MDAHALO LEO. DK 12 TU MAZINGE AVUNJA VIBAYA SANA HOJA ZA WACHUNGAJI WALIOTOKA KENYA NA AMERICA.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 479

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 3 роки тому +13

    Professor kama Professor Allah akuweke

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 3 роки тому +1

      maashaallah mazinge shekhe wetu

  • @zahrakassim3902
    @zahrakassim3902 3 роки тому +24

    I love this shekh for the sake of Allah Mungu akuhifadhi professor wetu uishi miaka mingi.

  • @shushu8105
    @shushu8105 3 роки тому +8

    Sheikh mazing Mungu akukinge navijicho vyawatu wabaya pia akuzidishiye urmi

  • @marwan_1987
    @marwan_1987 3 роки тому +11

    Ma shaa Allah..sheikh mazinge.. Mungu awape la kheri kwa kila kheri biidnillah

  • @mysalakatele2349
    @mysalakatele2349 3 роки тому +6

    Hongera shekhe hao ni wabishiii tuuu haki wanaijua ila masilahi tuuu ya pesa ndio yanawasumbua tuuu njaaa mbaya jamani

    • @marianachriss2444
      @marianachriss2444 3 роки тому

      Kwa maana YESU KRISTO ndio mwisho wa sheria Yeye aaminie amehesabiwa haki

  • @halima2549
    @halima2549 3 роки тому +4

    MashaAllah.. Nawapenda wte. Usdh kinyogoli upo vizur nimekuskia kwa mara ya kwanza

  • @jei_Ibrahim
    @jei_Ibrahim 3 роки тому +22

    Nimewatch mdahalo mzimaa live on line kishki tv jamaa waisilamu tuko na mchezo ile kazi hawa jamaa wana fanya sio ndogo tuwachangieni hawa jamaaa kwa kufanya kazi ya Allah

    • @oscarramazani1289
      @oscarramazani1289 3 роки тому +4

      Naam wanena haki. Na nikazi ngumu kupambana na wasioamini ISLAM

    • @salimumohamed4606
      @salimumohamed4606 3 роки тому +2

      InshaAllah kweli kabisa na woch kutoka kenya vipi Naweza toa mchango yangu Wallahi Allah Awalide na awape ushidi naelimu zaidi hapa raha to

    • @jei_Ibrahim
      @jei_Ibrahim 3 роки тому

      @@salimumohamed4606 namba zake za mpesa amezitoa kwa mdahali hapa sijazikariri ila hawa jamaa mungu ndio awalipe zaidi ya hii ya duniani hawa jamaa venye wamemtukana mohd hawa yaani wana taka subra sana lakn na wapongeza kingagoli namkukabali

    • @marianachriss2444
      @marianachriss2444 3 роки тому

      @@jei_Ibrahim YESU KRISTO ndio Nuru ya ulimwengu wote Yeyote asiyemkiri YESU KRISTO ameshahukumiwa

    • @jei_Ibrahim
      @jei_Ibrahim 3 роки тому

      @@marianachriss2444 sasa sijui nani ndio hata ukumiwa basi maana kama ni yesu waisilamu wote tuna muamini kama nabii wa mungu aliyetumwa kutangaza dini yake ya usilamu wewe sasa na wenzio ndio kazi muko nayo

  • @abokrarshamsan7963
    @abokrarshamsan7963 3 роки тому +8

    Mashaallah mungu awalinde masheik wetu inshallah na awajalie umri mref ili mzidi kuipigania Dini ytu ya haki.

  • @mangeraalbert7982
    @mangeraalbert7982 3 роки тому +13

    Mazinge nuru KUU juu yako, amin. Allah Akbar. Niko raaha

  • @juniorjuma2562
    @juniorjuma2562 3 роки тому +10

    Kwa kweli nakupenda uislamu mileleee kila la kher kwa waazali wetu😍😍😍

  • @khalfansharji9790
    @khalfansharji9790 3 роки тому +4

    Naam Sheikh Mazinge wewe kweli Theology profesor Allah akubariki.

  • @nooraallahuakibarumwenyeez3079
    @nooraallahuakibarumwenyeez3079 3 роки тому +9

    Shekhe ostadhi mazinge unanichekeshaga ww yan ww ndiyo kiboko cha makafiri unapamban nao kweli kweli ili waijuwe hakki na Allah awaongoze

  • @abdulraufmohammed7067
    @abdulraufmohammed7067 3 роки тому +10

    mashaa Allah
    Allah awabarik n kuwalipa kw nia yenu

  • @rinompemba5926
    @rinompemba5926 3 роки тому +13

    Naam Maalim mazinge Masha Allah. Nakuangalia live apa. September. 2021

  • @adilihassan8455
    @adilihassan8455 3 роки тому +8

    Waaah ,sheikh wetu umemmchachaga kwelkweli ,hahaha akurudii tenaaaa Wallah,Allah awaongoze mashekhe wetu hadi kuleeeeeee firdaus

    • @princesspatra5494
      @princesspatra5494 3 роки тому

      ua-cam.com/video/0XcdUs8xiFI/v-deo.html

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 3 роки тому +1

      inshaallah

    • @manasengobei9968
      @manasengobei9968 3 роки тому

      Huyu shee si ndio aliomba ili Afande Sele afe iliishia wapi?
      Waislamu acheni kumuona Mungu kama ni mtoto wenu.

    • @mjitahidiomary8733
      @mjitahidiomary8733 3 роки тому

      @@manasengobei9968 kuna wakat yesu aliomba kwa mung hakujibiwa

    • @shabbymakapaneshabby5000
      @shabbymakapaneshabby5000 3 роки тому

      @@manasengobei9968 MUNGU na Afande wapi na Wapi?

  • @makenakendi9014
    @makenakendi9014 3 роки тому +5

    Mashaallah ALLAH BARIIK always my brothers

  • @khalidkhamis9195
    @khalidkhamis9195 3 роки тому +8

    Haijawahi kutokea kwenye mdahalo Maandiko ya Bibilia yakashinda Qur'an. Kwani Qur'an ndio kitabu kitakatifu na kilichokamilika kuliko vyote.. Bibilia tayr imefanyiwa mabadiliko mara kadhaa...hvo kuna hitilafu ndani yake

    • @karishs3956
      @karishs3956 3 роки тому

      quran iliandikwa na walevi Amina Abubakar,Umar,

    • @michaelvicem6323
      @michaelvicem6323 3 роки тому

      Wew mazinge wakimwingiza kwenye koloani waislamu wanakimbia,,Coz Mtume aliowa wake 13 na wawili kati yao MTU na mdogo wake je ni Halali,,na Halali tuambiye wapi Allah uyo amwambia afanye lvo?? Pia akuna sehemu ambapo Muhammad lnasema alitailiwa ni govi,,pengne Hakuna sehemu katika koloani anaposema Allah,,Nimekuchagua ewe Muhammad kuwa Mtume,, pia Koloani ni kitabu ambacho Muhammad alipewa na wazee wa kiyaudi kilitumika kama kitabu cha Tiba,, Inasema lvi,,Aliekuwa adui wa Jibril, ndie aliekutelemshia Quraan kwa ldhin ya mwenyezi mungu.. Adui wa jibril kwa mujibu wa koloani ni mayaudi na ndio waliomletea quraan Muhammad kwa ldhin ya Allah,,yaan Huu ni upotofu,, Waislamu Hawana wa kumuabudu wa awamjui mungu. Wala awana kitabu, Ni Sanaa tu za mafalisayo waliompinga yesu.

  • @mangeraalbert7982
    @mangeraalbert7982 3 роки тому +6

    Mazinge nimeneemeka sana nikawA umati Muhammad

  • @omarothman9222
    @omarothman9222 2 роки тому +1

    Mashaaallahh Allah akuzidishie afya njema

  • @heyumi2340
    @heyumi2340 3 роки тому +14

    maashaallah maashaallah 🥰♥penda sana wahadhiri wetu

  • @raymondngajagu66
    @raymondngajagu66 3 роки тому +2

    Etii!! Maliamu mkewe Mungu na mtu anashabikia anaona amesema kweli duu!!! Ndivyo vitabu vinavyosema unanukuu Vita vya watu na xio vitabu vya Mungu awahurumie Mungu

  • @tahiraabdul1701
    @tahiraabdul1701 3 роки тому +12

    Mazinge uko juu

  • @halimamwakucha2637
    @halimamwakucha2637 2 роки тому

    MashaAllah mashaAllah Allah hwajaalie umr mrefu.. Npenda midahalo nkupenda shekh maznge kwa ajil y Allah

  • @omaryjuma9747
    @omaryjuma9747 3 роки тому +3

    🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🙏💚💛Masha Allah bless you mazinge from 🇹🇿🇬🇳🇬🇲

  • @Saimugwaotv
    @Saimugwaotv  3 роки тому +7

    Inshaalah mtawaandalia usiku

  • @ramadhaniissa5370
    @ramadhaniissa5370 3 роки тому +9

    MAZINGE NA SAIMU JUUU

  • @CHEEDYBOYY
    @CHEEDYBOYY 6 місяців тому

    Mazinge mungu akupe mwisho mwema akupe maisha marefu

  • @ameenajumah7335
    @ameenajumah7335 3 роки тому +1

    Mashaallah masheikh zetu nawapenda kwaajili yake Allah 🧡

  • @mohammadalfani5243
    @mohammadalfani5243 3 роки тому +2

    Mungu akupe umri ustadhi mazinge...umewaeka kimyaaaa

  • @abuusaad5791
    @abuusaad5791 3 роки тому +5

    Mashallah kwa kuakamata hao jamaa,ila usinyowe ndevu

  • @missrukia9661
    @missrukia9661 3 роки тому +6

    Mashallhaaa shemazige

  • @yussuphsultan1400
    @yussuphsultan1400 3 роки тому +4

    Huyu ni mwanafalsafa, Anajua maandiko na ana mantiki ya kiwango cha juu sana!!!

  • @saidmwatenguri4951
    @saidmwatenguri4951 3 роки тому +4

    Mashallah sheikh mazinge

  • @khadijaomar9653
    @khadijaomar9653 3 роки тому +3

    Hhhhhhhhhh Anaitwa al habib Mazinge mashaaAllah

  • @ajumaakange1483
    @ajumaakange1483 3 роки тому +2

    Kiboko yamakafiri Allaah akupeumri mrefu

  • @jacksonmhanga888
    @jacksonmhanga888 3 роки тому +1

    Tena mi Mara nyingi upotoshwaji wa aina hii umekuwa ukitokea usiwe pande zote chagua sehemu sahihi huyu Yesu tunaemwamini alituambia anakwenda mbinguni kutuandalia makao wakati kafufuka ili alipo yeye nasi tuwepo Kama huamini basi usizingumze kitu ambacho huna Imani nacho

  • @Jityhadi_metals_farniture
    @Jityhadi_metals_farniture 3 роки тому +4

    Mazinge namkubali sana

    • @Jityhadi_metals_farniture
      @Jityhadi_metals_farniture 3 роки тому +1

      Mwenyezimungu amjalie maisha marefu na yenye kher nyingi shekhe wet mazinge amin..

  • @ashtube1333
    @ashtube1333 3 роки тому +5

    MashaAllah Shekh. MAZINGE

  • @joshuanoel4482
    @joshuanoel4482 3 роки тому +1

    Wakati mwingine waislamu msiweke vichwa vya habari vya habari vya kujigamba ambavo ni tofauti na uhalisia uliopo ndani huo mdahalo nlikuwa naangalia online pamoja na baadhi ya waislamu hadi wenyewe wakakiri kwamba waislamu hizo mada zote mbili mlikuwa mmepwaya sana mwanzo mwisho sijawahi kuona mfahalo kama tangu kuanzia kwa marehemu ahmed deedat

  • @uwesusaid5334
    @uwesusaid5334 3 роки тому +10

    Mashaallah 👏👏

  • @idditsuma4604
    @idditsuma4604 3 роки тому +3

    Masha Allah

  • @mariamuseifu3065
    @mariamuseifu3065 3 роки тому

    Masha Allaah shehe wetu Allah akupe maisha marefu Insha Allah 🤲🤲

  • @twalibfaqih9858
    @twalibfaqih9858 3 роки тому +1

    Mashallah Allah kareem. ISLAM IS BEST WAY OF LIFE

  • @mafundahamad8665
    @mafundahamad8665 2 роки тому

    Mungu akupe umri mrefu wenye kheri nawew ,akukinge na mahasidi pia.

  • @issmuking3987
    @issmuking3987 3 роки тому +3

    wallahi Mungu tuongoze njia ilioyooonyooka njia ya wale ulowaneemesha sio wale ulowakasirikia wala ya wale walopotea

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 3 роки тому

      Amiiiiiiina Amiiiiiiina

    • @issmuking3987
      @issmuking3987 3 роки тому

      yaaan uislamu raha😀😀

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 3 роки тому

      sana ringa kama umezaliwa mwislam 😁😁

    • @issmuking3987
      @issmuking3987 3 роки тому

      raha sanaaaaa😀😀😀😀🥰🥰

  • @shabbymakapaneshabby5000
    @shabbymakapaneshabby5000 3 роки тому +4

    Mashallah

  • @marianachriss2444
    @marianachriss2444 3 роки тому +3

    Mbona hamjaweka yote muone kazi , maneno mengi mbele giza,Rudini kwa YESU KRISTO mpate okolewa

    • @shabbymakapaneshabby5000
      @shabbymakapaneshabby5000 3 роки тому

      MATHAYO MTAKATIFU 24 ; 4 -5 YESU Akajibu Akawaambia. Angalieni Mtu Asiwafanganye . 5 Kwa Sababu Wengi Watakuja Kwa jina Langu Wakisema. Mimi ni KRISTO; Nao Watadanganya Wengi, 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 1 WAKORINTHO 15 18 Na Hapo Waonao Waliolala Katika KRISTO Wamepotea. 😂😂😂😃😃😃😅😅😅 19 kama katika Maisha haya Tu . Tumemtumaini KRISTO. Sisi Tu Masikini kuliko Watu Wote. 😂😂😂😂😃😃😃

    • @marianachriss2444
      @marianachriss2444 3 роки тому

      @@shabbymakapaneshabby5000 soma Marko 16:16,hubirini injili kwa kila kiumbe ,yeye aaminie na kubatizwa ataokoka asiyeamini atahukumiwa,

  • @adammasunga5363
    @adammasunga5363 3 роки тому +1

    Naona anachokizungumzia ni maigizo tu Ila ukweli utabaki kuwa palepale Yesu ni mwana wa Mungu

  • @firdausjumwa2845
    @firdausjumwa2845 3 роки тому +2

    Ma sha Allah

  • @salmakundi2717
    @salmakundi2717 3 роки тому +4

    MashaAllah

  • @husseinguyo4379
    @husseinguyo4379 3 роки тому +1

    Allah awalipe kile mnachokifnya

  • @abdallajuma2181
    @abdallajuma2181 3 роки тому

    Mazinge wewe ni noma mungu akulinde hakika ww unazungumzia dini ki uhakika

  • @amirykingoto9123
    @amirykingoto9123 3 роки тому +1

    Allah akuhifadhi

  • @bushgeorge3109
    @bushgeorge3109 3 роки тому

    Duuu kazi kweli kweli mazinge unadanganya watu

  • @jamilasaid9760
    @jamilasaid9760 3 роки тому

    Mashaallhwh. shekhe. mungu. akuzidishie

  • @farajaally6790
    @farajaally6790 3 роки тому

    Allaah akujaalie umri mref wenye baraka na akujaalie jannatul firdaus kwa kaz kubwa unayoifanya

  • @hafsaali7976
    @hafsaali7976 3 роки тому +5

    Mashaallah mashaallah

  • @jeshilamtu863
    @jeshilamtu863 3 роки тому +2

    ALLAH Akbar !!!

  • @sadytv5772
    @sadytv5772 3 роки тому +1

    Manch'Allah ☝️♥️

  • @nalingarowl7048
    @nalingarowl7048 Рік тому

    Hajatokea mtu Wala Nabii kumzidi Yesu.hayo ni makelele tu,lakini moyoni mwenu mnajua Yesu na Ukristu hakuna Cha kufananisha
    " Piga makele,Yesu ni Mwana wa Mungu,na ni Mungu pia"

  • @salehesengiyanka5397
    @salehesengiyanka5397 3 роки тому +2

    Wakristo wanaogopa kuwasaliti wenzie lakin hakika mazinge ana uwezo wa kuwaslimisha watanzania wote ata dunia nzima, uyo jamaa hakuna wa kumuweza kabisa

    • @jacksonmhanga888
      @jacksonmhanga888 3 роки тому

      Hem jaribu kusoma historia ya farao Kama pale misri walimuweza? Ila alikuja kuwezwa na mtoto mdogo tu kwake Musa

    • @karishs3956
      @karishs3956 3 роки тому

      Amedanganya hizo Aya na abatizwe sababu hajui Biblia

  • @rehemashaibu7635
    @rehemashaibu7635 3 роки тому

    Allah akuhifadhi shekhe wetu

  • @ramlaameer2226
    @ramlaameer2226 3 роки тому

    Mashaallah ustazi uko vzt

  • @minabuelysee8
    @minabuelysee8 3 роки тому

    Allah akupe mwisho mwema
    Amin

  • @leilahassan6157
    @leilahassan6157 3 роки тому +1

    Mashallah mazinge mungu akupe umri mrefuu

    • @karishs3956
      @karishs3956 3 роки тому +1

      Nilidhani mazinge anajua ukristo kumbe wapi Sanaa tupu kwanza Yesu hakumwambia Petro Rudi nyuma yangu shetani Ila Ni kwa Aya nyingine tofauti,sababu alimuia Yesu kwenda Yesu kwenda Yerusalemu,hatujui anapindua aya ili iweje

  • @mossesjovenari9457
    @mossesjovenari9457 3 роки тому

    Mazinge YESU Anakuhitaji

  • @StraightPathDawah
    @StraightPathDawah 3 роки тому

    Hatari sana

  • @cabylake2320
    @cabylake2320 Рік тому

    Mashaallah 💓❤️

  • @salehesengiyanka5397
    @salehesengiyanka5397 3 роки тому +1

    Hahahahahaaaa an kila nikiangalia hii clip huwa nacheka sana hao watumish walivyokuwa wakimuangalia mazinge pind anawafundisha dini ya haki

  • @manasengobei9968
    @manasengobei9968 3 роки тому +2

    Mbona namuona Mazinge tu ndio anaongea inamaana upande wa pili hamna, ili takiwa tuone swali limeulizwaje ili tuone anachojibu ni sahihi au la?

    • @oscarmushi3212
      @oscarmushi3212 3 роки тому

      Wanaweka kipande chao hawaweki upande wa pili msielewe mjadala

    • @hamisiomary1262
      @hamisiomary1262 3 роки тому

      Kila swali walilouliza wakristo wanayajibu waislam Ila wakiuliza waislam? wakristo wanashindwa kujibu hatimaye wanakaa kimya wanajibu Tena waislam

  • @rasheedshaban2233
    @rasheedshaban2233 2 роки тому

    Allahuakbar..🙏

  • @abdulmalikngola9244
    @abdulmalikngola9244 3 роки тому

    Unatisha mazinge hapa hata Cristiano wala messi hawakufiki kwa ncha masha Allah mtemi DD

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo623 3 роки тому +1

    😂Kitaeleweka tu, elimu ni raha sana kwa wenye kuwa nayo. Burudani kamili na hasa Mazinge akiingiza vioja 😂

  • @reubenbushiri1753
    @reubenbushiri1753 3 роки тому

    Hakuna muhadhiri wa Dakika wenye Dakika 12 tu,munaonyesha vipande kwa ushabiki wa dini.weka muhadhiri wote inapoteza radha watu wanataka kujifunza.

  • @jimjam4148
    @jimjam4148 3 роки тому

    MASHA ALLAH.

  • @norbertlilungulu5018
    @norbertlilungulu5018 2 роки тому

    Mazinge anapindisha sana alafu kawa mshereheshaji

  • @marianachriss2444
    @marianachriss2444 3 роки тому +2

    Waislamu Wote wanakwenda jehenamu wasipotubu na kumuamini YESU KRISTO,YESU KRISTO ndio Nuru ya ulimwengu wote,

    • @khalfanikishki4687
      @khalfanikishki4687 3 роки тому +1

      Toa andiko Waislamu watakwenda jehannamu wasipomuamini Yesu. Wakristo mmepotea, andiko hili mi natoa. 1 wacorinto 15:18,19)

    • @marianachriss2444
      @marianachriss2444 3 роки тому

      @@khalfanikishki4687 soma ufunuo wa yohana 21-6-8,soma marko 16:16, soma warumi 8:1

    • @khalfanikishki4687
      @khalfanikishki4687 3 роки тому

      @@marianachriss2444 Nipe andiko Wakristo mtaingia peponi.

    • @khalfanikishki4687
      @khalfanikishki4687 3 роки тому

      @@marianachriss2444 Ufunuo 21:13)

    • @marianachriss2444
      @marianachriss2444 3 роки тому

      @@khalfanikishki4687 soma warumi 8-1,soma yohana mtakatifu 14:6,

  • @josephsebe5857
    @josephsebe5857 2 роки тому

    HUJAALIKWA MAZINGE .... MUNGU YUPO NASI SIKU ZOTE... KUTUSAIDIA MAISHA YAWE RAHISI. KAMA WEWE HUKUWA DAKTARI BASI USAIDII WAGONJWA. SASA MUNGU YESU MALAIKA WAPO HUMUHUMU

  • @Junior-rl2hj
    @Junior-rl2hj 3 роки тому +2

    Mazinge kipenzi

  • @starmax6068
    @starmax6068 2 роки тому

    Mm dini yanichanganya sijuwi niende wapi

  • @iddysimba9723
    @iddysimba9723 3 роки тому +1

    CHAKA WA MUSSA HOI SANA KACHOKA HOI SANA😄😄😄😄

    • @rahmaAhmad234
      @rahmaAhmad234 3 роки тому

      Dar joto. ...yeye anasikia barid mnooo

  • @jacksonmhanga888
    @jacksonmhanga888 3 роки тому +3

    Mathayo 16:17_19 Yesu alimjibu kwamba "haya majibu alojibu Petro hajayajibu kwa mwili na damu Bali ni MUNGU kamfunulia" ndio majibu ya Yesu kwa Petro baada ya Petro kumjibu kuwa Yesu ni mwana wa MUNGU aliye hai na ukisoma unaona Yesu anamwambia Petro kuwa atampa ufunguo kwamba lolote atakalofunga duniani litafungwa mbinguni na litakalofunguliwa duniani na mbinguni pia litafunguliwa
    Lile mazinge alilojibu halikuwa jibu kaa swali lile Yesu alimwambia Petro ondoka shetan baada ya Petro kuonyesha kuwa atamlinda Yesu Sasa swali moja tuu Kama ameshindwa kupangilia na ametoa ushuhuda wa uongo kusema kuwa Yesu alimjibu hivyo Petro baada ya Petro kumjibu kuwa Yesu ni mwana wa MUNGU aliye hai huyu si shuhuda wa uongo???

    • @christianmwasakogo5579
      @christianmwasakogo5579 3 роки тому

      Hakika ukimfuatilia ni haelewi anachokipinga huyu shehe mazinge kwa mujibu wa maneno ya Yesu katika mathayo 16:17-19

    • @abdallahally842
      @abdallahally842 3 роки тому

      Nenda shetani mkubwa aliitwa shetani hakuitwa full stop maneno ya binadamu ndio yanawadanganya na kuwapoteza hakunq mahali yesu mwenyewe anasem mm mungu kwanza kama mungu alipokufa msalabani nani aliendesha dunia yesu anasema mwemyewe babayangu ambaye ni baba yenu mungu wangu ambaye nimungu wenu. Sasa mwenyewe anasema mungu wake ndio mungu wetu halafu nyinyi mnamzulia uongo tukusikilizeni nyie au mwenyewe.

    • @oscarmushi3212
      @oscarmushi3212 3 роки тому

      @@abdallahally842 kwani hiyo kuruhani yenu iliandikwa tembo au wanadamu? Mungu anatumia watu

    • @maesryclassic456
      @maesryclassic456 3 роки тому

      @@oscarmushi3212 Qaio broh nawe unaamin kuwa Yesu ni Mungu au mwana wa Mungu 😂

    • @minabuelysee8
      @minabuelysee8 3 роки тому

      Mtume Issa(Yesu) sio Mungu ni kiumbe

  • @sangararawarioba3016
    @sangararawarioba3016 3 роки тому

    Mashallah.Ila Mazinge kiboko, dah aiseee.Hahahaaaa.

    • @michaelvicem6323
      @michaelvicem6323 3 роки тому

      Kiboko yake mazinge Yupo Bagamoyo mringotini mchungaji Yahaya

  • @abdalaramadhani5841
    @abdalaramadhani5841 2 роки тому

    Red rr

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 3 роки тому +1

    Porofesaa Mazingeeeee

  • @cabdurahmanmohammad490
    @cabdurahmanmohammad490 2 роки тому

    M.a

  • @imatisatv9239
    @imatisatv9239 3 роки тому

    Shida iliyopo mnapata dini ya kiislamu ili ionekane ndio dini nzuri.hicho kitu hakuna

  • @moshantoj
    @moshantoj 3 роки тому +1

    Mazinge anapresha mpaka anatumia hata kitabu ambacho haieleweki

  • @michaelvicem6323
    @michaelvicem6323 3 роки тому

    Awa wakenya awamwezi uyu jamaa kiboko ya mazinge Mchungaji Yahaya yuko Bagamoyo mlingotini ndo kiboko yake uyoo

  • @kennah03m
    @kennah03m 3 роки тому

    Yaani babu hana hojaa/mzee

  • @josephsebe5857
    @josephsebe5857 2 роки тому

    MAZINGE UNAHANGAIKA TUNASALI TUUUU.ILA TAABU AKIJA WAKANA. NA ATAWAKATA. MAZINGE MUNGU KATAMKA MARA NYINGI SANA ANA MTOTO. 1 TA TUUMBE MTU KWA MFANO WETU. YAWEZEKANA WEWE HUKO MBINGUNI MABABU UBISHI WAO KAMA WAKO WATAKUWA VILEVILEEE. 😂😂😂😂 LABDA KAMA MJONGOOO 😂😂😂😂 .WEWE TAMBA UTAVIKUTA HUKO.

  • @hizzarashidi1118
    @hizzarashidi1118 3 роки тому +1

    🙏🙏🙏

  • @felystersonduso2626
    @felystersonduso2626 3 роки тому

    😄😄😄Mazinge leo ulipata kiboko hata uso umejikunja hujui ujibu nn

  • @alfaniomary2506
    @alfaniomary2506 3 роки тому

    Mm nimuislam ila ninawatt nataka kusoma nifanyeje

    • @adammj6258
      @adammj6258 2 роки тому

      Asalam alaeykum, angalia waislam wenzio walio karibu yako, hasa nenda Msikitni utasoma hadi na wewe utakuwa Mwalimu ndugu yangu . Mola akupe wepesi na akujaze baraka

  • @omarathuman5813
    @omarathuman5813 3 роки тому

    Allahu Akbar

  • @reubenbushiri1753
    @reubenbushiri1753 3 роки тому

    Hizi online TV munaweka vipande kwa ushabiki wa dini wekeni yote.Inapoteza ladha.

  • @karishs3956
    @karishs3956 3 роки тому +1

    Wewe mazinge acha kudanganya waislamu,na kuwaingiza jehanam manake umeruka Aya hio pahali wakiwa filipi kaisaria ukaleta Aya nyingine wakati Yesu akiwnda Yerusalemu,nauliza unachanganya Aya hizi ili waislamu uwaweke wapi na ni kwanini?

  • @godfreymsuyawaukweli4647
    @godfreymsuyawaukweli4647 2 роки тому

    Ustadhi kapaniki

  • @masoudmsangi8365
    @masoudmsangi8365 2 роки тому

    Unajuwa sheke mazinge

  • @maulidially2112
    @maulidially2112 3 роки тому

    Huyo ndacha asilimu tu hana hoja