Sichoki kuusiliza ni wimbo mzuri Sana ubarikiwe mtumishi wa Mungu Mungu aendelee kukutunza zaidi ili uzidi sana katika huduma yako una huduma nzuri sana na Mungu amekukusudia hakika
Nabarikiwa sana nawimbo zu, nikiuwimba zu, najikuta machozi yananimwagika,Eemwenyez Mungu MPE mtumishi wako Joy viwango vikubwa zaidi ili azid kutuokoa ss kupitia nyimbo hizo❤
Mungu akubariki sana na akuinue zaidi ukihudumia madhabahu ya Kristo Yesu.
Sichoki kuusiliza ni wimbo mzuri Sana ubarikiwe mtumishi wa Mungu Mungu aendelee kukutunza zaidi ili uzidi sana katika huduma yako una huduma nzuri sana na Mungu amekukusudia hakika
Amen amen, tunashuka kwa huyu Yesu.
Nabarikiwa sana nawimbo zu, nikiuwimba zu, najikuta machozi yananimwagika,Eemwenyez Mungu MPE mtumishi wako Joy viwango vikubwa zaidi ili azid kutuokoa ss kupitia nyimbo hizo❤
Nanyenyekea sana kwa huyu Yesu na kuyapokea maombi haya. Mungu azidi kukuhudumia sana kwa kadri ya shauku yako.
Nakwitaji Roho mtakatifu,
Amen amen amen
Annointed❤
Mungu azidi kukuinua ktk huduma yako ili usonge mbele zaidi kwaajili ya utukufu wake
ROHO MTAKATIFU
Mungu akuinue Zaidi mdogo wangu
Powerful ❤
Amen... Ujumbe mzuri 🙏
Nabarikiwa sana na wimbo huu Mungu akuinue sana
Amen amen, nampa Mungu utukufu wote.
🙏🙏🙏🙏 utujaze bwana tufurikwe na uwepo wako
Amen amen.
Yaani sichoki kusikiliza wimbo huu, kila nikisikiliza naona kama mpya. Mungu akubariki sana Joy
Oohhh, tunampa Mungu utukufu wote.
🙌🙌🙌🙌
Amnina
Wow nice song 💖💖
We give God all the glory.
Amina
MWANANGU JOY MUNGU AENDELEE KUKUINUA.
Amen amen mama ❤
🙌🙌
Mungu akupe neema zaidi na kukuinua zaidi kwa utukufu wake
Amen amen, napokeq kwa jina la Yesu
What a Song of the Holy Spirit. Thanks Sisy Joy for yielding to yourself to the Master and blessing us with powerful song
We humbly give God all the glory.
I thank God for your talent, Ms. JoyDoroth.
The presence of God is fixed in this song....God bless you segito
I am so humbled dear before God
Hongera sana mpendwa wangu Mungu akwinue
Mungu akuinue zaidi kwenye huduma yako
Amen amen, napokea.
Kwakwel Yesu akuinue zaidi
Amen amen.
Haleluyah Rohomtakatifu utujaze.. 🙏🙏
Amen.
Amen... Ujumbe mzuri 🙏
Powerful ❤
🙌🙌🙌🙌