Hongera sana brother, Ukiendelea hivyo lazima utafikia ndoto zako, na lazima utakuwa daktari kama unavyopenda. Nimefurahishwa sana katika juhudi zako, Hongera saaana sana.
anaye mpenda mtoto wa mwenzake katika mafanikio,mungu humpa mafanikio.lakin hakuna anaependa mafanikio ya mwingine labda mwalimu wake aumzazi wake wengine maneno tu
Hongera kwa MUNGUBABA, akufiche ndani ya moyo wake safi sana wengine wajifunze elimu ni nidhamu sio bangi na madawa na shule utapata zero na utoro jifunzeni kwa mwenzenu
Wallahi Allah akulinde na macho ya maadui ambao watakuandamana kwasababu ya mafanikio yako akujaalie izidi kufunguka akili yako upate mafanikio uje kuwasaidia wazazi wako
Hongera sanaa kijana..nakuombea ufanikiwe ndoto zako..hakuna kinacho shindikana..wewe ni doctor mpaka sasa...but all in all usiridhike na shangwe upewazo kwa sasa...make sure uendako pambana zaidi ya hapo...i like that..let me say Godbless uuu.
Usimsahau Mungu kwa hilo sio wote wanaokupongeza hapo Inatoka moyon jikabidhi Mungu akufunike na kukukinga na kila hila mbaya za shetan. Mungu fanya kazi yako kwa Kijana wetu ndoto zake zitimie
unaona! lugha nikitu kinacho rudisha nyuma sana wanafunzi, wakifeli unaweza kudhani hawana akili lakini sio kweli, mtoto primary anafanya vizuri sec inaanza kushuka, bahati yako uwe Na kichwa chepesi cha kujua lugha, vinginevyo!!!!!!!
Nampongeza sana kijana kwa kuwaongoza wanafunzi wenzake wa kidato cha nne kitaifa, ila nimuase kijana aepukane na makundi, pia nitoe onyo kwenu majirani muliojaa hapo nyumbani kwa jirani yenu msianze kumchezea mtoto wa watu mbwa nyie wengine mmejaa miuchawi tu hapo.
Sasa kama kaka zake wamesoma mpaka wengine wamepeta scholarship why dogo asiwe TO, kaka kapata scholarship dogo naye atapata scholarship, ni jinsi gani Mungu amelibariki tumbo la huyo mama, sometimes usiruhusu mazingira yawe ndo point ya kuzikatisha ndoto zako.... Work hard........Big up sana kwa huyu dogo.
Safari ulioianza ni ndefu na umeonekana mbele za maadui . Jikabidhi mikononi mwa Mungu ili wasikuharibie na pia usiweke hadharani ndoto. MUNGU AKUBARIKI NA HONGERA SANA.
Hongereni wanafamilia nimefurahi kuanzia baba Kaka Dada hope mwenyewe wote mnamtanguliza Mungu mbele
Hongeraa Sana mdogo Riziki ya mtu hupangwa na Mungu. Mungu akusimamie
Hongera sana Hope ulichonifurahisha unamtegemea Mungu zaidi.
Hongera sana brother, Ukiendelea hivyo lazima utafikia ndoto zako, na lazima utakuwa daktari kama unavyopenda. Nimefurahishwa sana katika juhudi zako, Hongera saaana sana.
Sante sana kijana,,,hongereni sana kwa kuitangaza mbeya,,, shukran ziwafkie pamoja na wadada wa hapo st.mary
hongera sana kijana,u made us proud boi.Mungu aendelee kukulinda na kukuongoza ili utimize ndoto zako
hongera sanaaa bwana mdogo mwenyezi mungu awe nawe hakika mbeya imetukuka sanaaa kyalaaa akutulee gwemwanagaaa ugweeeee mwee nigwakutukujuuuuu mmaamhobwikweee
anaye mpenda mtoto wa mwenzake katika mafanikio,mungu humpa mafanikio.lakin hakuna anaependa mafanikio ya mwingine labda mwalimu wake aumzazi wake wengine maneno tu
Sebastian Ngimba mungu awe nawe dogo
Wow
Nikweli kabisa
Hongera kwa MUNGUBABA, akufiche ndani ya moyo wake safi sana wengine wajifunze elimu ni nidhamu sio bangi na madawa na shule utapata zero na utoro jifunzeni kwa mwenzenu
Ila kaka punguza majigambo
Dogo hongera zake
Lkn maswala ya wewe kua na dgre
Ayo yakawaida
Kimsingi Dogo amewafunika
Wallahi Allah akulinde na macho ya maadui ambao watakuandamana kwasababu ya mafanikio yako akujaalie izidi kufunguka akili yako upate mafanikio uje kuwasaidia wazazi wako
Hongera sanaa kijana..nakuombea ufanikiwe ndoto zako..hakuna kinacho shindikana..wewe ni doctor mpaka sasa...but all in all usiridhike na shangwe upewazo kwa sasa...make sure uendako pambana zaidi ya hapo...i like that..let me say Godbless uuu.
Maashaallah… hongera sana kijana Mungu akuzidishie yaliyo mema, unakila ainayasifa za kupata ushindihuo, kimuonekano hata uongeaji ni mstaarabusana
Hongera sana Kijana be blessed by God
Hongera sana dogo, ongeza bidii na mungu akubari, kupitia wewe hata watoto wetu wataiga kutokana na ufaulu wako mzuri. Ameeeen
maa shaallah mungu akutangulie utaja tutibu hogera sana mwanangu na wazazi wako 💋💋💋
Nomaaaa sana! i wish ningekuwa huyo kijana 😂😂😂😂
Usimsahau Mungu kwa hilo sio wote wanaokupongeza hapo Inatoka moyon jikabidhi Mungu akufunike na kukukinga na kila hila mbaya za shetan. Mungu fanya kazi yako kwa Kijana wetu ndoto zake zitimie
Umeonaona maan hii duni mmmm kweli ndugu mungu amlinde tuu
Kweli
hajabahatisha dogo ana ndoto ungali mdogo pia familia hii naipa big up sana ashukuriwe Mungu jmn
Shule ya Kwanza inapatkana mbeya,mwanafunz bora kitaifa anatoka Mbeya!!!!
Mbeya ndio kitovu cha elimu kwa tanZani@
#mbeyacityisontop
Asante mungu kwa kijana Hongera saana dogo si watu wailemi tunajiita wana wapipa mungu akutangulie ktk masomo yako yoote
Hongera sana kwake....mazingira aliyopitia
Mtoto yupo simpo xana mungu azdi kukusimamia imen
hongera sana dogo kwanza uko vizuri mno you deserve it haujabahatisha natamani nikupe zawadi
Hongeraaa Sana'a mdogoangu!daaah hadi nimefurahi.
Hongera kijana.ongeza juhudi hata kijana wangu prosper alikuwa hapo na anangangana na engineer.
hongera sana MUNGU akutangulie ktk safar yako ya elimu.
Hongera sana mungu Azidi kukupingania ufanikiwe kile unacho itaji ra moyo wako
Hongera sana 👏👏👏
unaona! lugha nikitu kinacho rudisha nyuma sana wanafunzi, wakifeli unaweza kudhani hawana akili lakini sio kweli, mtoto primary anafanya vizuri sec inaanza kushuka, bahati yako uwe Na kichwa chepesi cha kujua lugha, vinginevyo!!!!!!!
Hongera sana mdogo wangu, Mwenyezi Mungu akuongoze vyema
Hongera Sana'a👏👏👏
Congratulation dogo ,wadogo zako tunakuja.lkn kumbukeni kuwa mbeya ni Tanzania yote ,so no difference btn Tanzanian regions.
hongera sanaa👏👏😘
Hongera sna mungu akbr Zaid ufkie ndoto yk.inshaallah
Yaani sura tu inonyesha ni bright..mungu akusimamie mwanangu...
Hongeraa saaaana iyo familia mnajua ...mungu awainue awape na akili ya maisha...
May God rise more big up sana
Keep it up boy, be blessed
Big up sana bwan mdogo kapige shule tena Advanced level
nice kijana amejitahidi eh mungu muongezeee aweze zaidi ya hapo
Hongera na Mungu akuongoze huko mbelen awe nawe akuepushe na mabaya yote
hongera sana na mungu akuongoze uzidi kufanya vzur zaid ya hapo
ongera sana
Congratulations
Hongera sana mtoto mzuli mungu aendelee kukupa uwezo zaidi
Mwenyez mungu aendelee kumpigania huko mbele aendako.
Its true education is the key to everything and it's the only gift which you can give your child
Hongera sana mungu azidi kukupa wepesi
hongera sana jitaid na A LEVEL usijisahau kwahili.
hongera sana kijana,Mungu na azidi kukupigania.kaza moyo kujifunza na kutegemea Mungu.
Mungu akulinde na macho mabaya
uwiiii wengine hapo ni wachawiiiii kama huyo mama.Mungu amfunike kijana kwa damu ya Yesu
Mungu akuongoze ukatimize ndoto zko zote ...
miongoni mwa ndugu wengine humo ndo wachawi wanaoumia, wanajisema tu ila moyoni mmmmmh. Mungu ambariki afike mbele zaidi
Hongera may the king of kings Jesus be upon you all days to come
Asande mungu azidi kusimama naye kwakila Jambo
Hogera sanaaaa mungu azidi kukufanyia wepesi Inshaaalah.
hii familia ni vichwaa wote wanataka kuwa tu madaktari woiiii safiii sana
tunashukur kwa kutupa habar
Hongera sana alla hakusimamie katka masomo unayoendelea amiin
Mungu akubariki sana mdogo wangu uendelee hivyohivyo
Nampongeza sana kijana kwa kuwaongoza wanafunzi wenzake wa kidato cha nne kitaifa, ila nimuase kijana aepukane na makundi, pia nitoe onyo kwenu majirani muliojaa hapo nyumbani kwa jirani yenu msianze kumchezea mtoto wa watu mbwa nyie wengine mmejaa miuchawi tu hapo.
Aloyce Mwakatala Uwiiiii....Usitukane bro wataanza na wewe sasa
Hongera sana mungu akucmamie ufikie malengo yako
Hongera mtto mzur
Honger San mshukuru mungu kwakil jambo kil kt huwa kinapangwa namungu
Mungu akufunike adui wasikuone coz wachaw ndio adui wa wengi kufell ndoto zao
Mungu azidi kukusimamia utimiza ndoto zako
Sasa kama kaka zake wamesoma mpaka wengine wamepeta scholarship why dogo asiwe TO, kaka kapata scholarship dogo naye atapata scholarship, ni jinsi gani Mungu amelibariki tumbo la huyo mama, sometimes usiruhusu mazingira yawe ndo point ya kuzikatisha ndoto zako.... Work hard........Big up sana kwa huyu dogo.
muombe mungu sana maana nao wachawi wanajifanya mko pamoja kumbe wanafikilia mambo yao mengine mungu akulinde
Hongera sana Mungu azidi kumuongoza na kumtangulia
m
Hongera sana
hongera sana kaka mungu azidi kukuongoza
Hongera sana braza
Ongera sana mdogo wangu
Hongera sana,mungu akubariki ,upo vzr kasome PCB !
hongera uwe kichwa zaidi
MUNGU akulinde
Big up dogo keep it up God bless you more and more
ubalikiwe. mdogowangu
Dogo! dogo! dogo! dogo! dogo! dogooooo! Mungu akuongoze naimani mwisho wa siku uwe rais wa Tanzania
Nan kakwambia acha uchoko huo rais ndo mbaka asome unajua katba ya nchi hii?
Mungu wa mbinguni aendelee kukufanya uwe kichwa mwanangu ubarikiwe sanaaa,barikiwaaaa
mashaaaallah
Safari ulioianza ni ndefu na umeonekana mbele za maadui . Jikabidhi mikononi mwa Mungu ili wasikuharibie na pia usiweke hadharani ndoto. MUNGU AKUBARIKI NA HONGERA SANA.
Hongera sana Wazazi wamtoto Kwa kumpa moyo mtoto wenu kwa kumpa nasaha zuri
Manshallah Allah azidi kukusimamia siku zote
Hongera. Yake kijana etu mungu azidi kumpigania
Hongera kaka
Hongera wazazi kwa malezi bora ya huyo mtoto
Hongera sana kaka ila unasauti kam ya stani bakora
kaka MTU anamisifa sana unakiita kitu cha kawaida wakati dogo kaibeba Tanzania?
Nimejikuta natokwa na machozi kwa furaha ukiona mtoto wamweziokafanikiwa jione kama wakwako kazana Allah atakusimamia
Hongera kijana, wewe ni shujaa!!
Hongera sana dogo.
Mungu amembariki
hongera sana nimefurahi.
huyu dg yuko vizur Mungu akulinde awe juu ili awakilishe tz
Hope hongera sana lolote ufanyalo mungu mbele
hae mungu aendelee kukubless
mwenyezi mungu akujaalie ufike mbali dogo.
Safi sanaaa dogo
hongela kijan
Jamani Mungu aendelee kumpigania
Hongera kijana
Mungu akubariki sana
hongera kijana
inapendeza sanaa mdogo wetu,
Big up saaaana kjn,saluuuuuuute
Hongera mwanangu
hnger xaana kijanah
Me nafurai waongoze watu wa level za kawaida za maisha. Nyie mnao feli eti mnavisingizio vya shule, ooo sijui eti hauelewi kingereza, haaaaa!
Hongera sanaa
huyoooo dada sasa uwiiii