Mbosso - Alivyotembelea Ofisi Ya Zanana Juice (The Night Of The African Voice)
Вставка
- Опубліковано 8 тра 2018
- Katika Maandalizi ya Usiku wa The African Voice Zanana Juice iliyopo Mikocheni karibu na maeneo ya Triple 7
Mbosso alipata nafasi ya kujionenea utengenezaji wa juice mbalimbali ndani ya Zanana ambao pia ni moja ya wadhamini wa show ya The Night of The African Voice
Alele Available On:
ITunes: itunes.apple.com/album/id13474...
Wasafi: www.wasafi.com/audio-detail?a...
Spotify: open.spotify.com/album/7sxngd...
Amazon: a.co/bzRtHV1
Tidal: tidal.com/track/84498671
Deezer: www.deezer.com/album/56875612?... - Розваги
Mbosso mcheshi Mashaa Allah mungu akueke mbosso
Naitaman kinoma sna.. Big up mwanang mbosso maisha yako kama sio msanii ila ndo inavyotak
Fun juice soon In tz In Sha Allh nakamlsha mkataba na mafnzo tu np oman kwa xx ni zaidi ya fire In Sha Allh
Mazingara yako pia ni masafi sana hongera dada
Dah m[BOSS]o unanifuraisha kweli yan rafiki yangu
Nimependa maandalizi ya juisi za zenanaaa saaana
Dada wew mzuri sana nimekupenda bure mungu akulinde kwenye Kaz yako uwe mfano
She is an icon to all young ladies
MaashaaAllah miss saana tz hongera dada
we mcheshi mbosso khan
Zanana yupo vizuri.Nmempenda
Nimependa adiraha..munguakuongoze...
Yani..mboss Atari.. :nakukubali
zanana juice💯💯💯🔥🔥🔥
Trigger Binladen ik
Aii mbosso rep k.e.n.y.a haujui smothie bt big up uko poa 👍
Mmependeza sana
dada endelea una ndoto nzuri itakae gusaidia mungu akujalie neema gutoka kwamungu mwaname atakae kowowa atakua namtu muzima
She is good and congrats for her and all the best
Safi Sana mboso nawependa wsf
Hongera saana Dada,kazi nzr
Awesome
Mbosso commeddy unaweza kabisa
Hongera.kwa.kazi.nzuri
Nakupenda sanaa mdogo wangu mboso.
be blessed mbosso
Huyu dada aendele hivyo hivyo na asiwahi kula mkorogo
Zanana juice iko poa sana
Safi sana mbosso
Big up sana
Mbosso bana ati kahawa kidogo mwarubaini mwingi😂😂😂
Mbosso love you
Nice really nice
nzuri ccta
That lady is very beautiful, hardworking and smart as well.
Penda sana bosso
Mzuri
mshishindi
Mashaallah
Nice men
wasafi chibu simba mia mia simba
wasafi chibu simba nice
katishaa
🎉🎉🎉🎉🎉
dada mucheshi sana Yani
noma sana
Mbosso ukifundishwa mara moja bac uelewe sio uelekezwe tena mweee
Mambo
Tehhhhhhh
quality
Nice
Natamani ilo embe...uku napoishi ata ayanogi....jamani namiss tanzania 🇹🇿
Mi naona hujamiss km mm
Mboso utatoka umenenepa
Machine ilivowaka mbosso kastuka hahahahahah
Nice nice
Swadakta mrembo watching 2022
Iko kipengele ata me nakipenda iko 🤣🤣🤣🤣mbosso
Mbosso fundi wa juice
Nita kuja siku moja kuku tembeleya
KHAN FULL SUPORT BRO NIHESABU
unaga maringo mboso penda sn
mboso kma nakuona unamnyemelea zanana
Neno 😂😂
We zanana tunaomba namba ako Bas
Hello pls i need some initiative pls, Only Juice Bar
Haaaaaa haaaaaa Kila tunda lina blender yake.
Inaitwaje hiyo blenda
👊👊👊👊
mboso mroho
Nmezoea zile za Embe+maji+kk sugar. He he he heeee
Haaaaaa haaaaaa na maparachiçhi mabovu
haha mbosso umenimaliza uliposema zanana wanapunja watu😂
Nimependa jinsi unavyo wapenda wazamini wako na kuheshimu mchango wao kwako mboso
first comments
ivi mbosso kweli ni msanii .
Izo barafu mbona nimaji
Hvi maziwa yanachemshwa kwanza?
mbossooo
How much glass if juice
nimependa sana kazi yako dada vp naweza kupata kibarua chochote hapo
Mbosso juice😂😂😂
Tunajua unavo tupunzja😂😂😂
kweli nmemtamn San huyu Dada mung amzidishie ila cjui juice glac bei gan???
Nahitaji namba yako plz
Mchedede
Ahadi Esube jh
Kweli kuna tofaut kat y juice na juisi. Ha ha haaaa me nmezoea kunyw juisi. Zanana anatngnez juice.
Juis ya maziwa nzur naipenda. Ndo hotelin uwa hawatumii maji kwenye mchuzi wanatia maziwa au shampen
Asal nzur kwenye juis
Eti naendeshaje kumbe kusaga ujui hila mwanzo mgumu Ata mimi Zaman nilikuwa sijui
Kumimina anajuwa asijuwe tana
Ndio glass ndefu Sana hiyo
Napendaga izo grass
hakika ww mcheshi
Ni juice yenye vmpo vya kmataifa naamn kwa wle washaotmblea huku wanaijua vym habr zake fun juice pmja na mango talaat
hamna number ya kazi, i want us to do business zanana
Mashaallah.....zanana nahitaji namba yako 🙏
Umeingia anga za wasafi subiri uiname kidogo yakutokee ya hamisa
Umbwa wewe
Upgrade your Camera
F.Murad_333
duuuh high quality mode kwa simu yako and not low....we huoni pekeako unalalamika
Jumanne Said Si sioni, I just said They should upgrade Their Camers
Asante sana dada nimefurahia lakini naitaji namb yako ya whatsapp natamani unifunze kutengeneza hapo video sijaelewa Thx
nimekupenda bure sasa Dada zanana unauza Na vitafunwa au juice tupu
Bhn we kila sehem unajitia kupost UA-cam vp ww post na ukienda chooni
Kwa usanii gn uyo Chris brown hafany ivo
Mohd Dipey ukiishi kwa kuiga utajiwekea mipaka(limits) mwenyewe,,the best way to achieve the best thing is to create yours,,tanua mawazoo tusiishi kwa kukariri
We acha ushamba chriss brown mbona alitembelea kwenye small industry za kutengeneza ped za wadada we unashangaa mbosso acheni chuki watanzania
@@strikermimi7736 appreciate broh
@@strikermimi7736 appreciate broh
Dipey i
💪💪💪💪💪
Mbosso nakupendag bure ila umenibowa kwamavazi hao hayakupendezi
Big up sana sister but nlitaka kujua about brenda hizo jamn
Doh achiliambali kuimba lakin unakipaji cha kuchekesha na kuongea uzuri
Next itakuwa mbosso katembelea chumbani mwa mama Dangote LoL
hahahaha bangi sio Poa
Hope Studio Productions kuwa na adabu ww
+Jk Montanno acha ujanja wa kipumbafuu ww ss chumbn kwa mma wa boss wake akafanye nn huna adabu ww fuck off
Kuwa na adabu angalia vizuri mtu unaemtag usitake kudhihirisha jinsi ulivyomgeni wa kutumia smartphone
Hope Studio Productions ili jinga kweli yani matanzania sijui yakoje
😂😂😂 mboso
Next tutaona mboso katembelea chooni kwa diamond kuona anavyokojoa.... hii inamaanisha nini kujikosha kwamba nimtu mwema saaana au...?
We kaka unaroho mbaya ww
Naitaman kinoma sna.. Big up mwanang mbosso maisha yako kama sio msanii ila ndo inavyotakiwa
Hongera yako mdada
haha mbosso umenimaliza uliposema zanana wanapunja watu😂
Alipomaliza kuvaa gloves ...akafanyaje eti..nani kaona🤣🤣🤣