KOCHA FADLU AFUNGUKA WANAOTAKA UBINGWA SIMBA "INAHITAJI MUDA ILA WANATAKA KWA HARAKA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 36

  • @OS-pf6op
    @OS-pf6op 23 години тому +1

    Mwenzake aliwakosa wachezaji wake kwa muda wa wiki 2 kwa ajili ya kutumikia mataifa yao. Wakikaa pamoja kwa wiki moja tu, kwisha!

  • @MahaSaeed-hf3gs
    @MahaSaeed-hf3gs 3 дні тому +3

    Ubaya ubwelaaaa pumzi ya moto inaendelea❤❤❤❤❤

  • @ifmknowledgepower7333
    @ifmknowledgepower7333 3 дні тому +6

    Eti nami niseme nimekuwa wakwanza naomba like zenu 😂😂🎉
    Fadlu 😂😂

    • @AthumaniAlly-t7x
      @AthumaniAlly-t7x 2 дні тому

      Badala tuchangie mada tunang'ang'ania like hiv huwa ni chakula? Nani akupe mbna wew huwap wengn kam ni kitu muhim

  • @GraceofGodTelevision
    @GraceofGodTelevision 3 дні тому +8

    Kocha ni mkweli Kwenye maelezo yake na simba ijayo itatisha sana

    • @kassimrajabu7805
      @kassimrajabu7805 3 дні тому

      😂😂😂😂😂Kila siku Simba ijayo itatisha?? Mwaka jana mwaka juzi now ijayo😂😂😂

  • @ISAYABUCHINDIKA
    @ISAYABUCHINDIKA 3 дні тому +3

    Simba nguvu moja

  • @ThomasBuswelu
    @ThomasBuswelu 3 дні тому +4

    We ni kocha wa ukweli

  • @ezekielmlay8219
    @ezekielmlay8219 3 дні тому +5

    Kocha yuko vizuri pongezi zake pamoja na jopo lake pia na wachezaji. Bado timu inafanya vizuri katika uchezaji kitimu.
    Kwa maoni yangu, pasi za kupitia katikati hasa kwa kuipasua defence ya timu pinnzani imekuwa ngumu sana, viungo wapige pasi rula nyingi za kupenyeza katikati. Wakifanikiwa basi pembeni itakuwa njia ya ziada kama defence is too or very compact.
    Viungo waendelee kumiliki mipira na wapokea basi wawe makini pia wagombanie mipira ya 50 kwa 50 au 75 kwa 25 na kupokonya pasi kwa usahihi hata 80% timu itatisha sana na tutashinda kila mechi

  • @mussaedward3729
    @mussaedward3729 День тому

    NENDA MBALI ZAIDI. KOCHA HASAJILIWI KUJA KUIFUNGA YANGA BRO. HILO TAFAKARI VZR

  • @OmmySumuyao-g4r
    @OmmySumuyao-g4r 3 дні тому +1

    Shabiki wa simba akifuatilia hii interview anapata hasira

  • @JILBERTDaniford
    @JILBERTDaniford 3 дні тому

    Au FUNGIA marefa wenye TABIA ya KAYOKO KUCHEZESHA match YOYOTE ya NBC

  • @edwardlucas168
    @edwardlucas168 3 дні тому +1

    Ubaya ubwela kajisemea zake ukweli afu mtamfukuza cocha wa watu

    • @athumanfuko199
      @athumanfuko199 2 дні тому

      We kingereza hukijui km mimi au kazungumzia both teams.

  • @mohdmohd8428
    @mohdmohd8428 3 дні тому +1

    U bingwa 😂😂😂

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 3 дні тому +1

    Kocha anamfumo wa kujilinda sana aache hiyo tabia

  • @dicksoncyprian9511
    @dicksoncyprian9511 3 дні тому

    Huyu atoboi Simba,akishindwa kumfunga Yanga mechi inayofuata

    • @taseleli9181
      @taseleli9181 3 дні тому

      Mawazo yako hayo

    • @mussaMbwego-lz9hd
      @mussaMbwego-lz9hd 3 дні тому

      Kwahiyo huyu coacher anamaanisha mwakani kwenye mzunguuko afungwe tena anamasihara sana afungwe tena aone kama ataendelea kuijenga team yake

    • @dicksoncyprian9511
      @dicksoncyprian9511 3 дні тому

      @@mussaMbwego-lz9hd Inatia mashaka kauli zake ni kwamba tunajenga timu,kiukweli Simba hatutengenezi nafasi wala hatuchezi vizuri,kila wakati anajiami kwa kusema tunahitaji muda

    • @benedictmgale264
      @benedictmgale264 3 дні тому

      ​@@dicksoncyprian9511Wewe huoni kama kweli anajenga timu na anahitaji muda???Timu mpya karibu yote,kocha mpya na benchi la ufundi,ukweli ndio huo kwamba tusitegemee makubwa yyte mwaka huu acha kocha aendelee kutengeneza timu tuone msimu ujao utakuwaje!

    • @dicksoncyprian9511
      @dicksoncyprian9511 3 дні тому

      @@benedictmgale264 Endelea kujipa moyo hizo ni sababu amesha cheza mechi Mbili na Yanga na zote kapoteza na juzi alitoa sare,na mechi ijayo akipoteza Tena zidi ya Yanga atasema nini?Huwezi kuwa unapoteza mechi Kila siku na kusema unajenga timu,kwa muda aliokaa ilipaswa hata atoe sare,lakini anapata tabu kucheza zidi ya Yanga.