Polisi washika doria katika kituo cha feri Likoni
Вставка
- Опубліковано 26 бер 2020
- Hatimaye mambo yamebadilika katika kivuko cha Likoni huku maafisa wa polisi wakishika doria kuhakikisha kuwa walioabiri feri wanatekeleza maagizo ya kutokaribiana . Hatua hiyo imepunguza msongamano kwenye feri huku idadi ya wanaoabiri kwa wakati mmoja ikipunguzwa.
Poleni sanna ndugu zangu Kenya
Mm maoni yangu ya Kenya ferry rekebisheni hilo Jango la kuenda kwa ferry jengo bovu mabati yamezeeka hata juu la anguka aibu
Hadi waleo hakuna bridge. Old skul
Sija hafiiki.haya pia bado swsws na mateso sijui sasa tufikirie corona au hali gani sasa.🙏🙏🙏🙏🙏
I wish our people can be this ruly, Kenya would be a great country to live in. This is how ruly majuu is
MI ningekuwa hapo nikirudi nyumbani tu maisha ikiwa ngumu nirudi shags warai Corona inatesa huu msimu
Hapo ni Kweri Kaka Rhashidi, Nganga nganga za Mganga huwa Zina laza Mgonjwa kwa Tamaa, Nasi tukiwa huku Ugaibuni Twa Sema Watangazaji Wenye Sauti Zuli kama Yako, Na yenye Kumtoa Joka Pangoni, Hutu fanya Tusi Gatuke Kamwe Kwenye Runiga ya Citizen 👍🤗😁
Enyewe kulinda nchi si kazi rahisi
So that governor hoho cannot replace those rusty iron sheets ama he's too busy travelling the world and shopping?
Fleur that's what is sad in kenya, people chose shitty people as leaders. Joho is a good example of a corrupt shitty idiot
Governor hoho ako county ipi?lol
@@abouhafs2891 mombatha kwa governor hoho
@@Utadowot kabadilishwa jina sasa?
@@abouhafs2891 jina la heshma kiasi chake
Nani ameona hayo mabati mzeee na watu wanalipa ushuru
imagine
Kuchapa mtu haimanishi ugojwa haitauwa
Mabamba yameoza kfs bure kabisa serikali nayo ovyoo pambavu
kumbe si bure watu kwanguka feri serikali jiushize mabati mzee sana.
Mumetesa waswahili wetu aki😂
Piya wabara wengi sikuhizi wako mombasa
Ningekuwa mm ningevuka kwa kuogelea tu. Nigehota mashaka
My own opinion is that Kenya is a revered country in the East Africa block we need to build a permanent bridge. Ferry is an old school method
Kheri inshaAllah
mnyonge hana haki the poor citizens
Haki
tuaisimu mombasa kwani hata huku kuna mabati mzee kuliko kwetu basi, najifikiri ninashida kumbe bado. hicho nikibanda chakuuzia giteri au cha serikari?
Hii shida ililetwa na serekali yetu,,,bure kabisa ,,,,wengeli zuiya ndenge kutoingia inchini kabla ya vukevuke la corona kuingia hapa
Sana niumasikini ndo uko Kenya raisi eti yko hahaha
kwa kifupi kaa nyumbani
Waume wawe kando kwenye foleni.....vile vile wanawake wawe na foleni Yao.
Citizen mumechelesha matangazo yenu mlikuwa wapi asubuhi tumebanana sana upande wa likoni kuanzia saa 6am hadi saa 10asubuhi
Sawa
Ferry ifungwe kwa week mbili atlist...
Hapo watavukisha watu mpaka usiku
Ee
watoe tu taarifa kwamba watafunga ferry ili watu wajipange kubaki majumbani mwao watulie ndio huo mda wa saa moja utawapata makwao.
Mtajua hamjui stay home otherwise mkileta Funjo mtanyooshwa curfew ain't a joke ata majuu tuko indoors
Naomi White uko wapi
@@abusaeed9037 Europe
Watakula nn wakikaa home
@@bratonwilliam7877 who cares? Niwajipange this da highest stupidity my fellow Kenyans have ata wakijaribu kuzuiliwa na njia zote they still have neg mind. If their prob is fud watoke wakatafute wakijuaga corona is hunting them
kwa maoni yangu mm ilkua nasema ili kuwaeka nyumbani watu kwa mda huo uliotolewa na rais uhuru bora wafunge izo ferry tu ndio watu watatulia nyumbani lkni ikiwa zitafanya kazi mda huo wakuwataka wakae nyumbani utawapata apo apo wakisubiria ferry kuja kuwabeba.
Serekali itengenezwe daraja.
Evil human for government.Who are those who say they were chosen by God!
Imagine how they are treating this people like some shit they have to struggle yet they will wake up at dawn and vote for stupid leaders kuleni kiburi yenu the day people will learn the hard way that is when kenya will change
weka curfew mpaka mchana wacha kutukejeli
Watu wetu watakufa njaa kwa nyumba.
Mungu awasaidie.
Siku ile bridge itapatikana Mombasa itakua Raha jamani serekali fanyeni mpango basi
Likoni ferry ni chafu mbovu yani aibu tupu kazi kuonwa watu tu
Hamna haja kuvaa mask kwa foreheads
Shida zote hizi niserekali yetu duni yani wanajua kbsa China wana corona then wanawaruhusu waingie Kenya bure kbsa
Shifaa Zawadi sio wakati wa kulaumiana sahi
Niwakati wa nini
Wachina wasiwaruhusu kuingie Kenya nawa ltaly
Eti walifungu juzi upumbavu mtupu mwafu najanga la corona muliingiza tayari mwafunga kazigani bure kabisa
Make a snake line
Hiyo sio dawa wengie hawana mask
mohammad salim mask haisaidii chochote ,atakuwa anaivalia kila siku
Matexo
Ujinga tu