MALANGO YA NDOTO YANAVYOTUMIKA NA ADUI (I) - PASTOR SUNBELLA KYANDO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • Isaya 15:1
    [1]Ufunuo juu ya Moabu. Maana katika usiku mmoja Ari wa Moabu umeharibiwa kabisa na kuangamizwa; maana katika usiku mmoja Kiri wa Moabu umeharibiwa kabisa na kuangamizwa.
    Usiku mmoja unatosha sana shetani kuleta uharibifu kwenye maisha yako.Kwa usiku mmoja anaweza kuleta uharibifu ambao utakugharimu maisha yako yote.
    Kuna siri kubwa ndani ya usiku na ndio maana shetani huutumia vizuri wakati huu,ukijua siri hii usiku kwako hautokuwa ni muda tu wa kulala lakini utakuwa ni muda wa kutengeneza vizuri hatma yako.Awezaye kuitawala siku vizuri ni yule ambaye ameitawala siku katika usiku wa kuamkia hiyo siku.
    Lakini Mungu hakutuacha gizani bali ameweka wazi kwetu viashiria vya kukuonesha kuwa adui amepanga kufanya uharibifu kwako siku hiyo ili iwe rahisi kwako kutengua kila mpango wa adui.
    Karibu ujifunze Neno hili kutoka kwa Mtumishi wa Mungu Pastor Sunbella Kyando ambalo litakuvusha kwa ukubwa sana.
    UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322
    Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
    Like our Facebook: / therealityof. .
    Follow our Instagram: / realityofch. .
    Subscribe our UA-cam: www.youtube.co....
    Also Subscribe Roc worshippers youtube channel: / @rocworshipperz

КОМЕНТАРІ • 29

  • @isabellaluhombo2289
    @isabellaluhombo2289 Рік тому

    Amen🙏

  • @larzagraph9326
    @larzagraph9326 Рік тому

    Amen

  • @maryphilimon3277
    @maryphilimon3277 3 роки тому +1

    Nabarikiwa sana na pastor sunbella na pastor john

  • @irenengina233
    @irenengina233 3 роки тому +1

    Amen Amen Amen

  • @mrslucasndoka2920
    @mrslucasndoka2920 2 роки тому

    Usiku mmoja, Asante Yesu kwa mafundisho haya, Ubarikiwe mtumishi.

  • @childrengospelmissiontanza1474
    @childrengospelmissiontanza1474 2 роки тому

    Ni kweli kabisa.Mimi niliota ndoto navuka daraja namkimbiza mchawi mwaka 2018,nilivoamka mguu ukawa unauma,umenisumbua sana hadi leo hii unauma hata kutembea napata shida sasa!!Mungu anikumbuke

  • @elishasoka6692
    @elishasoka6692 2 роки тому

    umekuwa ukinifungua ufahamu kila it itwapo leo Mungu azid kukutumia kwa viwango zaidi.

  • @faustafabian3442
    @faustafabian3442 3 роки тому

    Asante baba ninabarikiwa ninafunguliwa kupitia huduma hii Mungu akutunze

  • @anthonymoligi1352
    @anthonymoligi1352 3 роки тому

    Pole mpendwa Mtshugaji.

  • @jefrineliaselias691
    @jefrineliaselias691 2 роки тому

    Hakika sijuti kukufaham nabarikiwa Sana Mungu akubariki sana mtumishi sunbella hakika unatulisha chakula Cha Roho kinachositahili 🙏🙏

    • @demetriomgele7320
      @demetriomgele7320 2 роки тому +1

      Asante sana mtumishi nabarikiwa na mahubili yako

  • @elishajailosy8346
    @elishajailosy8346 3 роки тому

    Aminaaa

  • @starluzenja9861
    @starluzenja9861 2 роки тому

    Thank you God for this recommendation!!

  • @eliyalucas2188
    @eliyalucas2188 3 роки тому +1

    We're so blessed by your teachings on God's word.

  • @mgalilayamweusi6037
    @mgalilayamweusi6037 3 роки тому +4

    Alooh najikuta namshangaa sana Mungu, ni kwa Mara ya tatu sasa, kila changamoto inayoniumiza kichwani siku hiyo basi nikiingia tu account hii basi inakuwa na majibu yangu, lakini pia kulingana na umbali niliyopo nahitaji nafasi ya kuzungumza na Mtumishi maana nimetumia muda mwingi kupiga simu laah haikuwai pokelewa...Mungu akukumbuke Mtumishi unaetumika kufanya kazi ya kupost videos hizi....

  • @siamoye4549
    @siamoye4549 3 роки тому

    Jaman siipat live ibada ya Leo tar 4/7/2021

  • @goodluckcharles8531
    @goodluckcharles8531 3 роки тому

    Man of God 🙏

  • @magiehermess9949
    @magiehermess9949 3 роки тому +1

    Mafundisho mazuri Sana

  • @mamayakeelisha473
    @mamayakeelisha473 6 місяців тому

    mm nikiota ndoto yeyote lazima itimie haijalishi ni nzuri au mbaya mfano niliwahi kuota mwanangu amepoteza ni kweli baada ya miaka kadhaa akapotea kweli lkn tukampta, niliwahi kuota mume wangu ameniacha yupo na mwanmke mwingine ni kweli mpk Sasa sina mume kaniacha naamini Mungu atanisaidia kupitia somo hili🙏

  • @hajimnzava1972
    @hajimnzava1972 2 роки тому

    Nikweli

  • @happinessakim2679
    @happinessakim2679 3 роки тому

    AMEN DADY!!!🙌🙏🙏🙏

  • @deomajuva2432
    @deomajuva2432 3 роки тому +1

    Mlogo mmoja 🤣🤣

  • @hmsrashd7910
    @hmsrashd7910 Рік тому +1

    Mimi NI Muslim ila napenda the way anavoongea simple and inaeleweka

    • @RAMANETWORKS.
      @RAMANETWORKS. Рік тому

      Okoka basi sababu mungu anakutaka kwa the correct side

  • @hannahmanu8642
    @hannahmanu8642 Рік тому

    Amen

  • @christinesavai884
    @christinesavai884 2 роки тому

    Amen

  • @RoseRose-vf5km
    @RoseRose-vf5km 3 роки тому

    Amen