AJIKUTA KWENYE HEKAHEKA KUBWA BAADA YA KUWA NA MAHUSIANO NA MKE WA MTU BILA KUJUA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 бер 2022
  • Kijana huyu amejikuta kwenye hekaheka kubwa baada ya kuwa na mahusiano na mke wa mtu bila yeye kujua.
    Tizama hapa umuone mwenyewe akielezea mwanzo mwisho
    #geahhabibu #GeahTv #MatukioyaGeah

КОМЕНТАРІ • 736

  • @minskbelarus7255
    @minskbelarus7255 2 роки тому +25

    UNAOGOPA POLISI TENA, Humuogopi ALLAH ambae anakataza ZINAA. Tubu HARAKA ndugu yangu

  • @hawaamkubwa2020
    @hawaamkubwa2020 2 роки тому +25

    haya ndio madhara ya zinaa acheni zinaa ndugu zangu zinaa inamaumivu makali angalia unavodhalilika kisa uzinifu

  • @theafricaiknow6615
    @theafricaiknow6615 2 роки тому +73

    Huyo mwanamke na mumewe lengo Lao moja, itakuwa ni tabia Yao kula pesa za wanaume wengine

  • @bonnyngowo7567
    @bonnyngowo7567 2 роки тому +6

    Asiye na dhambi na awe wa kwanza kumtupia jiwe huyu bro😂😂😂😂

  • @piusphilip307
    @piusphilip307 2 роки тому +43

    Ndiyo maana Mungu alitoa amri kwamba USIZINI. Yanayokusibu sasa ni matokeo ya kuvunja amri ya Mungu

    • @danieljoseph6309
      @danieljoseph6309 2 роки тому +1

      😂😂😂😂😂😂kama hutendi dhambi unamhukumu mtu kwa dhambi ambayo hutendi wakati unatenda zingine 😂😂😂😂😂😂😂

    • @gonga1986
      @gonga1986 2 роки тому

      We nae angejuaje kama ni mkewa mtu??na ameshakwambia amedate nae miezi tisa what don't you understand??

    • @fauzishabani2622
      @fauzishabani2622 2 роки тому

      Huyu mzinifu

    • @zaynabrashid329
      @zaynabrashid329 2 роки тому

      @@fauzishabani2622 wewe ujawah kuzin tema mate dada

  • @spreadlove5300
    @spreadlove5300 2 роки тому +36

    Kuna watu hapa wanatupa lawama kwa hawa watu 2. Kuna baadhi ya wanaume hawana time kabisa na watu wao matokeo yake ndo haya.

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 2 роки тому +2

      Ni kitu gani unachomlaumu huyo mshikaji

    • @spreadlove5300
      @spreadlove5300 2 роки тому +2

      soma uelewe

    • @mwajumabakari3730
      @mwajumabakari3730 2 роки тому +1

      Tena wengi mno komesha

    • @watototunawezatuwezeshwe6126
      @watototunawezatuwezeshwe6126 2 роки тому +2

      Lamuhimu tu wakumbuke Kila mla Cha mwenzie na chake huliwa. Haimaanishi mke tu Bali hata watoto, dada, shangazi na wengineo. Iwe bahati mbaya au kisasi. Halafu ujifanye mkaaali ukihatibiwa mwanao au nduguyo. Wanaume badilikeni. Nyama ni ileile ukitaka ladha tafauti badilisha mapishi tu usibadili nyama. Jenga familia yako iwe na heshima na furaha pia Kwa kumthamini mke na watoto wako. MMungu atatusaidia amiin.

    • @erickmichaelmugele2107
      @erickmichaelmugele2107 2 роки тому

      Sawaa ila mtaponza wengi😂😂😂😂

  • @lilyrose7983
    @lilyrose7983 2 роки тому +26

    Pole sana kaka kwa yaliyokukuta achana na huyo mwanamke.Utajihatarishia maisha yako bure.Huyo atakuwa c mume bali ni mume wa michongo na ishu yote anaijua toka mwanzo

    • @bakariomari8758
      @bakariomari8758 2 роки тому

      Nikweli

    • @lilyrose7983
      @lilyrose7983 2 роки тому +3

      @@bakariomari8758 Unafikiri?Hiyo itakuwa ndio tabia yake.Kuanzisha mahusiano mwisho wa cku kujifanya ana mume.Na kesi ya fumanizi lazima upigwe faini.

    • @latifachilala2015
      @latifachilala2015 2 роки тому

      Uyo hana mume Wala Nini ni mtu wa michongo tu mpigaji tuma picha tumjue

    • @jumbemwajabu4006
      @jumbemwajabu4006 2 роки тому +2

      Wanawake siku hizi wanatumiwa Sana kwa utapeli ukute hao wapo kazini angalia hao wezi huyo mwanamke na huyo mwanaume matapeli pengine

    • @lilyrose7983
      @lilyrose7983 2 роки тому +1

      @@latifachilala2015 Ingekuwa vizuri tukaona picha yake ili cku nyingine akome

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 2 роки тому +9

    Pole sana. Uyo mwanamke sio mkwerri. Na uyo mwanaume yawning eti mumewee ni mpuhuziiii au wamepanga diriii niniiii wapeleleziii MKOOO WAPI?? WASHIKWE NA WAKAJIELEZE MATAPELU HAOOOOO

  • @julianajacksoni4275
    @julianajacksoni4275 2 роки тому +6

    Ndio Akome..aache umalaya kumbe ana mke.. Hlf anazungusha matako tu kwa wanawake wengine..

  • @Baba-JJ
    @Baba-JJ 2 роки тому +9

    Unaweza kukuta "MUME" na "MKE" wa michongo. Huenda ndo mradi wao huo, mke anajilengesha kwa kibopa halafu mume anajifanya kamfumania mgoni wake ili mgoni atoboke!

  • @zairaisaid6389
    @zairaisaid6389 2 роки тому +36

    Kosa la kufanya mapenzi nnje ya ndoa ndio hiyo

    • @lucygesimba7603
      @lucygesimba7603 2 роки тому

      Naomba no ya gea ninashida nae

    • @lydiadotto3380
      @lydiadotto3380 2 роки тому

      @@lucygesimba7603 nimekupenda jaman uwe mme wangu nitafute

  • @mariasafari1004
    @mariasafari1004 2 роки тому +7

    Mume atakuwa anajua SEMA wanakula tu Hela ya jamaa😂😂

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 2 роки тому +19

    Una haibu Zina unaigeuza halali tasbill mkononi Subuhanallah Allah atujaaliemwishomwema

  • @raiye5621
    @raiye5621 2 роки тому +11

    Pole sana kaka
    Kharamu wallah 💔.

  • @arafakiloli749
    @arafakiloli749 2 роки тому +8

    Subhannahllah
    Allah atuepushe na ibilisi huyo

  • @mamachris6811
    @mamachris6811 2 роки тому +9

    Hilo ni deal la Mke na mumewe au si Mume,amejua kama una pesa wanataka wakuchomoe

  • @bakarimohammed2796
    @bakarimohammed2796 2 роки тому +5

    Safi sana broo kwa kuongea ukweli

  • @iradukundamike5370
    @iradukundamike5370 2 роки тому +1

    Subhanallah pole sana bro wanawake tuwace tama

  • @waheedahtanzania4912
    @waheedahtanzania4912 2 роки тому +8

    Hapo ndo utajua kwanini Mungu katukataza zinaa mpaka tuolewe au tuoe haya ndiyo madhara yake,halafu bado kijana unajidhalilisha kuja kujishtakia kesi ya zinaaa tena kwenye media dooh Astaghfirullah laadwim allah atupe mwisho mwema 👏

  • @magrethedward760
    @magrethedward760 2 роки тому +2

    njoo unioe mie tu unahangaika na nn🤣🤣🤣

  • @maryamm7765
    @maryamm7765 2 роки тому +18

    Pengine huyo mwanamke wamepanga plan hili wamchune kwa vitisho

    • @annamduma4009
      @annamduma4009 2 роки тому

      Inawezekana skuhiz wanaume wanatumia wake zao

    • @maryamm7765
      @maryamm7765 2 роки тому +1

      @@annamduma4009 maisha magumu 🤣🤣

    • @reynaaalrawahi4137
      @reynaaalrawahi4137 2 роки тому

      Inawezekana.

    • @rosendile8235
      @rosendile8235 2 роки тому

      Toka zamani wanaume wengine wanawatuma wake zao kutafuta Pesa Tena siyo kwa wanaume wa hali ya chini .Wanawatuma kwa wanaume matajiri au wenye vyeo vikubwa so hiyo tabia huwa ipo tu. Ni sawa na wanaume wanao acha Pesa ndogo ya matumizi kwa siku, arudipo jioni anapewa chakula kizuri matunda na juice na wala haulizi mke Pesa katoa wapi huku akijuwa chakula alichopewa ni Cha thamani 🙈

  • @roseneilally7919
    @roseneilally7919 2 роки тому

    Pole Sana broo

  • @sakinaabdallah7713
    @sakinaabdallah7713 2 роки тому +4

    Hawa Watu wanaojikuta n'a pesa wanadharau sana. Mungu atustiri atuepushie n'a viumbe namna hii 😳 mitihani kweli

  • @muhidinzaidi1408
    @muhidinzaidi1408 2 роки тому +5

    Hicho ulichofanya Allah atakuonyesha malipo yake hapa hapa duniani haufi mpaka uone malipo ya kidunia kwanza

  • @manjaugodwin7834
    @manjaugodwin7834 2 роки тому +1

    Kaka pole sana .Dah wanawake wanatuangusha sana

  • @asdasd9253
    @asdasd9253 2 роки тому +4

    Zinaa imekatazwa kwahio nijumla yamadhara yazinaa unaacha mke wako ndani unaenda kumtafutia maradhi umletee mke wako ndani loo acheni tabia mbaya

  • @mahewamahewa6461
    @mahewamahewa6461 2 роки тому +2

    Uyu Kaka nishemeji yangu tabia yake ya kubadili wanawake asiwadanganye nimshenzi na nusu

  • @user-nn5sq8ol4g
    @user-nn5sq8ol4g 2 роки тому

    Jaman

  • @mdzainb3722
    @mdzainb3722 2 роки тому +62

    Kama nimempenda huyu jamaa alimpenda sana huyu mdada sema huyo dada ni malaya tu

    • @estermahenge5972
      @estermahenge5972 2 роки тому +3

      Mange kasema uyu baba ni afai ana wachanganya wa dada na ana mke wake

    • @kiri5807
      @kiri5807 2 роки тому +5

      Naye pia huyu jamaa malaya , wacha yamkute

    • @missmwayway4704
      @missmwayway4704 2 роки тому

      @@estermahenge5972 achana na Mange huyo kila mtu Ulimwenguni hapa anamjua.....!! 😆😆😆

    • @hamisaadamu8099
      @hamisaadamu8099 2 роки тому +3

      Nenda kwenye account ya mangekimambi app ndo utajua huyu Kaka ninani

    • @estermahenge5972
      @estermahenge5972 2 роки тому +2

      @@missmwayway4704 hapana mange vingine anaongea kweli na wanao mwambia ni wahusika wenyewe mkewe nasikia anateseka sana

  • @yasminoluoch169
    @yasminoluoch169 2 роки тому +1

    Pole sana ss wanawake mola atustiri tumekuwa wabaya sanaa

  • @zairaisaid6389
    @zairaisaid6389 2 роки тому +6

    Mpemba gani ww unafanya mapenzi nnje ya ndoa alafu ufanyi kwa sili unjitangaza ivo!! Utakuwa ww ni mpemba wale waun waun jilekebishe kinyume na apo yatakufka zaidi ya hayo

    • @filamupictures9349
      @filamupictures9349 2 роки тому +1

      Tofautisha mpemba wa pemba na mpemba wa Dar, hao ni watu wawili tofauti sana, usiwamixie mafile

    • @awadhhamza9296
      @awadhhamza9296 2 роки тому

      Yan mnajiona wasafiii ...mamae

  • @shamijuma7259
    @shamijuma7259 2 роки тому +3

    Huyu jamaaa anajitangaza wanawake wamjue ki muonekano tu kwasie tunaojua kusoma wanaume huyu ni play boy,na hiyo dhambi uliyofunga na huyo mzinifu mwenzio naona kesho utaikuta,sema tu najitangaza asiyewajua wanaume wa rangi hiyo ataona bonge la dume kumbe hupo kwenye matangazo tu hapo unatafua wadhinifu wenzio

  • @sifamugwaneza8774
    @sifamugwaneza8774 2 роки тому +13

    Maskini kaka wawatu mzuri na huyo mwanamke kaona u Handsome akawa amezama ila kakosea sana huyo mwana mkee, au atakua ndo dili zake na mume wake maana madili hayo yapo watu wanaishi mjini kiaina aina jmn pole sana kaka angu Mungu atakulipia

  • @mbonipakasase8927
    @mbonipakasase8927 2 роки тому +19

    DSM vitu vigumu ni viwili, mke na viwanja.
    Wanamke akitongozwa yeye anaangalia pesa. Kumbe mke wa mtu,
    Kiwanja hivyo hivyo, buy at your own risk

  • @sophiaalexander6025
    @sophiaalexander6025 2 роки тому

    Duuuhh pole sana is njoo tu Kwangu mm sina mtu
    Hutajutia 💞😘

  • @ucjvvjcjjvih9934
    @ucjvvjcjjvih9934 2 роки тому

    Pole kaka kwa mitihani bora Ulivosema ukweli wako yalimkuta mrs NANA hayo true store binadamu

  • @faakiza7595
    @faakiza7595 2 роки тому

    Pole Sana kk we ndio mambo t

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 2 роки тому +4

    ingelikuwa vizuri tusikilize pande zote mbili tupate uhakika wa jambo lenyewe

  • @roseatienoogutu7641
    @roseatienoogutu7641 Рік тому

    pole Sana bro wewe hunamakosa unecheza part yko Allah yuko nawewe duwa Kwa wingi hery itapatikanaa inshallah

  • @kalengashoppingcenter1108
    @kalengashoppingcenter1108 2 роки тому +2

    Story haijakaa vizuri kabisa, IPO jama anajitangaza kama anauza magar aweke wazi mbona alikua anachkiliwa video vile!

  • @didah6553
    @didah6553 3 місяці тому

    Pole kaka

  • @hagarbills4023
    @hagarbills4023 2 роки тому +2

    Dah mtihani kweli jmn pole kaka

  • @AW-vt9pw
    @AW-vt9pw 2 роки тому +21

    Ukimkosea Mwenyezi Mungu kwa kufanya Zinaa usiitangaze ingawa kwa yote yaliokufika. Zinaa ni katika madhambi makubwa.
    Hilo ndio chumo la Zinaa. Na iwe fundisho kwa wazinifu wengine waachane na uzinifu kama unajihisi hutosheki na Mke mmoja bora uoe wa pili ingawa Mkeo atakasirika Lakini utanisurika na mengi.

    • @user-qg2sw9bj2i
      @user-qg2sw9bj2i 2 роки тому

      Swadacta

    • @zakiaabdula4709
      @zakiaabdula4709 2 роки тому +2

      Ndio allah akasema kukifanya kwa siri atakuhukumu kwa siri na ukifanya kwa dhahiri hatakuhukumu kwa dhahiri tupunguzeni sinaa jamani allah asema laa taka Raab ziinaa

    • @mwajumabakari3730
      @mwajumabakari3730 2 роки тому +1

      Kweli kabisa

    • @alhabsi6430
      @alhabsi6430 2 роки тому +1

      @@zakiaabdula4709 sahihi wallah hawana haya wanaume hawa

    • @watototunawezatuwezeshwe6126
      @watototunawezatuwezeshwe6126 2 роки тому +1

      Na Sasa kama mkeo alikuwa hajui tayari ameshajua. Amani itapungua nyumbani kwako. Na hebu kumbuka mara ngapi ulimnyima haki mkeo na kumpatia huyo hawara. Ikiwa mpaka saa Saba usiku uko nae. Mkeo ulimwacha peke yake akilia Kwa sababu yako. Hebu wanaume muamke na kuheshimu wake zenu. Muwapende na kuwatunzia heshima zao. Kama kipo ulokikosa mwambie tu mwanamke ni dhaifu sana Kwa mwanamme ampendae. Angalizo wake zenu munawaharibu na kupunguza mapenzi na uaminifu Kwa kuwaendea kinyume (kuwasaliti) na hayo ni malipo ya zinaa

  • @mwanaishakhamis8069
    @mwanaishakhamis8069 2 роки тому +32

    Hayo ndiyo madhara ya zinaa Kaka braza mwishowe ndiyo hivyo habari ndiyo hiyo😭

    • @judicasayale3353
      @judicasayale3353 2 роки тому

      Pole

    • @johasaeed391
      @johasaeed391 2 роки тому +2

      Kwakweli alafu bado na yeye anamke mpuuzi sananhuyu kaka malaya mkubwa

    • @mwanaishakhamis8069
      @mwanaishakhamis8069 2 роки тому

      @@johasaeed391 alipokuwa yuwazinii nae hakutangaza mitandaoni sasa maji yamezidi unga.mmh pata mwanangwa nisije kujuwawa.🤭🇰🇪

    • @getrudamartin2409
      @getrudamartin2409 2 роки тому

      @@johasaeed391 umeon love mtu an mke n watoto tamaa zimponza akome

    • @lucynelsonmungure1719
      @lucynelsonmungure1719 2 роки тому

      Pia machozi mwamke anayolia pale unapofanya umalaya nje uko ayakuachi salama

  • @mzeemtopa1086
    @mzeemtopa1086 2 роки тому +13

    Munamtania mungu nyinyi munafunga saumu kweye uzinifu

  • @amenyeabraham
    @amenyeabraham Рік тому

    Napenda anavyoelezea very straight hadi raha

  • @ibraimoissiaca6058
    @ibraimoissiaca6058 2 роки тому +20

    Huyu jamaa bishoo tu ye km ni mtu na mambo yako kwanini usioe uwe kwenye penzi silias ,uyo dem naona mtoto wa mjini tu acha ampeleke mbioo

    • @Shuu.A
      @Shuu.A 2 роки тому

      Kama kakusudia kumuowa huyo unajuwaje usiombe yakufike

    • @ibraimoissiaca6058
      @ibraimoissiaca6058 2 роки тому +1

      @@Shuu.A ndo miezi tisa acha kutetea zinaa

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 2 роки тому

      @@ibraimoissiaca6058 waridhisheni wake zenu kivyovyote

    • @estermathias8354
      @estermathias8354 2 роки тому

      We unadhani kuoa ni kukrupuka 😄😄

    • @ibraimoissiaca6058
      @ibraimoissiaca6058 2 роки тому

      @@estermathias8354 kinasikitisha wanawake ndo mnaependa kuchezewa

  • @user-nn5sq8ol4g
    @user-nn5sq8ol4g 2 роки тому

    Pole

  • @CHITUS
    @CHITUS 2 роки тому +2

    Pole ulimpenda ila mapenzi ya mchongo hayo mpemba! TUSHAKUELEWAAAAAA SANAAAA

  • @husnarash3626
    @husnarash3626 2 роки тому

    Njoo kwangu

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 2 роки тому

    Daaaaaaaaa mpole sna mwarabu wangu aise ila wadada WA mjini wajanja mno kudadeq muache kudanga nyoko nyie tafuteni Kaz pumbavu sna.... Pole sna bro🇦🇪

  • @seinabelimi2296
    @seinabelimi2296 Рік тому +1

    zinaa athari zake ndo hzo na wanawake wa mjini wake za watu ndo zao kusema wako single dunia gunia ina mengi Allah atuepushe na uchafu huo atujalie wake sahihi na wakati sahihi tupate salama na yatuepuke majanga haya Ammyn🤲🤲

  • @fatmaabdi8813
    @fatmaabdi8813 2 роки тому +2

    Dah atar sana tuache tamaa

  • @brigidmua2548
    @brigidmua2548 2 роки тому

    Tamaa

  • @fatmaomary3981
    @fatmaomary3981 2 роки тому

    Pole sana kaka

  • @salumjuma3152
    @salumjuma3152 2 роки тому

    Dah hatati sana

  • @leylahleylah4599
    @leylahleylah4599 2 роки тому +6

    Ila wanawake bana...kama hamupo tayari kuingia kwenye ndoa subirini kwanza...kumrubuni kaka wa watu na kumletea matatizo siyo vizuri ndiyo yaliyomkuta mejakunta....mtulie kwenye ndoa zenu...mnatubania sie mabinti kupata wachumba😀😀😀 ndiyo nini sasa kuwa na wanaume 2...pole kakangu.

  • @priscillaamossen8249
    @priscillaamossen8249 2 роки тому +1

    Pole, wakinadada wa kibongo Acheni tabia mbaya,,.. huyo Kaka amuweke huyo dada hadharani, pengene ndio njia zao hao kutafuta pesa , mpeleke huyo Kaka kwenye vituo vya TV vikubwa ili mkondo wa sheria uchukuliwe na wengine Waone na waache huo upuuzi.. kama huyu Kaka yupo sahihi, amshitaki huyo dada,, ingekuwa nchi zilizoendelea huyo dada angepay Big time.

  • @emyemy2229
    @emyemy2229 2 роки тому +1

    Pole sana hawa wanakulia pesa

  • @auntmakochela4202
    @auntmakochela4202 2 роки тому +6

    Izo ndoa za dili huyo mwanaume karuhusu mke akadange sasa kaona mgodi umeyumba ndo anajitia kushtaki haiwezekani mke wa mtu danga lako kila linapokuhitaji unapata muda kwa miez tisa hayo ndo maisha yanayowaweka mjini mke na mume

  • @ruthmatonange8381
    @ruthmatonange8381 2 роки тому +5

    Jamani huyu dada kakosea pakubwa sana huyu kaka anaonekana alikua na mapenzi ya dhati sana na huyo dada

  • @aminasalim314
    @aminasalim314 2 роки тому +2

    Tamaa za ngono unaachana na mama watoto wako unaenda kuwa mchepuko kuna kitu anaficha hyu kijana

  • @anitajacob3641
    @anitajacob3641 2 роки тому

    Kweli kaka anajuwa kupenda kha!

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 2 роки тому

    Pole kaka your handsome Mungu atakupa girlfriend mwingine pole sana babaa

  • @delimachesa4916
    @delimachesa4916 2 роки тому

    Hongera kwa usema ukweli!!

    • @upendomollel5661
      @upendomollel5661 2 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nmecheka sana this comment

  • @remiomar7154
    @remiomar7154 2 роки тому +4

    haya ndio madhara y zinaa hy mwanamke alikuwa anatamaa sidhani kama ana mume Kwa unavyosimulia kikubwa picha y huyo mwanamke daa gea ungempost asijenichukulia shombe shombe wangu 🤣🤣

  • @lizzybby2392
    @lizzybby2392 2 роки тому +1

    Yes dear 😘😘

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 2 роки тому +6

    Wanawake tunaponzwa na tamaa ndio Maana tunauliwa ovyo mno
    Yote tamaa hiyo iliyomfanya akatae kwamba si mke wa mtu
    Brooo kaa nae mbali atakuponza

  • @tatotato506
    @tatotato506 2 роки тому +4

    Kaka tafuta mke ufunge ndowa sawa acha ayomaishasio mazuli

  • @khadijauvuruge9700
    @khadijauvuruge9700 2 роки тому +3

    Mshenzi eti awala wako mama watoto wako anamjua uyu jamaa mshenzi wa tabia anamtesa mkewe sababu ya awala ndo ukome umekomeshwa hasa

    • @estermahenge5972
      @estermahenge5972 2 роки тому +1

      Kapatikana kishenzi na Tabia zake mange Katoa ubuyu wote

  • @neemaruben5427
    @neemaruben5427 2 роки тому +9

    Bonge la kakaaaa mashallah

    • @yusrasalum
      @yusrasalum 2 роки тому +1

      Lakini hajielewi 😃😀

    • @neemaruben5427
      @neemaruben5427 2 роки тому

      @@yusrasalum 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @nawechi4818
    @nawechi4818 2 роки тому +2

    Ukweli kuhusu huyu kaka upo mange kimambi app

  • @aisatahaisatah2612
    @aisatahaisatah2612 2 роки тому

    Daaaaaaah pole saaana kaka

  • @kholaalmahrizi8525
    @kholaalmahrizi8525 2 роки тому +4

    Huyunkakankazid mtu ana mkewe vp unakwenda na wanawake nje hamuheshimu mkewe

  • @fatmasalim2694
    @fatmasalim2694 2 роки тому +2

    We kaka kama hujaoa jamani mie nimekupenda bureeee,tena tufunge ndoa sio kuzini🥺🥺

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 2 роки тому +28

    Wote wahuni😭c demu wangu.. Sipendi ilo jina Demu wangu

    • @deospackle2158
      @deospackle2158 2 роки тому +2

      define neno demu

    • @fatmasaid2865
      @fatmasaid2865 2 роки тому

      Nisahihi sana

    • @zuleikhakhamis3303
      @zuleikhakhamis3303 2 роки тому +1

      kabisa silipendi haswa na naweza kukuacha hafla nickusemeshe ukinita hili jina

    • @khadijaramadhani3523
      @khadijaramadhani3523 2 роки тому +1

      Jina gani hiloo

    • @abdulazizsharif2984
      @abdulazizsharif2984 2 роки тому

      Kwanza mtu mzima kama huyu mwenyewe anakaa je kwa mahusiano kwanini usioe ukaishi na halal na ukaacha uzinifu , ndo adhabu ya watu kama wewe hasa hata angekua sio mke wa mtu bado ni mtoto wa Mtu .

  • @josphatmwai1994
    @josphatmwai1994 2 роки тому +2

    Msahara wa Dhabi mauti. Huyu jamaa mnafiki bona hajaenda kwa Akina dame.karibu Nairobi

  • @hassinaalharthi5984
    @hassinaalharthi5984 2 роки тому +4

    Dawa yake mwisho wa umalaya na uzinifu nuaacha mkeo wa halali yako kufuata mchepuko hayo ndiyo matokeo yake.... Haki ya mke imetoka kumdhulum yeye akikuhuni wewe utapenda????

  • @ruqayaruqaya4283
    @ruqayaruqaya4283 2 роки тому +2

    Mwanamke huyu ni bwana 2 kwa mujibu wa maelezo sasa huyu mume alikuwa wapi ck zote hizo?

  • @reynaaalrawahi4137
    @reynaaalrawahi4137 2 роки тому

    Pole kaka yangu

  • @fsaad5116
    @fsaad5116 2 роки тому +7

    Basini jamani ma zinaa ruduni kwa Alllah. Subhhannah AstakhfiruAllah

  • @quentinsylvia3877
    @quentinsylvia3877 2 роки тому

    Mtulie na wake zenu hii ni laana eti hata watoto wangu mke wangu wanajua bila aibu...na ikiwa amemsaliti mumewe mpk kuwa nawewe ujue na wewe atakusaliti.....na inawezekana yeye ndo mtafutaji weshakata walichotaka....sasa kakulipua....pole sana

  • @serahnamayani5012
    @serahnamayani5012 2 роки тому +2

    Mimi nipo single weee! Pole ndugu yangu.

  • @Mamatonny2065
    @Mamatonny2065 2 роки тому +11

    Huyo mwanamke ndiyo kakosea.
    Alikuwa hashibishwi na huyo mume wake.!.Kijana muombe Mwenyezi Mungu atakusaidia..

    • @daimavlog
      @daimavlog 2 роки тому +1

      Wengine.wanakuwa wanashiba unatoka tu kwa kuzidiwa na majaribu. Yaani kucheat hakunaga faida ni upuuzi tu

    • @hadijaabbas2192
      @hadijaabbas2192 2 роки тому +1

      Sheitwani naye yuko kazini

  • @evaakyoo3009
    @evaakyoo3009 2 роки тому +1

    Pole kaka njoo kwangu sina mtu nataka MTU wakunipenda sana

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 роки тому +1

    Majanga, uyo Mwanamke nae ni ninja 😀🙌🏽

  • @sarahgaula2220
    @sarahgaula2220 2 роки тому +3

    Mkome Mana Una mke na watoto na bado hutosheki. Wanaume wanaumiza sana wanawake ndio mana siku hizi wanawake wamezibuka.

  • @josephjohnmagesa8256
    @josephjohnmagesa8256 2 роки тому

    Jamaaa kapenda

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 2 роки тому +3

    Na ww hiyo ndio malipo ya dhambi ww unajigamba hawara anqjulikana na mkeo Hadi na watoto wako mwenyewe unaona sifa utasahauliwa ndugu yangu acha hizo

    • @IAM_jacky
      @IAM_jacky 2 роки тому

      Kasema mama mtoto hakusema mkewake kwani Kiswahili kigumu? Kwaio mtu Aliza namtu tu Ndio kamuoa?

  • @stellahchristopher2469
    @stellahchristopher2469 2 роки тому +1

    Da Geah huyo anaedai kuwa mume wa ndoa anajuana na huyo mwanamke na itakuwa ni tabia yao wanatapeli watu HAKUNA NDOA HAPO wanataka kupiga hela

  • @neemazee1864
    @neemazee1864 2 роки тому +4

    Jihadhari kaka angu asa iv nchi ye2 imebadilika w2 wanauwana nje nje, muache huyo mwanamke araka xn!!!!

  • @kiri5807
    @kiri5807 2 роки тому +4

    Huyo mwanamke inaonekana kashapanga na mtu aseme kuwa ni mumewe na hiyo kukupeleka polisi ni njia yakutaka ulipe mapesa . subiri huyo bwana atasema ulipe fine . au atakufunga jela , lakini umeyataka utakoma au utazidi uzinifu .

    • @allthingdranabeauty
      @allthingdranabeauty 2 роки тому +1

      Nimewaza pia wamehona mabye anavijipesa

    • @zaharamakota7434
      @zaharamakota7434 2 роки тому

      Weww unayemwambia mwenzako anapenda zinaa una uhakika wewe hujawah kuzini mfyuu zakoo

    • @kiri5807
      @kiri5807 2 роки тому

      @@zaharamakota7434 Ahaa ! inaonekana wewe umekubuhu kwenye hili jambo ndiio maana watetea wazzinifu . km nimewahi au sijawahi Mungu ndio anayejua , yeye kaja kujianika tungejuajee ? Allah ametwambia " LAA TAKRABU ZINAA " usiikaribiye zinaa sikwambii yeye aliivaa hasa. Ukiona mtu linapozungumziwa jambo la laana akawa mkali ujue naye ni mmoja wao ndio wewe .

  • @zunaidaseif5890
    @zunaidaseif5890 2 роки тому +2

    Maajabu yy mwenyewe mume wa mtu halina aibu looh

  • @nellyrehani9665
    @nellyrehani9665 2 роки тому +6

    Awana lolote wanataka kukuchuna tu itakuwa walipanga ayo mambo wamesha kuona una pesa ivyo wanataka wakuchune pesa zako wanawake kwakweli nushida mtu una ndoa yako una angaika na wanaume wengine wanini utapeli tu

    • @Shuu.A
      @Shuu.A 2 роки тому

      Wamepanga huyo mwanamke shsuri moja na mumewe hanisi tu

  • @user-lq2xf6tc4j
    @user-lq2xf6tc4j 2 роки тому +1

    Dada geah sory nilikuwa naomba no ya huyo kaka plz nimempenda sana

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 2 роки тому +1

    Mungu waumbue haw wote wazinifu

  • @sukariyao6537
    @sukariyao6537 2 роки тому +1

    Dada geha niunganishe nae mie nitampenda naa kumkabidhi mbakaa kongosho yangu 🥰

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 2 роки тому +2

    Yarabi wanawake wezangu tuweni makini tutaulliwa kwa uzembe huuu ni mtihani sijuii tutaishiya wapi

  • @nadrahassan5241
    @nadrahassan5241 2 роки тому +2

    😆😆😆nimecheka haki sasa we nae unafamilia bado unachepuka nabado hadi mama watoto wako unamuonyesha kama unachepuka inanekana mama wa watoto wako una mnyanyasa tulieni na wake zenu acheni kunusanusa kila tundu

    • @hanifatanzania7258
      @hanifatanzania7258 2 роки тому

      Hahaaa huyu mwanaume si mume gumegume changudoa lakiume hili

  • @alexandrinadomaino9868
    @alexandrinadomaino9868 2 роки тому

    Oooh jaman sorry dear.