Tundu Lissu Afunguka Mazito Msimamo wa John Heche: "Alinuniwa Sana Kamati Kuu!" [Tundu Lissu Leo]
Вставка
- Опубліковано 6 лют 2025
- Tundu Lissu anajibu hoja ya maridhiano kwa kumtaja John Heche na viongozi wengine vinara wa CHADEMA waliosimama kupinga maridhiano ya 'uongo'. Anaeleza namna ambavyo hoja za msingi za upande wa upinzani zilkataliwa na badala yake maridhiano yalitumika kuhadaa umma na Jumuiya ya Kimataifa kwamba kuna mchakato wa siasa wa Kidemokrasia nchini Tanzania.
BOFYA link hii kufuatilia zaidi (Subscribe): / @tundulissuleo
BOFYA link kufuatilia zaidi (Subscribe): -
ua-cam.com/channels/5IqLWvH77HKfWzSJGSZehA.html