Ally kamwe tunda man ni kaka yako kweli unamuita kijana wa hovyo kwenye umati wa watu kisa kaburudisha watu kuwa na adabu usikuze umri tu ingawa na umri najua wewe bado mtoto
huyu Ali Kamwe nae asitake kutukera wana yanga, kututambulishia watu wa simba kwenye yanga yetu, yamewashinda huko simba wanaanza kujileta yanga, kwani simba hakuna mabwana
MUNGU ni mwema hongera Sana Alwatan kila la kheri kwenu nyote kazi njema barikiwa Sana Yanga
Maharusi kila la kheri na maisha mapya. Hamisa darling umependeza balaa, like fairy princess ❤❤❤❤
Hamisa mobeto ni mnyama na atazid kuwa mwekundu. SIMBA NGUVU MOJA ❤️💯❤️
Biharusi ni Simba Hamisa ni Simba msifosi watu 😂😂😂
Hongera alwatan kwa kufunga ndoa 🌹🥀🌹🥀💚💚🇹🇿
Hongera sn Naiwe Heri Katika Maisha yenu
Skudu neva disappoint😅
Mungu akawe upande wenu ❤❤
Jmn hyo azizi ki sasa ndo nini amevaa nimecheka kwa sauti
🤣🤣🤣🤣
Kapendeza sana
amevaa kikwao
Mm mwenyew yanga ila Usifos mtu kuipenda yanga wacheni huko huko simba jaman
Ali kamwe mbona kama amemkribisha hamisa kimkakati sana hiyo ni siri y mtungi 😊😊😊😊
Misaaa❤❤❤❤❤ake HAKOSEAGI
Fireeeeeeee
Amenuna sana
Bi harusi hujapenda maneno mengi ya Ali kamwe
Daah!! Nikwel biiharus Yuko serious Yan Simba damu .alipopgiwa nyimbo ya Simba tuu kacheka
Kama umemuona jamaa wa YANGA QUEEN kamaind weka like 👍
Ehe kumbe umeona na wew
Dj ni kilaza sana😏
apa mbona siwaoni wachezaji wengine kwa kipa diarra metacha mnata denis nkane aucho doctor gifti guede kacome yao akwasi musonda 💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛
Harusi za Kiki
Dj. Ni Simba 😂😂😂😂
Yani awa yanga kila shabik wa simba wanamuhonga wanatak ahamia kwao wanafosi ushabik kwa nguvu ona sasa washamshawish hamisa
shabiki wakwel hawezi kushawishika ata umpe nn ata kwa upande wang huwez nishawishi ni hamie yanga nitakufa na simba yangu
Kukipenda kitu unakipenda ndani yamoyo wako kama kweli simba atabaki kuwa simba nakama ataipenda yanga basi akiipenda tokeya zamani
Huyo biharusi hata tabasam jamaniii
Ata Me najiuliza. Kuna shid gani😂
Huo ni ubaguzi na utumwa, Mda wote anawaza ujinga, na madongo.
Watu had uwaandae yani uwaite mbele.
Mda wote kanawaza legue.
FAMILIA🙌
😂😂ila ali kamwe duu
Bi harusi hajapenda kulazimishwa kwenda yanga 😅
Asante biharusi baki upande wako
Atakuwa kama Haji manara ndani mwekundu nje wa kijani
Bi harusi serious pia anaogopa sana. Ni siku hadimu hiyo furahi.
Bi harusi sijui yupoje kanuna weee km kalazimishwa
Kweli kabisa kanuna
Bi harusi kapendeza Masha'Allah, lakini naona muda mwengine yuko so serious nadhani yuko simba
Ni Simba huyo
Hhhhhhhhh pengne hapendi shangwe
@@user-tp4ch9mn5y.❤
Mwenzenu kafundwa asicheke cheke safiiii sio nyie kudemkaaa wee hadi aibuu
@@joycehaule9717 hamna mtu anao fundwa kuwa so serious kwenye harusi , nadhani hio ndoa yenyewe huijui
hawaonekani hao watu jamani
Jaman mbona mwamnyeto hayupo
Diara mbn simuoni
Dj kma mbwaa 😅
Ally kamwe tunda man ni kaka yako kweli unamuita kijana wa hovyo kwenye umati wa watu kisa kaburudisha watu kuwa na adabu usikuze umri tu ingawa na umri najua wewe bado mtoto
Hata bibi lia malipengine inasema wengine wanyakueni kwanguvu
Hamisa hachezi😂😂😂
Hamisa ni Simba ndomaana ajacheza
Jamini missa ni Simba kwani Yanga hamna warembo
Mbona bi harusi kanuna hv hata kutabasamu tu hamna
huyu Ali Kamwe nae asitake kutukera wana yanga, kututambulishia watu wa simba kwenye yanga yetu, yamewashinda huko simba wanaanza kujileta yanga, kwani simba hakuna mabwana
Kz ipo mpaka balsa anawalinda,kwa mungu si anatosha?nauliza
Sio rangi tu hata suti yenyewe mbaya
Huyo dj walimtoa wap yaan shughul km hyo lazima nyimbo za yanga zitahitajika halaf yy had azigugo 😢
Hee yanga ndio nyimbo zao hizohawanaga nyumbo za kueleweka
Unafosi😂😂😂😂😂😂
Azizi ki sut jamaniiiiii
Mpak tunda man yupo
😂🎉❤😊
yangaaaaa
Aliemchagulia Azizi k rangi ya suti mbinguni haendi😂😂😂Amekuwa kama wale watu wa kwenye cartoon ya kirikuu😂😂😂
😂😂😂😂😂😂 mwenyewe nimemwangalia toka asbh 😅😅
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣😂😂... Na yeye kioo Hana hajioni au ndiyo uji na sukari 😂😂
😂😂😂😂😂❤
😂😂😂😂😂
Azizi ki mbona kituko
Makudubela mtu kam skudu
Albino hakualikwa? That is very sad! Stupidity at its best. Ni harusi hiyo
Hayupo nchini huyo kaenda ulaya kwenye mechi za fainali za Madrid huko….angalia hata posts zake instagram
Punguza ukali wa maneno
Rekebisha kauli yako mungu anakuona
Rekebisha kauli yako mungu anakuona
Dem wa Aliy kamwe kanuna hamisa kuitwa😂😂😂😂
na huyo babu harus wa UTOPOLO katia fola km kikatun 😂😂😂
Yani awa yanga kila shabik wa simba wanamuhonga wanatak ahamia kwao wanafosi ushabik kwa nguvu ona sasa washamshawish hamisa
Bado ww shabiki kiazi ngoja waje kukuhonga uhame simba
Yani awa yanga kila shabik wa simba wanamuhonga wanatak ahamia kwao wanafosi ushabik kwa nguvu ona sasa washamshawish hamisa