Nimependa jinsi anavyojibu maswali yote hasa pale mwandishi anapogusia pesa, jamaa hayupo tayari kusema any amount and that is business. No need to tell someone how much principal did u invest in ur business, and what is the price of your products, let people come and taste your flavour. Conglats bro, make it happen more.
Hio ndo maana halisi ya udhubutu. The higher the risk the higher the pricee. Hio ndo maana halisi ya investement na TZ ya viwanda. Just imagine kijana huyu kwa mtaji wa buku 7 mpka alipofikia Katoa ajira kwa watu wa ngapi. Keep it up bro @markchiken @mark juice
He's got good business ideas, really good... ila, mtaji wa 7,000/=!!?? Pesa ya Matunda ya kuanzia Biashara au Mtaji wa kuanzia Biashara? Hauhitaji matunda pekee kuanza biashara hiyo, au!?? There are a lot of so many other stuffs that costed him behind hiyo "7000" tajwa😒
Nampongeza sana kijana mwenzangu kwa hatua kubwa aliyofika. Ila sasa kusema aliaanza biashara kwa mtaji wa elfu 70000 hiyo tusidanganyane. Watu tunapata hivyo vi elfu 70 mara kibao na mchanganuo unagoma.
Huyu Jamaa aache uongo unapodanganya jambo uwe tu na kumbukumbu kusema umeanza biashara Na mtaji wa 7000 hyo ni kutafuta kiki mzee wala co kwel maneno yako yenyewe haya sadik Maana unasema uliacha kaz bank ili ufanye hyo biashara inamaana kazin ultoka Na 7000? Mara uliuza hadi vtu vya ndan ilkupata mtaj inamaana ulivyouza hivo vitu kwa 7000? Acha uongo broh ur real creative ila kwa 7000 umetudanganya mzee
RAMADHAN KISILA fatilia vizur bro hiyo 7000 ilikuwa ya matunda aliyonunua kwa mara ya kwanza, lakin kwa biashara nzima ilibidi auze mpk vitu vingine kwa ajili ya kutengeneza hapo mahal pakuuzia ,pamoja na vifaaa vingine vya kutengenezea juice..! anasema ilimcost hela nyingi tu..! so no data no right to speak.! lakin hata hvyo kikubwa ni uthubutu unaweza kuwa na hela kibao lakin usiweze kuwa na uthubutu.
Nahisi ni bora kusikiliza interview zake zote sio kukurupuka na kucomment hii sio interview hii co ya kwanza hebu tafuta zngne usituletee nzi kwa kujifanya unajua kuongea sana
Ukinunua bajaji mil 7 ukaiweka ndan kesho yake ukaenda petro station kuweka mafuta ya 20k then ukaanza kubeba abiria inamaana umeanza biashara Na mtaji wa 20k? Achen unafik mtu ukisema mtaji tafsir yake ni kila kitu ktk kuanza biashara ukisema ulianza Na 7k inamaana kila kitu kilicost 7k jumla so huu ni uwongo hyo ni propaganda tu ya kufanya biashara
Paulo Kilenga bro fatilia vizur kuhusu hilo ameshasema , hyo hela 7000 ni iniatial capital ya matunda aliyonunua mwanzoni, sio capital ya biashara nzima, kwasbb aliuza mpk vitu vingine ili kutengeneza mahal pakuuzia, kutengeneza contena, na vifaa vingine vya kutengenezea juice..! ila mtaji wa matunda alioanza nao ni hyo elf saba.
zakawaida sanaa,,,bora hata KINGDOM JUIZ,,,,aña sehem za watu kukaa but mark juice hana sehem za watu kukaaaa,,,, location ,,sheriii,,,babuuuu,,, Kingdom juice ndo mpango mzmaaa
leonia kalimanzira hebu fungua kwako tupaone wewe ndio akili zako fupi hujioni unavyoongea pumba kulinganisha biashara ya mtu huyu na yule aki watanzania wana wivu na aliyekuturoga amekufa
Hongera sana
brother uko powa sana maisha popote kikubwa subila ndo nguzo peke kwenye mafanikio,
Unanihamasishaga sana nakufatilia mnoo Mungu azidi kukutia nguvu najifunza vingi kupitia we we🙋🙋
Dah sina wivu mungu azidi kukuinua
Nimependa jinsi anavyojibu maswali yote hasa pale mwandishi anapogusia pesa, jamaa hayupo tayari kusema any amount and that is business.
No need to tell someone how much principal did u invest in ur business, and what is the price of your products, let people come and taste your flavour.
Conglats bro, make it happen more.
wonderful creativity
Hio ndo maana halisi ya udhubutu.
The higher the risk the higher the pricee.
Hio ndo maana halisi ya investement na TZ ya viwanda.
Just imagine kijana huyu kwa mtaji wa buku 7 mpka alipofikia
Katoa ajira kwa watu wa ngapi.
Keep it up bro @markchiken @mark juice
Nice nice kaka mungu akubariki xna ktk biashara yko
Good Man! Good Idea!
Big up mungu azidi kukufungulia
big up Mr Mark.....
Huo mtaji utakuwa ni zaidi ya milioni 20 kupata container, kulidecorate , vifaa ya kupikia... You got enough grounds bro
Ni kweli mkuu
😂😂😂big up bro ila usidanganye maana hata mungu hapendi uongo sh7000,,hapo unatuachia maswali juu it's really not possible kiukweli😂
BIG UP 👏👏👏 BROTHER
Mimi nafufata sana Mak , naitaji number ao mail yake nilipeda ni usiane naye ki viashara. Mimi niko goma drc.
Safi sana Koye
Duh natamani kuja kijifunza
Nice broo maana cc tunawaza mamilioni wakati 100 hatuna
Naomba kujua au hata namba aliyekutengenezea kontena!
Jamaa upo safi
Bro mm natak nipate mawasiliano yako n share kitu n wewe
We are coming💪
Nice .... Soon utakuwa KFC
bless up💯💯
Nimependa contener lako
Valena, Hi
Hi, je hiyo contener inapakanaje?
He's got good business ideas, really good... ila, mtaji wa 7,000/=!!?? Pesa ya Matunda ya kuanzia Biashara au Mtaji wa kuanzia Biashara?
Hauhitaji matunda pekee kuanza biashara hiyo, au!?? There are a lot of so many other stuffs that costed him behind hiyo "7000" tajwa😒
ukisikiliza interview ya nyuma hiyo elfu saba ni matunda tu vitu vingine ilibid auze vitu vya ndani ili kupata vifaa na kutengeneza eneo
Nampongeza sana kijana mwenzangu kwa hatua kubwa aliyofika. Ila sasa kusema aliaanza biashara kwa mtaji wa elfu 70000 hiyo tusidanganyane. Watu tunapata hivyo vi elfu 70 mara kibao na mchanganuo unagoma.
Joseph Leonard kweli kabisa 7000 haiwezekan .kwanza alikuwa akifanya kazi benk sasa benk uanaweza ukaacha kaz na kuanza 7000, kama co uongo
Joseph Leonard kasema vitu vingine alikuwa anavinunua kidogo kidogo sio kama elufu saba ndo kafanya kila jambo ,hiyo elufu saba alijumulia matunda
😂😂😂jamaa anadanganya imma kabisa ety 7000 not possible at all
Mbona comed
Huyu Jamaa aache uongo unapodanganya jambo uwe tu na kumbukumbu kusema umeanza biashara Na mtaji wa 7000 hyo ni kutafuta kiki mzee wala co kwel maneno yako yenyewe haya sadik Maana unasema uliacha kaz bank ili ufanye hyo biashara inamaana kazin ultoka Na 7000? Mara uliuza hadi vtu vya ndan ilkupata mtaj inamaana ulivyouza hivo vitu kwa 7000? Acha uongo broh ur real creative ila kwa 7000 umetudanganya mzee
RAMADHAN KISILA fatilia vizur bro hiyo 7000 ilikuwa ya matunda aliyonunua kwa mara ya kwanza, lakin kwa biashara nzima ilibidi auze mpk vitu vingine kwa ajili ya kutengeneza hapo mahal pakuuzia ,pamoja na vifaaa vingine vya kutengenezea juice..! anasema ilimcost hela nyingi tu..! so no data no right to speak.! lakin hata hvyo kikubwa ni uthubutu unaweza kuwa na hela kibao lakin usiweze kuwa na uthubutu.
Nahisi ni bora kusikiliza interview zake zote sio kukurupuka na kucomment hii sio interview hii co ya kwanza hebu tafuta zngne usituletee nzi kwa kujifanya unajua kuongea sana
bone tru
RAMADHAN KISILA watu kama ninyi huwa hamkosekani, tatzo lako sio msikilizaj bali ni mkurupukaji wa kucomment,acha kujudge ujinga bro
Ukinunua bajaji mil 7 ukaiweka ndan kesho yake ukaenda petro station kuweka mafuta ya 20k then ukaanza kubeba abiria inamaana umeanza biashara Na mtaji wa 20k? Achen unafik mtu ukisema mtaji tafsir yake ni kila kitu ktk kuanza biashara ukisema ulianza Na 7k inamaana kila kitu kilicost 7k jumla so huu ni uwongo hyo ni propaganda tu ya kufanya biashara
nalike yangu NDO yakwanza
*LIFE IS SHORT EAT CHICKEN *
unapatikana wapi
Ningependa Umuulize Kuhusu Namna Alivyoanza Hadi Alipofikia Atupr Story Ya Kutuinspire Wengine Wenye Dream
superbrain jojo tafuta interview zake zngne kafanya yote hayo
+bone Ok nashukuru sana MR
Nmependa Bro kaz yako.
wakwanza
What is the name of the presenter
Kwene mtaji umetudanganya kwel kwel sema n biashara unpiga promo unalipwa millard wakati mwingine msema kwel n mpenz wa Mungu .
Paulo Kilenga bro fatilia vizur kuhusu hilo ameshasema , hyo hela 7000 ni iniatial capital ya matunda aliyonunua mwanzoni, sio capital ya biashara nzima, kwasbb aliuza mpk vitu vingine ili kutengeneza mahal pakuuzia, kutengeneza contena, na vifaa vingine vya kutengenezea juice..! ila mtaji wa matunda alioanza nao ni hyo elf saba.
Paulo Kilenga we endlea kutokuamini hiyo yote ni uvivu wa kutokuthubutu,endelea kaka
zakawaida sanaa,,,bora hata KINGDOM JUIZ,,,,aña sehem za watu kukaa but mark juice hana sehem za watu kukaaaa,,,, location ,,sheriii,,,babuuuu,,, Kingdom juice ndo mpango mzmaaa
leonia kalimanzira acha wivu wewe sehemu ya kukaa ipo sio kila kitu mpaka ucoment mxiuuu
hehe,,,Kwahio akili zako fupi ka kitunguu Maji,,,Pale unaweza kupalinganisha Na Kingdom juicy. ,,hajaweka vivutiooo ,,,stupid can't yu see,,,pakukaa penyewe hapaelewekiii vibenchii mshenziii
leonia kalimanzira hebu fungua kwako tupaone wewe ndio akili zako fupi hujioni unavyoongea pumba kulinganisha biashara ya mtu huyu na yule aki watanzania wana wivu na aliyekuturoga amekufa
Do know Dat yr stupid,,🚮,,Come inbox en I tell yu who I am,,Nonsense,,,stupid lady
Gud idea gud result