Very powerful, I have prayed today's now ad I have seen God miracle, my boss was to b admitted to hospital, but alipofika hosi aliambiwa no need arudi nyumbani. Thank you Jesus
Ee Mwenyezi Mungu kupitia sala hii siku ya leo uwajalie wagonjwa wote ambao wamepoteza tumaini la kuishi wapate msamaha wa dhambi ile wapate uponyaji wa Roho na mwili AMEN 🙏🏼
Barikiwa Sana Mtumishi Kwa Maombi mazuri. Hii channeli mnafanya vizuri Sana kutuwekea Sala za Kiswahili na video za kanisa Katoliki Kwa Kiswahili ahsanteni Sana.
Nani mwingine anasali Rozali Huruma ya Mungu kila siku 2024?❤
Kupitia Sala hii Mungu ukatujalie Yale yote tuyaombayo na kutujalia moyo safi❤❤❤❤
Very powerful, I have prayed today's now ad I have seen God miracle, my boss was to b admitted to hospital, but alipofika hosi aliambiwa no need arudi nyumbani. Thank you Jesus
Ee Mwenyezi Mungu kupitia sala hii siku ya leo uwajalie wagonjwa wote ambao wamepoteza tumaini la kuishi wapate msamaha wa dhambi ile wapate uponyaji wa Roho na mwili AMEN 🙏🏼
Amen
Ee mwenyez mungu tuhurumie sis wanao dhambi
Kupitia hii sala mungu nakuomba utusikilize na kutujibu
❤💐🙏 Amina
Tumsifu Yesu Kristu asanteni sana na Mungu awabarki sana
Ahsante Bwana Akubariki Pia.
Asante kwa maombi
❤❤❤🙏🙏
Amina
Eh Mwenyez Mungu utuhurumie
BWANA Atuhurumie🙏🙏🙏
Mungu turumie
Bwana Atuhurumie 🙏🙏🙏
Asanteni sana Mungu awabariki
Amen thank you Jesus for another day 🙏
God have mercy on us Amen 🙏
Amen ❤️ 🙏
Asante mungu kwakuwa unatuhurumia?
Ubarikiwe na Bwana.
❤
Barikiwa Sana Mtumishi Kwa Maombi mazuri.
Hii channeli mnafanya vizuri Sana kutuwekea Sala za Kiswahili na video za kanisa Katoliki Kwa Kiswahili ahsanteni Sana.
Amen 🙏🏼
Kila siku nasali
Tunakutumainia
Amina 🙏
Amina 🙏
Amina 🙏