Hii nimeipenda....hii ndo Chadema tunayoitaka....iwe mfano kwa VYAMA vyote....sio chama chetu CCM ukitia Nia kiti cha urais unafukuzwa uanachama....mfano kipindi cha JPM na Membe
Must go haitakiwi kutamkwa ndani ya chama chetu.msimfanye mwenyekiti wa chama aonekanne kama jambazi wakati yeye ndio amekijenga chama hadi kufikia hapa
Mnaweza kuwa na ng'ombe mmoja ambae anatoa maziwa yanasaidia kujenga lkn kukawa na walio wengi kwakigezo cha demokrasia wakataka achinjwe watu wagawane nyama.
Wazee wetu macho yetu kwenu tunawaheshimu sana ila busara wenu ziwaongoze fanyeni maamuzi magumu muangalie kile wananchi na siasa za chama kwa sasa zinataka
Chadema huonekana mko vizuri, ila hiyo sera yenu ya utawala wa majimbo ambayo Sasa hivi mnaita Kanda ni mbaya kabisa. Huo utawala hatufai hapa Africa na ndio ulioleta matatizo tangu Biafra, Katanga na Sasa Ethiopia. Inaonekana nzuri lakini inaweza kutumika kulivunja taifa.
Hawo ni watu wawili tofauti hawawez kufanana hata siku moja ndo maana yupo mwenyekiti na makamo woote tunawapenda ila tunamuomba mwenyekiti atusikilize kwa sasa twende na mh Lissu
Umoja umoja umoja Mshikamano mshikamano mshikamano Uadilifu , haki , usawa Ndio msingi mkubwa wa mafanikio yetu kwa maslahi ya Taifa na chadema Niwatakie uchaguzi Huru na Haki maamuzi ya wananchi yaheshimiwe Pia Tujue Kuna maisha baada ya uchaguzi
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
Hongereni kwakuwa pamoja tena, ila lisu nakuombea kwa mungu uwe mwenyekiti
Haswah
Asante sana Mr mbowe ila kwa sasa iliudhilishe democrasia ya kweli pumzika kwa sasa
Lissu ana nuru sana usoni mwake, Mbowe nuru imezima. Tupo na Lissu. .
Kabsa
Nice input
Mbowe ukovixuri Sanaa lakini muwachie lisu
Hii nimeipenda....hii ndo Chadema tunayoitaka....iwe mfano kwa VYAMA vyote....sio chama chetu CCM ukitia Nia kiti cha urais unafukuzwa uanachama....mfano kipindi cha JPM na Membe
Sisi tunajua umeshashinda lisu Mr advocate
Lissu oyeee
Yani mbowe anajiona yeye ndio mungu wa chadema kila siku mnaipigia kelele CCM watoke madalakani wewe je huoni haya watu wamekuchoka sana
Hatujamchoka. Muda wake kukalia kiti umetosha. Akae benchi aingie mwingine apige kazi !
Baraza la wazee lakini wamevaa vifulana vya kubana
Wanakumbushia enzi zao
Safi sana.
SUKARI NI TAMU LAKINI IKIZIDI INAKINAHISHA TOKA MBOE TOKA ACHIA KITI MZEE
Hotuba nzuri. Wanaolilia CHADEMA isambaratike leo vichwa vinauma, kunyweni panadol maumivu yakizidi mkamuone daktari.
hio imeenda cz Lisu anashinda, na akishinda tu hicho kimeenda
CHADEMA itasambalatika kwa ujinga wao wenyewe,,,Uroho utauwa chama
Mungu awa simamie katika uchaguzi wenu amani itawale
Hongereni sasa cdm kazi bora sana
Mungu ibariki chadema, Mnngu ibariki Tanzania!
Mboe asante kwa miaka uliotuongoza sasa ni lissu mboe unachozungumza kikawe moyoni mwako sio unahubili mabadiliko huku huuataki sasa ni lisu
Mashabiki fungeni midomo😮
Nimewapenda. Mkitoka hapa mtakuwa imara zaidi.
Shikamo 🇧🇫 🇧🇫 🇧🇫
Freeman Mseveni Mugabe Mbowe 😂😂😂,mzee you must Go,sisi tunaenda na LISSU
😂😂
Must go haitakiwi kutamkwa ndani ya chama chetu.msimfanye mwenyekiti wa chama aonekanne kama jambazi wakati yeye ndio amekijenga chama hadi kufikia hapa
Jamanii😅😅😂😂😂😂
Hahahahaha sawa nimeelewa museven....mugabe....ukasahau Adolf hitla
Ee 😳 wamekaa Meza moja😮.
Au nyie waandishi ndo mnatuchonganisha ! Nimependa sikutarajia
Nimefurahi sana
Hii ndo maana kamili ya Democracy
CHUMVI NI MUHIMU KWENYE MBOGA LAKINI IKIZIDISHWA MBOGA HAILIWI😂
Umeonaee😂😂
MBOWE INATOSHA ENOUGH MZEE NG,
ATUKA MZEE TUNAKUHESHIMU SANA UKISHIDA TUTAANDAMANA BALABALA
Aambiwe Tundu Lissu aache kiburi
Tuleteeni lissu
Mnaweza kuwa na ng'ombe mmoja ambae anatoa maziwa yanasaidia kujenga lkn kukawa na walio wengi kwakigezo cha demokrasia wakataka achinjwe watu wagawane nyama.
Hata Lipumba alijiona mkubwa kuliko vyama vingine Leo Yuko wapi?
Ule wimbo wa ccm kuwa mbowe kakaa muda mrefu sasa ndio huohuo unaimbwa na cdm Mnapptea!!!
Chadema mungu asaidie tuvuke salama nahuu uchaguzi mwema
Wazee wetu macho yetu kwenu tunawaheshimu sana ila busara wenu ziwaongoze fanyeni maamuzi magumu muangalie kile wananchi na siasa za chama kwa sasa zinataka
Yani msishangae watu wanarudi au wakatae kipiga kura kisa mnaleta uasisi
Mbowe achia Lisu
Nyumba ni moja msigombee fito
mwenyekiti wa chama hicho kikuu nakuelewa sana
CHADEMA msipokua MAKINI mkachagua mtu ambaye hayuko MAKINI MTAKUUA CHAMA chenu
Ila sare zenu ziko bomba,zinavutia,hazichoshii kama zile za wengine rangi moja tuuuuu.
Umoja Umoja Umoja
Chadema huonekana mko vizuri, ila hiyo sera yenu ya utawala wa majimbo ambayo Sasa hivi mnaita Kanda ni mbaya kabisa. Huo utawala hatufai hapa Africa na ndio ulioleta matatizo tangu Biafra, Katanga na Sasa Ethiopia. Inaonekana nzuri lakini inaweza kutumika kulivunja taifa.
Smahan ni wapi naweza kuipata hiyo sera ya majimbo ?
Nataman nijue na mie ama nitumie hata messenger
Nitakushukuru sana
Baba anawaasa VIJANA😅😅😅
Lissu anafaa lakini mropokaji na matusi mengii.labda akishinda ajirekebishe
Ila ujue lisu ana BUSARA sana mkweli ila mbowe ni mpole lakini hatari!!chezea maji ya mtungi!@tuseme ukweli mabadiliko ni muhimu sana
Hii ndiyo chadema ninayoijua
Lisu mora Akutangulie ushinde wkt
Kwanza wewee mbowe ndo unafanya mambo yanakuwa magumu risala zako ni zilezile hazina mantiki
Ahsante baba Lwaitama ❤️💃🏾
Mbowe unaheshimika achia kiti waingiee lisu
Mbowe hacha kutupa jiwe gizani tunataka mabadiliko 21 yrs maneno ni yaleyale acha udikteta
TANZANIA inahitaji MABADILIKO, bila ya. Ccm inawezekana.
Mbowe.akabidhi.uwenyekiti hapo.sisi turishachoka tunamtaka lisu wazee mpate hekima sana
Tupa mawe ccc hawabomoki mkiyatupa wenyewe kwa wenyewe mmekosa busara bal mjengane ninyi kwa ninyi
Mbowe anayo busara kubwa ila watu wake wanaendeshwa na mihemuko
MBOWE UMETUCHOSHA ACHIA KITI BILA SHURUTI MZEE UKOJE MBOWE
Msitugeuke wananchi
Sidhani kama lissu atapenya kuwa mwenye kiti
Umesema ukweli ulikabidhiwa chama ukafanya malekebisho hivyo na wewe muwachiye mwingine aje na mawazo mapya
Muwe na uchaguz mwema
Mimi mwanzoni lisu nilikuwa sikuelewi ila sasa kwa chama chetu kinataka mtu kama lisu kukivusha chama mbowe akae pembeni
MZEE TUNDU ANTI PASSU LISSU TUNAMHITAJI KWA SIASA ZA SASA ZA UPINZANI
Miaka 21 wewe kama mwenyekit huoni haya embu staafu
Wanachekeana ki China tu,hakuna amani, na kuaminiana tena,ubaya wamekashfiana na kubagazana saana tena ndani ya kipindi kifupi.
TANGANYIKA inahitaji MABADILIKO ili WATANZANIA wawe HURU.
Maliza
Tupo na mbowe
Mbowe wewe utabaki kuwa kiongozi Bora sana, Busara nyingi,hekima tele
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ohooo
Sawa ila sepa mpishe lisu
Lazima watu wafie ukweli hakuna kulemba kwenyeukweli
MBOWE ENOUGH UKISHINDA TUTAANDAMANA BALABALA MPAKA UTOKE
Kama ulishindwa kuandamana wakati wa kutetea akina Soka leo ndiyo utaweza wewe shujaa wa mtandaoni.
Tatizo busara zero
Ila wewe mbowe ni kiongozi soup mtawala mitano tena kwako si Yule msema hovyo hafai kuongoza taasisi kubwa kama Chadema mwamba tuvushe
Mbowe hamutaki ila mbowe ni jasili hana matusi wala chuki liso ana ghaziba nachuki hana siri ni mropokaji Lada mmukanye aache majigambo
Hawo ni watu wawili tofauti hawawez kufanana hata siku moja ndo maana yupo mwenyekiti na makamo woote tunawapenda ila tunamuomba mwenyekiti atusikilize kwa sasa twende na mh Lissu
Hotuba ya kujihami kubakia madarakani !! Huenda ikawa hotuba yake ya mwisho akiwa Mwenyekiti !! Kasema yeye hadi tarehe 21 !! Maneno huumba !!
Umoja umoja umoja
Mshikamano mshikamano mshikamano
Uadilifu , haki , usawa
Ndio msingi mkubwa wa mafanikio yetu kwa maslahi ya Taifa na chadema
Niwatakie uchaguzi Huru na Haki maamuzi ya wananchi yaheshimiwe
Pia Tujue Kuna maisha baada ya uchaguzi
Safi sana.
TANZANIA inahitaji MABADILIKO, bila ya. Ccm inawezekana.