Alafu kwanini msubiri mzee said aondoke ndo mmseme mzee wetu mi roho imeniuma sana mzee masatu kwanini umseme vibaya wakati mtu simba imeanza kukaa poa anaisifia mpaka anatukera mashabiki wa yanga
Kama we nishabiki wa timu na sio mshabiki wa mpira uwezi muelewa mzee said na mzee masatu ndo machawa wanaosababisha ligi ikiishaa waanze kutukanana na viongozi wao ilamchome yeye kataka kuitumia yanga kupata umaarufu ila never touch our Mzee Said tunamuelewa sisi watu wa mpira na ata kama sio simba wala yanga
Unachosema vinasaba ni sawa kabisa....lkn Mashabiki wa mipira zama hizi wamebadilika kaka, usitumie nguvu nyingi nassoro, zama hizi mashabiki wanahama tu' Kwa sababu hawapendi Mpira Bali wanapenda , WACHEZAJI...JEZI....VIONGOZI...WASANII wengine wanahama Kwa HASIRA ...Kwa hivyo wanaweza kuhama tu'.! ZAMA ZIMEBADILIKA KAKA, MOYO wako na mashabiki wengine TOFAUTI
Mzee said hajawah kusema viongoz vby kipind kile kl mt akitoa maoni kutokana na mwenendo wa team ht ww ulisema mangungu na tray ageni hawatoshi shenzi weee itakua unamuonea wivu t yule mzee said acha unafkiii
Hakuna shida yeyote.Meja tupo nae na tunatamba nae sisi kama wananchi meja tumempokea na tutakuwa nae nasoro acha jazba huu ni mpira kila mtu anahaki ya kupenda na kuchukia kama dini watu wanahama mmpira ni nini acheni wehu wenu hapo kunyweni kahawa mkalale
Mzeee said mwachen banaaa achen wivuu mzeee said shabiki wa simbaaaaa❤❤❤
Ni wale wale na yeye
@@anastahiliutawala3879WALE WALE NI MCHOME HAKUNA HATA SIKU MOJA KAISIFIA SIMBA ATI YEYE NI SIMBA 😂😂😂
jmn mzee said cyo yanga jmn muwacheni
Mzee masatu hapo umekosea sna tena muombe radhii mzee said mpumbavu weee au unamuonea wivu yule mzee wa watu shetani ww
Mzee Masatu uache unafiki na wivu Mzee Said mbona simba ikifanya vizuri anaongea fact yanga ikifanya vizuri anaongea fact ama wivu unavyoona kapendwa anapewa zawadi akiomba kitu anapewa uache unafiki labda msemehe Mchome ndo anaalibu ila sio mzee said mbona Juzi kaisifia???
Nakupata 🇨🇦😍🇨🇦
Alafu kwanini msubiri mzee said aondoke ndo mmseme mzee wetu mi roho imeniuma sana mzee masatu kwanini umseme vibaya wakati mtu simba imeanza kukaa poa anaisifia mpaka anatukera mashabiki wa yanga
Nikweli upo sawa wanasababisha shida tu katika timu
Mzee Masatu muonee huruma mzee Said ...😂😂😂😂 Mzee Said ni mwenzetu buana
Kwa mzee saidi apana
Sio Simba yule
I really agree with mzee masatu ! Normally I usual follow most of chagamba interview mzee saidi is not truthful to Simba...soccer fan from kenya 🇰🇪
WACHA UJINGA WEWE
Anachofanya mzee said ajakosea yupo vzur
Yupo vizur wap yuleeee?
Mzee said yule sio shabik wa simba
Sawa kabisa, Mchome siyo Simba
MZEE MASATU
PUNGUZA WIVU AU NA WEWE UNATAKA CHAGAMBA AWE ANAKUFUATA KUKUHOJI KAMA MZEE SAIDI 😂😂😂😂😂😂😂
Upo sawa kabisa kaka 🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Mzee Saidi yule Simba Damu Kabisa Msimsingizie
Sio Simba yule
Kweli kabisa mtu ane penda kuhama hama mara huku mara kule huyo hajiamini katika maisha yake
Kama we nishabiki wa timu na sio mshabiki wa mpira uwezi muelewa mzee said na mzee masatu ndo machawa wanaosababisha ligi ikiishaa waanze kutukanana na viongozi wao ilamchome yeye kataka kuitumia yanga kupata umaarufu ila never touch our Mzee Said tunamuelewa sisi watu wa mpira na ata kama sio simba wala yanga
sasa jamani mzee said kafanya nini jamani
Mimi nakubali lakini kwa Mzee saidi apana
Sio Simba yule
We masatu mzee said itakuwa kakuchukulia mke wako maana mzee said watu tumjuwa vizuri
Sio Simba yule
Adana mzee said simba achofanya mzee said anakosoa
Huyu ndg anahoja sana.
Yaan we nasoro ni mpuuz.
Eti unahisi Mungu maneno yake ni kwel. Yaan humuamini mungu. Et unahis daa!!!
Kwa mzee Saidi hapo uongo. Mzee Masatu hapo una yako tu. Umeongopa
Unachosema vinasaba ni sawa kabisa....lkn Mashabiki wa mipira zama hizi wamebadilika kaka, usitumie nguvu nyingi nassoro, zama hizi mashabiki wanahama tu' Kwa sababu hawapendi Mpira Bali wanapenda , WACHEZAJI...JEZI....VIONGOZI...WASANII wengine wanahama Kwa HASIRA ...Kwa hivyo wanaweza kuhama tu'.!
ZAMA ZIMEBADILIKA KAKA, MOYO wako na mashabiki wengine TOFAUTI
Ndo.hilo halielewi😂😂😂!
Nyie wote mmesahau kitu kimoja mpira ni mchezo pendwa watu wanapenda mpira mzr kama mpira unaonyeshwa na timu inayocheza vzr watu wataelekea huko.
Mzee Said upo good
Yule Mzee sio shabik wa simba
Jaman kwa mzee saidi hutuambii ki2 mashabiki wa simba
Sio yule
Mzeee said mumwache mchome ndio boya
Ad Mzee said sio smba
Mzee said wanamwonea wivu wamwache tu
Mzee said muacheni juzi kasifia sana kwenye ukweli anasema
@@mohiuyKWELI BRO
Anaonewa wivu Kwa lipi,kuna muda anazingua,hata me namkubali ila kuna muda mwingine anazingua
@@WinnersonMahali tuachie sisi tunaijua kama unamtaka kupata furaha mfatilie Mzee said raha sana
@@DanielChaula sasa unazungumzia Raha na sio uhalisia ,kama kuchekesha kweli anachekesha Ila sio kila anachoongea NI cha maana
Mzee saidi mwehuu
NASSORO WEWE UMEPENDA MPIRA UKUBWANI
KUNA WATU WEENGI WALIHAMA TIMU ZAO KWA SABABU YA KUKWEPA KERO TU
Wew umeanza kuipenda yanga lini
Hakuna kuhama mhamaji ni msenge
KUHAMA SIO MBAYA SEMA KWELI USIWE MSENGE KAMA MCHOME VAA JEZI YA ULIKOHAMIA WATU WAJUWE
@@danielchamoto9376
Mimi Yanga nimeipenda Since 1968 ilipoifunga Simba goli 5
hakun mtu mzima anayeweza hama timu
Mzeee said nakuelewaa sanaa
Uko sawa
Kazungumza ukweli uyu jamaa good
Kaka uko sawa
Nasoro uko sahii kaka
mzee said no
Eti mchome anapenda uongozi wa Mangungu😅😅😅
MTOTO MSENGE YULE
MTOTO MSENGE YULE
Nassoro yupo sahihi kabisa 💯
MMEMSAHAU SAM SIMBA NA YEYE N MAMURUKI
Huyo Sam yamnga sio simba
Kabsaaaaaaa
Umeongea kweli mjeda wangu
Safii
Mzee saidi apana
Mimi Binafsi sikuelewi nakuona unaropokwa tu nassoro
Wewe mpira umeujua ukubwani
Kweli
Mzee Saidi ni mkweli
mmeongea point sana ilaa hapo kwa mzee said mmekosea sana kwanii kakosea nini mzee said yulee ni simba dam dam mzee masatu punguza chukiii,🤍❤🦁🦁🦁🦁😢😢😢
Jamaa yupo sahihi sana hakuna mtu anahama ukubwani
leo umeongea point
Mzee saidi unalalama nini sasa, zile tano za gamondi vipi bado unazikumbuka??😂😂😂😮😮
Nasoro leo yupo sahihi
Kweli hatamimi Nakukubari hizi Timu lazima ukypenda Simba Tangu mdogo Uhami Wala Yanga huwezi kuhama Katu Abadani
mfukuzeni mchome atawachomesha sana😂😂😂😂
Mzee said hajawah kusema viongoz vby kipind kile kl mt akitoa maoni kutokana na mwenendo wa team ht ww ulisema mangungu na tray ageni hawatoshi shenzi weee itakua unamuonea wivu t yule mzee said acha unafkiii
Mzee said tena!!!!!!!!
Uy mzeee chok sn mzee said mtuh pouwa sn
Mie mwana Simba maongezi Yako yakosafi sana haojama sifananjaa vimewakabili kwawakati mmoja
Hili zee masatu linahunika
Mimi nisimba nahuyojamaa niyanga lakini kwahili niko upandewake yuko sahihi
Hakuna shida yeyote.Meja tupo nae na tunatamba nae sisi kama wananchi meja tumempokea na tutakuwa nae nasoro acha jazba huu ni mpira kila mtu anahaki ya kupenda na kuchukia kama dini watu wanahama mmpira ni nini acheni wehu wenu hapo kunyweni kahawa mkalale
Mchome yupo sawa hacheni unafiki wakijinga
tena wanafiki sana tumewaelewa wamependa simba ukubwani
Mnamuonea Mzee Said jamani mbona anaongea ukweli mtupu hata Mchome pia,mtu akiongea ukweli basi ni shabiki wa Yanga
MWAMBIE MCHOME AVAE JEZI YA UTOPOLO ASIVAE JEZI YA SIMBA MSENGE YULE
Na wazungu nao we choko2
Leo ndio nimewaona watu wa mpira kabisa Simba na yanga
Nasoro we mwamba kwelikweli kwa hilo watu kama hao wantakiwa waonje makofi vichwa vyao vikae sawa
Nikimtoa mzee saidi hao wengine wote nikwr wanafiki cyo wapenda mpira Kama uyo mchome kila kikicha nikuitukana simbatu
Kweli jamaa angu huyu jamaa yuko clear
Nasoro umetoa fact Mimi yanga
Mzee side unamuonea said Simba damu
Huyu nasoro kaongea pointing sana Leo wachane wahuni ao
Tuachieni Man utd yetu jadilini mengine 😂😂😂 ila utd achaa ituueee
Mzee saidi sio yanga ila mchome na huyo meja ni mamruki kabisa
Ukibishana na mjinga nawew ni mjinga kwa hiyo hamna haja ya kubishana na hawa
Ila huyo jamaa wa Yanga nimemkubali sana. Nasoro kunywa Pepsi ya baridi nitalipia
We hujui Mpira kaa kimya palipo na ukweli sema ukweli kwaiyo yanga ikiwa mbov husemi ukwel,.
Nilisema hapo nyuma sikueleweka,huyo Said si mpenz wa Simba mamluki huyu anatumiwa na upande ule wa KAMBALE
Kwa mzee said apana hana shida mzee wawatu mchome sawa ila mzee saidi ni simba
Mzee masatu umemkosea mzee Said unachoongea juu yke ni uongo Labda Kuna lingine
Kwaniiii kuamaaa tatizooo kahamaaa mremaaa kahamaaa sumai kahamaaa sharifuu amadiii kamiaaa upinzaniii bahadaaaa kuonaaa aendaniii namfumooo shidaaa nini
UKIHAMA VAA JEZI YA ULIKOHAMIA USIWE MSENGE KAMA MCHOME
si mmewachukua utopolo wawasaidie sijuhi kitu gani
mchome sawa ila mzee said unamwonea
Huyu mzee masatu naye huenda anabifu lake kwa mzee Said huu ni unafiki sas
Hujui sababu ya kuanzishwa kwa YANGA
Tena huyu mchome tusimkamate
We nassoro unajua maana ya Vinasaba vnasaba havihusiani na mpra
Nassalo nimekuelewa xana
Kwa Mzee saidi lakini mchome yule jamaa sidhani kama ana marinda yule
NASSORO KWELI KABISA
HUYU MWAMBA ANASEMA UKWELI TULIKUA TUNATOKA ILALA TUNAENDA KAUNDA KUANGALIA MAZOEZI YA YANGA TUKIWA WADOGO LAKINI SIJAWAHI KUIPENDA YANGA
Uko sawa unaongea ukweli uwez kuwa shbk wa yang uiponde yanga na uwe shbk wa simba uiponde simba
Mimi ni simba ila huyu kaka ameongea sahihi
sasa wasipohamia hizo hela za kadi tutazitoa wapi
Manara
Huyo.mchome.mnafiki
Aca ujinga team sio dini wala ukoo unapenda unacho kitaka wewe sio unakipimo sahihi cakujua anaipenda team
mzee saidi yuko sahihi anasema ukweli ni simba
Hatuwataki vizabizabina Wakatafute Timu zipo nyingi
manara kakimbia shida simba,na yanga siku ikipata shida anawakimbia
Napoteza mb kusikiliza watu wenye chuki..mzee Saidi mtoeni huko kabisa..mbona juzii alisifia timu yake?
Acheni chuki huo sio mpira wazee
Mzee saidi yanga tu yule kama sigala kali unawashwa kotekote