BABA YANGU KIPOFU Full episode /49/

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 жов 2024
  • #love

КОМЕНТАРІ • 892

  • @AnnieMangi
    @AnnieMangi 8 годин тому +147

    Nmependa jmn kibanio alivyo mpambania kaka ake mpaka akaona Tena wanao mkubali kibanio na kundi lake gonga like apa

  • @ChristineMaloba-hk9je
    @ChristineMaloba-hk9je 9 годин тому +78

    Mlininyima tu like hata moja tu maskini mm😅😂❤🎉

  • @trizamnyazi6360
    @trizamnyazi6360 10 годин тому +152

    Movie imefika mwisho sijapata like hata moja nipeni likes kama mnafurahi kuona kwa baba joan🥰🥰🥰

  • @DoliceBonifass
    @DoliceBonifass 10 годин тому +47

    Waooo baba karobo naenda sana kazi zake mungu amupe maisha marefu azidi kutuburudisha

  • @SaumuJumwa-u4v
    @SaumuJumwa-u4v 10 годин тому +130

    Nimewahi Kutoka Kenya 🇰🇪 team strong 💪 mko wapi maua ya mchungaji halafu fashion na Mama Karobo fake wanaelekea kuumbuka sass 😂😂🤣🤣🤣Kama waamini Nguvu za mungu ndo kinga thabithi gonga likes

  • @BahaDePrince
    @BahaDePrince 10 годин тому +63

    Kaaa we ni funny wa baba Joan uwezi pita bila ya ku like 😢, tangu niwe funny wa baba Joan kutoka uku Kenya 🇰🇪 cjawai pata ata like 10 pekee Leo nawaomba jamani, juu hakuna movie sai inatufundisha ati Mungu upo kaa Si movie za baba Joan

  • @Beatrice-y1c
    @Beatrice-y1c 4 години тому +14

    Nimeipenda na nimependa uyo Mwamba ako na ameoa kweli???
    Mzuri mzuri.,🤤🤤🤤🤤,
    God bless this movie ❤

  • @FunnyBanjo-xm8cz
    @FunnyBanjo-xm8cz 9 годин тому +15

    Yayayaya loyi nafasheni mwishowenu tutauona zuuunatamani uwe mpezi wa baba karobo kibaniyo asan kumpa kumptambaniy babakarobo nasra asante sana rahasa asante baba karobo anaenda kuwa tajiri 😊😊😊😊😊

  • @YusraMshomary
    @YusraMshomary 9 годин тому +71

    Leo nimekuwa team strong hya team strong mpo wapi naombeni like zangu ❤❤❤❤🎉🎉

  • @AnnastaciaNzioki
    @AnnastaciaNzioki 10 годин тому +16

    Kazi nzuri sana.... watching from kenya wapi likes,❤️❤️❤️

  • @josianenana7114
    @josianenana7114 10 годин тому +31

    ❤❤team babakarobo nawafuatilia sana nikiwa nairobi kenya

  • @MilikaGatwiri
    @MilikaGatwiri 8 годин тому +9

    Yani leo Nina furaha kubwa kwa sababu baba karobo kana Tena Asante mungu furaha imerundi kwa Familia ya mwanae na Dada yake mungu azidi kuwapa furaha ❤❤❤❤❤nawapenda Sana

  • @ElizabethWanyama-j3g
    @ElizabethWanyama-j3g 9 годин тому +18

    Nilizubiri Sana movie ifika hapa atimae imefika,kweli mungu ni mgumu na hakuna kinacho mshinda ukimwamini,waauuu,asande Sana mungu wetu kumponya ba kalobo na iwe funzo kwa wanao waamini binadam wenzio Kama huyo fashion na ma kalobo,Sasa wacha fashion na ma kalobo waote mto waliowasha, kutoka 🇰🇪🌻🌻

  • @ChristineMaloba-hk9je
    @ChristineMaloba-hk9je 9 годин тому +14

    Baba joan hongera unapendeza sana ❤🎉 asante pia kwa kazi nzuri jaman 😊🎉❤❤❤❤

  • @JosephKamage-h2x
    @JosephKamage-h2x 10 годин тому +61

    Anaye soma comment hiii mungu amlinde siku zote za maisha yake,👏👏

  • @SakinaSakina-eu3zy
    @SakinaSakina-eu3zy 9 годин тому +12

    Mama karoho limemshuka shuu!! Alafu kawa mpole utafiliki ndondocha jomon nimefrahi sana baba karobo kuona tenaaaa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤

  • @SyombuaMuvengei
    @SyombuaMuvengei 10 годин тому +26

    😂😂😂😂😂😂😂atimae kimewaramba swadakita natokea kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪wakenya wenzangu wanao wamini mungu tukutaneni hapa kwa like jamani🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @JospinBahatiBulambo-ot9ps
    @JospinBahatiBulambo-ot9ps 9 годин тому +12

    Asante kwa movie zenu baba Joan ya team yako Nawapenda sana.ni Jospin kutoka Congo Drc Kivu yakusini

  • @sadikikashindi3441
    @sadikikashindi3441 10 годин тому +36

    Wa kwanza leo jmn like zangu nyingi hapa

  • @sharifabahar9905
    @sharifabahar9905 10 годин тому +44

    Kweli mwisho wa ubaya ni mateso ya 😀😀😀😀😀😀mganga muhuni sana eti bimdashi una mia mbili hapa eti Sina ela ninamajanga tu

    • @ChristineMaloba-hk9je
      @ChristineMaloba-hk9je 9 годин тому +2

      😂😂😂😂

    • @Lucy-v3y
      @Lucy-v3y 8 годин тому +1

      😂😂😂

    • @olicej7837
      @olicej7837 6 годин тому +1

      😂😂😂😂😂😂yaani nimecheka saaana eti una jero apo 😂😂😂😂mganga muhuni

    • @SitiSaid-ol9rm
      @SitiSaid-ol9rm 3 години тому +1

      😂😂😂😂😂😂

  • @oscarradido4632
    @oscarradido4632 9 годин тому +12

    Movie tamu sana..😂😂😂kimewaramba akina fasheni na mma karobo feki Mungu ni mkubwa na ni Mfalme wa wafalme❤❤❤❤❤

  • @HakizimanaHeritage-n7t
    @HakizimanaHeritage-n7t 9 годин тому +25

    Oooh😂 msta jackob umenifulahisha sana kwa hicho hicho umeaidi kwa dada yako na mungu atimizi ndoto zako bye mubaki salama

    • @CharlesMakori-o1h
      @CharlesMakori-o1h 7 годин тому +2

      50 ndio sasa tunangoja next week part 1😂😂

    • @neemabaraka3800
      @neemabaraka3800 7 годин тому

      Mama karobo fake amenywea utafikiri siyo yeye

  • @AmosSinkala-lx4sl
    @AmosSinkala-lx4sl 10 годин тому +40

    🎉
    Hongereni ila jitahidini movies zenu ziwe na hekaheka , watu at least wawe wanafanya kazi sio kula,kukaa, na kutembea barabarani alafu mambo mengine muwe mnapunguza havina umuhimu, movie inaenda mbele kama inarudi nyuma,.

  • @SelinahKeny
    @SelinahKeny 10 годин тому +22

    Daaah Kai umefika huku na ww tn dash ❤❤❤❤ pokea maua yako🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @Johar903
      @Johar903 9 годин тому

      Movies mzuri sana 🎉🎉🎉🎉kweli mwisho wa ubaya aibu mama karobo leo yameshuka uchawi kwisha 🎉🎉baba karobo ongera sana kwa kazi nzuri sana

  • @SalomeSumbizi-ll9wc
    @SalomeSumbizi-ll9wc 9 годин тому +13

    Wow nimefurah kumuona Kai kweny team baba Karobo🎉🎉

  • @ThadeoZeKing
    @ThadeoZeKing 10 годин тому +29

    Bonge la series baba joan Mungu azidi kukupa uzima utupatie move kali

  • @Philohmutua-bc4jk
    @Philohmutua-bc4jk 6 годин тому +11

    Atasijui niongee nini leo furaha ilionje. Team strong tujuwane hapa kwa like ila zuu shep ulipewa mama❤❤❤❤❤

  • @GilberthRajab-c3y
    @GilberthRajab-c3y 10 годин тому +47

    Ay jmn mnao mkubali bab kalobo njooon tuendeleee

  • @MaulidPesa
    @MaulidPesa 10 годин тому +124

    Jamani tangu nianze baba karobo zijapata like naombeni 😮

  • @WisdomIngénieur
    @WisdomIngénieur 10 годин тому +31

    Wa Congo tujawane apa jamani jana tulibora wa tanzania ma goals 2-0 leo tuwabore kwenye likes

  • @jaycburundi257
    @jaycburundi257 10 годин тому +192

    Vue ya kwanza comment ya kwanza kutoka inchi Burundi .Malafiki zangu na WA fans wa baba kalobo mugongeni malayiki uku jamen tumuonyeshe upendo❤❤

  • @PerisMokeira
    @PerisMokeira 10 годин тому +11

    Sijachelewa nipate likes zangu team strong from saudi❤

  • @abrahamchengo5118
    @abrahamchengo5118 10 годин тому +21

    Niko Furaha kubwa sana kumuona baba karobo amekuwa na tabasamu la Furaha Kwa kuona acha Mungu aitwe Mungu

  • @salmaseif-rq9ux
    @salmaseif-rq9ux 10 годин тому +51

    Tunao subiri mamakarobo feki na fasheni kuazirika gonga like hapa😂😂😂

    • @NadsmaaliAli
      @NadsmaaliAli 8 годин тому

      Sio mbali 😂😂😂😂 vizuri sana mganga

    • @AmenaMm-r5t
      @AmenaMm-r5t 6 годин тому

      Hhhhhhhh nip ap nasubiria kiwarambe

  • @JonhKabange
    @JonhKabange 10 годин тому +30

    Wakwanza Léo na ombeni likes zenu hâta mbili kwa wale wana mukubali baba karobo

  • @AghHh-v3f
    @AghHh-v3f 9 годин тому +9

    Mama karobo kitakuramba 😂😂😂😂 nawafatasana kutoka 🇧🇮 🇧🇮 koma umemutesa sana baba karobo Baba karobo pore sana kaka Alhamdulillah kwakuona ❤❤❤❤maansha Allah 🎉🎉🎉

  • @jaxmkada6797
    @jaxmkada6797 10 годин тому +17

    Ila huyu Zuriati. Mmmmmh Romantic girl ❤❤❤❤

  • @winntopaul-qm5di
    @winntopaul-qm5di 10 годин тому +36

    Nguvu hakuna tena, mganga hakuna kutoa msaada mwingine acha waaibike

  • @niyogushimadorine6086
    @niyogushimadorine6086 10 годин тому +14

    Leo nimecelewa Sanaa 😮😮😮 lakini iyi movie ninayipend sanaaa❤❤❤❤🎉🎉🎉 team slong. Kwakutok 🇧🇮 ❤❤❤❤

  • @noelygodiwe6923
    @noelygodiwe6923 10 годин тому +27

    Nice baba kalobo🎉

  • @rahimaabdallah1089
    @rahimaabdallah1089 10 годин тому +8

    Baba karobo sasa amuoe zuuu love from 🇰🇪🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦

  • @edithmasakwa1645
    @edithmasakwa1645 9 годин тому +7

    Nimefatilia kila movie na kwa hii leo nmejifunza tuwe watu wa kutegemea mwenyezi mungu mganga hana nguvu zozote za kupambana na nguvu zake muumba shalom sholom 🙏🙏

  • @JullianaEmmanuel-tm5xg
    @JullianaEmmanuel-tm5xg 10 годин тому +19

    Karbu sana Kai , kwny movie ya baba yang kipofu,

  • @BertinaCatitiAdamu
    @BertinaCatitiAdamu 3 години тому +4

    Ao marafiki walio mpa ela mbona alivyo kuwa kipofu awajatoa msahada anae ona kama mimi gonga like😂😂

  • @ريتا-ي1ن
    @ريتا-ي1ن 10 годин тому +32

    Leo nawayi naomba at like at moja

  • @Ased-qy7sh
    @Ased-qy7sh 10 годин тому +10

    Wenzenu wamesha yabananga ukuuu😂😂😂😂😂 baba kalobo upewe mauwa yako🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @SelemanJonh
    @SelemanJonh 45 хвилин тому +1

    Baba Joan unafanya kazi nzuri sana upewe maua yako💐🌺🥀🌹🌷🌷

  • @KklKkl-hj5rw
    @KklKkl-hj5rw 10 годин тому +16

    Tunawapenda nahomba munioneshe barundi muko apa munioneshe❤❤❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦

  • @GladysOmwando
    @GladysOmwando 9 годин тому +6

    weh umbwa una buku hapo 😂😂😂😂😂 kumbavu zangu hii series tamuu kweli 🎉🎉🎉ongereni baba joan

  • @karamamohamed-q8b
    @karamamohamed-q8b 10 годин тому +12

    Mm sijapenda hii mbon kiny kinya haijanipa taarifa lakin nimewasamehe bure nawapenda 🥰team baba karombo from Dubai

  • @AllanJames-by2gi
    @AllanJames-by2gi 10 годин тому +32

    Wa kwanza leo mimi. Naomba likes tafadhali, nami nitashukuru na nitalike back pia.

  • @Thepoulfamily
    @Thepoulfamily 9 годин тому +13

    Kama mganga anajua awesi kubishana na mungu 🙏🙏ww ni nani usimwamini 🎉mungu ....kama unaimani kwake like tukisonga 🎉

    • @FaridaChengura
      @FaridaChengura 8 годин тому

      Mungu ni Mungu tu hashindani na mwanadamu

  • @Mmr-r3t
    @Mmr-r3t 10 годин тому +24

    Nime wahi Leo chukueni maua ❤❤❤❤❤❤

  • @AminaDibwe
    @AminaDibwe 9 годин тому +6

    Leo nimewahi jamani nipeni like zangu hata kumi tu 😅😅 baba karobo hapa😅

  • @dockevinangwe3846
    @dockevinangwe3846 10 годин тому +9

    Wa kwanza from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 nipe likes

  • @Jamiiventuresproductions
    @Jamiiventuresproductions 10 годин тому +24

    Mnipe likes kama mnampenda baba Joan jamani

  • @JullianaEmmanuel-tm5xg
    @JullianaEmmanuel-tm5xg 10 годин тому +13

    Mganga mwenyewe Doko, hahahahahah, et jero Mara Mia mbili,

  • @SkolaRichard
    @SkolaRichard 10 годин тому +9

    Ahahajja mganga doko 😅😅😅😅 usinivunje mbav mama kalobo anaend kuumbuka

  • @JoyNekesa-s4s
    @JoyNekesa-s4s 10 годин тому +9

    baba Joan na Kai nashukuru sana kwakuwaona pamoja na wa penda sana maua Yako 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @AemVanillahTz-k1t
    @AemVanillahTz-k1t 10 годин тому +5

    Jaman Wanaume Kama Fashion Bad Wape Ndo Mjifunze Tamaa Mbele Mauti Nyuma Nipe Like Zangu Jaman ❤️🤣🤣

  • @AmaneAssumaneAssaneAssum-um5xr
    @AmaneAssumaneAssaneAssum-um5xr 10 годин тому +14

    Mimi leo wa kwaza kutoka mozambique

  • @maalimali5513
    @maalimali5513 9 годин тому +5

    Pamoja sana Baba Joan 🙏🙏🙏kazi nzuri ❤❤❤

  • @MariamMchomvu-q3s
    @MariamMchomvu-q3s 10 годин тому +6

    Haaaahaaa😂😂😂😂 mganga dokoo mr kipara ingwe😂😂

  • @Breanmutethia
    @Breanmutethia 10 годин тому +15

    Hapa mm nakua wakawaza Leo kwa kila kitu,likes jamani

  • @TabuBaya-mr4lx
    @TabuBaya-mr4lx 7 годин тому +2

    Anaeamini makalobo feki mambo yake yameisha gonna like apa

  • @AbubakarBayubahe
    @AbubakarBayubahe 10 годин тому +16

    🎉🎉🎉❤❤❤wakwanz Leo jaman🎉🎉uwiiiii like nzang hapo😢

  • @ValentineChepkemboi-jt7it
    @ValentineChepkemboi-jt7it Годину тому +1

    Loi na fasheni kimewalamba mtakoma na uchawi manafiki wakubwa nyie hongera team baba karobo kwa kazi nzuri😂

  • @BigirimanaDalila
    @BigirimanaDalila 10 годин тому +11

    Wakwanzaaaaa🎊🎊🎊Leo mimi

  • @EmeryIr
    @EmeryIr 10 годин тому +7

    Movie nzuri xn 💥💥

  • @jonaspaul8044
    @jonaspaul8044 10 годин тому +10

    🎉leo mimi wa kwanza

  • @juliusgatimu8238
    @juliusgatimu8238 10 годин тому +11

    Kazi Safi

  • @kibabakiba.1426
    @kibabakiba.1426 10 годин тому +8

    Duuuu movie Kali sana

  • @trizertriz
    @trizertriz 10 годин тому +7

    Jamen mm kutoka kenya apa nipeeni likes wezangu🎉

  • @FestusJuvinary
    @FestusJuvinary 9 годин тому +2

    Tulio furaha kumuona Kai wa house girl ndani ya baba yangu kipof tugonge like 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤

  • @ProspaIL
    @ProspaIL 10 годин тому +13

    Wakwanza Nip lik 🎉🎉❤

  • @khadijayusuf7968
    @khadijayusuf7968 10 годин тому +14

    Namewahi jaman like nizione😂

  • @John_B_Best
    @John_B_Best 10 годин тому +10

    Wa kwanza Congo bukavu bagira mulambula

  • @susanmitchell5641
    @susanmitchell5641 8 годин тому +1

    Eeeh Mungu nimekukimbiria wewe, eeeh Mungu uniepushe na wale waovu, usiache nafsi yangu iyangamike,Kwa kuwa wewe ndio nsaada wanguu🙏🇰🇪 twajua huu wimbo more love time strong 💪 Tuned in from 🇶🇦

  • @nizeyimanaobed1984
    @nizeyimanaobed1984 9 годин тому +4

    wandugu nafurahi ju papa karobo amepona ananza wona kwa macho nami nashuru mungu yee amesikia maombi ya watumishi wake minabapenda sana nayishi ishi ya Rwanda

  • @johnmamati532
    @johnmamati532 10 годин тому +4

    Nitakupa vyeti vyangu baba Karobo pia mimi nitafutiwe kazi😊😂. Kila unakoenda naona kuna nafasi.

  • @MasauShida
    @MasauShida Годину тому +1

    Kazi nzuri sana Baba Joan🇹🇿

  • @JosephDismas-f7w
    @JosephDismas-f7w 10 годин тому +8

    No1 ❤

  • @VanessaNiyomahoro-pu5fu
    @VanessaNiyomahoro-pu5fu 2 години тому

    Nawapenda sana mwe wote kiukweli munajua kucheza vizuri baba karobo Big p sana❤

  • @UkhtyFatmah-he8vg
    @UkhtyFatmah-he8vg 4 години тому +1

    Movie Nzuri sn yenye mafunzo makubwa sn MUCH Love ♥️💚♥️ Kibanio Na waloshiriki wote Kumsaidia Baba Kalobo hadi kaona jamoni eeeh twasubiria FINAL ÉPISODE, maana Mama Kalobo Fake sura imemshuka shuuuuu, jamoni eeeh tutendeni mema, maana Siku zote mwisho wa ubaya ni aibu na Malipo ni hapa hapa Duniani Akhera ni mahesabu tu.

  • @christinmueni4370
    @christinmueni4370 10 годин тому +12

    Nimewai Leo❤️❤️❤️

  • @hajjiyegon6156
    @hajjiyegon6156 10 годин тому +9

    First viewer❤❤

  • @Naliakatv-t9s
    @Naliakatv-t9s 2 години тому

    Glory be to God, waganga na wachawi hawana mamlaka juu maisha ya mwanadamu good lesson ❤❤🎉

  • @YunisiMwasumbi
    @YunisiMwasumbi 10 годин тому +13

    Roy utakufa mpk ushuhudie kaburi liliv

  • @OmaramimoOmar
    @OmaramimoOmar 10 годин тому +7

    Wa kwanza ❤❤❤🎉🎉🎉

  • @AishaAthimani
    @AishaAthimani 8 годин тому +1

    Hii movie imeniumiza sana umenilenga mm mme wangu alivyonitesa kuniharibia maisha ALLA unami nami ntafauli

  • @Mwana85Mwana85-wz1ol
    @Mwana85Mwana85-wz1ol 2 години тому

    Mashallah baba karobo kazi zuri San wallah Roy na lazz wake wameyatimba kweupe Kwa doko kipara wp baba karobo na zuu wake harusi tunayo hatuna wanaaza kuchechiana Tena Roy na lazz wake 🔥🔥🔥unaaza kuwakia sasa wejewe Kwa wejewe hum 2

  • @mpuliSifa
    @mpuliSifa 10 годин тому +4

    Nimechelewa leo jamani nipeni like na mimi basi❤❤❤

  • @GodblessMpenda
    @GodblessMpenda 9 годин тому +3

    Yani Kila nikijitahidi niwe wa kwanza kukoment lakini wap tatizo kuna watu wanashinda UA-cam na hawana kazi kabisa dah😮😮🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @tonykonki1437
    @tonykonki1437 6 годин тому +2

    Asante baba karombo kwa kuanza kuona tena ,naona rafiki yako kai nayeye anafurahi.

  • @PetronilaYaa
    @PetronilaYaa 2 години тому

    Nafurai sana kuona baba karobo anaona mungu awabariki sana mlio pambana kwa ajili ya baba karobo adi amepona nawapenda sana❤❤❤❤❤

  • @kaguluwe
    @kaguluwe 8 годин тому +1

    Hongera kwa muchungaji mimi natoka kenya nimependa hii move sana.

  • @calebomariba-we3yk
    @calebomariba-we3yk 8 годин тому +4

    Team Kenya nko wapi like jameni

  • @Anna-l8z2n
    @Anna-l8z2n 10 годин тому +4

    Mama karobo na fasheni kimekula kwenu sasa😅😅😅😅😅 hata mganga hawezi kuwasaidia hadi anawaita maumbwa😅😅😅😅😅 mmeyabwaga wenyewe

  • @GodwiniFwelo
    @GodwiniFwelo 10 годин тому +17

    Umsi mbaye wi mbere

  • @Badman-66
    @Badman-66 10 годин тому +5

    Niko kenya mnasema aj wa tz❤❤❤