FEITOTO AZUA GUMZO GEREZANI | UTATA WAIBUKA NANI MCHEZAJI BORA | AZIZ ASIWASAULISHE UBORA WA FEI.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 вер 2024
  • JE UNAHITAJI KUTANGAZA BIASHARA NA WISPOTI TV.
    KARIBU TUKUHUDUMIE KWA GHARAMA NAFUU, WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0743040370 AU TUCHEKI KUPITIA WHATSAPP NAMBA 0758099136.

КОМЕНТАРІ • 17

  • @Ba63828
    @Ba63828 3 місяці тому +4

    Elias umenena sisi ONE YANGA ONE TEAM nikumzomea tu. Huyo makolo ana wivu kwa Aziz Ki.

  • @user-iz3hs8jl5p
    @user-iz3hs8jl5p 3 місяці тому

    adhaminiwe kwa heshima gani aliyonayo leeni maradhi mwisho aje awe morson wa bongo afu sijajua mnacholitetea ilo kubwa jinga

  • @user-ic2cb9gm2j
    @user-ic2cb9gm2j 3 місяці тому +1

    Na mechi ya Simba na Yanga pia mabekii walimpisha Azizi Kii

  • @jimmymnuano7165
    @jimmymnuano7165 3 місяці тому +1

    Kaka yangu unataka kusema mbeba mizigo apewe mshahara mkubwa kuliko karani sio ?Mmmm mbona Pasta wa Gb64 amewaleta wachezaji wawili mmoja kutoka Venezuela na mwengine katoka Urusi kwa Putin wanajuwa hao hatari sana

  • @user-gd5vs5mn4q
    @user-gd5vs5mn4q 3 місяці тому +1

    Wewe Fei mfanananishe na wachezaji wa simba kwani Fei hanalake Yanga ndiyo kaamuwa kusepa

  • @nicodemuswidambe5132
    @nicodemuswidambe5132 3 місяці тому +2

    Hilo la kuwekwa benchi ni swala la kocha. Hivi wewe chz kweli utalinganisha fei na Azizi Ki huyo angekuwa simba ungemsifu.

  • @kizakizapetro6205
    @kizakizapetro6205 3 місяці тому

    FEI mwenyewe kafunga wakati timu pinzani walokuwa saba(7)kwani izo goli

  • @vaxminja9053
    @vaxminja9053 3 місяці тому +1

    Fei amewahi kufunga goal lipi la kimataifa kama alivyofanya Aziz K?

  • @ramadhanimrungu5806
    @ramadhanimrungu5806 3 місяці тому +2

    Ww nawe chizi kweli goli la kutengenezwa liko wap pale

  • @vaxminja9053
    @vaxminja9053 3 місяці тому +1

    Huyu naye mjinga tu

  • @vaxminja9053
    @vaxminja9053 3 місяці тому +1

    Hata Simba alivyofungwa na Yanga pia Simba walikuwa wanawaachia?

  • @nicodemuswidambe5132
    @nicodemuswidambe5132 3 місяці тому +1

    Fei ndo mdudu gani? Mnao mpa kichwa nyie Simba. Acheni utoto nyie.....

  • @mussasalum652
    @mussasalum652 3 місяці тому

    We bonge huna akili

  • @user-xi9wq2em7e
    @user-xi9wq2em7e 3 місяці тому

    Wewe akili huna nenda ukale madida.

  • @masumbukomaganga438
    @masumbukomaganga438 3 місяці тому

    eti wazawa hatuwathamini, kwahiyo sisi yanga tushangilie wachezaji wa azam kweli?

    • @user-iz3hs8jl5p
      @user-iz3hs8jl5p 3 місяці тому

      naomba nimuulixe uyo kolo yanga pana baka pana akina mzize mbona hawawashangilii kama kweli tunawdhamini waxawa waChe uk

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 3 місяці тому

    na aliyefunga 4 goal wale wakiwa nane?? anaongea nini huyu??