani nimekuelewa Kaz mzr pambana
Kunapo endelea kutam 😂😂😂😂 mimi wa ngapi kuona
You! let's hope it's your shop uuzagwesa business na maria ka!!😂😂😂
Mbona kobelo anafanana na muuza duka?
Ruta number one
Leo tu'rate hili picha kwa asilimia100 Mi naipa 99% filamu nzuri yenye mafunzo mazuri kwa jamii❤❤❤
Mshangazi hapaq
Natamani rahma uwe na bonsina mana mariya kashabadilika kama famoliya yake
Safi sana
Pia Mimi leo ni WA kumi 😅
Uyu anaenda kuikisika sasa
Wanaume Huwa tunapitia mengi sana 😒😒 maisha yanabadilika Kila kitu pia hubadilika na kupoteza mapenzi Kwa wanaotupenda
😂😂❤❤❤❤
Safi sana❤
Wa Kenya Mimi mnipee lik❤na SUBSCRIBERS
Nooma Man
Mimi wa 17 like zangu nipeni jamani 🎉🎉
Wa 20 jamani naomba like zangu ata 17
Kobero kapg mchenyeto maana alikula pesa zk
Kobelo utaniuwa mbavu zangu.
B mnachelewa kutoa muendelezo please badiliken move tamu hiii💪💪💪💯💯
SHUKRAN SANA MASHABIKI ZETU KWA SUPPORT YENU KUBWA KWETU
🎉🎉🎉 pamoja
Usijali tuko pamoja
Mariya ameshazama kwa muuza duka
Na mm Leo nimewai nimekuwa 29
Wakenya tunamukaribisha manyanya kwenye sasa
Tupo tumejaa telee kama ngano
❤❤❤❤❤❤❤❤