Yani akishinda mbowe nahama hiki chama mi sitaki uhuni tunahitaji watu walioko straight kama lema mbowe anakiaibisha chama 😢😢😢 vijana tunahitaji changes 😢
Mini super market, nyumba haice 2 nk ubunge 28yrs! Peanut! Wow wow! Godbless u! Uinjilist siasa! USIOGOPE! Fanya tu Lema, unapenda Watu wabadilike wapate hela halali.
Lema umekua mweu jaman wanasiasa kweli waongo san!!!. Lema leo hii anakula matapishi yake. Mbowe ni bg tu nahatabaki kua bg mst chadema mtake msitake. Mbowe oyeeeeee❤❤❤❤❤❤❤
Lema una utu, umetusaidia watu wa mikoa mingine kuelewa kuw chadema sio chama cha wachaga kama tulivyoaminishwa na ccm, mbowe anapaswa akushukuru, umekinusuru chadema kisife
Kweli Mbeya, Lema aliisifu kwa kuunga mkono CHADEMA kuzidi Arusha na akasema"Nani anasema CHADEMA ni chama cha wachaga?" Akaipa saluti Mbeya kuwa na CHADEMA.
Bado hamjasema 😂. Hawa ni watovu wa nidhamu miaka yote na sidhani kama kuna mwenye akili atawaelewa. Mmetuchosha kila siku kwenye mitandao kana kwamba hamna ofisi. Hawa eti wanataka kuchukua dola 😂hawa? Hela hizi bwana hatari 😮. Kama wapinzani wote mko hivi na tabia hizihizi basi tena waacheni CCM watawale maana hamna jipya
Baada ya uchaguzi acheni kujibizana kusutana sisi wapenzi wa Chadema roho zina umia sana. Tuna wapenda wote jamani. Acheni kuumizana mta ua chama mlio kitilia nguvu zenu na damu zina nena zilizo mwagika. Tafaaadhalini acheni majibizano please! Ebu siku tatu zilizo naki acheni ongeleeni agenda zijazo za chama. Acheeeeeeeeniiiiiiiii pleaeaeaeaeassse!
@@elishazakayo3630 CCM haina wasema hovyo kama hawa, waache wakae huko huko waliko. Maneno wanayoongea inaonekana hawakuwa wanasiasa sawa Sawa. Msifiri hata wanaongoza nchi hakuna mahali hawaelewani hapana lakini wanatumia taratibu zao ndani kwa ndani wanamalizana. Lakini hawa haijulikani nani anasema nini na kwa wakati gani, hivi mbona hawatwambii mbowe kala ngapi jamani
Mwongo umepatia utajiri wako kwenye siasa mshahara mlikuwa mnaookea milioni 15 kwa mwezi posho laki nne kwa kila kikao mmestafu kwa miaka 10 mmelipwa kinua mgongo milioni miasita Leo umeshiba unaanza kubeza ubunge na kumkashifu sababu umepatia hela kaka wadanganye wajinga wenye akili wanajua kuwa ubunge ndiyo uliokutoa rema na kukupa jeuri hiyo uliyonayo
Kwani kelele zote za nini? Si mkapige kura mumwondoe? Hizi ķelele hazisaidii zinakivuruga chama. Kakae nyumbani kwako familia yako. Mbona hamkuyasema hayo vikaoni? Acha hizo Lemaaaaa.
Sasa tumeanza kuwachoka tafuteni mada mbowe ana mfano chadema huo ndo ukweli wewe mwenyewe uluuza ubunge kwa mrema huo ndo ukweli vile vile sio sifa tulieni mfanye uchaguzi mnaleta mipasho
Hakika ninyi ni wanasiasa lakini hapa mmekubali kuingia kwenye mtego bila kufahamu. Yaani wameshawatoa kwenye reli. Badala ya kuongelea sera zenu za chama na jinsi mtakavyoweza kuongoza serikali mkichaguliwa mnapoteza muda kuzungumzia watu wawili tu.
Mwenyekiti anawaatack wenzie kwa kupitia wenje hivyo hawawezi kumnyamazia kimya. Lakini tukumbuke hiyo nafasi anayoing'ang'ania mh Mbowe ndio chanzo cha chadema kuitwa SACCOS.
Kwa nini you don't attack hao watu na unamshambulia mtu ambaye hajakushambulia. Kiufupi wewe ni mnafiki au kuna kitu kikubwa mnakificha. Serekali wekeni macho na masikio hapa. Kuna kitu zaidi ya hiki wanachopiga kelele. It's not a coincidence.
Kumuita kiongozi aliyepewa dhamana na wanachama wa kanda nzima ya ziwa Victoria tukiwemo sisi.. Kuitwa BOYA, ina maana sote tuliomchagua Wenje ni MABOYA.. SIO???
Hapanaa,,lema uko sahihi minachoamini nikwamaba chama kinaumia sana bila kujua Mbowe yeye hana hasara,,,wenye hasara sisi mtaaani tunaotukanwa,,,Mbowe anapaswa kusoma nyakati kua huwezi kutudanganya mda wote Mbowe siasa ni democratic uhuru,,,sas Mbowe ujitoe tena ujitoe kwa jina la mzee wa dakiaka za jioooooooooooni Mbowe kajmsalim Amri
😂😂😂😂 kumbe mlitukimbiaga na mwenyekiti sasa sasa ivi mtapigana wenyewe ndani ya nnchi mlotukimbiaga sasa yetu macho mpka muuane njaa tayari sasa mpka uneanza kufungua mdomo pole out of game mwamba njoo uku tuendeshe boda boss ujasiriman uku 😂
LEMA KWA POINT HIZI NIMEAMINI WEWE NI MJUZI WA SIASA NA MPINZANI WA KWELI. TANZANIA KWANZA 🎉🎉
Mungu akuongezee Hekima na pia libalikiwe tumbo.lilo kuzaa Mh.Rema
Yaani,Roho wa Mungu yuko ndani Lema,just keep on the fire burning
Yani akishinda mbowe nahama hiki chama mi sitaki uhuni tunahitaji watu walioko straight kama lema mbowe anakiaibisha chama 😢😢😢 vijana tunahitaji changes 😢
Godbless,katiba na utamaduni wa chama uheshimiwe nyingine itakapoandakiwa!
Nashindwa hata la kuongea kwa huyu Mh Mungu akulinde kaka Lema kuna kitu Mungu ameweka kwako kwa ajili ya Tanzania. Mungu akipigania usiku na mchana.
Lema uko vizuri sana mpeni Lisu chama
Unaongea ukweli sana .... Kamanda really fact..!! ✍️
Bro Lema nashukuru TU kuwa unamheshimu mwenyekiti maana haujamtukana hata siku Moja,naona unaongea kwa hekima,nakukubali sana.
Ya kweli hayo watu tunajua hayo unayosema mbowe apumzike kibaraka wa ccm
Lema ni mwanasiasa wa kweli aangalii umetoka wapi anaangalia Taifa MUNGU akupe afya njema na sema ukweli wote
Asante san kama wanasaka utumixhi Kwa ajili ya pesa walaniwe
Lema nakupenda sana ongea mbowe aachie ngazi
Uko vizuri lema
Mini super market, nyumba haice 2 nk ubunge 28yrs! Peanut! Wow wow! Godbless u! Uinjilist siasa! USIOGOPE! Fanya tu Lema, unapenda Watu wabadilike wapate hela halali.
😂
Big up brother nakupenda sana
Kaka ahsante saana bro! Heshima kwako bro huwa unanipa point ya life kaka lema
Basi Mbowe ana shida, hawa wote sio machizi, .wenyekiti kaa tu pembeni, utaheshimika tu
TRUTH WILL ALWAYS STAND FIRM
Huo ndo ukweli mbowe ajue watu wamekufa yeye hajafiwa na ndugu yeyote kwa ajili ya siasa ndio maana hana uchungu
Lema uko vizuri maana mbowe Ni dictata
Chairman safari hii mtamalizana
Siasa nihatari na wanasiasa nao ni maana kumbe ubunge ni wizi😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Lema umekua mweu jaman wanasiasa kweli waongo san!!!. Lema leo hii anakula matapishi yake. Mbowe ni bg tu nahatabaki kua bg mst chadema mtake msitake. Mbowe oyeeeeee❤❤❤❤❤❤❤
Kakojoe ulale na mbowe wako 😅
Mgonjwa wewe, kwa hiyo Mbowe akifa chadema ndio mwisho wake.
Kanye ulale wewe
Amevurugwa mwache ajiongoleshe
Lema una utu, umetusaidia watu wa mikoa mingine kuelewa kuw chadema sio chama cha wachaga kama tulivyoaminishwa na ccm, mbowe anapaswa akushukuru, umekinusuru chadema kisife
So true
Kweli Mbeya, Lema aliisifu kwa kuunga mkono CHADEMA kuzidi Arusha na akasema"Nani anasema CHADEMA ni chama cha wachaga?" Akaipa saluti Mbeya kuwa na CHADEMA.
CHADEMA- Chama cha Dingi na Marafiki, safi sana Lissu, Heche, Lema
Kesho wenje nae atajibu.
Daaah kazi kweli
MH LEMA UKO VIZURI SANA,MBOWE ATUPISHE HUKO
Nakuelewa brother
Hakika!!
Umeongea dhati ya MOYO
Uko vizuri tapika nyongo, chama kipone kwani kina Hali mbaya sana.Tunahitaji watu kama Lema,Pambaru,Hehe,Missus sio kina Wenje
Saccos ya Mbowe hatarini
😂😂😂
Haya ndo mambo yangu sasa MICHAMBO FC
Lema hujawahi kupepesa macho kwenye misingi ya kuokoa jahazi!!hujawahi kuwa chawa
Shida ni kuchafuana ndani ya chama,huu nibudhaifu mkuu.
Fact bro
Yaelekea like fungu wanalodai Mbowe kapokea nikubwa sana na kosa kubwa halijawafikia wote so lazima wachafuane kwenye media ...wanakosea sana
Bado hamjasema 😂. Hawa ni watovu wa nidhamu miaka yote na sidhani kama kuna mwenye akili atawaelewa. Mmetuchosha kila siku kwenye mitandao kana kwamba hamna ofisi. Hawa eti wanataka kuchukua dola 😂hawa? Hela hizi bwana hatari 😮. Kama wapinzani wote mko hivi na tabia hizihizi basi tena waacheni CCM watawale maana hamna jipya
@@johnvedastus3079kwani kazi ya mwanasiasa ni kukaa ofisini au kusema maovu na mema? Wewe hujui siasa ni nini
Hakuna mtu anaitaji fungu ila Mbowe apumzike.
Kwann kila cku na wewe unawafatilia kwenye mtandao km acheni wasuguane atakaechaguliwa atakuwa Bora sana hatajisahau
@@johnvedastus3079kwani hao waliochukua dola wana tofauti gani na hawa?
Baada ya uchaguzi acheni kujibizana kusutana sisi wapenzi wa Chadema roho zina umia sana. Tuna wapenda wote jamani. Acheni kuumizana mta ua chama mlio kitilia nguvu zenu na damu zina nena zilizo mwagika. Tafaaadhalini acheni majibizano please! Ebu siku tatu zilizo naki acheni ongeleeni agenda zijazo za chama. Acheeeeeeeeniiiiiiiii pleaeaeaeaeassse!
nimecheka sana, kutimua mbio!!. Ila Lema umenyooka sana ndugu yangu, mkikaa pale wewe lisu heche na makonda loooh...bonge la kolabo😄
😅😅😅kweli bhana
Lema 🔥🔥🔥🔥🔥
Godbless broooo
Yote haya kasababisha Wenje jana kweny press ngoja wamjibu wakikaa kmy n ujinga
Wenje yule ni pimbi sana
Mbowe ndio rais 2025 ww lema utakuwa waziri wa mambo ya ndani
Huyu mtu ni mkweli sana"tulikimbia wotee"😂. Mtu wa maana kabisa😂😂
Hiii inaitwa tukose wooote, Karibuni CCM tujenge nchi Bwanaa, Mama wakaribishwe Hawa watu CCM
@@elishazakayo3630 CCM haina wasema hovyo kama hawa, waache wakae huko huko waliko. Maneno wanayoongea inaonekana hawakuwa wanasiasa sawa Sawa. Msifiri hata wanaongoza nchi hakuna mahali hawaelewani hapana lakini wanatumia taratibu zao ndani kwa ndani wanamalizana. Lakini hawa haijulikani nani anasema nini na kwa wakati gani, hivi mbona hawatwambii mbowe kala ngapi jamani
Kumbe Magu ndio kiboko ya wana siasa tata, sasa mnatikisa mama mkifahamu si mtata.
WEWE LEMA HAUNA AKILI.UNABISHANA NA BOSS WAKO?? ETI UNAJIBU KILA ULISIKIALO, FALA WW
Mwongo umepatia utajiri wako kwenye siasa mshahara mlikuwa mnaookea milioni 15 kwa mwezi posho laki nne kwa kila kikao mmestafu kwa miaka 10 mmelipwa kinua mgongo milioni miasita Leo umeshiba unaanza kubeza ubunge na kumkashifu sababu umepatia hela kaka wadanganye wajinga wenye akili wanajua kuwa ubunge ndiyo uliokutoa rema na kukupa jeuri hiyo uliyonayo
Mwenyekiti mbowe tunakipenda ila safari hii tuache na lissu
ccm mwaka huu itashinda sn.
Chadema hongereni mmeonesha ukomavu nadhani msigwa aliko anajitafuna tu
Ivi mbowe mpaka uambiwe maneno magumu ndio uelewe kweli?
Kwani kelele zote za nini? Si mkapige kura mumwondoe? Hizi ķelele hazisaidii zinakivuruga chama. Kakae nyumbani kwako familia yako. Mbona hamkuyasema hayo vikaoni? Acha hizo Lemaaaaa.
Tarehe 21 Jan ndio mwisho wa Mbowe
Hivi mbona kanda ya kaskazini ulishindwa?😂😂😂wenye akili wanaelewa kuwa wewe ni mhanga mnatafuta madaraka tu hakuna lolote
Sasa tumeanza kuwachoka tafuteni mada mbowe ana mfano chadema huo ndo ukweli wewe mwenyewe uluuza ubunge kwa mrema huo ndo ukweli vile vile sio sifa tulieni mfanye uchaguzi mnaleta mipasho
Descipline yako Lema imeshuka sana. What you are doing is insurbodination. Jifunze Pia kuweka akiba ya maneno kuna leo na kesho.
Kivipi? Displini ishuke kwa kusema ukweli, acheni.kudandia gari kwa mbele
Lema yupo Sawa
Mboe akishinda tafuta chama changing au rudi kwenu ukaanzishe kilimo cha bananas !
Chadema sii chama cha kuabudu mtu ni chama ambacho kina katiba na kitaendelea kuongozwa na katiba
lema tupo na ww tunachagua democrasia
Safi sana kaka lema
Hongera sana kamanda lema
Hakika ninyi ni wanasiasa lakini hapa mmekubali kuingia kwenye mtego bila kufahamu. Yaani wameshawatoa kwenye reli. Badala ya kuongelea sera zenu za chama na jinsi mtakavyoweza kuongoza serikali mkichaguliwa mnapoteza muda kuzungumzia watu wawili tu.
Mwenyekiti anawaatack wenzie kwa kupitia wenje hivyo hawawezi kumnyamazia kimya. Lakini tukumbuke hiyo nafasi anayoing'ang'ania mh Mbowe ndio chanzo cha chadema kuitwa SACCOS.
Lazima waongee, wanakwenda kwenye uchaguzi, lazima wawekane sawa
Kwa nini you don't attack hao watu na unamshambulia mtu ambaye hajakushambulia.
Kiufupi wewe ni mnafiki au kuna kitu kikubwa mnakificha. Serekali wekeni macho na masikio hapa. Kuna kitu zaidi ya hiki wanachopiga kelele. It's not a coincidence.
Ina maana kweli haujui kwa nini hawataki Mbowe audio tena madarakani?
Sasa si muanzishe li chama lenuuuuuuu😅😅😅😅😅 mbona mlikuja kwakeeeww😅😅😅😅😅😅😅😅😅 magufuli lala salama
Wacha uongo UBUNGE ndio kila kitu kwa wapinzani.
Kumuita kiongozi aliyepewa dhamana na wanachama wa kanda nzima ya ziwa Victoria tukiwemo sisi.. Kuitwa BOYA, ina maana sote tuliomchagua Wenje ni MABOYA.. SIO???
Tafsiri au mtazamo wako siyo sawa.
Ukitaka kuwa boya.
Kwenda na ukijani wako.
Yaani vyote ulivyoongea lema uko sahihi ila ulipo mzungumzia jiwe toka chato umeniudhi sijapenda
Lema. Wewe ni matako una Sera Tena unapiga kelele
Usimwsmini mwanasisasa, akutafute inbox kama wanamaanisha!, ridhaa ipo kwa wenye nchi
WE UNA DAI KUWA CCM WAMEKUAIDI UBUNGE. YAN CCM WAKUPE WW UBUNGE JAMBAZ AKIL FINYU ACHA KUDANGANYA WATU
Jambazi babako
Ukiongelea yule jamaa ndo unakosea, unakuwa mpuuzi hata kama unaongea ya msingi
Ivi mbowe akishinda ataweka wapi sura yake.
Nyie wana siasa ni makhasfu tu hamna misimamo
Dola 40 kwamimi lema nyingi natoboa broo ila wewe umenyooka sana ila ushauliwangu mboe mwachie lissu upepo umebadilika vipi wewe mzee
Aliye na Nyundo ampe mwenzake jembe na aliye na jembe....
Ur unique
Msimu huu tutasikia mengi
Mbowe kwa tamaa zako utaua chama mwenyewe
We mchaga usidanye watu ukajifanya una mdomo mrefu huna lolote Mbowe ndio Bwana wenu
Hata hujielewi, kama kitu hujui sio lazima ukoment, si utulie tuu?
Hawa ni Chadema Kwa Chadema au Chadema Kwa CCM!
Hivi inavyotaka kumpoteza mtu kama huyu kwenye chama kinachopambania kuchukua dola unafikiri nini au kuna mpango gani? Kuna jambo nyuma ya pazia.
Lema acha ujinga
Kabla hujavuka mto usitukane mamba
apo kwenye vitumbua umetupiga
Sijapenda kinachoendelea, yaani kula ck mipashooo
Kwa hiyo LISSU ndo alpha na omega😂😂😂😂
Sikiliza elewa acha maswal ya kichoko
Dah ngoja nikaangalie clip za jpm 😅
Sasa yale mapepo ya kuvuruga chama yamehamia huko 😂😂😂😂😂😂
Matofali mbona hakuna aliwajenga vipi
Jaman viongozi wetu tunawaheshim sana acheni kufanya haya yanayoendekea ,,tunawapenda sana lkn mbowe pumzika kaka
Wajibu lema
Kwani ungenyamaza ungepungukiwa kitu gan?
Kunyamaza kwenye ukweli ni moja ya unafiki ktk maisha political is globalization
Angenyamaza i geonekana anayosemq Wenje yana ukweli
Mbowe anakuuliza unaongea na waandishi kama nan
ILA MAGU🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Aliwahenyesha😂
@mathiaszakaria7052 LEMA ANAKWAMBIA WOTE WAVAE MADERA TU HAKUNA MWANAUME ALIE BAKI NCHINI WAKATI WA MWAMBA🤣🤣
RIP Magufulification for Africanization
@@mathiaszakaria7052Chuma
Ndio ujue Mungu fundi, akakutana na wanaume wenzio wakamnyoosha
Hapanaa,,lema uko sahihi minachoamini nikwamaba chama kinaumia sana bila kujua Mbowe yeye hana hasara,,,wenye hasara sisi mtaaani tunaotukanwa,,,Mbowe anapaswa kusoma nyakati kua huwezi kutudanganya mda wote Mbowe siasa ni democratic uhuru,,,sas Mbowe ujitoe tena ujitoe kwa jina la mzee wa dakiaka za jioooooooooooni Mbowe kajmsalim Amri
Mtaongea mbinu zote za cuba😅
Kisa ni mbowe kukaa mda mrefu
Hapo baada ya kuchambuana ndo mtakaa SASA mjenge chama
😂😂😂😂 kumbe mlitukimbiaga na mwenyekiti sasa sasa ivi mtapigana wenyewe ndani ya nnchi mlotukimbiaga sasa yetu macho mpka muuane njaa tayari sasa mpka uneanza kufungua mdomo pole out of game mwamba njoo uku tuendeshe boda boss ujasiriman uku 😂
Unaniudhi kumtaja baba magu😮
Mbwa wewe
Magufuli alikuwa muuaji Sana wewe nawewe uyechukia una tabia ya hovyo
Inyeshe tuone panapovuja
Lema acheni kusemana, ongeleeni sera zenu, mnatukatisha tamaa wafuasi wenu
Wanakua kamavire watu wajikoni kusemana tuu kwani razi.a kirakitu kujibu