Hongera sana dogo,,, ila nawaomba waandish wa habari jaribu kuwatafuta na wale wanafunz wa mwisho waseme ttzo ni nn mpaka wakafeli,,,,, itasaidia kubadlisha matokeo mabaya
Hongera dogo kumbuka sasa ndio safari imeanza haswa huko nyuma ulikuwa hujitambui na umefika hapo palipobaki usitetereke kaza buti zaidi kwani huko mbele ndio shetani anakusubiri zaidi mabibi ulevi mitandao achana nayo mimi nikutakie kheri utimize ndoto zako AMIN
jamaa anasema mitiani mingine alipaniki na mingine hakumalizia lakin kaongoza tanzania katika matoke sasa sijui angemalizia ingekuaje daaaaa hongera bwana
Mungu ni mwema asante kwa kuwawakilisha watoto wa Wakulima na Wafugaji kuwa wanaweza wakipewa fursa ya Elimu soma sana dogo utimiza malengo/Ndoto zako Amina.
Mungu wangu I seee mdogo wangu Mungu akuongoze katika masomo yako ya mbeleni. Namuomba Sana Mungu na Mimi binti yangu na mtoto wangu wa pekee afanye vizuri Kama we we. Amiin.
Keep it up kijana, ila tu kaza buti hivi vishawishi vya dunia jitahidi kuviepuka ili uzidi kwenda mbali, zaidi ya hayo hongera sana na thank u millard ayo kwa update kali kila siku
Very well spoken👏 kwa ulivyoongea nimejifunza vingi. Hongera sana na Mwenyezi Mungu akuongoze utimize ndoto zako. Endeleza juhudi na Mungu atakupigania
Hongera sana kijana,ila huyu kijana hata ukimsikia unaona kabisa ana akili sio ya darasani tu ila hata ya kidunia na pia ana nidham ya hali ya juu.Pia kijana ana hekima hongera sana kwake.
Hongera sana hadi nimekuonea wivu natamani nami ningesoma kama wewe kipindi nipo shule lkn bahati mbaya niliishia la saba na nilikua sina akili sanaa zilikua za wastani tu hongera sana pia kwa wazazi wako kukupa sapot
Dah dgo kankumbusha 2014 hata mm sikumalza B/math but nlipata A na nkapata ndoto zang za kusoma Muhas udaktar but saiz nmegundua ingefaa zaid ngesoma engneering coz am missing calculations😩😩😩.. ila asijal karbu sana huk coz udaktar ajira plus kujiajili n rahsi kidogo not aware abt engneering...NB:ilboru my dream school
Hongera dogo kwa miaka mingi imepita wewe ndio Tanzania one wa ukweli(Kayumba),umewanyuka wale wa private(ndiz nyama,wakikohoa tu unataka nn),well done..
Hongera sana na Mungu akubariki sana katika masomo yako,ila ingependeza zaid kama ungeitaja na namba yako ya simu ili kwa mwenye chochote kama mkono wa pongezi akutumie,nnaiman ingekusaidia japo hata kuanza kufanyia maandaliz ya kuingia kidato cha tano
sasa nyie mulio dislike mulitaka apate ziro au acheni roho mbaya mungu anawaona.Hongera sana kaza dogo safari bado ndefu mungu akutangulie ktk safar yako ya masomo
dear hope congrast first but i hve a peace of advice prayer changes nothing so instead of worrying about what you can do just pray and think of what goal can do for you &
Kijana ongeraa sanaa bt keep it up... Na ucjisahau bdo una safari broo na usirizike na hayo mtokeo tuu sali Sana'a na uko uendako ukapambaneee..... Tena ya ela yotee
Wanyakyusa wakali. Hongera dogo. Kua hivyo hivyo ktk maisha yako yote. Achana na wenyeji wa Arusha kazi ugoro bangi na ngono. Yani watoto waki arusha jamani duh . Nilichukia kale kamji kwa sababu ya tabia mbaya. Vitoto vidogo kwenye migomba na mikahawani na bangi na wanawake ilhali wazazi wanaridhika kwa tabia hizo
Hakuna eneo wanaishi malaika tu, kila eneo kuna wenye tabia mbaya, kwa taarifa yako Arusha imekua ya 3 kimkoa, Arusha kila siku hushika number za juu kwa kufaulisha kimkoa.
Fikiria kama mtu mzima acha upotoshaji ambao hujaufanyia utafit... Sio kila mtu Arusha ana tabia unayosema... CoZ mikoa yote iko na tabia iyo ulizosema...
Congratulations bruh and keep up the hard work. Keep praying God and your dreams will come true. I wish you the best in your education and life. God bless you.
Jaman zile st. Nanii siku hzi vp au maujanja yao siku hzi yamepatiwa muarobain? siku hiz watu wanaofanya vizur ni wale wa st. Magufuli Hongera sana dogo
Kuna watu wanafunzi toka chekechea wanasoma shule za bei mbaya lakini mwanfunzi bora alitokea kayumba kakutana na hao waliotoka shule za bei mbaya kawachana. Wazazi wanaodharau waache kayumba ya kudharau shule za serikali msingi siyo kuongea kingereza msingi ni ile uwezo kuchanganua vitu
Hahaha....huyu dogo noma sana mitihani mingine kapanik n mingine hakumaliza maswal lakin ni Tz1, wale wenzangu tunaomalizaga mitihani tena bila panick mko wap jaman
Mungu akubarik sana
Weka like kama uko pa1 na me kumpa pongez
Millad Ayo tuletee na mwanafunzi wa mwisho tumsikie
Ila mmmh nahisi anatoka tanga😀
Nice one
Hongera sana dogo,,, ila nawaomba waandish wa habari jaribu kuwatafuta na wale wanafunz wa mwisho waseme ttzo ni nn mpaka wakafeli,,,,, itasaidia kubadlisha matokeo mabaya
Af kwl kabsa et
Scovia Robert we dada IQ yako ni kubwa Sana jitathmini unaakili Sana
Kwaiyo ajali ikitokea waandish wawaoji waliofariki 😬😬 kwamba ajali ilkuwaje😂😂
kweli kabisa 😉😉
😂😂🙌🏼
Hongera dogo kumbuka sasa ndio safari imeanza haswa huko nyuma ulikuwa hujitambui na umefika hapo palipobaki usitetereke kaza buti zaidi kwani huko mbele ndio shetani anakusubiri zaidi mabibi ulevi mitandao achana nayo mimi nikutakie kheri utimize ndoto zako AMIN
jamaa anasema mitiani mingine alipaniki na mingine hakumalizia lakin kaongoza tanzania katika matoke sasa sijui angemalizia ingekuaje daaaaa hongera bwana
😂😂😂😂ingekuwa vitaaaa
shedrack revocatus hongera sana songa mbele
@@lampadshigonko3006 😂😂asante
Daaaah safi sana kijana umeonesha uwezo na hakika mungu ni mkubwa amefanikisha ndoto zako endelea kukaza buti sana mdogo wangu upo vizur sana
Hongera sana Hope Mungu akubariki sana sana na uwe kijana bora ktk Elimu na malezi. Mtangulize Mungu daima.
Mungu ni mwema asante kwa kuwawakilisha watoto wa Wakulima na Wafugaji kuwa wanaweza wakipewa fursa ya Elimu soma sana dogo utimiza malengo/Ndoto zako Amina.
hongera sana hope usisahau kumtolea Mungu shukrani na upambane zaidi ya hapo safari bado
Hongera sana kwa kufanya vizuri kidato cha nne kitaifa. Pia Asante kwa ushauri mzuri kwa wenzako, endelea kuwa na bidii katika masomo.
Mungu akubariki kijana hope mwaibanje...safi sana hii ni kitu nzito na kubwa
Mungu wangu I seee mdogo wangu Mungu akuongoze katika masomo yako ya mbeleni. Namuomba Sana Mungu na Mimi binti yangu na mtoto wangu wa pekee afanye vizuri Kama we we. Amiin.
Keep it up kijana, ila tu kaza buti hivi vishawishi vya dunia jitahidi kuviepuka ili uzidi kwenda mbali, zaidi ya hayo hongera sana na thank u millard ayo kwa update kali kila siku
Mtoto mdogo mchawi
Very well spoken👏 kwa ulivyoongea nimejifunza vingi. Hongera sana na Mwenyezi Mungu akuongoze utimize ndoto zako. Endeleza juhudi na Mungu atakupigania
Eti had hii watu wame dislike au ndio wale wa div V
Hao ni Wajamaica wanamaanisha Dis (This ) I Like
Wale wa zirooooo😂😁😁😁
Sammy Aron machoko tuu hao miwivuu tuuu
Halima mohamedy hahah
Nadya Juma umeonaee
muonekano hekima uliyonayo jinsi ulivyo ongeayako sishangai kushika hiyo nafasi kizuri zaid huach kumtaja mungu kweli nihaki yako mdogowangu mungu aendelee kukusaidia hatimae utimize ndoto yako hongera saana dogo
Hongela xana
mdogo wang hauna makuu....finally yo gotcha trophy n all glories goes to God.
Big gup sana broo M/Mungu akuongoze
Simon Mhanje Yuh welcome lil bro
This Guy is the smartest student I ever come across
Fuck you
Hongera sana kijana, ongeza sana bidii upate matokeo mazuri pia kidatu cha sita.
Tunawambia siku zote wanafunzi mmtegemee Mungu Sana, msikilize kijana kamweka Mungu mbele
hongera sana mdogo wangu,usibweteke na matokeo hayo,ndo kwanza safari umeianza,kaza buti usijefeli mbeleni.
Hongera saaaaana!kijana kututia moyo na sisi kayumba School Mungu amekuinua
Hongera sana kijana kwa juhudi ulizozifanya ktk mitihani yako Mungu awe nawe ktk masomo yako yajayo
Big up! Hongera sana! Nikutakie kilala heri katika masomo yakidato cha tano.
Mungu akutangulie ,big up,big up!!
Hongera mdogo wangu wewe ni kiongozi mtarajiwa una busara sana azidi kukuongoza kwenye masomo yako
Very INSPIRATIONAL bro Safi Sana aseee ulivyosoma primary inaonesha kila kitu kinawezekana👊🤗🥇
Hongera kijana umeonyesha kuwa inawezekana haijalishi umetoka familia gani!big up
hongera mdogo wangu ongeza bidii
Hongera sana kijana,ila huyu kijana hata ukimsikia unaona kabisa ana akili sio ya darasani tu ila hata ya kidunia na pia ana nidham ya hali ya juu.Pia kijana ana hekima hongera sana kwake.
umeona ee ,wala hachanganyi vingereza .Mungu alie kuinua kwa kiwango hicho akuinue tena utimize ndoto zako.
Hongera sana, Mungu akubariki uendelee kufanya vzr ili siku moja uje kuwa msaada kwa taifa
Mwnyezi Mungu akuongoze katika masomo yako
Hongera sana hadi nimekuonea wivu natamani nami ningesoma kama wewe kipindi nipo shule lkn bahati mbaya niliishia la saba na nilikua sina akili sanaa zilikua za wastani tu hongera sana pia kwa wazazi wako kukupa sapot
Dah dgo kankumbusha 2014 hata mm sikumalza B/math but nlipata A na nkapata ndoto zang za kusoma Muhas udaktar but saiz nmegundua ingefaa zaid ngesoma engneering coz am missing calculations😩😩😩.. ila asijal karbu sana huk coz udaktar ajira plus kujiajili n rahsi kidogo not aware abt engneering...NB:ilboru my dream school
Hongera dogo kwa miaka mingi imepita wewe ndio Tanzania one wa ukweli(Kayumba),umewanyuka wale wa private(ndiz nyama,wakikohoa tu unataka nn),well done..
Ni kazi nzuri,,,,,,kijana endelea ivo ivo
Hongera sana najivunia kuona Tz yetu inaendelea pia naiomba serikali yetu ijitahidi sana hukusu lugha
English ni tatizo kubwa kwetu
Hongera sana dogo. Kila la kheri katika safari inayofuata
Hongera sana na Mungu akubariki sana katika masomo yako,ila ingependeza zaid kama ungeitaja na namba yako ya simu ili kwa mwenye chochote kama mkono wa pongezi akutumie,nnaiman ingekusaidia japo hata kuanza kufanyia maandaliz ya kuingia kidato cha tano
sasa nyie mulio dislike mulitaka apate ziro au acheni roho mbaya mungu anawaona.Hongera sana kaza dogo safari bado ndefu mungu akutangulie ktk safar yako ya masomo
Hongera sana mdogo wangu Mungu ni mwema
Big up sn dogo mungu akusimamie inshallah
Dogo umekua mkweli na hujajigamba kama waliopita Mungu akubariki pambana uje afya huku tunawahitaji watu kama ninyi
Anasema mathematics hakumaliza maswali lakini bado akapiga BANDA duh!!! utugawie na sisi wenye miswaki tusogeesogee
😆😆😆😂
Hahaaaaa
Unatosha kabisa kuwa....MD Hongera sana MUNGU azidi kusimama na wewe
Kamati ya roho mbaya wameshadislike.
Tumsapoti dogo na kumpongeza
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂kamati ya roho mbayaaa😂😂😂😂😂
😀
Endelea kumtumaini Mungu kwa kile ukipangacho vizuri sana.
Hongera sana ila usibweteke na matokeo pambanaaaa mzeee safar badooo
Hongera sana Mungu aendelee kukuinua uwe juuu tu.
Ongera sana Mungu aendelee kukusaidia
dear hope congrast first but i hve a peace of advice prayer changes nothing so instead of worrying about what you can do just pray and think of what goal can do for you &
Hongera sana mdogo wangu!
Mungu akutangulie ufanikishe ndoto zako!
Hongera Dana big up
ametulia dogo, Mungu akulinde
Hongera sana Kijana,kiu yangu nikuona unafikia ndoto yako ya kuwa daktari
Hongera mdogo wangu... May God's Favour keep you pursuing the Best
hongera mwanangu mungu yu mwema,unahekima sana,ufanikiwe Kwa kila hitaji la moyo wako
Kijana ongeraa sanaa bt keep it up... Na ucjisahau bdo una safari broo na usirizike na hayo mtokeo tuu sali Sana'a na uko uendako ukapambaneee..... Tena ya ela yotee
Wanyakyusa wakali. Hongera dogo. Kua hivyo hivyo ktk maisha yako yote. Achana na wenyeji wa Arusha kazi ugoro bangi na ngono. Yani watoto waki arusha jamani duh . Nilichukia kale kamji kwa sababu ya tabia mbaya. Vitoto vidogo kwenye migomba na mikahawani na bangi na wanawake ilhali wazazi wanaridhika kwa tabia hizo
Mnyakusya au wanyakyusa??
Hakuna eneo wanaishi malaika tu, kila eneo kuna wenye tabia mbaya, kwa taarifa yako Arusha imekua ya 3 kimkoa, Arusha kila siku hushika number za juu kwa kufaulisha kimkoa.
we jamaa mpumbav wakwanza kwel ten mwil mzm
Fikiria kama mtu mzima acha upotoshaji ambao hujaufanyia utafit... Sio kila mtu Arusha ana tabia unayosema... CoZ mikoa yote iko na tabia iyo ulizosema...
Hibo Muslima shenzi ww et vjana wa arusha huon mwenyewe kasema walimsaidia kwenye lugha waliotoka English medium.
Hongera sana Dogo. Mungu akujalie ufikie ndoto zako
hongera sana kijana na asante kwa kuwakilisha
Huyu bwana mdogo siyo tu kwamba ana akili za kufaulu masomo lakini pia ana vitu vikubwa viwili.
1.Busara
2.Uwezo mkubwa wa kujieleza.
Gifted!
Mungu akubariki sana mtegemee kwa kila kitu you will see the hand of God upon you life,
Hata mimi niliongoza form 4 kitaifa 2010, lkn...! nipigie nikwambie ninacho kifanya kitaa.
mwanafunzi wangu wa tuition umeniwakilisha vyema sana dogo....
karibuni tuition yangu kwa manufaa yako...KINGDEUS_JR TUITION
Hongera Sana dogo kweri Mungu nimueza wayote
Metal za mbeya nazieleww sana..hongera kijana
Jamna kilaa niiiona ii comment
Nachekaaaa tu
Congratulations bruh and keep up the hard work. Keep praying God and your dreams will come true. I wish you the best in your education and life. God bless you.
Hongera sanaaa dogo
Hongera sana mwanangu mwenyezi mungu akuongoze utimize ndoto zako
hongera Kijana mungu yumwema
Hongera sana dogo mungu akusaidie
Hongera sana kaka
Kilaza mie Jaman 😭😭😭😭😭😩😭 hata kumi za mwisho ckuwepo
Uwii mbavu zangu mie
Hongeara sana kijana. Naomba mumpe namba zangu 0752 11 43 46 na 0655 11 43 46 nimtum8e zawadi
Yeah tuma zawadi kwa namba hizi 0766380956 jina James Mollel japo shukran sana ndugu yangu
@@jamesmollel3509 Wewe ndo kumi bora au unataka kumpga mtu
Mi nmekua wa mwisho nichukue no..Zako unipe zawadi pia
The guy is very humble
Honngera sana kjnaa. Nakuombea ndoto zako zitimie.
Hata anavyojibu nakubali kichwa kiko vizuri sana
Kweli brother dogo yupo vizur kumbe hata Kayumba tunaweza
hongeraaaa sanaaa barikiwa
Jaman zile st. Nanii siku hzi vp au maujanja yao siku hzi yamepatiwa muarobain? siku hiz watu wanaofanya vizur ni wale wa st. Magufuli Hongera sana dogo
Mungu akubaliki kayumba mwenzetu
Kuna watu wanafunzi toka chekechea wanasoma shule za bei mbaya lakini mwanfunzi bora alitokea kayumba kakutana na hao waliotoka shule za bei mbaya kawachana. Wazazi wanaodharau waache kayumba ya kudharau shule za serikali msingi siyo kuongea kingereza msingi ni ile uwezo kuchanganua vitu
hongera sana,,,,
Mungu msaidie huyu kijana aendelee kufaulu
Onger mdg we2 umeonesha njia pia kw vijana wengine wa ilemi na mkoa wa mbeya kuw wanawez
Namkubali saaaaana dogo katisha saaaaana nakumbuka mm mwaka 2010 nlikuwa 8 kitaifa now naishi France so dogo akaze saaaaana
Hahaha....huyu dogo noma sana mitihani mingine kapanik n mingine hakumaliza maswal lakin ni Tz1, wale wenzangu tunaomalizaga mitihani tena bila panick mko wap jaman
hongera sana Dogo mungu akusaidie kila hatua
Safi sana dogo, congrats...!!!
Safi San kijana
Hongera kijana
M/MunGu HaendelE KukuSimamiA InshAallAh 🙏
Mwaka Jana ilikuwa Mimi, Leo kwako hongera
Keep it up dogo welldone, welcome to this wonderfull world
Congratulation and god bless you
Hongera dogo komaa safar bado
Hawa wa shule za SERIKALI ndo wanaotaKiwa kuwazingatia MunGu HaendelE KuwaOnGazA wadogo ze2 Inshaallah🙏
Kwa kweli unajua vipaji shule za serikali vipo sana ila basi tuu serikali yetu haipo makini juu ya hili swala Hongera yake sana mdog wangu
Hongeraa sana mdg ang..
Jaman hawa Wa2 Wa kudislike tusiwarahumu wengine uwa wanajibonyezea tu bila kujua maana yake😂😂😂😂😂
Hongera sana my young,Mungu aendelee kukubariki
Umekaza kijana ongera sana
Hongera sana mwanangu mungu azidi kukusimamia
Big up sana mdogo wangu dah.
Well done, I see you being a doctor
Exactly
We hujui tanzania
Utamkuta akawa mchekeshaji
Tanzania ni nzur katika kuharibu ndoto za watu