Wahoo!!!! Hongera sana binti kipekee kwa kumtanguliza Mungu ,Mungu akuongeze kwa kila atua unayopiga.Dr.Edina !!! Hongera sana kwa ajili ya binti yako dada yangu
Hongera dogo. Mimi nilipata div 4 ya point 28 niliishia form 4 cha ajabu nina nyumba 3 za ukweli gari la kutembelea spacio, Toyota pickup Townhice matatu kwa kusombea mali za shambani. Na bado nazisaka tu. Kuna wengine walipata matokeo mazuri sana nimeshawahi kukutana nao wapo kawaida tu hata sijui kwa nini. Kwasasa nina miaka 40 nilimaliza form 4 mwaka 2000
@@evelynkilawe5379 Pole sio lazima uamini kama imekuuma chomoa. Elimu darasani haihusiani akili ya maisha. Wapo walipata ziro darasani cha ajabu mtaani wako vizuri tu kama ww umepata one hongera lakini huna pesa pole sana.
Hongera mwaya watu wenye maisha mazuri kwao cku zote huwaga inaaminika hawasomi na hawana akili kutokana na kudekezwa na kujidaia mali za wazazi ww umeonesha mfano kutafuta vyako
Mungu aendelee kumpigania awese kutimiza ndoto zake... Ila kama waliofaulu kiwango cha juu cha div one ya saba wapo wengi tu sidhani kama ni mmoja tu tanzania nzima
Kama unakubali kuwa dogo alikuwa hawazi njaa zetu za huku kitaa, sijui sijala chapati na maharage, nitapata wapi review ya maswali nisolve pepa, sina pesa ya pepa, sijalipa mchango wa fensi, sijalipa pesa ya mlinzi, sina four figure, sijapeleka maua shule, Gonga like 👍 tujuane 😄
sishangai maisha kama hayo ya ki class niwazi kwamba no stress hapo kukaa usisome niwewe tu.napia akili inachangia kaza mdada ufike melongo yako na utafika mamy ucjali kikubwa bidii tu.
@@leoncemloka5376 Yeah, kufanikiwa kimaisha ni swala LA MTU kujua anachotakiwa kufanya ili afanikiwe akifanya anafanikiwa. Wengi wamekwama kwenye kutojua yawapasayo kufanya ili wafanikiwe......
OMG OMG OMG she's soooo sooooo much beautiful and god fairing little cute girl Amebarikiwa nadhan with everything.. But still aliweka effort ++ prayers and finally she made it .. Kuna mamanzee wengine hawako na kila kitu.... Na wala hata hawajali 😔 😔 and daah nmejifunza kitu ( kwa wanangu.. Nitajitahd)
Binti nimekupenda sana, pamoja na kupita shule kama hizo umeojiwa na umeongea kwa kutumia lugha yako kiswahili hii inamaanisha unajitambua na kujua wewe nani tungekuwa sisi tuliosoma shule zetu maalum alafu tushike iyo nafasi chaa kingereza kingekuwa kingi kwenye hayo maojiano adi basi
we nae ata akivaa mabaibui ukionekana malaya ni malaya tuu tena mavazi kama hayo ni shida tu eti magauni loh 😜 avae hivohivo ni binti wa kisasa huyo kwanza ana adabu na mambo safi atafika mbali huyoo achana na mavazi aisee 🤣🤣
Si kweli sana sema tuu ni bidii ya mtoto, uwezo binafsi, mazingira na Mungu aliyempa nafasi kuwa na afya kufanya yote haya bila maudhi na hatimaye kufanikiwa kongole kwake, azidi kufanikiwa hata advance
Wooow, nice of you girl, you are focused with living dreams... Keep the shining spirit over there...🔥🔥🔥 I like yo saying, "Always GOD is number 1 to you".
Alikua Anasali...alimtanguliza Mungu...jamani Mungu anaweza...tuwaombee watoto na kuwafundisha kuomba na kumtumainia Mungu...anasema walikua wanasali!! Ee Mungu mtangulie na kumlinda akafikie ndoto zake...
Jamn hamjamuelew majib ni yale tunayofundishwa dalasan ndyo yanayo toka kwenye mtian na wenye uwezo wa kuhifaz kichwan ndo wanafka hap wenzng na mm nd tnafel
Maisha bana yanafunzo kubwa, waliokua wanaongoza shulen wanawatumikia waliokua vilaza shuleni.Ukosefu wa ajira umezidi kuzidi.Pesa ndo inaleta heshima katika jamii .Na uzuri haiangali uzuri wa cheti bali juhudi za mtu.
Mimi ningepata nafasi ya kushauri Wizara ya Elimu, ningeshauri na kuomba, Haya mashindano ya Elimu isio na tija ningefuta, kwasababu sasa hivi mashindano yapo kwenye Lugha baada ya Elimu kukaa kwenye uhalisia wake na maana yake, Leo ili hujue shule nzuri unaangalia vitu viwili kuongoza kitaifa na wanafunzi kuongea kiingereza. Hapo ningeshauri kubadilishwe kwa kutambulisha Lugha ya kiswahili kuwa ndio lugha ya Kufundishia sio tu Shule za misingi bali hadi vyuoni, kila somo mtu aelewe kwa ligha yake ili awe mbunifu sio kukariri maelezo ambayo hana uwezo nayo kwa kujiongeza, kwasababu kuanzia mwalimu hadi mwanafunzi wote wamekalili....Shule imebadilika kutoka kwenye kuwa misaada hadi kuwa biashara ya Lugha na Matokeo yasio na tija kwa maendeleo ya Taifa na mtu binasfi.
Wow wow wazazi wake wamuombee sana ni binti Mzuri na mstaarabu shetani akae mbali kwake kwa jina la Yesu
Mbona muna muiga murady hayo
Mtoto mwenyewe wa Kidhua hatati
Mtoto wa Kishua
Amina!
Amen
Nimependa hapo kwenye kumtanguliza Mungu..hongera binti unajitambua sana
Nyumba ninayoish ya nyasi pia inavuja nilikua nasomea kibatari usiku ndani moshi tu I'm score dvsion 2 thanks god
Your English is poor!
Umasikini haijawahi kuwa excuse ya kuwa intelligent kama ndio hivyo wazungu wote wangekua vilaza, stop that dumb excuse
English yako ime kaa kama ya division 4😂😂😀😀
@@HASASON ushindani hauko sawa ndugu
@@njigecharles4690 🤣🤣🤣jamenii
Hingera binti hongera sana natamani binti yangu afanye vizuri kama wewe miaka hiyoo ijayoo mungu bariki mabinti wote Tanzania Wajitambue
Safi
Amen
Endelea kumtanguliza Mungu ndio Siri ya mafanikio
This Girl is so genious serikali iwatumie watu km Hawa tutafika mbali kwenye innovation
Mwenyezi Mungu mlinde! Mwenyezi Mungu mtimizie ndoto zake kielimu na kimaisha katika njia zako!
Wadogo zangu wa familia za kibatari tuendelee kumuomba Mungu tu aendelee kutulinda na kutusimamia vema.
hahahahaha umenikumbusha mbali. sio wote wanaofeli ni wajinga
Hata hao hao wa vibatari kuna mwamba huko kachomoka na 1.7 na vibatari hvy hvy so smart ni smart tu
Amina
Kabisa tuendelee tyuu kujifukiza
Kama una amini kila kitu ni mipango Ya mungu Gonga like
umasikini huchangia wengi kuto
fanikiwa. Dada mshukuru mungu wazazi wana uwezo
Tuliomaliza 2012 hadi waka rudia kusahisha mitihani eka 👍 hapo tukumbushane mwaka wetu ule
Wale wa 2012 tupoo
Nmecheka xnaa jmn dah yn ule mwaka ni hatari kwa kweli
Mambo yalikuwa huko kwenu?
Tuangalie pia watoto waliofanya vzur wanaotokea katika mazingira magumu
JK Nyerere, then Kaizirege, halafu Tusiime na mwisho Kanosa.... Wazazi aisee tuzidi kupambana tutafute pesa
Shule zote kalii
At Francis girls umetisha mwaka huu
Ukianza na nyumba yao tu lazima unajifunza kitu pia angalia mtoto alivyo kuwaanabadilishiwa shule pesa kitu kingine
@@godlema6104 sanaaa
@@زيتونتنزانيا ahahaha
Wahoo!!!! Hongera sana binti kipekee kwa kumtanguliza Mungu ,Mungu akuongeze kwa kila atua unayopiga.Dr.Edina !!! Hongera sana kwa ajili ya binti yako dada yangu
Hongera sana mama usipotoke huwo NI mwanzo mzuri jiepushe Na YASIO mazuri ili uwe mmoja Na viongozi WA leo hongera sana
Millard Ayo tutafutieni yule aliyefeli ambaye ana F zote ili tujuwe na yeye changamoto ambazo wanapitia mpk wakapata F.
Hahaaaaa
Wamfatilie Legend yule...😂
wamefungana wako wengi au achague muwakilishi amuhoji😁😁
@@emanuel1990ism umenichekesha hahahahhhh
@@emanuel1990ism 😄😄😄😄😄😄😄khaaa
Hongera mungu akutangulie ktk kila hatua yako ya masomo unayopiga na atimize ndoto zako
Ukiangalia hiyo nyumba, utagundua wengine tunasindikiza wanaoishi.
😂😂😂
Haswaaaa 🤣🤣🤣🤣
Haaaaa
Maisha n folen Mungu hutoa kwa wakati anaotaka yeye.muamin yeye
Hahaha
Hongera dogo. Mimi nilipata div 4 ya point 28 niliishia form 4 cha ajabu nina nyumba 3 za ukweli gari la kutembelea spacio, Toyota pickup Townhice matatu kwa kusombea mali za shambani. Na bado nazisaka tu. Kuna wengine walipata matokeo mazuri sana nimeshawahi kukutana nao wapo kawaida tu hata sijui kwa nini. Kwasasa nina miaka 40 nilimaliza form 4 mwaka 2000
Safi san
masonik wewe huna lolote 😅
@@evelynkilawe5379 unateseka ukiwa wapi? Kwa taarifa tu ardhi ndio ilinibeba.
@@chondecannibal6108 huna lolote masonika wewe ukweli unakuuma kajambe huko 🤣🤣🤪🤪🤪🤣🤣🤣zero wewe
@@evelynkilawe5379 Pole sio lazima uamini kama imekuuma chomoa. Elimu darasani haihusiani akili ya maisha. Wapo walipata ziro darasani cha ajabu mtaani wako vizuri tu kama ww umepata one hongera lakini huna pesa pole sana.
Hongera mwaya watu wenye maisha mazuri kwao cku zote huwaga inaaminika hawasomi na hawana akili kutokana na kudekezwa na kujidaia mali za wazazi ww umeonesha mfano kutafuta vyako
She is bright! If you depend on God! Blessings every were! They are blessed.
Mungu aendelee kumpigania awese kutimiza ndoto zake... Ila kama waliofaulu kiwango cha juu cha div one ya saba wapo wengi tu sidhani kama ni mmoja tu tanzania nzima
Muh kwa mazingira
Kwa maisha hayo kweli asingefeli, wadogo zangu wasakatonge tupige moyo konde ipo siku yes
😂😂😂umenigusa kweri pesa inaenda kamwenyepesa 👏
😂😂😂😂😂😂😂
Sio kweli dogo kapambana tu na tunatakiwa tu acknowledge hilo, wapo wakishua wengi tu wakijua home kuna hela shule huwa hawajitumi.
@@stn4873 Asante sana kwa jibu zuri. Mmekupenda bureeee
@@missangela6720 🍇🍇
Kama unakubali kuwa dogo alikuwa hawazi njaa zetu za huku kitaa, sijui sijala chapati na maharage, nitapata wapi review ya maswali nisolve pepa, sina pesa ya pepa, sijalipa mchango wa fensi, sijalipa pesa ya mlinzi, sina four figure, sijapeleka maua shule, Gonga like 👍 tujuane 😄
Daaaaaaa umenichekesha kweli kaka mawazo yakitaa yanafelisha sana watu Mara ufukuzwe huna adaaa nahapo unakuta hata so ada kubwaa daaaah acha tuu
@@rosemaryminja3299 😆 😆 😂
Iko waz DG alikua awaz chcht dhid ya pindi 2
Amini wakishua tu hawa wengine tunapewa nauli tu hatujui tunakula nn
Wapo kibao waliokuwa na kila kitu na wamefeli tu
Uelewa huu ni mkubwa.... so humble.
Mi ninavyojua elimu ni mazingira na akili kutulia pia na mchango wa wazazi pamoja na kipato hii lazima uwe No 1
Maisha pia yana support yy kufanya vizur shida ni kwa wale waishio kwenye maisha magumu kwa kweli ni nguvu za mungu
Kama unaisikia sauti ya millad Ayo gongalike
Huyu jamaa anajua kazi yake hakika.
Huyu jamaa atakuwa ndugu yake na milad
Mdogo wake huyoo
Naisikia kabisa Ayo version 2.1
Jamaaaa kaiga kila kitu ametisha sanaaa aiseee Yuko powaaa Sana
Duh wale mboga moja wenzangu gonga likes hapa
Nimekapenda haka kabinti. Kanaonekana kwao matawi but still anaoneka ana adabu na utulivu 😍
Kweli kabisaa
Mtoto wakishua anapambana safi sana, hajabweteka. Hongera mwanangu. Kaza buti
Kabisa
Kwel yani ina hamasisha sana
sishangai maisha kama hayo ya ki class niwazi kwamba no stress hapo kukaa usisome niwewe tu.napia akili inachangia kaza mdada ufike melongo yako na utafika mamy ucjali kikubwa bidii tu.
Malezi bora, mazingira mazuri, alafu afya njema, na maisha ya ibada, hence mafanikio ni kugusa tu
Na shule pia
Kabisa
Hongera mtt mzr
Beautiful mind👏
Masikin atusomin jaman ona matajil wana2zid kila sehemu ongela dada 😭😭😭😭👏👏👏👏👏
🤣🤣🤣 umenichekesha. Ila nikupe moyo Mungu aangalii utajiri/umaskini kukupa riziki na Baraka. Yeye hugawa apendapo, endelea kuomba siku yako yaja
Sema Ma sha Allah tabaraka Rahmane. We wish her full success in her life , keep working hard . Everything Will be al right in your futur in sha Allah.
Huyu mwandishi namkubali Sana sauti afi, anajiamini, anaubunifu, muonekano safi, hongera sana ayo tv na milard ayo kwa waandishi bora.
Hongera mama... feels so real. More blessing mama... my son will be their too... hongera sana
Justina wahaya mna akili sana shomile family
Mungu mwema na wanajitima
Hongera na mwnywz mungu akutangulie ufanikiwe ktk masomo yako
Hongera sana binti....nimependa hekima yako ya kuongea.... usiache kumtegemea Mungu na kujibidisha zaidi.
Hongera sana sana sanaaa God bless u sana sana sana uendelee kufaulu sana sana
Japo kua una miaka 15 kwa heshima yako shkamoo MAMA
Pesa ndugu yangu
@@twariatiomary486 pesa za nini?
Ha haaaa
Hahahahaha. Marhabaaaa
Tafuta pesa uache kusalimu watoto
Hongera sana Mungu akutimizie haja ya moyo wako ufike unakotamani.
Safi wanawake tunaweza hongera sana binti kwa kutokuwaangusha wazazi wako big up keep up never give up
Hongera binti Mungu azidi kuwa upande wako utimize ndoto zako na taifa kwaujumla inapendeza sana atakujieleza kwako inasadifu ulichokipata.
Hongera dada,Mungu akujalie mwisho mzuri.
Kufeli darasani sio mwisho wa maisha
Ndo mana ulifel
Lakin wapo waliofel shule pia maisha nayo wakafel vilevile
Lakin wapo waliofel shule pia maisha nayo wakafel vilevile
@@leoncemloka5376 Yeah, kufanikiwa kimaisha ni swala LA MTU kujua anachotakiwa kufanya ili afanikiwe akifanya anafanikiwa. Wengi wamekwama kwenye kutojua yawapasayo kufanya ili wafanikiwe......
@@cheenwizzy9445 Hongera kwa kufaulu.......
OMG OMG OMG she's soooo sooooo much beautiful and god fairing little cute girl
Amebarikiwa nadhan with everything.. But still aliweka effort ++ prayers and finally she made it
..
Kuna mamanzee wengine hawako na kila kitu.... Na wala hata hawajali 😔 😔 and daah nmejifunza kitu ( kwa wanangu.. Nitajitahd)
hongera binti Yesu akusaidie uenderea hivyo
Ongera Sana Justina mungu akubariki na kukulinda katika safar ya masomo yako.
HongerA saana binti yesu akutunze
Hongera sana mtoto mungu azidi kukutangulia ufike ndoto zako
WANAWAKE oyeee!! HOGERA SANA, nyumba NZURI SANA aisee wow!!
Smart girl akili nzur huonekana kwenye mwili mzur in short Mtoto yupo smart
Hongera sana mungu akubariki sana namba 1 na 2 wote engines
Binti nimekupenda sana, pamoja na kupita shule kama hizo umeojiwa na umeongea kwa kutumia lugha yako kiswahili hii inamaanisha unajitambua na kujua wewe nani tungekuwa sisi tuliosoma shule zetu maalum alafu tushike iyo nafasi chaa kingereza kingekuwa kingi kwenye hayo maojiano adi basi
Hongera.ila kama kweli unamtegemea mungu,usirudie kuvaa hivyo visuruari kumb torati 22:5.
Irrelevant
we nae ata akivaa mabaibui ukionekana malaya ni malaya tuu tena mavazi kama hayo ni shida tu eti magauni loh 😜 avae hivohivo ni binti wa kisasa huyo kwanza ana adabu na mambo safi atafika mbali huyoo achana na mavazi aisee 🤣🤣
Mazingira yamemsaidia kufaulu kwa kiwango hicho
Japo eapo wengi waliokua pia na hayo mazingira na bado wakafeli but mazingira yamechangia Xana
Mazingira ya kitajiri kwa watt walio we ngi mabaya wanajjsahau
Kuna wangu alikuwa na mazingira mazuri kabisa lakini kapata sifuri yenye masikio
Si kweli sana sema tuu ni bidii ya mtoto, uwezo binafsi, mazingira na Mungu aliyempa nafasi kuwa na afya kufanya yote haya bila maudhi na hatimaye kufanikiwa kongole kwake, azidi kufanikiwa hata advance
@@maketedc7444 mazingira yana asilimia kubwa sana
HV nan mwngn anaanglia hyo nyumba😂😂😂anyway hongera bhn Ila watot wa matajir mbn ndo wanafny vzr au ndo ile family background
Wooow, nice of you girl, you are focused with living dreams...
Keep the shining spirit over there...🔥🔥🔥
I like yo saying, "Always GOD is number 1 to you".
God's great she's Respectful and hard worker she deserves
Ok vizuri sana, Mungu awe nawe katika safari ya masomo ako yajayo.
Yuko vizuri hakubahatisha maana Ata kujieleza anajua, God bless you
Pongezi binti mungu akufanyie wepesi maishani
Nimefurahi sana mtoto wa kike Mungu akutangulie ni jambo jema sana
Mtoto ukitaka awe na akili darasani kwanza Ni Mungu pili wazazi tatu walimu kama mzazi ufatilii mtoto basi jua ume fail
Alikua Anasali...alimtanguliza Mungu...jamani Mungu anaweza...tuwaombee watoto na kuwafundisha kuomba na kumtumainia Mungu...anasema walikua wanasali!!
Ee Mungu mtangulie na kumlinda akafikie ndoto zake...
Waiyukage bojo Katonda azidi kukwebembela akuwe amagezi obe wa mbele buli ona mbali olagya
Umenikosha kweli, olige owamawe!
Mungu akijaalie yaliyo mema
Hongera sana bint Mungu akulinde na family yako
Msichana cyo mwanamke mwandishi..
Pia mtoto amesema anataka kuwa Engineer wa mambo ya gas cyo petrol..
Wewe ndiyo haukumsikia....binti amesema anataka aje asome engineering a-specify kwenye petroleum and gas
Ila kiukwel saut znakarbia kufanana ishu milad ayo ni muongeaj sana
Ni mwanamke ndiyo kiswahili sanifu
Jifunze quran kusoma kuandik gusa picha yang hapo kama hautojli
Hongera sana bint
Mtu mwenye akili akiongea tu utamjua 💋
Hongera sana mdogo wang
Nice mate ila wangekuja na kwetu mim pia nimepata one ya 7+A ya Maths😂😂😂
Hongera
@@trophainamagogwa9991 tnx be blessed
Mambo safi super sio diesel
Hongera sana binti!!👏👏👏
Hayo meno yake kwanza mumeyaonaaaa wanazengo jamani
All in All Congratulations dogo
😂😂😂😂😂😂
God bless you all the time, kip it up to fulfil your dreams! God is great!
Miaka yote wanafunzi wote wanapewa msjibu shuleni, chamsingi ni kuyahamishia kwenye karatasi, mpeni sifa yake bwana.... Kafanya vzuri......
Wewe ulipopewa ulikuwa wa kwanza au wa ngapi????
Wew kma akili una una tu acha wivu
Hahaa maneno ya mkosaji bhana.. mwenzangu majibu uliyopewa wewe ulikuwa unayahamishia wapi??
Jamn hamjamuelew majib ni yale tunayofundishwa dalasan ndyo yanayo toka kwenye mtian na wenye uwezo wa kuhifaz kichwan ndo wanafka hap wenzng na mm nd tnafel
@@leylaiddy5815 Safi sanaaaa
She looks like she's a boyfriend and she doesn't care about love affairs😂😂. But All in all wazazi wake huyu mtoto wanamchango mkubwa sana
Wananichekesha ao wanaolalamika kua maskini
Waoo Good , God be with you in other level.
Maisha bana yanafunzo kubwa, waliokua wanaongoza shulen wanawatumikia waliokua vilaza shuleni.Ukosefu wa ajira umezidi kuzidi.Pesa ndo inaleta heshima katika jamii .Na uzuri haiangali uzuri wa cheti bali juhudi za mtu.
Mungu akulinde uendelee kusoma kwa bidii zaidi
Hongera binti chocolate 🍫🍫, fanya bidii mafanikio yapo kwaajili yako
Huyu ni mboga nane hivo mafanikio yapo tayari nyumbani hata km asinge faulu
@@michaelmfinanga2920 usiseme ivo, acha Mungu amlinde katika atua zake, duniani si watu wote wema.
Mkawahoji na waliofanya vibaya tujue changamoto zao kuna watoto wanaishi maisha magumu nyie
Hahahaha kweli aisee tatizo hawatakubali kuhojiwa
Hahahahha..... Kaka umetisha
Hahahaa
@@fulgenceoswald3866 wanakubali mdau
wee aibu hawawez kukubal mtu anastress zake ukamwekee macamera tn😂😂
Hongera sana binti yetu
💪💪💪 make your studies to be the balance diet of your heart
Kila la kheri bint mzuri
Huyu jamaa sauti yake ni kama Millard Ayo mwenyewe.
Kabsaa
Nyc Sana. Dd you have act as an catalyst to us girls at all stay blessed
Hahaha! Jamani kiswahili kigumu khaa ni wasichana cyo wanawake ni wavulana cyo wanaume .
Huyo Ni msichana Bado hupaswi kumwita mwanamke
Hongera Sana maisha bora nayo yanachangia mafanikio ya mtu nyumbani Kama hotelini ni nomaaa
😂😂😂😂 hakika😂😂
Ni kweli kabisa
@@happymwashimaha5134 nimekubali😁😁
Jah akubaliki uzidi kufanya vema uko mbele👊👊
Mimi ningepata nafasi ya kushauri Wizara ya Elimu, ningeshauri na kuomba, Haya mashindano ya Elimu isio na tija ningefuta, kwasababu sasa hivi mashindano yapo kwenye Lugha baada ya Elimu kukaa kwenye uhalisia wake na maana yake, Leo ili hujue shule nzuri unaangalia vitu viwili kuongoza kitaifa na wanafunzi kuongea kiingereza.
Hapo ningeshauri kubadilishwe kwa kutambulisha Lugha ya kiswahili kuwa ndio lugha ya Kufundishia sio tu Shule za misingi bali hadi vyuoni, kila somo mtu aelewe kwa ligha yake ili awe mbunifu sio kukariri maelezo ambayo hana uwezo nayo kwa kujiongeza, kwasababu kuanzia mwalimu hadi mwanafunzi wote wamekalili....Shule imebadilika kutoka kwenye kuwa misaada hadi kuwa biashara ya Lugha na Matokeo yasio na tija kwa maendeleo ya Taifa na mtu binasfi.
Du mtoto wa sonko nyumbani kwao maashallah
Mi nyumba tu hoiiii nimepumzika nje kn ngaz ya justina huko ndani mtanisikilizia
Hongera mwanetu
Hongera sn
she is very bright naamin atakiwa mbaliiii mno