ONA ALI KAMWE & MCHUMBA WAPOKEWA NA AZIZI KI, HAMISA MOBETTO UKUMBINI

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 39

  • @MuhammadRashid-jq7eq
    @MuhammadRashid-jq7eq 2 місяці тому +1

    Bi harusi hongera kwa kujistiri vizur

  • @najmasalim-rg6ow
    @najmasalim-rg6ow 2 місяці тому +2

    Baba Ally kamwe kama namuon anavyoona upaja wa mkwewe😂😂

  • @DativaValerian
    @DativaValerian 2 місяці тому

    Chefuuu

  • @user-wj8ym6ew1h
    @user-wj8ym6ew1h 2 місяці тому

    sio kwa mpasuo huo kwa kweli

  • @Mariam99-ld4gw
    @Mariam99-ld4gw 2 місяці тому

    Tubadilikeni jamani kuna mungu 😢

  • @subiralema
    @subiralema 2 місяці тому +1

    Sherehe ya kislamu anavaa kama anaenda bar mwengemrudisha😢😢

  • @MwanahawaJumbe-rb3mf
    @MwanahawaJumbe-rb3mf 2 місяці тому +1

    Kama ndo mchumba hamnakitu hapo changu Tu huyo hafai kuolewa nasemaji letu

  • @user-pu6pr5jt4n
    @user-pu6pr5jt4n 2 місяці тому

    MISA UKUMBI MZIMA YY NDO KAFUNIKAAAA❤❤❤❤❤😂😂😂

  • @NahlaRashed
    @NahlaRashed 2 місяці тому +1

    Challenge zote zile kapita yeye lakin kweny iyo mshono kabigi san

  • @aminakipande5645
    @aminakipande5645 2 місяці тому

    Mmh amina nipite zangu mie niyaache ya dunia watu wafanye vyenye wanataka mmh 😂😂😂😂

  • @gracerichard8145
    @gracerichard8145 2 місяці тому

    Du kwa kwel hiyo nguo sijaielewa paja lenyewe kama kisamvu cha nyongeza, loo hadi aman huna kwa ajili ya nguo kwan ukivaa kawaida utapungukuwa nn du!

  • @abdallahussi2978
    @abdallahussi2978 2 місяці тому +2

    Mwanamke kuacha paja wazi katika kadamnasi ya watu inaashira nini katika siku muhimu kama hiyo jamani

    • @jamilahjamilah4157
      @jamilahjamilah4157 2 місяці тому +1

      Naye mtt wakike anaona sawa tuu mwanamke wakuvaa vaazi km hilo kwenye kadanasi ya watu nimtiha mbona biharusi kavyaa vizuri aliy kamwe utabeba mzingo mzito siku yako ya mwisho hilo sio vaazii la mtt wakike abakisha nn sasa hapo auoneshe utupu aha mwanangu aliy baadilika mtafuti mwanamke vaazi la kujistiri wee hujaona kutoka nyumbani

    • @user-zw9oj6ej9v
      @user-zw9oj6ej9v 2 місяці тому

      Ndio haki wanazo pambania...

    • @SharonGodwill
      @SharonGodwill 2 місяці тому

      Siku hizi kama hutembei uchi wewe Bado ni mshamba

  • @NahishakiyeMagnifique
    @NahishakiyeMagnifique 2 місяці тому

    ❤❤❤❤

  • @kebbymody5606
    @kebbymody5606 2 місяці тому +1

    Hilo ua mbona humpiii

  • @elipidhugotesha1909
    @elipidhugotesha1909 2 місяці тому

    WAjamen hiyo inaitwa nightdress inavaliwa usiku tuu
    mtu anajiachia na mtuwe
    shida ipo wap?

  • @masaweiddi2278
    @masaweiddi2278 2 місяці тому

    Mmh kwanz hata hawaendan

  • @jemimabakari
    @jemimabakari 2 місяці тому

    Nguo imemnyima furaha 😂

  • @user-wj4bs9ub3n
    @user-wj4bs9ub3n 2 місяці тому

    Unavaa nguo inayokunyima amani😅😅😅

  • @binthkhamis8042
    @binthkhamis8042 2 місяці тому

    Nauliz hivi kwan hz magauni huwaga zinalemea nn maan huwanaona wanapat tabu kwel yni gauni lko hila hauko comfortable nalo...yn walishk mpk hufik uko mbel y safar...ilaa kapendez

  • @BlandinaMassawe
    @BlandinaMassawe 2 місяці тому

    Hapo hapo weweeee mmependeza wenve wifu wajinvonge

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 2 місяці тому

    Huyo mchumba mcharuko haiwezekani uvae nguo paja nje ili iweje vaa nguo yenye kujistil

  • @hedwigjohn6276
    @hedwigjohn6276 2 місяці тому

    unatambulishwa ukweni bila gharama so sad😁

  • @loveness09-k
    @loveness09-k 2 місяці тому

    Mhhhhh

  • @adammkisema1524
    @adammkisema1524 2 місяці тому

    tumefaidi paja bila GHARAMA YOYOTE.......so sad

  • @rosesilio9008
    @rosesilio9008 2 місяці тому

    Hata akiacha kuma wazi si yake ndo kashapendwa hivyo

  • @MusaJuma-jr7wb
    @MusaJuma-jr7wb 2 місяці тому

    Duu

  • @MusaJuma-jr7wb
    @MusaJuma-jr7wb 2 місяці тому

    Mchumba kavaa Kama anaenda baa kulewa

  • @HeriethElias-zz8ox
    @HeriethElias-zz8ox 2 місяці тому

    Ally kamwe kalizika na mchumba wake wanao chukia wajinyonge haraka iwejezanavyo

  • @Kabeya410
    @Kabeya410 2 місяці тому

    PUMBAVUUU KWA HERUFI KUBWA ATI MCHUMBA KUVAA GANI KAMA MALAYA AU MALAYA TU

  • @FundiKami-dv5ix
    @FundiKami-dv5ix 2 місяці тому

    Semaji mbona km unamwogopa mtoto

  • @Kabeya410
    @Kabeya410 2 місяці тому

    Halafu unafunika na pochi kenge wacha tu si umekwenda kuonesha hivyo vipaja vya njiwa

  • @user-sq6sl3tb3j
    @user-sq6sl3tb3j 2 місяці тому

    Ally kuna vitu unayakiwa kuona wewe tuuuu

  • @waziriwaziri115
    @waziriwaziri115 2 місяці тому

    Amepigwa mchana kweupe

  • @vumiliamgendi148
    @vumiliamgendi148 2 місяці тому

    Biharusi kizeeee

  • @anetboaz8783
    @anetboaz8783 2 місяці тому

    😂