MBOSSO - PICHA YAKE BEHIND THE SCENE (PART 1)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 113

  • @mwanambeeke
    @mwanambeeke Рік тому +2

    Kwa kweli Diamond anakuaminia na anakupenda sana. Keep going Wasafi you really inspire me

  • @peterkimwaga8725
    @peterkimwaga8725 6 років тому +43

    Tembea na like kwa mbosso

  • @روبيروبي-ج2ح
    @روبيروبي-ج2ح 3 роки тому +1

    We mcute aky

  • @Letstalkaboutit07
    @Letstalkaboutit07 6 років тому +2

    He (Mbosso) works so hard. I like him, his effort and simplicity.

  • @روبيروبي-ج2ح
    @روبيروبي-ج2ح 3 роки тому +2

    Mara ya kwanza kuona mbosso akitoa chozi

  • @winfaithangie436
    @winfaithangie436 5 років тому +1

    Mbosso kitu safiii....sauti nyororo na tamu kabisa

  • @hildahnjeri585
    @hildahnjeri585 6 років тому +1

    I've been waiting for behind the scene of this song at last its here🇰🇪🇰🇪🇰🇪team 254....966

  • @youngstarmuhenga6203
    @youngstarmuhenga6203 6 років тому +1

    Daaaah! mbosso pa1 sana hii ngoma ya picha yake nmeikubal sana na umejua kwecheza na hisia za nyimbo yenyew

  • @justineelius4972
    @justineelius4972 6 років тому

    nimeelewa sana kk hii ngoma hakika mapenzi yanauma sana. WCB FOR LIFE

  • @Jm_phii
    @Jm_phii 4 роки тому

    Maze this people are hardworking keep up... Mungu n mwema kweli ❤️❤️❤️❤️❤️💯💯💯💯💯

  • @christianbahemuke1098
    @christianbahemuke1098 6 років тому

    pale mwisho kaka ume uwaaaaa kinyamaaaaaa....i'm From Goma...na nime kubali kabisaaa

  • @kenanijuma
    @kenanijuma 6 років тому +6

    mboso picha yake noma sana yan kama umeniimbia mm broo

  • @سبحانالله-ح7د
    @سبحانالله-ح7د 6 років тому +3

    Simba anakumaind vibaya sanaa. Huyo broo ana mapenzi ya kweli kwako.

  • @princewawaziguatz1563
    @princewawaziguatz1563 6 років тому +4

    First kuona hii_Sihitaji Likes 😂😂🔥🔥🔥🔥

  • @mwangamsarifu6650
    @mwangamsarifu6650 4 роки тому

    umeua kaka....I love it

  • @triggerbinladen4636
    @triggerbinladen4636 6 років тому

    Mbosso siku zote nakutambua yani effort zako naziona kwa kweli usiambiwe na mtu

  • @pinkpassc9652
    @pinkpassc9652 6 років тому

    mboso Mimi nimpenda tangia zamani namuaminia salute kaka tunakuombea umeuwa ulivyo sema

  • @ommydee
    @ommydee 6 років тому +9

    kama unamkubali mbosso like hii

  • @chachake761
    @chachake761 6 років тому

    Waaa noma iyo... Kumbe ulilia kweli??? ..keep it going bro

  • @projestusprosper1626
    @projestusprosper1626 6 років тому +5

    Kazi nzur

  • @abdulhamidmasoud7070
    @abdulhamidmasoud7070 4 роки тому

    Mbosso nakukubali sana

  • @haileayane3973
    @haileayane3973 4 роки тому

    cool people, love you

  • @esposwit5213
    @esposwit5213 6 років тому +8

    Alipendeza jamani ...muope changwe na vigelele....

  • @bwg736
    @bwg736 3 роки тому

    have you ever wanted to sing with mejja

  • @josebrownbongo9777
    @josebrownbongo9777 6 років тому +6

    MBOSSO FULL SUPORT KAKA

  • @fulugencemwambe9024
    @fulugencemwambe9024 6 років тому +1

    uyooooo

  • @rajabuidiru492
    @rajabuidiru492 6 років тому

    African voice

  • @evahawazi9196
    @evahawazi9196 6 років тому +1

    Mapenzi noma

  • @marlojr7146
    @marlojr7146 6 років тому +4

    @mbosso tupe zingne maana mchina kanivutia nataka nione behind hake

  • @abinellyyohana311
    @abinellyyohana311 6 років тому

    Noma sana ulitishasana mdogowangu

  • @talikikateja7872
    @talikikateja7872 5 років тому

    gonga like hapa kama upo kalibu na mbosso

  • @ashuramamaashuraaachekuvaa7798
    @ashuramamaashuraaachekuvaa7798 6 років тому

    nakupenda sana mboso

  • @mariamphilipo2997
    @mariamphilipo2997 5 років тому

    Me mwenyew napapenda apo pakulia Yaan ukiwa deep unaweza lia

  • @RENARDTEDDY-lr4wb
    @RENARDTEDDY-lr4wb Рік тому

    Mbosso

  • @m2kumbom2kumbo56
    @m2kumbom2kumbo56 6 років тому

    Daaaaaah

  • @dorricakaregi2610
    @dorricakaregi2610 3 роки тому

    Mwanzoni nilifikiria kuwa alikuwa anaimba juu ya mapenzi yake kwa boss Martha..🙈🙈🙈🙈

  • @abdulhakimmohammed4528
    @abdulhakimmohammed4528 4 роки тому

    Nice

  • @jessicamm3171
    @jessicamm3171 6 років тому +1

    Ongeweka kituunguuu ikupe machozi bila kulia

  • @ahadiesube7919
    @ahadiesube7919 6 років тому

    Beautiful

  • @shodristvtv6121
    @shodristvtv6121 6 років тому +5

    Nakuelewa sana mbosooo

  • @kenyansingulfarabscountrie2988
    @kenyansingulfarabscountrie2988 6 років тому

    😍😍😍😍😍i love youuuuu mbosso

  • @allanmuseka1309
    @allanmuseka1309 6 років тому

    Kali zaidi

  • @juliucnatal167
    @juliucnatal167 6 років тому

    Nakukubal sna

  • @atusamwel9804
    @atusamwel9804 5 років тому

    Mimi mpaka kuwa timu.mboso nikwajiri ya goma ili

  • @mwanaidiomary2526
    @mwanaidiomary2526 6 років тому

    Yan IPO poa kaka nakubali Kazi yko

  • @masudinurdin6721
    @masudinurdin6721 6 років тому

    MBOSSO NAKU

  • @johnjoseph7731
    @johnjoseph7731 6 років тому

    Shoo za mond inje

  • @jasonjastinmatandala3037
    @jasonjastinmatandala3037 6 років тому

    nakupenda bure broo

  • @ummutaymiyyah6774
    @ummutaymiyyah6774 6 років тому

    respect mboso

  • @tiliphelalahuma720
    @tiliphelalahuma720 6 років тому +2

    Diamond 😂😂😂😂👉💪

  • @suzzanmarco9428
    @suzzanmarco9428 6 років тому

    Nice song

  • @josephathikiharatu4695
    @josephathikiharatu4695 6 років тому

    mboso kweli chiz mzki

  • @raymondkaswaga8334
    @raymondkaswaga8334 6 років тому

    Nassibu ana upendo

  • @tariqissa5083
    @tariqissa5083 6 років тому +1

    Nnakubali simba

  • @KEENGSTV
    @KEENGSTV 6 років тому +3

    🔥🔥

  • @MSEMAJI_WA_TAASISI_YA-SUPERFEO
    @MSEMAJI_WA_TAASISI_YA-SUPERFEO 6 років тому +4

    kazi kazi kaka karibu upige show njombe

  • @marlojr7146
    @marlojr7146 6 років тому

    @mbosso nakukubali

  • @abdirahimabdigaal3579
    @abdirahimabdigaal3579 6 років тому

    Duh anaweza kupretend jamani

  • @brendaduncan8121
    @brendaduncan8121 6 років тому

    OMG Mbosso💯🤣🤣

  • @thealdomoro254
    @thealdomoro254 6 років тому

    kidogo kiingereza kigumu wasafi kote lakini ngoma murwa kabisa...

  • @buyenziboy7352
    @buyenziboy7352 6 років тому +1

    Kama umegunduwa kuwa simba alikuwa anaunga unga kingereza jikubali.

  • @johnhamason3420
    @johnhamason3420 6 років тому

    Diamond and English are two variables

  • @بدرالشمري-و3خ
    @بدرالشمري-و3خ 6 років тому +1

    Atakama pesa inapendwa jamani muweshimu Ramadhan mwezi wakuomba musama na kusamehewa

  • @hamadilemunje2886
    @hamadilemunje2886 6 років тому

    pwaaaaa

  • @VictorMoi
    @VictorMoi 6 років тому

    sijaippenda hiyo scene ya ladies and men with black, wanaimba kana kwamba ni kwaya, but any other scene is thumb up.

  • @kachekeloyahya5075
    @kachekeloyahya5075 6 років тому

    Nakuelewa sn kjan

  • @rummyson9898
    @rummyson9898 6 років тому

    🔥 🔥 🔥

  • @mahamoudjacob1983
    @mahamoudjacob1983 6 років тому

    Nachokupenda una nidhamu ya kweli wala si mnafiki

  • @bamuurockstar2217
    @bamuurockstar2217 6 років тому +2

    mh waislam jin nyiny

  • @kakamau0384
    @kakamau0384 6 років тому

    Etii ukifunga ukilia utakua umefungilia!??? 😂😂😂😂😂😂Jamani hamna buana huo ni uzushi tuu kwa kwel jamani 😁😁😁😁

  • @davidmaginga9562
    @davidmaginga9562 6 років тому

    Mondi kachemka anaugauga kingereza chake

  • @cleophacedarstan6524
    @cleophacedarstan6524 6 років тому +1

    P i C h A y A k E_

  • @japhetbaraka587
    @japhetbaraka587 6 років тому

    noma

  • @simehifanueladonis3617
    @simehifanueladonis3617 6 років тому

    Kwani ramadhani ndo nini? Hacheni upuhuzi nyinyi. Kama haujaipenda kazi za mwenzio basi usiwe na visingiwizi.

  • @shabanimagogo502
    @shabanimagogo502 6 років тому

    niko nawewe Kaka

  • @marlojr7146
    @marlojr7146 6 років тому

    @mbosso zingne tunataka

  • @tiliphelalahuma720
    @tiliphelalahuma720 6 років тому +1

    Hahahaha wow

  • @wakalimusic7380
    @wakalimusic7380 6 років тому +2

    Like kwa bio ya ke

  • @radhiyanassor7514
    @radhiyanassor7514 6 років тому

    Nimekuelewa bt mziki kharam kaka

  • @mariamangel1264
    @mariamangel1264 6 років тому +3

    Ivi ndoo nimeamini kauli ya allah katika koroani takatifu sura ya saba msari wa 137 katika surat wa lifajri amesema mtuu wa motoni uwa aogopi ata ramadhani ukiona mtuu aogopi ata ramadhani basi uyo ni mtuu wa motoni nimemaliza ause nyoooo unamfuraisha uyo daimond afu aumfuraishi mungu au daimond ndoo mungu wako na siku utakufa utazikwa na picha yake labda atakusaidia ku azibia na kuchomwa moto

    • @ktmediatv
      @ktmediatv 6 років тому +1

      G Gg duuuh we dem vpi mbon unazngua kam ww mtu wa dini Sana why unawafatilia wasanii na mziki hujui kam una mambo meng ambayo dini sio rahisi kuhalalishwa we ukiingia UA-cam fuatilia mambo ya dini sio kina Dimond. Acha usilam wa unafiki mshamba ww

    • @ABC_Da_Holly
      @ABC_Da_Holly 6 років тому

      wewe si upo peponi

    • @jayloko4325
      @jayloko4325 6 років тому

      wambie

    • @sophiamose1328
      @sophiamose1328 6 років тому

      mariam angel 1 wewe wajiona mtakatifu hujatenda dhambi tangu uzaliwe waonekana

  • @mariamangel1264
    @mariamangel1264 6 років тому +3

    Subrahanallah eti naye amekuwa amefunga wanawake wamekaa uchi mvele yake eti naye amefunga bora ukule tuu na usisem uko muslam ww mboso duuu dunia iyi dunia ni uhongo kabisa

    • @jameskalele8506
      @jameskalele8506 6 років тому

      G Gg ya Mungu mpe Mungu kwanza usingekoment

    • @fatmahharon41
      @fatmahharon41 6 років тому

      Washenzi hawa hawana swaum wla Ramadhani

  • @mariamangel1264
    @mariamangel1264 6 років тому +7

    Mnafki mkubwa uwezi kulia umemkosea mungu ila unalia juu ya ushetani fyuuuuuuu atakama napenda mziki ila sio kwa ramadani

    • @leonardmavele183
      @leonardmavele183 6 років тому

      mariam angel 1 Nawew unae angalia mambo ya kishetan pia ni shetan na lazima uchomwe moto mfyuuuuuu

    • @annkariuki8203
      @annkariuki8203 6 років тому

      +Leonard Mavele haha,😂😂

    • @sophiamose1328
      @sophiamose1328 6 років тому

      mariam angel 1 uongo mtaacha 😗😗

  • @mariamangel1264
    @mariamangel1264 6 років тому +7

    Aise umenibowa mwezi wa tamadhan unaimba kabisa mziki na unashuti na wanawake wako uchi na unasema umefunga wallah msiwe mnatuchafulia dini ivo mbora muwe makafiri tuu tu juwe 😠😠😠😠😠😠

    • @mosesmsemne8253
      @mosesmsemne8253 6 років тому

      G Gg watu wasifanye kazi sasa

    • @athanastheonest6728
      @athanastheonest6728 6 років тому

      We vp kazi kaz ww ukute nyie mnaosemaga ndo mashetan

    • @meshackvitalis7771
      @meshackvitalis7771 6 років тому

      haikuwa ramadhani banha alifunga tu funga yake

    • @suleimanali3716
      @suleimanali3716 6 років тому

      G Gg maramoja inatosha

    • @roggertv4165
      @roggertv4165 6 років тому

      Kwanz ingekuwa ww n mtu wa mungu usingekua hapa unachek hapa mnafki mkubwa ww

  • @mariamangel1264
    @mariamangel1264 6 років тому +2

    Duuu aise moto utaona wengi mboso nilikuw nakupnda ila umenicho roho kabisa na auskiy ata aibi au ofu ya mungu kusem ulikuw unashut mramadhani duuu aise wallah dunia inatudanganya mwenzi mtukufu sio mwez wa kufanya mahaswi lakini sio mwez wa kufanya ujinga ni mwez wa kutubu ni zawadi ya mungu kabisa na 8naropoka eti nilishuti mramazani😡

    • @lucyalex9347
      @lucyalex9347 6 років тому

      mariam angel 1 mbona wewe mnafiki hivi

    • @sophiamose1328
      @sophiamose1328 6 років тому

      mariam angel 1 usito coment ww utatukanwa bure na huo utakatifu wako

  • @chachake761
    @chachake761 6 років тому +2

    Waaa noma iyo... Kumbe ulilia kweli??? ..keep it going bro