RAIS WA TFF ATOA TAMKO HILI JUU YA SAKATA LA LAMEKI LAWI/ SIMBA NA COASTAL ZOTE ZANGU SITAPENDELEA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 вер 2024
  • #BATTLETV

КОМЕНТАРІ • 7

  • @omarymwenebatu
    @omarymwenebatu 2 місяці тому +1

    Hapo shadabadohipo mana siokilamechi itakayotumia VAR bora wahiache kuitumia kwenye ligi nakama wataitumia basi inatakiwa kilamchezo uchezwa kwa mkapa.

  • @SaidMana-dp4et
    @SaidMana-dp4et 2 місяці тому +3

    Ins maana gani kusema ni mchezaji wa simba wakati uamuzi haujatoka?

  • @ElizabethLukosya-lv2vf
    @ElizabethLukosya-lv2vf 2 місяці тому +2

    Lawi ni anaipenda mno Simba,sasa mkimlazimisha asichezee Simba itawakosti sana uwanjani mpaka mtasema ameuza tim weka hilo akirini,mluhusu mchezaji kwa tim anayopenda

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 2 місяці тому

    Nakupongeza Raisi wetu wa Tff kwa maendeleo hayo mazuri yenye tija ambayo unaendelea kufanya.
    Lakini pia naomba nikushauri kwamba vile viwanja vyenye taa vipangiwe kufanyika mechi 2 na siyo moja tu ya usiku. Kuwe ns mechi ya saa 10 jioni na ya saa 2 usiku. Kwa kufanya hivyo ligi yetu inaweza kumalizika mapema ili timu zipate muda wa kutosha kupumzika baada ya ligi na pia maandalizi ya Taifa Stars kufanyika kwa wakati vizuri. Tukifanya hivyo hata viporo vitapungua kwa kiasi kikubwa.

  • @user-gr9wc7bc2m
    @user-gr9wc7bc2m 2 місяці тому

    Ahahaaa komesha michongooo

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 2 місяці тому

    Rais wa tff je mtu kudhamini timu Tano au nane kwenye ligi Moja vifi inaleta afya kwenye mpira wetu tunaomba ufafanuz