DAKIKA 20 ZA PROF KABUDI, WABUNGE WAKIKOSOA KAMPENI YA MAKONDA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 кві 2018

КОМЕНТАРІ • 79

  • @saidbarawa9096
    @saidbarawa9096 9 місяців тому +2

    Mimi ni mkenya lakini napenda uongozi wa Tanzania, Mungu amewajalia na viongozi bora,asante rais Nyerere kwa kuweka msingi mwema

  • @gideon546
    @gideon546 Рік тому +2

    🇹🇿 👉 PROFESSOR KABUDI amesema ukweli na Ukweli Mtupu. So Help me "GOD".🙏🙏🙏
    👉PROFESSOR KABUDI HOYEEEEEEEE👈👍

  • @saidbarawa9096
    @saidbarawa9096 9 місяців тому

    Good speech from bright minister,kenya leaders should emulate this kind of leadership

  • @hiralyaugustino
    @hiralyaugustino Місяць тому

    nakupenda sana mwanasiasa nguli❤❤❤❤❤ unaakili sana

  • @fredrickryoba2452
    @fredrickryoba2452 5 років тому +4

    For the first time I second you prof

  • @MrKondela
    @MrKondela 4 роки тому +5

    Kabidi mzee wangu nakupa salute

  • @saidbarawa9096
    @saidbarawa9096 9 місяців тому

    Bright mind, keep up,mr.waziri

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 6 років тому +11

    Makonda kawapiga lazima mchukie

  • @mohamedasaid7910
    @mohamedasaid7910 3 роки тому

    Nabii Suleiman ati alikuwa Mwanaharamu .Sisi Waislamu
    Imani yetu Mitume ya Mungu wote wako safi.
    Mamake Suleiman akiitwa Saba na Babake Nabii Dauud

  • @mkomatembo
    @mkomatembo 5 років тому +3

    Professor Kabudi Waziri Wa Katiba na Sheria Nimekuvulia kofia . Ni Kiboko yao.

  • @emmanuelsimon545
    @emmanuelsimon545 4 роки тому +3

    Kuna watoto wengi wametelekezwa jaman tuache ushabiki na kukwepa majukumu ya kulea

  • @oslominiconcerts3538
    @oslominiconcerts3538 4 роки тому +2

    Prof Kabudi, the next President of Tanzania

  • @clt9914
    @clt9914 6 років тому +4

    Tuna tatizo ktk jamii! Ktk kiwango hiki cha uongozi, tulistahili kuzungumzia tatizo la jamii badala ya kupigania heshima ya bunge na heshima ya wabunge bila kujali udhaifu wao na tabia zao. Makonda yuko sahihi. Ni njia ya kupambana na wasiojitambua ktk jamii.

  • @saidbarawa9096
    @saidbarawa9096 9 місяців тому

    Next Tanzania president after mama suluhu

  • @melchiadgodwine9192
    @melchiadgodwine9192 4 роки тому +7

    Duuu kamanda Kabudi ni kiboko miaka Mia huyu jamaa ni msomi mwenye faida

  • @safiasuleiman8472
    @safiasuleiman8472 5 років тому +4

    Nyie we nye we hamna baba Kumbe, mnanijua

    • @TM.Sullusi
      @TM.Sullusi 3 роки тому

      Hawana baba? Duh! Wakikujaje duniani😂😂

  • @tibaijukaolevarez6257
    @tibaijukaolevarez6257 3 роки тому

    Daaa hili ni jembe jingine. Heshima kwa usomi na uelewa wako mh. Kabudi

  • @bulayaconfidential7212
    @bulayaconfidential7212 3 роки тому

    My next president haki...

  • @drkalokola5861
    @drkalokola5861 2 місяці тому

    Wanaharamu ni haraamu.
    Pwani kula kwa pamoja ni fasheni.
    Selemani hakuwa mtoto wa haraamu.
    Mungu hapendi zinaa.

  • @beatricehenry7101
    @beatricehenry7101 5 років тому +3

    Nadhani we una matatizo ya kuchepuka tunataka mambo ya Bungeni mwako

  • @emanuelshayayi54
    @emanuelshayayi54 5 років тому +4

    Wizara ilikuwa wapi kushughulikia.Ujue kwamba wizara kunaulasimu.

  • @yudamwinami6011
    @yudamwinami6011 5 років тому +2

    Kwa asilimia kubwa wanawake kutoa. Mimba kutupa na kutelekeza watoto chanzo wanaume kutokwenda sawa na wapenzi wao

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 Рік тому

    ASANTE SANAAA MUHESHIMIWA YOTE USEMAYOOO NI HAKI. UBALIKIWE BABA KWERI KABISA DAAAA

  • @emilyanamnyakongo4378
    @emilyanamnyakongo4378 5 років тому +2

    Kama mnaona aibu kwa nini ulienda kufanya nje wakati una mke. Mbona hata mtoto ana haki ya kujua bana yake. Wewe unataka mtoto akuwe halafu akutafute nani anakukuzia huyo mtoto. Na kwa nini hukutumia kondomu kama ulikuwa hutaki mtoto tena ndo nyinyi ukiambiwa utumie kondomu unasema siyo tamu hainogi unataka nyama kwa nyama au unasema mimi niko salama. Kwani hamjui kondomu zinazuia mimba zisizo ma mpango?

  • @omaryrashid1873
    @omaryrashid1873 4 роки тому +1

    Watoto wa nje

  • @labanhezekiel5627
    @labanhezekiel5627 3 роки тому +1

    Wale tulio pwmoja kwenye mara nying watoto wa nje ya ndoa hupewa baracka tujuane mapema

  • @drkalokola5861
    @drkalokola5861 2 місяці тому

    Wanaharamu wanawadhuru wazazi wao.

  • @paulolaizet5175
    @paulolaizet5175 4 роки тому +2

    Haaaaaaaaaaaaaaaa waziri ummy utavunja meza

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 5 років тому +3

    Kama ulitembea nje na unao watoto nje na umewasaliti,unalo

  • @nsodyaphilimon9153
    @nsodyaphilimon9153 4 роки тому +4

    Kwan wabunge nyote mnachepukana??? Mbona mapovu jaman achen makonda afanye yake na prof Kabudi mie nmemuelewa sana.

  • @suphiapatson3541
    @suphiapatson3541 3 роки тому

    Mmm wabunge aibu kubwa punguzeni zinaaa.

  • @abdulngondo8195
    @abdulngondo8195 3 роки тому +1

    Kweli wamekuleta sehemu yako.tunaomba bunge liwe raiv.maana litakua tam

  • @charlesnassary6689
    @charlesnassary6689 4 роки тому +1

    bonge la waziri

  • @georgelukuba7696
    @georgelukuba7696 4 роки тому +3

    NAMKUBALI SANA KABUDI ILA KATIKA HILI NASIMAMA NA MAKONDA

  • @tabusaidmayuhana7209
    @tabusaidmayuhana7209 3 роки тому +2

    Clip hii isambazwe kote mtandaoni ili Dai aisome na aione vizuri!!!

  • @user-rw9pi7gc8l
    @user-rw9pi7gc8l 3 місяці тому

    OK nikweli

  • @josephkafumu3006
    @josephkafumu3006 Рік тому

    We ni kichwa hatarii sana

  • @adrianignas5119
    @adrianignas5119 4 роки тому

    Unaongeaga pumba tu chalii wakati mahenge Sasa hivi watu tunashindwa kurudi kwetu kisa Barbara.
    Heri kuchagua upinzani tu maana leo Kigoma Hii ya Zitto imekuwa tofauti Sana.
    Wewe unaombea bunge badala ya Julia na Barbara za mahenge
    Dawa iko jikoni kaka mkuu

  • @ashaally6993
    @ashaally6993 6 років тому +13

    Hivi unaenda kujipanua mpaka unazaa unategemea nini? Mwanaume kakutaka kwa muda tuu wewe unataka kuweka kambi kabisa yani sisi wanawake hatufikiriagi!!!

  • @issakhamis5654
    @issakhamis5654 4 роки тому

    Ndiyo mlivyo mambo yakiwagusa mnatafuta pakutokea.makonda chapa kazi.

  • @naftalimhemi4163
    @naftalimhemi4163 Рік тому

    Social fathers lazima watapinga tu

  • @mangsonsamson7712
    @mangsonsamson7712 5 років тому +1

    Huyu makonda IPO cku ataleta machafuko mbona anakurupuka

  • @makeresiapawa7947
    @makeresiapawa7947 4 роки тому +1

    Wachepukaji wakubwa hawa on

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 4 роки тому

    Kwani kuwa kiongozi aliyetumikia serikali ndio kigezo Cha usafi ? Me can't take it .

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 6 років тому +2

    Hivi kweli makonda alikosea kweli

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 Місяць тому

    Watoto ni mali ya taifa lazima walindwe. Hili Watanzania lazima tuungane sote kulinda watoto wa taifa hili.

  • @sofiachilunzo9268
    @sofiachilunzo9268 3 роки тому

    Sio makonda anawataja niwanawake mliokua mnastalehe nao.

  • @mozakhamis7253
    @mozakhamis7253 3 роки тому

    Zuluma. Ina mwisho wake

  • @josephmakutano7067
    @josephmakutano7067 Рік тому

    Udhalilishajigani????

  • @safiasuleiman8472
    @safiasuleiman8472 5 років тому +1

    Professor zimwi

  • @ayushsaeed1051
    @ayushsaeed1051 3 роки тому

    Tumekua kuku au

  • @isackmwaluko113
    @isackmwaluko113 4 роки тому +2

    Kila mtoto ana haki ya kuita baba..makonda yuko vizuri kabisa...nyie mna chuki na makonda kwa sababu anafanya mambo kuwazidi.gere tu..mtu akinyimwa tendo la ndoa anashitaki mahakamani mbona hamsemagi udharirishwaji!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!?

  • @jamesngundateresia2600
    @jamesngundateresia2600 6 років тому +1

    Mkifanya mapenzi na wanawake na kuwapa mimba na kusepa
    Wote mnamuoinga hiyo hoja mumewambia

  • @yusuphmkapa5302
    @yusuphmkapa5302 4 роки тому

    😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂

  • @mozakhamis7253
    @mozakhamis7253 3 роки тому

    Piya na wewe ndungai unamwidho wako.

  • @gracethomas683
    @gracethomas683 6 років тому +5

    Palamagamba nimeanza kumuelewa.....

  • @gabrielmugabo9223
    @gabrielmugabo9223 6 років тому +2

    Mambo yanayofanywa na MAKONDA nakushangiliwa ni kwasababu yako vizuri. Kama ulimlaghai mwanamke ili utimize haja zako ndio ujue kwamba sasa kaja mkombozi wa walaghaiwa

    • @jjkimaro3922
      @jjkimaro3922 6 років тому

      Gabriel Mugabo Akili zko zinafanana na makonda kwanini waliweka ustawi wa jamii ?

    • @gabrielmugabo9223
      @gabrielmugabo9223 6 років тому

      JJ Kimaro wala haujakosea,kwasababu huwa hatuogopi maneno ya wavimba macho kama wewe

  • @gabrielmugabo9223
    @gabrielmugabo9223 6 років тому

    Kwani walilazimishwa au walijitokeza baada ya tangazo?

  • @ayushsaeed1051
    @ayushsaeed1051 3 роки тому

    Ili lizee Kuna saa a aropokwa 🙄

  • @yakomoifakala5504
    @yakomoifakala5504 6 років тому +1

    achen uboya km ulizaaa ukasepa usitajwe

  • @safiasuleiman8472
    @safiasuleiman8472 5 років тому +4

    Kafiri Mkubwa unakufuru suleiman gani aliyekuwa mwana wa nje ya ndoa Mshenzi mkubwa

    • @muhammadsalim7936
      @muhammadsalim7936 4 роки тому +2

      Kama hujazaa harami wewe basi umezalowa haramu
      Makonda kasaidia wajane kwenye zoezi hilo

    • @willemwacha1349
      @willemwacha1349 4 роки тому +1

      Mh Makonda chapa kazi

    • @Nundu2000
      @Nundu2000 4 роки тому +2

      Alizaliwa nje yuko sahihi

    • @benedicthaule3303
      @benedicthaule3303 3 роки тому

      Hhhh

    • @crausmasala8572
      @crausmasala8572 3 роки тому +1

      Mpuuzi tu huyu kuandika kafiri unamaanisha unaudini ambao ni upuuzi

  • @omaryrashid1873
    @omaryrashid1873 4 роки тому

    Watoto wa nje

  • @josephmakutano7067
    @josephmakutano7067 Рік тому

    Udhalilishajigani????