Amina baba yangu wa kiroho, am so grateful to be under your spiritual guidance. Mungu akuongoze ubaki katika njia zake ili upate kibari kwake na uzidi kumimina baraka katika nchi ya Tanzania❤.
Mwenyezi mungu andelee kukulinda kwakila atua unayo inua namaobi uyaombayo akutie nguvu zaidi maisha yako yote hii uzidi kutuombea amina baba mungu akutuze kila siku uzidi kua kijana usizeeke baba amina sana
Amina Baba yangu Wa Kiroho mwenyezi Mungu azidi kukupaisha na kukuketisha na Wakuu Akutunze akulinde Najivunia ww baba hakika mungu ni Mwema sana Nami kwa Imani Nami nitakuwa Wa Kiwango ktk Kila Eneo laMaisha yangu Big up Baba Lao🥰
Amina baba yetu wakiroho kwakuliweka taifa letu mikoni mwa mungu pamoja na viongozi wote,mungu akupe maisha marefu baba umekua baraka kwa Tanzania na mataifa yote.
Najiungamanisha na neema ya baba yangu Kuhani Musa Richard Mwacha.. Niketishwe pamoja na Wakuu! Katika Jina la Yesu Kristo Mungu Mkuu aliye Nuru Halisi
Amen najivunia kanisan la ngomeni mungu alinileta mahali sasa hihi kabisa bila ngomeni ninaona kama sija sali kabisa mpaka nifike ngomeni hata nisikie sauti ya baba yangu wakiroho na pata ufungulivu amen🙏🙏🙏
Najivunia kuwa na baba kama wewe ,hekima, busara ,unyenyekevu, huruma, upendo ulivyo navyo . Yesu azidi kukutunza na kukubariki na akupe afya njema na umri mrefu kwa ajili yetu na vizazi vyetu. Na taifa letu kwa ujumla. Mungu akubariki sana.
What a Powerful Prayer🔥🔥🔥🔥
Najivunia kuwa nababa yangu wa kiroho kuhani musa mungu azid kukuinuwa kwa viwango vyajuu🙏🙏🙏🙏
Asante Bwana Yesu Mungu Mkuu uliye Nuru Halisi kwa ku tuheshimisha Wanangomeni.Pokea utukufu Mfalme Mkuu 🙏🙏
AMEN
Amina baba yangu wa kiroho, am so grateful to be under your spiritual guidance. Mungu akuongoze ubaki katika njia zake ili upate kibari kwake na uzidi kumimina baraka katika nchi ya Tanzania❤.
Amina sana chuma kutoka ngome YESU KRISTO kimara temboni jasusi la mbinguni💪💪💪
Amina baba kuhani
Najivunia kua na baba Kama wewe mwenyezimungu akupe maisha marefu uzidikukomboa nafasi zawatuwengi zaidi from Kenya
Amina sana baba mungu azidi kukutunza uishi maisha marefu 'AMENI'
Kipenzi cha wanangomeni asant yesu kwa kutuheshimisha wana ngomeni
Mwenyezi mungu andelee kukulinda kwakila atua unayo inua namaobi uyaombayo akutie nguvu zaidi maisha yako yote hii uzidi kutuombea amina baba mungu akutuze kila siku uzidi kua kijana usizeeke baba amina sana
Ameeen Baba yetu mpenzi Kuhani na Mwalimu Richard Mwacha tunakupenda Sana Baba yetu wa Kiroho.
Mungu azidi kukuheshimisha.
Amini
Tanzania tupo salama amina baba
AMEN
Aminaaaaaaa🎉🎉🎉🎉🎉
Amina!
Kuhani Musa tumekuelewa...
Uko serious!
Ndio baba Lao Amina kubwa
Amen my beloved Baba May Almighty God lift you up abundantly to the worldwide.
Bwana Yesu kristo atukuzwe Sana kwa ability yako baba kuhani Mussa.nakuelewa Sana baba lao
Amina Baba yangu Wa Kiroho mwenyezi Mungu azidi kukupaisha na kukuketisha na Wakuu Akutunze akulinde Najivunia ww baba hakika mungu ni Mwema sana Nami kwa Imani Nami nitakuwa Wa Kiwango ktk Kila Eneo laMaisha yangu Big up Baba Lao🥰
Amina baba yetu wakiroho kwakuliweka taifa letu mikoni mwa mungu pamoja na viongozi wote,mungu akupe maisha marefu baba umekua baraka kwa Tanzania na mataifa yote.
Amina baba Kuhani ubarikiwe
Amina baba Mwenyez Mungu akubariki
Hongera sana Mwana wa Mungu kuhani Musa utombee na sisi
Amina baba angu na mwenyezi mungu akuzidishie
Ameen Kubwa sn Mtumishi wa Mungu❤
Baba yangu wa kiroho mungu aliye nuru halisi azidi kukuangaza na kukulinda akupe Afya njema na maisha marefu
Baba yangu wa kiroho najivunia kuwa sehemu ya watoto wako bwana YESU Mungu mkuu akutunze na kukuongezea maarifa zaid
Najiungamanisha na neema ya baba yangu Kuhani Musa Richard Mwacha..
Niketishwe pamoja na Wakuu!
Katika Jina la Yesu Kristo Mungu Mkuu aliye Nuru Halisi
Hakika baba Mungu aendelee kukuheshimisha na kukupandisha viwango vya juu,hakika yesu wa ngomeni ni mkuu
Amen najivunia kanisan la ngomeni mungu alinileta mahali sasa hihi kabisa bila ngomeni ninaona kama sija sali kabisa mpaka nifike ngomeni hata nisikie sauti ya baba yangu wakiroho na pata ufungulivu amen🙏🙏🙏
Aminaaa. Kubwaa. Baba. Hongera. Sana. Eemeni
Ubarikiwe sana Baba WA Mataifa yooote na makabila yooote
Kwa kumuombea Raisi na Mama Yetu SAMIA SURUHU HASSAN 🎉🎉🎉🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Mungu akuzdishie neema tele
Ameen Taifa letu Tanzania libarikiwe na mwenyezi Mungu Baba, Rais wetu Mama Samia abarikiwe sana kwa kazi njema.
Kuhani tunajivunia kuha na kuhani kama wew amina sana baba
Najivunia kuwa na baba kama wewe ,hekima, busara ,unyenyekevu, huruma, upendo ulivyo navyo . Yesu azidi kukutunza na kukubariki na akupe afya njema na umri mrefu kwa ajili yetu na vizazi vyetu. Na taifa letu kwa ujumla. Mungu akubariki sana.
Kerubi la Mbinguni ❤❤ Maombi ya Kueleweka sana❤❤❤
Aminaa Sana baba yetu🙏🙏🙏
Mungu akubaliki sana
Kuhani nakuelewa sana sana sijui niseme nn nakuelewa ujataka kuboa dini yoyote ujajigawa kokote wew ni kiongozi bora nakukubali
Amina sana Baba Yetu 🙏🙏
Amen My beloved Baba nimefurahi kweli, hii furaha haina kikomo.
Mungu anazid kukuheshimisha baba lao Mungu ayapokee maombi uliotuombea
Ameen
Amina kubwa sana baba rao 🙏🙏🙏🙏
AMina kubwa
Amina baba
Pia mama yetu samia suluhu hassan ubarikiwe sana kwa kutambua uwepo wa baba yetu kuhani na mwalimu musa Richard mwacha
Amina Baba🙏
Navunia Sana Kuhani Sijakosea kufika ngomeni mwa yasu Amina kubwa
MUNGU akubariki baba yetu wa kiroho
Amen , 🙏
Aminaaaa 👏
Amen 🙏🏾
Amina!
Kristo ni mfalme milele yote
Usipokuwa mkakamavu kiroho hapo unadondoka
Kabisa
Amina🙏
Aminaaaaa
Aminaaa sanaaaa
Hakika kizimkaaazi leo imebarikiwa
Wanaomtukana mtandaoni watAjinyea wanapoona matusi yao yanageuka na kuwa mbolea inayozidi kumstawisha mtu wa Mungu
😂😂😂
😂😂😂
Kabisaaaaa
Amen
Aminaaaaaa Aminaaaaaa
🙏🙏🙏
Amina
ameniii kubwa bab kuani nakuerewa sana
Ameen kuhani.
Kerubii musa
Uko wapi
Baba lao!!!!!
Huyu ni bab yetu wakiloho bana lao😊
Yesu hajakosea kumleta huyu mtumiishi wetu kuhan mussa
Ubalikiwe
Mama nakuoenda ubagui din
Sio kazi ndogo, lazima kuna mtu aliinua vita, katika ULIMWENGU WA KIROHO
Hawezi kufanikiwa hichi nichuma kweli kweli tunakiamini
❤❤❤❤❤
Nahitaji Masada wa maombi kuusu dada yangu kahambu makasi barnadine nimugonjwa pa kambala Yuu mugonjwa kabisa
Mlete kanisani tupo kimara temboni
Amina baba kuhani
Amina baba
Aminaaa baba
Ameen
Aminaaa
Amen🙏🙏🙏
❤❤❤❤❤
Amina baba kuhani
Aminaaaaaa
Amina baba
Amina baba kuhani