Kwa majina naitwa theodory lusian msisi,mm naungana na alichokisema ndg hans apo studio,simba inatakiwa kuwa na watemdani wawili,mtu wa uwanjami na mtu wa biashala,hilo ndio litakuwa jibu sahh kwa club kubwa kama ssc,
Arudi zake tu kwenye mabenki akaajiriwe.. huku kwenye club yetu ya Simba Kwa Sasa hakuna Tena janja janja ya kupiga maokoto.. mo tajiri kabana Chocho zote za upigaji hela..

Me wa kwanza leo😅😅
Arudi zake tu kwenye mabenki akaajiriwe.. huku kwenye club yetu ya Simba Kwa Sasa hakuna Tena janja janja ya kupiga maokoto.. mo tajiri kabana Chocho zote za upigaji hela..
Aende tuu tumtakie safari njema
Mangungu je?